ASKOF MWANAMAPINDUZI ANG'AKA"KITENDO CHA MSIGWA NI SAWA NA MBWA KULA MATAPISH YAKE BILA CHEO ATASEPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2024
  • ASKOF MWANAMAPINDUZI ANG'AKA"KITENDO CHA MSIGWA NI SAWA NA MBWA KULA MATAPISH YAKE BILA CHEO ATASEPA
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

ความคิดเห็น • 192

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 9 วันที่ผ่านมา +8

    Kiukwel Mwanamapinduzi huwa nakuelewa sana mahojiano yako wewe mmoja ni zaidi ya maccm mia moja. Hongera sana kaka.

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery6157 9 วันที่ผ่านมา +16

    Bwana akubariki Askofu Mwanamapinduzi. Umeongea kwa hekima sana.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 9 วันที่ผ่านมา +10

    Huyu Msigwa kama mchungaji lazima alikua anawaza cheo, akapotea njia sahihi shetani akamuingia na kumdanganya mpaka akakufuru chama, na akatia doa imani yake kwa kumuasi Mungu aliyemtuma kuchunga kondoo zake pale alipo!. Angekaa kwa imani mpaka Mungu amuinue kwa wakati wake...

    • @user-us4tk2tk3c
      @user-us4tk2tk3c 9 วันที่ผ่านมา

      Kama ambavyo huyo anayejiita Askofu anamtumikia shetani.

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 9 วันที่ผ่านมา +2

    Ahsante sana Askofu mwanamapinduzi, unatema madini..🤣🤣❤️❤️❤️

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 9 วันที่ผ่านมา +16

    Uko sahihi kbs Askofu mwana mapinduzi Msigwa ana tabia za king'ombe ng'ombe

  • @kaismwambona9860
    @kaismwambona9860 9 วันที่ผ่านมา +5

    Amani ya kweli hataiona kirahisi hata akipewa pesa nyingi na vyeo kadhaa huko, lakini Kuna mahali daraja la amani sahihi amebomoa vibaya.angeweza kuhama Ila kwa uzuri,sio kwa muundo huu!

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 9 วันที่ผ่านมา +4

    Asante askofu Machumu kwa maelezo na majibu yako mazuri pia msimamo wako usiyoteteleka.Mapambano yaendelee kulikomboa Taifa letu, Mungu akubariki sana askofu,Mungu akulinde daima,Amen.

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 9 วันที่ผ่านมา +2

    Ndugu mwandishi nakupa maua yako, maswali yana akili na umetulia, safi sana...🤣❤️🙏

  • @bishopprofvictorchisanga2009
    @bishopprofvictorchisanga2009 9 วันที่ผ่านมา +4

    Ni Mungu kamwondoa Msingwa CHADEMA ili kukisafisha CHADEMA tayari kukipa chama hiki UTAWALA wa nchi hii. Kwa HILI, Mungu anasema, Tushukiru Kwa Kila jambo. Ninachokijua toka Kwa Mungu ni kwamba CCM imekwisha, CHADEMA ndiyo chaguo la MUNGU hivi sasa.

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 9 วันที่ผ่านมา +5

    Msigwa ni mwanasiasa malaya malaya! Acha akae huko alikoolewa ccm,uchaguzi huu msíwachague hao mafisadi akiwemo Msigwa sasa!

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 9 วันที่ผ่านมา +5

    Umesema kweli askofu

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 3 วันที่ผ่านมา

    Uyu Mchungaji tunampenda sana YUKO VERY SMART.. UKITAKA INTERVIEW NAYEYE UJIPANGE... SAFI SANA

  • @ezekieljacob5795
    @ezekieljacob5795 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mic hazina bei.kubwa siku hizi Mwana halisi ninua mic, kutumia mic moja ni kuambukizana mafua,please take my advice thanks.

