"Nami nawapa pipii watoto,mziki changamoto,mpaka kufika nilipo,nahisi kipaji si ujiko,eehh mola baba mi nipo,sina chochote juu yako,nishinde husda za waja wakooooooooooo"Kazi nzuri Meja the Kunta.....
Basi stiven mundia waambie Kenya kuna mziki unaitwa singeri made ini Tanzania unakuja na uyu dogo ni mmoja ya wanaoupeleka ila nyuma yake wapo kibao wanasubiri mziki ukubalike 😎😎😎
Daah wimbo ni mzuriiii ila meja umemdis @MuddyMsanii talent cjapendaaa nahic upend na yy atoboe nyie wote mnajua bhana japo kismart kimekuwakia kunta kama vp msameheane nawakubali sana ww na talent
Me sio mnafiki hii nyimbo ni mbaya bit mbaya meja amebana sana saut kama utaiona comment yangu naomba ukiimba nyimbo nyingine imba kawaida kama tulivokuzoea usibane saut
Hii Ngoma YA kitambo Kweli.....Maana mudi msanii alitumia beat Hii mwezi mzima uliopita Baada YA kifo cha kuzushiwa Kwa Meja...... Alisema pipi wape watt wadogo yeye hatumii.....nahisi Meja umeamua Piaa kumlipaa.....Sasa nmeelewa kijana
Sengeli to the world ndio hii.. wangap waliona meja alibahatisha mamu ssa kwenye hili dundo washaelewa.. #meja_genious keep it up
Meja Kunta Nakuelewa Sana nililia sana niliposikia eti umekufa long life bro #Pipi🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Mejakuntamamu
Singeli yangu Kari kuanzi mwezi huu adi utoe nyingine sinaga singeli Ila zako zote zipo nakukubari Sana dam yang
"Nami nawapa pipii watoto,mziki changamoto,mpaka kufika nilipo,nahisi kipaji si ujiko,eehh mola baba mi nipo,sina chochote juu yako,nishinde husda za waja wakooooooooooo"Kazi nzuri Meja the Kunta.....
weuweeeeeee htreeeeee
Mimi mkenya ila hii singeli Siku hizi naipenda Sana,,big up Mejja Kunta..thank you lavalava for introducing this guy to us..💯💯🔥🔥
Basi stiven mundia waambie Kenya kuna mziki unaitwa singeri made ini Tanzania unakuja na uyu dogo ni mmoja ya wanaoupeleka ila nyuma yake wapo kibao wanasubiri mziki ukubalike 😎😎😎
Ah! We mkenya wa wap
@@hallmenaboud3192 hapa tu Nairobi
@@charlesrichard7270 without a doubt I will tell them..
Mmmmnh meja kunta pipi....?!?!??? Wanaomkubali tujuane kwa like zetu 👇🏿
Yaaan meja kama kunta🔥🔥🔥🔥... me naisubil NAUMIA NA MOYO🔥🔥🔥🔥
We ni umoja tu Tz kwenye singeli🔥🔥🔥Weka !Weka!Kubwa babaaakeee!Twende twende🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌👌👌👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌nakupenda kutoka Burundi
Kunta.
Salut nyingi mzee.
Mzigo mkali.
Meja ushaanza kujiamin sana m napenda kitu kizur ila hum umezngua amna ulicho imba
Inaruhusiwa kucheza nyumbani🤔 💃💃💃#Pipi🔥🔥
Meja siku zote toa kitu kipya, toa kitu ambacho hakifanani na ulicho toa mwanzo hiiii ngoma kama nasikiliza mamu tyuuuuu.
Naelewa kazi zako jeshiii pamambana janangu #mejakunta
nyimbo yangu bora kabisa ya singeri
Nyimbo hii ni mzuri sana. Nampenda Meja Kunta sana ijapokuwa mimi ni mfaransa !
Mfaransa gani ww mswahili wa tandale 😂😂😂
@@orestehavyarimana5806 asante sana lakini mimi ni mfaransa kwa kweli. Tazama video zangu ninajifunza kiswahili kwa wimbo wa kiswahili
Ngom kali lakini kwanini uweke kwenye ii akant wakati unayo yakwako Akant y youtube mzee? Acha like kwawanao jiuliz il swal
Inabidi MEJA kama MEJA awe na officially account coz kuna leo na kesho 🙌
Meja kunta Ni faya 🔥🔥🔥🔥mmh HATARI
Nakukubali yani we meja oyooooooooooooooooooo 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥Kiwakisheeee nice song yan ww ni bonge la ✨✨✨✨✨✨✨✨💯💯💯💯💯
Ngoma kali broo💖💖💖
Mejakunta is number one in Tanzania for singeli.love from 🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪.
