Mimi sio mpenz wa singeli kabisa, ila nimesikiliza huu wimbo wako nimeona mabadiliko makubwa kwenye aina hii ya uimbaji umeleta changes bigup wimbo mzuri unaelimisha pia
Hatari sana hii sengeli si sengeli mdundiko sio mdundiko vanga si vanga nilikua nishaacha sikiliza nyimbo za hivi sema mamu imenirudusha,safi sana Meja piga kazi
Wa Tabata Dar es salaam Kazi kuu mbili za Fasihi ni 1- Kuelimisha 2- Kuburudisha Kazi zote tunazipata kwa Meja Kunta hapa 7/11/2020 Mungu ibariki Tanzani🇹🇿
22 MARCH 2024...STILL BEST OF BEST OF MEJA KUNTA💥
Hakika umejua kuomba msamaha wa dhat kabisa ngoja mamuuu nirud kama unataka nirudi gongaaa like za kutosha hapaaa Ila usirudie Tena makosaa mume Wangu
Maryam Kyando kaomba adi uruma jamani rudi tu mke
😃 we chiz ujue
Steven urio Official narud hakika kajutia makosa sana kwel Mume Wangu kachakaaa ngoja nikamng`arishe
Omar Matuta uchiz Wangu nini imeandikwa samehe7×70 ndio kajua kosa acha nimsamehe
Maryam Kyando oya dogo pambana yaelaa yote
Kama unaangalia nyimbo hii 2024 gonga like hapa
Hii nyimbo inanikumbusha kipindi nipo tz dah kweli miaka inasonga naipenda hatali
Nimerud kuona kaziba pengo kias ganii😂😂😂 meja bwana
Sijawahi kupenda ngoma za kihuni hii ya kwanza
Kutoka ufaransa nasikiliza singeli najivunia kuwa Mtanzania ♥️ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Big up kazi nzuri
Wanaoiangalia hii ngoma mpaka leo like hapa
KAZI NZURI Meja Kunta
mbon aipo hii kwako
Oi mbaba
@@nginjapradaa2188 ipo Muda sana..
VIDEO > www.djmwanga.com/2019/07/video-meja-kunta-mamu.html
AUDIO > www.djmwanga.com/2019/05/meja-kunta-mamu.html
DJ Mwanga ✔✔✔
DJ Mwanga nice
kwa kweli nilikuwa simjui,ila nimekujua baada ya kifo feki
kwa kuwa unaimba vizur Mimi kuanzia Leo ni shabiki wako.safiiiiiiiiiiiiiii.
Walio kuja bahada ya kusikia kunta mzm bado gonga like twende sawa😭😭😭😭😭😭😭😭
Rip
VP ujambo
@@selinalangu5045 meja
Tulio mjua meja kunta baada ya kifo tujuane apa 👇👇kwa like
P
Umamu 2024 hii ndio flavour kamili ya singeli #meja power
Meja karibuni na kwetu Rwanda unatixha jamani
Nimekuja kuona nyimbo zake baada ya kuskia amekufa
Sipendagi miziki ya visingeli ila hapa nimenyoosha mkono , one love bro 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dogo unajua saaana, hii ngoma inabamba sana huku mtaani kwetu
tunaomkubali meja tujuane kwa kugonga like
ata mm namkubr san
Uyu sio Omary mtoto wa Mbagala au namfananisha
Feysal Ismail mkn
maja ndio bigwa wasingel
Team mamu tupo pamoja
Kazi kubwa sana,, Shout out to the Big Boss #Dozeeeeee
Love you meja kunta
hongera
Nuru hujambo?