  • @johnmlangi6890
    @johnmlangi6890 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli Msiba, Amerudi kula matapishi yake. Atawaambiaje ndugu zake Iringa, aliowaambia Wananchi kwamba "Akihamia Huko Wana Iringa Wachome nyomba yake moto"?

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 9 วันที่ผ่านมา +4

    Msigwa Sio Mchungaji wa Kiroho Angehama tu bila kukashifu
    Hata Baadhi ya Waumini hatamwamini anatamaa za uchoyo ni Hatari kwake Kumbe ni ndumila kuwili aliitukana CCM Huyu hafahi atuache na CCM Kazi yake kuzunguka Vyama vya Siasa

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 3 วันที่ผ่านมา

    Mchungaj io umevaa ni Dera au kanzu... Asante mchungaj tunakupenda

  • @deogratiusmaila676
    @deogratiusmaila676 9 วันที่ผ่านมา +4

    Bishop umeongea maneno ya hekima sana ya akili nyigi sana

  • @shijasamwelshibeshi4500
    @shijasamwelshibeshi4500 8 วันที่ผ่านมา +1

    Umeongea kwa hekima Sana Baba Askofu

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s 9 วันที่ผ่านมา +2

    safi safi sana mtumishi kweri msigwa anatabia ya king'ombe alisema ccm Wana akili ndogo.sasa anakwenda ccm duuuuh

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 9 วันที่ผ่านมา +5

    Tabia ya king'ombeng'ombe!!

  • @gabrielmachotta5193
    @gabrielmachotta5193 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mchungaji bravo 🎉🎉🎉

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 9 วันที่ผ่านมา +5

    Ameshindwa jaribu Mungu amemjaribu ameshindwa atahubiri lini kwa waumini wake wakipata majaribu

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 6 วันที่ผ่านมา +1

    Akili kubwa kabisa, mchungaji mwanamapinduxi

  • @rahabufilangali-cp6br
    @rahabufilangali-cp6br 8 วันที่ผ่านมา +1

    Msigwa alishawahi kusema chama tawala ni akili ndogo...na yeye kaenda kwenye akili ndogo 😂😂😂😂😂

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wanatuibia pesa zetu wanaacha kutuletea maendereo wanazitumia vibaya hakika allah anaona na anawarekodi

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli kabisa mchungaji akili zaki g,ombe g,ombe😂😂😂😂

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 วันที่ผ่านมา +1

    "Unalipwa kutangaza ubaya na vyama vya siasa. Vyama vya siasa sio makanisa ama misikiti havitafuti watakatifu". Maneno ya busara.

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kikwete alishawahi kuwambia yanga Simba wakimchukua morisoni nyinyi angalieni mchezaji nanyinyi anaefaa chukueni mpina anaafaa Sana kuhamia chadema akuchomae nawewe mchome kwisha

  • @karamarwamugema3700
    @karamarwamugema3700 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kwei Msukuma alisema kweli kuwa Msigwa yuko kwenye payroll ya CCM. Huyu jamaa alikuwa na agenda ya siri na mweda zake kuisambaratisha CDM. Mipango yake ilitiburiwa na SUGU kwenye uchaguzi uliopita. Alikuwa na dhamira ya kugombea uenyekiti Taifa hapo pesa ya CCM itembee. Sasa kalipukiwa na bomu alilovaa njiani kabla hajafika kwenye umati😅😅😅😅😅

  • @chezariboy
    @chezariboy 4 วันที่ผ่านมา

    ❤🎉🎉🎉 good man.

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 9 วันที่ผ่านมา +3

    Watanzania amkeni hawa wanasiasa kama Msigwa ni shida hata aibu hana

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 8 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa tayari alikuwa CCM ingawaje alikuwa bado Chadema, huoni hata mavazi yake ya CCM yalikuwa tayari yameandaliwa siku nyingi.

