kuna mtu ana wivu mpaka kaharibu radha ya hii burudani, mbaya zaidi anajiona yeye anajua zaidi kumbe huyu mc ni FUNDI na nusu, anajua sana, hana wivu, anaenjoy verse za mwenzake mpaka za kwake
Uyu mabrich mshamba yaan mwenzie akiimba anamnogeshea yy fujo kibao Kusini tushampitisha kwamba kinata ndo king of singeli kanda ya kusini Jitupateri from Tandawise
Huyo mabrichi ana roho mbaya ataki mwenzie aimbe anatumia ubabe mtazame kinata akiimba yeye anakunja sura zen anataka asikilizwe yy tu mbwa huyo mabrichi
Minataka bato na kinata nakaa mtama lindi huyo jamaa nilishawai shindana nae kwenye kucheza ila kaja kwenye mziki nataka ni bato nae naingia mwezi wa 6 hapo mashuja
Mabrich alikuwa anambania mwenzie😂 Halafu kipindi Mabrich anaimba, Kinata alikuwa anaenjoy anachoimba mwenzake. Ila kipindi Kinata anaimba, Mabrich anamind halafu anamkatisha katisha mwenzie😂 Ila Mungu acheni aitwe Mungu, dakika 3 zimetosha kumfanya Kinata ang'ae.
Huyu mabrichiii ndio kampa u staa mwenzakee ila alikuwa kashinda ttzo alivyosema habari za kingerezaa ndio kampa mizuka na kushinda hii battle ila kinacha mkalii
Marioo kanishutua kinata big up mnao mkubali kinata like 15
Kinata mc noma Sana👏🏼👏🏼👏🏼🌄🇹🇿.
Yaani Mungu akiamua lake akuna wa kuzuia huyo kajitahidi sana kumbania mwenzie ila ndio katamba Mc Kinata ni hatariii🔥🔥🔥🔥
Kabisaa, mablich anaroho mbaya
Kambana sana kweli lkn ndo anavuma
Huyu jamaa mfupi anajua kinyamaaaaaa🔥🔥🔥🔥
Jamani uuuuuuuuuuiiiiiiiiii weuweeeee mfupi una mambo hasa ww uuuuuuiiiiii nafurahi kua mtanzania
Uyo mabrich ana roho mbaya sana yani ataki mwenzake aimbe, mngese sana
Haha mungu bana ukichunguza kinata kama anabaniwa sana kwa hii interview ila kapata dakika 3 tu kakosha watanzania
Huyu jamaa wa pembeni alimbania sana Kinata
Aisee bila insta nisingewajua aisee 😅😅 Ila Mc kinata ni moto fire , yuko juu kama pierre liquid
Kinata MC noma
Instagram ndio imenileta huku 😂
@ERICK Instagram ya edokumwembe
MC kinata Ni noma sana
kuna mtu ana wivu mpaka kaharibu radha ya hii burudani, mbaya zaidi anajiona yeye anajua zaidi kumbe huyu mc ni FUNDI na nusu, anajua sana, hana wivu, anaenjoy verse za mwenzake mpaka za kwake
Kabisa, mwenzie anafurahia nyimbo zake yeye anamdharau. Mungu aloamua kumuonyesha kuwa kinyongo si kizuri
Ndio kaka bhan
Uyu mabrich mshamba yaan mwenzie akiimba anamnogeshea yy fujo kibao
Kusini tushampitisha kwamba kinata ndo king of singeli kanda ya kusini
Jitupateri from Tandawise
Kumbe ndio huyu jamaa aliyesema hapanaa😂😂😂
Kwel tuliona Instagram tujuane kwakwel😂😂
Mc Kinata 🖖🖖
Kinata umetisha saiv kila status upo we mpk Ben pol kaludia mistar yko
Hahaha ha brother hamna lefaaaa unamkatiza katiza mwenzako Mabrich
Fupi ninoma man wapi like kwa fupi ww tujuane bx wadau
Mc kinataa♥️
Mziki wetu asilia Good job 🤣🤣🙏
Amna kama kinat jaman uyo mabirinch hamfikii kinat ata asilimia 1 yaaan
Uyo kinata ni🔥🔥🔥🔥🔥
Nipo dom town ngoma nimeipata vizuli kama wew mtoto wa kusini kama mimi piga like
Oyoooooo
Kinata ndo definition ya singeli 🔥🔥🔥
Una mjua meja kunta wew?
Mc kinata umeuwa sana 🔥
Tuliomfollow mwana baada ya LE MI GO twendeeeeeeeeeee👊👊👊
Huyo mabrichi ana roho mbaya ataki mwenzie aimbe anatumia ubabe mtazame kinata akiimba yeye anakunja sura zen anataka asikilizwe yy tu mbwa huyo mabrichi
MC Kinata you kill it 🙌🙌🙌Bless up
Mabrichi anasumbuliwa na Wivu 😂😂😂 yani Mwenzie akiimba kidogo tu yy Roh ina muuma dah😅
Kwel kabisa ujakosea
😂😂😂😂 nikajua peke yangu nimeliona hilo hataki kukubali kuwa aliyepewa kukuzid amekuzid tu
Na ndio katoboa sasa kipande kidogo tu alichoimba. Hii ndio maana ya msemo usemao, Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua
Kweli kabisa lkn nae anajua basi tu
🤣🤣
Kinata 🔥🔥
Wafup tujuane kwa like
Nani mfupi
Kinata mc unatisha
Aaaaah ni kwele Sana singeli on the next level
Mmmmmh,,,pimbiiiiiii anauwezo..nipeni like zangu jmn
Mc Kinata ni fire...