waliokuja kuangalia baada yakuona IG kapost jamaayake anaimba tujuane kwa like
singeli ya kwanza kupendwa namimi haswaaaaaaaaa
Sawa
Hey bro uko vzr
Hatari Sana umenikumbusha mbali sana
Meja kumbe anamwanya
Mimi sio mpenz wa singeli kabisa, ila nimesikiliza huu wimbo wako nimeona mabadiliko makubwa kwenye aina hii ya uimbaji umeleta changes bigup wimbo mzuri unaelimisha pia
Hatari sana hii sengeli si sengeli mdundiko sio mdundiko vanga si vanga nilikua nishaacha sikiliza nyimbo za hivi sema mamu imenirudusha,safi sana Meja piga kazi
Mwanangu hii nyimbo ulipatia kinoma inasaidia sana hii 😂 Kwenye migogoro
unatakiw uwe na moy wa hurum kam haun haot kaa na wt
Wanao ombwa msamaha wote kama mm na meja kuntu jamani tutafutane
Video is Very Gooooood nilichokiwaza ndicho kilichokuwaaa Hongera 😍🤗🔥🔥
James Delicious umetisha kinoma noma
Jamaa asaiv Kawa sitaa anasuka na nywele
UMEJITAIDI KWA VIDEO 🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏nakwambia kaza buti tu 👏👏👏👏👏
Mohammed Shaban poa sana
2020 nimekuja kuangalia pengo la meja baada ya kua ameliziba
tupo pamoja
😀
😍😍Umejua kunikosha jaman Ww ngoma tamu sanaa big up😜😜
Meja mahit kila mwaka lzm atoe jiwee haswaa oya 2024 still mamu tunamsikiliza
HUYU MEJA SINGELI BIASHARA
SIO KAMA WALE WASE**WENGINE
mbele yako nyuma yetu
😭😭😭😭
Nalinga Comedian ygbooppkjkkkjybjgbgm
Dogo fundi huyu
Meja ana andika sana 🔥🔥🔥🔥 2024 tupo live
Kama umekuja huku baada kusikia kifo chake gonga like kisha muombee kwa Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi 😢
Innalillah Wainnaillaih Rajighuun 😢
Hajafa
Alexis Wamillazo umejuaje
Alexis Wamillazo nikitu kischojulikana
Yaani nilikua hata simjui wala sijui huo wimbo, 😂😂😂ametuweza maana hajafa kweli
Kaka nakuelewa vzur sana kaka😋😋😋😋🙋🏻♂🙋🏻♂🙋🏻♂
Hiii ngomaaa nitam sanaa kama nini gonga like sema tam kama nn
Joseph Sanga
Yan we acha tyu jamaa ametisha htr
@@tabiayusuph8406
K
Duu mpaka midadi Inanipanda
I love you
Mungu akukumbuke fundi wetu😢😢😢😢😢
Nani mwengine yuko hapa baada ya taarifa za kifo..! Like
We noma sana meja kunta
Kila mmoja aende kwa mamuu wake akaombee msamaha 😀😀😀now 2020 like twende sawa
R.I.P Meja pumzika kwa Amani
R.i.p
Jimbo pambe sana bonge la song ww mkali wao
Wewe noma sana
Aaah mi sio mpnz wa hiz song ila meja kunta we ni fuuuuundiiiiiiiiiii....unajua mzee baba...