  • @Meiruzibwe
    @Meiruzibwe 9 วันที่ผ่านมา +2

    Msigwa kisiasa kwisha habari yake.
    Askofu Mwanamapinduzi, Akili Nyingi Mungu Zaidi Nia Moja 🙏✌️💪

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 วันที่ผ่านมา +1

    "Pesa ina nguvu njaa kuhama tumboni ikahamia kichwani."

  • @realsospeterbulugu
    @realsospeterbulugu 8 วันที่ผ่านมา +1

    Tabia ya King'ombeng'ombe😂😂😂😂😂

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 9 วันที่ผ่านมา +11

    Uroho wa madaraka na Mali vimemponza aibu yake mwenyewe tu

  • @johnsylivester8412
    @johnsylivester8412 9 วันที่ผ่านมา +1

    Aisee kweli shetani yupo kweli, nilikuwa nampenda sana msigwa alikuwa mtu safi, mwenye elimu, muelewa jasiri, kiufupi huyu jamaa alikuwa jasiri na anaejua sana. Lkn amekwisha jizalilisha kabisa sasa kwisha kabisa hana heshima tena amejivunjia heshima na kujitia aibu sana.

  • @emmanuelpeter9744
    @emmanuelpeter9744 7 วันที่ผ่านมา

    Mbaya zaidi Kiwango cha vitabu na jumbe za imani alizonazo nikiwa na Imani ni nyingi kabisa kwa nafasi yake kama mchungaji vitamfanya asinyae sanaaaa na amani yake kaiweka rehani kwa ubinfsi na uroho wa madaraka.
    Zawadi ya kuwasaliti watu kwa wingi wao ambao walikuamini na kukupigania na pengine kupoteza maisha au kuwa ukilema wa kudumu hutoka kwa aliyeumba mbingu na ardhi.
    Msigwa ajiandae kuipoke kwa mikono miwili maana si punde maana Mungu hajawahi kudhihakiwa ata Mara moja

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 9 วันที่ผ่านมา +6

    MCH MSIGWA ANAWATIA AIBU VIONGOZI WA DINI. ANATAMAA SANA. KAMA MWL NYERERE ALIVYOSEMA WAMALAYA MALAYA ???

  • @EzekielMatimbwi
    @EzekielMatimbwi 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mch,Msigwa hafai kanisan hafai msikitin nahatafaa kwenye siasa ya nchi yyte ile.

  • @alphoncejmrema7912
    @alphoncejmrema7912 6 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe kiongoz aisee msigwa uliaminika sana ah sijui ila twende

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 9 วันที่ผ่านมา

    😮

  • @user-il9hm9rs8y
    @user-il9hm9rs8y 8 วันที่ผ่านมา

    Watu wajifunze kwa mheshimiwa sana Edward Ngoyayi Lowasa

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 6 วันที่ผ่านมา

    Mbona mbovu Sana? Askofu amfananisha binadam na ng'ombe kisa kuhamia CCM !! Kwani kuna uhusiano gani kati ya Uaskofu na CHADEMA? Mmmh!! Haya tutayajua mengi mwaka huu😅😅

  • @user-yz7hl9sr3q
    @user-yz7hl9sr3q 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli wewe ni Askofu, unasema kwa hekima.

  • @eliashimwela5854
    @eliashimwela5854 9 วันที่ผ่านมา

    Ukweli sio tofauti sana na aliyembusu Mkuu kisha akamtosa

  • @JemimaSuleimani
    @JemimaSuleimani 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kukuonge hekima

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 8 วันที่ผ่านมา +1

    Maana hata yesu akirudi akajiunga na ccm wanadam hawata kuwa na iman naye kwa hiyo musigwa ameamua kuunga mukono mateso watanzania wanayopata kutoka kwa hawa maccm

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 9 วันที่ผ่านมา

    Mgonjwa amekufa😂😂😂😂😂😅

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 9 วันที่ผ่านมา

    Msigwa chapaa mbele life bwana lol 😆 😂

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 7 วันที่ผ่านมา

    Inaonyesha watu wanaohamahama vyama tuwaangalie ni hatari sana wanahama wakati wa uchaguzi Kwa Nini wasihame tangu mwanzoni ni njaa hizo dhahir halafu anatuhibira Nini eti mchungaji si kweli .