Kinata is so Talented 🏆🏆
Jamaa alichanwa na kiingereza hadi akasema HAPANA🤣
😂😂😂😂😂
😂
Minataka bato na kinata nakaa mtama lindi huyo jamaa nilishawai shindana nae kwenye kucheza ila kaja kwenye mziki nataka ni bato nae naingia mwezi wa 6 hapo mashuja
Jaribu bahati mzee
Nakupata vzl kutoka maeneo ya Londo
Imenibid niitafute hiii inatrendi san instagram 😂
Haha na mm
😁😁😁😁 na mm
Mi nilimuona marioo kaipost FB😂
😃😃😃😃😃😃me nimesaka kweli
@@fatumakassim64 nilivyo ona kiingereza kwenye singeli nikasema lazma nimpate😂
Dah nimejikuta nimenyanyuka mbele ya mshua nacheza 😆😆, awa jamaa
😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣
Chz kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❣️🔥🔥
Dah nlicheka sana Instagram nlivyo muona mwamba😜😂😂😂
Huyu mabrich sijui mabrichii hataki mwenzake aimbe ....lakini mungu nani kinata sasa hvi anatrend
Kumbe umeona eh jamaa anazingua
Kinata tisho
Kina amekua mkubw insagram
Kweli aseeh jamaa anajua
Mh🔥🔥🔥🔥💥 Kwangu mimi KINATA MC Ndio Noma 💪
kinaaaata🔥🔥🔥🔥👍😅
Naludia kuangalia Leo tarehe 28 /12/2022
kinAte fundi mmoja
Mabrich alikuwa anambania mwenzie😂
Halafu kipindi Mabrich anaimba, Kinata alikuwa anaenjoy anachoimba mwenzake.
Ila kipindi Kinata anaimba, Mabrich anamind halafu anamkatisha katisha mwenzie😂
Ila Mungu acheni aitwe Mungu, dakika 3 zimetosha kumfanya Kinata ang'ae.
🤣🤣 Ila ni kweliiii
Kwel kabisa
😂😂😂kwel
Sijamuelewa kabsa uyo mabrich msenge
Mafundi wawili hawa🔥🔥🔥🔥🔥
Kinata hatari!
Mabrichi unajua lakini mshindi kinata najua zaidiyako
Miezi mitatu ndo imepakiwa hii clip ila tumeiona leo sijui kwa ajili ya Insta😳😂😂
Huyu KINATA aisee ni hatari sana Mwenzake bato hawezi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣✔✔Vijana wangu nawaona 🤴🤴
Kinata
Mabrich kuimbaaa hajuiiiiiii
Huyu mabrichiii ndio kampa u staa mwenzakee ila alikuwa kashinda ttzo alivyosema habari za kingerezaa ndio kampa mizuka na kushinda hii battle ila kinacha mkalii
kinata noma 🔥🔥🔥
Huyu jamaa mabrich anawivu Sana anataka sikilizwe yeyetu
😄😄😄😄😄😄 Ndugu yake Piere!!! Nani kaona hilo!!!
Mc kinataaaaa Noma sanaaa
Noma sana aisee...
Daaaaaaah, kinata nomaaaass 🤣🤣🤣🤣
Kinata msenge anajuaa🙌🙌🙌
Kinata ni noma
Hatimae nimeipata Huyo Kinata anajua
Kinata 😄😄 ni fireeeeee💥
Kwa wale marioo alitutoa fb like tujuane
Mc Kinata ndo Babalaoo🔥
Nakubali Sana kinata
Jama mfupi noma sana 🔥🔥 ana mzuka hatari
Huyo bishoo hapo pembeni amesimama kuzuia mwenzie hafikii mayck😀😀😀
2024❤
Aliemsikia mabrich akisema hapana like hapa
Kinataa
Ukisubili Sana utakula vyakuoza like zangu jamani
Mc mabrichi ninomaaaah anajua an😁😁😁
MC KINATA 🔥 😃
😍😍😍😍😍
Kinataaaaa wanangu wa kusini weka like hapa
Tulio na mashavu makubwa kam tunapliza moto tujuane
Mabrich anajua kupangilia kuliko mfupi mwenzangu
daaah hapo mwishoni nusu hata machozii yanitokee daaahh 😥😥😥kumbe hicho kipande ndo kimefanya hatokee daaah
😂😂😂 anatetemeka muache aje kwangu uyoooooooooooo 🔥🔥🔥🔥
Nakubal Sana vijana Wang wa nguvu
Kinata umeua brooo 🔥🔥🔥
HAKIKA HII NDIO MIZIKIN YENYE LADHA TANZANIA,siyo miziki yenye ladha KINEGERIA.
Hivi kwann hiz lebo kubwa wasichukue nawasanii wa mziki wa singeli watatobowa san
Mc Kinata anajua sana
Singeli battle sio mchezo❤
Huyu mabrich anapiga kelele tu, mziki upo kwa kinata aise kweli jamaa ana nata na biti la singeli
Mabrech kelele nyingi lkn hkun kitu
Umetisha mwamba kalisan
Mhh jamaaa noma
Respect singeli 🇧🇴🇧🇴🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇸🇾🇸🇾🇿🇦
Nakubar wanang
Ufup xio xio kilema
Yuko vizuri jamaa!!🔥🔥🔥🔥
Dahhh broo kinata nakubal kazi do lemi go sumuuuuuuuuuu
Wawooh nyie noma hongereni sana 🙏🙏
Ila watu wa wafupi kweli hawajuagi kutulia
Kweli hahahahaha
@@halimasalum8929 Halima Mungu anakuona
Good sana hii
Kinata moto