@team meja kunta
Kaz nzur best yang
Nakupenda sana Meja Kunta, endelea kuhit kijana
Sichok kuskiza huu winbo,,, mashair mazur
Mashaallah meja Punta nimependa hii nyimbo nakukubali
Meja ni atengwe
Kali sana yaani Konki fire 🔥🔥❤️ pambana baba ... Sisi kina dogo twaja. muziki wa singeli
Ndo nyumbani
Mamu
Big up sanaaaaaah
Baba unauwaaa
Wewe jamaa noma..... Nyimbo za singeli sizielewagi ila hiii.. Uhuhu yani ina hisia. Mpaka najikuta natoka na chozi 😥😥😥
Mamuuuu huyoo
Hili dude halijawah kuchuja 3/1/25 ila ni 🥵
Mbona nasikia haja fariki huyo jamaa ivi nikwel au
sipendani miziki hii Lakin huu 💯💯🔥🔥
Huu nomaa na nusu 🔥🔥💪💪
Kweli kabisa,huwa siikubali sana ila dogo anajitahidi sana
Mpambanaji sana mbunifu
bonge la ngoma hapa mjini linabamba kichizi
Noma sana❤
Meja kunta ana sauti nzr balaaa. Ni firee
Wa Tabata Dar es salaam
Kazi kuu mbili za Fasihi ni
1- Kuelimisha
2- Kuburudisha
Kazi zote tunazipata kwa Meja Kunta hapa 7/11/2020
Mungu ibariki Tanzani🇹🇿
nlkua naisubr kwa hamuuu... big up kwako Mr mamu😂😂
Kweli Wolper alienda HAPA, pombe mbaya
Kaz nzur ndug yang x kaz buti ba mdog
Hongera kwake kwa aliyepiga biti hii
Pumzika kwa Amani Baba 😭😭😭🙏🏻
Basi tuu vingoma vya humu vinanifurahishaga!
Sijawah pata like ata mojaa jamaniii dah ata like tanoo zinatoshaaa
mage lukman vp
Nigongeen bas na mm like hapo kwa mam
Tisha sana mwanang tunatarajia makubwa zaid ya haya tunaka kuwa elimisha km singel si mzk wa kihuni bal ni mzk wa kila sampuli... Jah bless dam yang
Jamani napenda hi nyimbo ❤❤❤
Meja wauweeeeeeh 🙌🙌🙌
Meja wauweeeeeeh
Tamuu kamaa nn!!!
Sijawah kupenda mziki wa singeli but this one is incredible!!👏🏾👏🏾
We are the same
MEJA ALIEKUA NA PENGO BANA NAMKUBALI SANA
Dah saf sana Mwanangu sauti unayo na unaitendea haki sambamba na kipaji chako NAKUONA MBALI sana aisee ongeza juhudi zaid support zetu kwako 100% mzee
Sipend singeli lakn hii naipenda sana
Upo vizur😍😍sauti MashaAllah
Singel yangu Bora huuu
Gonga like kama unaangalia hii nyimbo 2025🎉❤️❤️
Ukopoa sana meja napendakaziyako
💕💪 meja m naisubr JICHO la TATU
Sijakuelewa
Upo
Mamb
Mzm
Ww
Kama Bado unamkubali hii ngoma gonga like kubwa hapo👍
Mfalime wa singeliii mejaaa
Mej km mej massallah kw kpj chk
Inaumaaa sanaa japo wote njia yetu moja ila inauma sanaa kutangulia 😭😭😭😭😭😭Rest In peace Meja kunta 😭😭😭😭😭😭😭
Atal sana wakimbize 2
Meja Kunta yuko juu kinoma
😘 bonge la video
Ishi sana chaliangu umeuwaaaa
This is a comedy wallah...😂😂Nmcheka yangu yote. Someone take me to Dar this 2020... Inshallah.
Hey
Sauti inakaribiana na khadija kopa🤣, kazi nzuri kaza na ukazane love all the way from ukunda in mombasa 🇰🇪..
**"""dundo kari ile mbaya respect sana boy ...all the best ...🎤🎧📻📢📣📯🎺🎻📞🎶🎶🎶
Daniel Karisto
No coment
kama unaangalia nyimbo hii 2025 like hapa
"A talented soul"we r proud of you mejakunta, big up bro,much love from Kenya👍👍👍👍👍👍
Yaani hapa Meja umemaliza
Waoooh nzur sanaaaa nasauti pia imetulia hadi raha.
Mwazo nilijuwa sauti ya khadija kopo
mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hapana chezea mam
Hii song kama umeniimbia mimi vile
Nkupenda bure yani we kaka❤❤❤❤😘😘daaah
Amina Hassan ❤❤❤