  • @janekapinga6793
    @janekapinga6793 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mwacheni jamani labda maisha yamempelekea kuwa hivyo..Au sauti ya Mungu pia

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 8 วันที่ผ่านมา +1

      Kwenye Sauti ya Mungu hapa sipo na wewe

    • @user-jr3mg3ko6m
      @user-jr3mg3ko6m 8 วันที่ผ่านมา

      Msigwa uroho wamadaraka aende tu yeyeni nani

  • @ezekielmabwai4614
    @ezekielmabwai4614 8 วันที่ผ่านมา +1

    Msigwa si tu kala matapishi yake, kala mavi yake kabisa

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 9 วันที่ผ่านมา +1

    Chadema chama chagu yeyote akakaye patwa na pepo mleteni kwangu

  • @abdulsalaamkahttan1037
    @abdulsalaamkahttan1037 8 วันที่ผ่านมา

    msigwa alisema mwenyewe kwa kinywa chake ,mkiniona nakwenda ccm chomeni nyumba zangu, chomeni magari yangu, hiiikoje?

  • @bernardmushi4869
    @bernardmushi4869 9 วันที่ผ่านมา

    Shetani hana cha bure.Pesa yenyewe imepitia kwenye madhabahu za shetani na ina mikataba mizito ya kiroho.Anayeipokea hiyo pesa pepo la hiyo mikataba ya kiroho linamwingia na kumtawala (possession) na kumlazimisha kutimiza matakwa ya waliompa hizo pesa.JESUS IS LORD FOREVER. SAY AMEN

  • @jitulakaleboymastr6477
    @jitulakaleboymastr6477 9 วันที่ผ่านมา

    Hhhh🤣🤣🤣

  • @ObediKinkusha-gq8fw
    @ObediKinkusha-gq8fw 8 วันที่ผ่านมา

    😮mhurumieni msigwa ameshikwa mateka na lidude ccm

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 6 วันที่ผ่านมา

    Msigwa daaaa alikuwa kwa majini wastarabu marohani wamemchukua mashetani wabaya ccm atarudi tena karibu subirini amenda leta pesa za uchaguzi 😂😂😂😂

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 9 วันที่ผ่านมา

    Mimi nasikitika sana huyo Msigwa wakati wanapata adhabu ya kulipa faini au jela, Mimi binafsi nilichangia sh. 110,000/- Ili alipe faini asifungwe, Sasa anakimbia, haya bhana Allah anakuona.

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 9 วันที่ผ่านมา

      Kweli! Pole sana, chukulia kama sadaka!

  • @PatrickBoniphace-po9kt
    @PatrickBoniphace-po9kt 8 วันที่ผ่านมา

    Msigwa kajishusha sana

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 9 วันที่ผ่านมา +1

    HAPA ni zamu tu leo msigwa kesho mwingine. Haya ndiyo maisha ya siasa huyu mwanamapinduzi asiongee sana ayajamkuta yeye.

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 4 วันที่ผ่านมา

    Sisi ni baadhi ya wana CCM Kuwapokea wanachama wapya ni muhimu Lakini kwa Mhe.Msigwa kwetu kuna walakini kwa mazingira yaliyomfanya ajiengue kujiunga na CCM Inaleta taswira ya uchu wa Madaraka.Angeshinda uchaguzi ni wazi angebaki Upinzani Hivyo baadhi yetu tunamwona kama hajapevuka kidemokrasia.Ni aina ya baadhi ya VIONGOZI wanaona wana haki zaidi ya wengine.Tunamkaribisha ajifunze kwenye Chama kikomavu kidemokrasia