Hapo umeyumba... Umebugi mzeee kumbe unatuoteaga
Nyimbo zako zinasound sawa..inabidi uchange style au umuhame producer..beat na melody zinafanana.
luqman mohamedy sure
Sure
For sure
luqman mohamedy miaka mingapi mpaka mnataka abadilike, Meja tembea humohumo
Huyu mtoto nux Anajua! Sijutii bando langu na karantini ya korona hii bas mambo ni motooooh!!
Broo unajua kuimba nakulubali
Hiko PoAaa sanaaaa kaka ongeza bidii tu
Unajua kaka tm meja number one
Super koki unafosi jina. Hujulikani🙌🙌🙌🙌
Alie elewa hapa tujuaneeeeee
Dah sema meja ckuiz unatuangush coz unaban san sauti pungza kuban saut bhan, ila 2mia saut yko y zaman nd ipo vzr...!!
salaamu zako kwango toka istanbul TURKEY ...........unatisha sana dogo nakufatilia since mamu halooo mpaka pipi
Tuish humo🎧👆 aaaaaawoteeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sasa nataka tujuane tulio kua tunaisubili pipi kwa ham kama mm pia nataka kujua wangapi team meja kunta like kwa wiiingi
Kaka mwanaume unasubiria pipi haya pipi ndo hiyo
Safi
Ok
Meja imba baba unaweza na pia unakubalika
Napenda huu mwimba 🤤♥️
Dah broo ishi miaka broo nliumia sana mjomba wng
Me ni mej kunt fan ila hii nyimbo hain vwango kwa upnde wang
Daah wimbo ni mzuriiii ila meja umemdis @MuddyMsanii talent cjapendaaa nahic upend na yy atoboe nyie wote mnajua bhana japo kismart kimekuwakia kunta kama vp msameheane nawakubali sana ww na talent
Talent anazingua yule mjamaaa we ujui tu nenda kwenye account ya mudy ndo utajua
Muddy mwambaaaa
Muddy fala 2
Kama umegundua Mudi msanii kachambwa gonga like tujuane
Kazingua hii nyimbo mbayaaa
Jaman ili goma Kali unashiba kabisa ukilisikia
Haaaa pipi tena naipenda Sana mingu hakubaliki sana kalibu tanga
unajua kutembea na bit nakukubar sana team meja
Sawa bwana pengo kazi nzuri 😂😂😂
WA Kwanzaa kabisa wapi like zangu
Ngoma mbaya🙈🙈ongeza ubunifu haina tofauti na nyimbo zako za nyuma
Nankoli. Son nakubali jamaa anajua
Aliyeona jengo la TTCL HEADQUARTER LIKE HAPAAA
Meja meja mbona unabana sauti sana asaiv kaka unaharibu imba kama haujatoka vile
TUJUANE TEAM MEJA LIKE HAPA .... TUONDOKE KIPAJI SIO UJIKO🔥🔥🔥
weuweeeeee mwendo wa pipi
Hahahahahahhaha
Tupo wengi mzeeh
Fireeeeee
Weeeeeeeeeeee pipi hiyoo🍬🍬🍬🍭
Bydoa mnyama breezy @meja kunta buddah boss aanh ukosei mwanangu 🍭🍭🍭
Hatari. Watching from the Philippines
sema kaka ulicho zingua sauti umebana sana
Unaga mbaya meja kunta 💪💪💪
254 singeli imetuingia..good job
Umefanya Nicheke hii coment
@@rukiaiddyyahaya9506 namm nimecheka kweli khaa😂😂 kitu kimewaingia😂😂
@@irenewilbard2513 😂😂😂😂🙌
meja noma kinoma
Pigaaaa maweeeee🔥🔥🔥
Nakukubal Sana broo, king of single
Singeli bila madela inawezekana,kama unaamini hilo gonga like twende sawa.