  • @vincentmwaya6910
    @vincentmwaya6910 9 วันที่ผ่านมา

    Bora angeenda kuhubiri tyu heshima yake ingewepo lkn amejizalilisha sana

  • @kashindegululi963
    @kashindegululi963 9 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi uwezo mdogo sana wa kuhoji

  • @ElibarikiMbando
    @ElibarikiMbando 7 วันที่ผ่านมา

    msigwa hesabu imekushinda tayari

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 5 วันที่ผ่านมา

    Msigwa kapoteza dira ya uchungaji, neno mchungaji lingeondolewa kishaonyesha udhaifu wake, hafai kuwa mchungaji, kule kafuata maslahi binafsi

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 4 วันที่ผ่านมา

    Msigwa madeni mengi angeyalipaje sasa amelipiwa ccm shida haina adabu. Na ubunge hapati tena

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 วันที่ผ่านมา

    "Unajifanya mwema kwa samaki.kwa chambo ktk ndoana"

  • @SaidislamBates-cy1up
    @SaidislamBates-cy1up 9 วันที่ผ่านมา

    Ameenda kumalizwa

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 7 วันที่ผ่านมา

    Kumbe mbowe alishahisi msigwa ni msaliti

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 7 วันที่ผ่านมา

    Misuguano kawaida ata kwenye dini misuguano ipo inamalizwa kwa vikao

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d 7 วันที่ผ่านมา

    Msigwa yuko sahihi kupitoa kwenye sskosi

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 9 วันที่ผ่านมา

    Msaliti wa design hii hafai kuwa hata baba wa mtoto mmoja

  • @sifunimelkizedeck882
    @sifunimelkizedeck882 9 วันที่ผ่านมา

    Uchawa mwisho wake ukichaa😢

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 7 วันที่ผ่านมา

    Sasa ana madeni makubwa ambayo yanamsabishia njaa hilo atalimaliza kwa njia ya kununuliwa na chama tawala ili kupunguza shinikizo analowapelekea Ccm kwa kuwapumguzia umaarufu ambao wao.wamejijengea kwa wananchi wasiojua lolote

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 7 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ndio sura halisi ya wanasiasa wa Tanzania na siwexi kumlaumu Msigwa bali anatukumbusha watanzania kuwa wanasiasa wetu wengi ni vigeugeu na huyu sio wa kwanza kuhama chadema,wapo akina Komu,Selasini, na wooote hao sababu zao zinafanana kuwa kuna ubadhirifu, ubinafsi,ubabe na udictator. Miaka ya nyuma ilikuw sio rahisi watu kutamka maneno mazito ya siri za ndani ya vyama vya siasa kama ilivyonkea sasa. Hilo kwenu chadema lazima mlifanyie kazi na acheni kumfuatilie Msigwa aubwale waliohama chama chenu na badala yake fuatilieni hoja zao kama ni ukweli au uwongo. Na mkumbuke kuwa kila chama kinapokea wanachama wa vyama vingine kwa sababu kama hizihizi. Jee ina maama vyama vinawanunua ? Basi tutakuwa tumekwisha. Membe,Lowasa, Kingunge,nk. woote hao mliwanunua?

  • @michaelnkobi2201
    @michaelnkobi2201 8 วันที่ผ่านมา

    Kila nyakati zina majira yake,Hakika Msigwa umeshafika wakati wa yeye kukimbia Nuruni

  • @LaureanKajugusi
    @LaureanKajugusi 8 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji au Mwanasiasa! Chagua njia Moja ueleweke.