Point kubwaaa
Daah! meja unajuwa sana allah! azidi kukupa kherrrrrrrrr
Meja namkubali ila hapa hana jipyaaaa
Ngoma ya kimbia kweli kweli, Wapi likes zake Mejaa
Hii kazi mwanangu Salute zote kwako
Yaani meja bila neno furaha anahisi hajaaandika wimbo
Acheni kumpamba bhana hii nyimbo muhuni kazingua 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃👈👈👈
Uchezaji wako unanikoshaaaa tunainama mdogomdogo
Meja cku hz unabana sana pua tofaut na mwanzo
Mwangu kaza sauti kidogo unalegeza sana
Mule mule meja #kunta umeachia kichupa
Kikali kizazi sanaa mwamba hujawahi kukosea
Ngoma n noma wasee wapi like za huyu msanii
Huyu jamaa anakuja kasi sana team kusini tujuane hapa
Me sio mnafiki hii nyimbo ni mbaya bit mbaya meja amebana sana saut kama utaiona comment yangu naomba ukiimba nyimbo nyingine imba kawaida kama tulivokuzoea usibane saut
Nakuunga mkono kaka hii nyimbo sio nzuri sana ndio wasanii hawa wakitoa nyimbo moja wakitoka nyingine wanaimba ujinga
Hataaa mii sijaerewaaa kabisaaa yaniiiiiii
Rafii Abdul sikupingi ✌
kabana sana pua mpaka kerooooo
Rafii Abdul nikwer kabisa
Inafanana na mamu kwanzie Melody na vingi tu badilisha style ya uimbaji nyinbo inaitwa pip ila hyo pip imetajwa mala moja tu na haijaeleweka
Mbona staili ileile mzeee hubadiliki nyimbo zako zote kama ileile mamu
Katiwee
Yeeeh
@@kingmsafy7445 kila wimbo tuni ileile
Abadilike ili iweje hapo hapo fire
Meja power meja kunta mwanangu unajua snaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪mwaka wakoo huuu lazzma wanga wakae maninaaaaaaaaa
htreeeeee weuweeeeee
@@leylahalithi5499 🔥🔥💪💯
Haya ndio mambo sio toa kitu weka kitu sio kiki
Makini ngoma kaly sana
Wario rudia kama mm like zenu basi
Meja kunta power star akuna kufeli Ulipo tupo
Mzee badili Producer
Daaaaa uimbaji Wako unanikosha balaa
Nyimbo kama karudia mamu
Walioona tambala linabulizika chini #gonga
Napend Sanaa singel enz zangu uwiii saiv nimekua but bado napend kusikiliza BC kuna inama inuka😛😛😛😛😛
th-cam.com/video/ZPIijqUhwx8/w-d-xo.html
th-cam.com/video/ZPIijqUhwx8/w-d-xo.html *Subscribers*🙏
Mhmhmh! Mwlody mbaya binafsi sijaielewa
Sema waso ,,, wiso,,, na g maker sigenge
kizazi sana mze wangu
Pipi... Hit Song
Pipi Pipi Pipi.... Kama Taarabu Vilee...
Piga kelele kwa meja ake weuweee
god bless you all the time my 🔥🔥🔥🔥🔥 5 *
Nimekubari meja umetisha
Hii Ngoma YA kitambo Kweli.....Maana mudi msanii alitumia beat Hii mwezi mzima uliopita Baada YA kifo cha kuzushiwa Kwa Meja......
Alisema pipi wape watt wadogo yeye hatumii.....nahisi Meja umeamua Piaa kumlipaa.....Sasa nmeelewa kijana
Nyimbo mbovu sana sija ikubali
Uyu ndo meja kunta nnaemjua sio wa kwiyo
bado Hujanikomoa na Wanga ndo ngoma kali za singeli kwangu.
Pipi
Sio jojo
Like apo twende pamoja
nasru
Nasri
Sawa
Huna mpinzani 🔥🔥🔥
Hata mm nimeona nyimbo mbaya bhn meja hatujakuzoea ivo Fanya kwer usiyumbe usijalibu kupoteza mashabiki wako
Meja marehem akeeee 🔥🔥 🔥
Unazinguwah wewe
@meja kunta nakubari sana weka vyomboooooo
Kweli singeli sio lazima dera
Pumzika kwa amani meja kunta
Meja unaandika tatizo unakosa melody staili maana unaingia sana ktk ile mamu.