  • @FaustinaBoniface
    @FaustinaBoniface 8 วันที่ผ่านมา

    Hii ni dalili ya kuwa Msigwa anatafuta cheo na pesa, duu

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 8 วันที่ผ่านมา

    **CCM WASINGEMTAKA KAMA CHADEMA ISINGEMPA NAFASI** HII NDIYO KWELI MAANA MTU HUWA BORA SANA HASA AKITOKEA UPINZANI NA NI BORA ZAIDI SANA AKIWA AMETOKEA CHADEMA

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik 8 วันที่ผ่านมา

    Askofu njaa tambua siasa Ina Hila za kishetan

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 9 วันที่ผ่านมา

    Na pia akitoka tena kuko CCM atasema mabaya ya CCM kwa chama atakachoingia. Si mtu mzuri aneweza tu akatunza heshima yake hata yakimshinda huko angeweza kueudi kwenye chama chma chake. Kumbukeni akiwa CHDEMA ameongea mengi mabaya sana. Msimwamini kwa kuwa hana msimamo kazi yake umbeya tu.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 วันที่ผ่านมา

    "Mtu akishakuwa muasi huwa hafuati utaratibu".

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 4 วันที่ผ่านมา

    Msigwa atahama hata dini aje kwetu chezea njaa

  • @DensonKaboneka
    @DensonKaboneka 9 วันที่ผ่านมา

    Kuibia watu kutumia jina la mungu na siasa ni kama wez wengine wanaochomwa moto na kufungwa kama wewe lijizi iba tu ijulikane sio kujificha ficha

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 9 วันที่ผ่านมา

    Nina wasiwasi kama ni kweli ni Mchungani ameshamwacha Mungu ni kama Sauli kwa sasa aombe rehema kwa Mungu ataishia kubaya. Msigwa mrudie Mungu umepotoka

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 8 วันที่ผ่านมา

    Musigwa ni sawa yuda alie msaliti yesu lakini yesu alishinda kwahiyo asifikiri kuondoka kwake chadema itaanguka mbona 2025 chama kitadhihilisha ukomavu wake

  • @user-rt7ui4fz9p
    @user-rt7ui4fz9p 6 วันที่ผ่านมา

    Na ruwasa irikuwaje mbona murimtukana Sana na kutakasa

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 9 วันที่ผ่านมา

    Wajenga wala sema mlajana siyo mla leo matapishi ya jana siyo yaleo kila jambo na wakati wake na makusudi yake

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 4 วันที่ผ่านมา

    Tanzania hatuna vyama vingi ni ushogo tu

  • @HildaKessy-yw7kh
    @HildaKessy-yw7kh 9 วันที่ผ่านมา

    Msigwa hafai kwa namna yyte hata sijui ni mchungaji wa aina gani alisoma wapi hata kanisa linatakiwa limchunguze ange

  • @RemmySinkala
    @RemmySinkala 8 วันที่ผ่านมา

    Hakuna atakayehama

  • @JosephatMohereikerege
    @JosephatMohereikerege 6 วันที่ผ่านมา

    Maisha yameshindwa anatafuta uongozi hapati huko aliko enda

  • @FosterBwalya-rh9lh
    @FosterBwalya-rh9lh 9 วันที่ผ่านมา

    Kwa nn hatujifunzi kubana pua hivi huyo msigwa mchungaji wa kanisa gani maana ametia aibu

  • @kuyajr1lanyoru903
    @kuyajr1lanyoru903 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu Msigwa Ni Mhuni

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 4 วันที่ผ่านมา

    Siyo kala matapishi kalamavi ya shetani mimilele

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp 8 วันที่ผ่านมา

    MPENI POLE MSIGWA ALICHANGANYIKIWA BAADA YA KUPIGWA NA KITU KIZITO TOKA KWA KAMANDA SUGU .( SUGU HOYEEEE!!!! ) ASIYEKUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI. ((NJAA YAKE IMEHAMIA KICHWANI)) .

  • @EsterYohana-ix7ii
    @EsterYohana-ix7ii 9 วันที่ผ่านมา

    Msigwa kafanya usalliti mkubwa sana kuhamia ccm ni dhambi kubwa kuliko kuua

  • @AbihudiMbekomize-py8fb
    @AbihudiMbekomize-py8fb 9 วันที่ผ่านมา

    Mwambie baba ubalikiwe kwa ukweli wako