Stambuli wa Sh. Abdillahi Nassir
Stambuli wa Sh. Abdillahi Nassir
  • 203
  • 356 672
Athari za Utawala wa U'Sultan wa Zanzibar kwenye Mwambao wa Pwani ya Kenya-Makala ya Kwanza.
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues
#truth #zanzibar #oman #sultan #british #africa #history #culture #duet #highlight #news #real #trendingvideo #trend #youtube #trending #global #swahiliculture #best
มุมมอง: 11 011

วีดีโอ

Kweli kuhusu Siasa za Uhuru wa Nchi ya Kenya -Makala ya Pili.
มุมมอง 1.4Kวันที่ผ่านมา
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #africa #culture #highlight #history #art #news #real #swahiliculture #truth #trend #youtube #trending #trendingvideo #truth #trendingvideo #tru
Kweli kuhusu Siasa za Uhuru wa Nchi ya Kenya - Makala ya Kwanza.
มุมมอง 2.7Kวันที่ผ่านมา
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #trend #truth #islam #history #real #news #highlight #culture #africa #global #world #swahiliculture #traditional #best
Kweli kuhusu Mzozo wa baadhi ya Wakikuyu dhidi ya Waswahili na Waarabu Lamu - Makala ya Kwanza.
มุมมอง 10K14 วันที่ผ่านมา
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #africa #culture #duet #highlight #history #news #personalgrowth #real #swahiliculture #trending #trendingvideo #trading #truth #islam #muslim
Haki za Wapwani Nchini Kenya - Makala ya Kwanza.
มุมมอง 3.4Kหลายเดือนก่อน
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #history #culture #africa #highlight #news #trend #trending #real #trendingvideo #truth #personalgrowth #producer #technology #swahiliculture
Dhulma za Ki-Historia Jimbo la Pwani Mwaka 1497 hadi Mwaka 2024.
มุมมอง 3.9K2 หลายเดือนก่อน
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #africa #culture #history #highlight #news #travel #trend #trending #truth #real #react
Historia ya Ufujaji wa Mali ya Wakf Jimbo la Pwani.
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #africa #swahiliculture #culture #news #highlight #history #trend #trendingvideo #trending #real #reality #short #shorts #producer
Kenya iko Njia Panda - Je, Mustaq'bal wa Jimbo la Pwani ni Upi?!
มุมมอง 4.7K2 หลายเดือนก่อน
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #africa #culture #news #highlight #history #islam #trending #trendingvideo #trend #global #truth
Ujumbe kwa Rais William Samoei Arap Ruto- Makala ya Pili.
มุมมอง 1.9K4 หลายเดือนก่อน
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #culture #africa #duet #motivation #news #history #ruto #islam #muslim #humanity #justice #highlight
Je, Wapwani Tukidai Haki zetu Mutatupatia?! - Makala ya Pili.
มุมมอง 1.7K5 หลายเดือนก่อน
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #culture #africa #kenyanculture #history #duet #reels #motivation #swahili #trending #trendingshorts #travel #trendingvideo #islam #traditional #truth
Je, Wapwani Tukidai Haki zaetu Mutatupatia?! - Makala ya Pili.
มุมมอง 1.4K5 หลายเดือนก่อน
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #culture #africa #history #duet #reels #motivation #swahili #trending #islamic #kenyan #explore #entertainment #information
Je, Wapwani Tukidai Haki Zetu Mutatupatia?!
มุมมอง 6K5 หลายเดือนก่อน
#allah #culture #history #love #trending #motivation #trendingshorts #genz #truth #humanity #islam #islamic #swahili All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues.
Waswahili ni Wapwani Halisi - Makala ya Kwanza.
มุมมอง 4.9K6 หลายเดือนก่อน
Kwa muda mrefu, watu tafauti wamekuwa wakieneza uwongo kuhusu uhalisi wa chimbuko la kizazi cha Waswahili na, kwa ajili hiyo, imekuwa dharura sana kurekebisha uwongo huu na kueleza kweli kwa kutowa ushahidi wa kuaminika!!! All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #history #culture #africa #duet #trending #motivation #reels #truth #trendingsho...
Mali ya Waqf Kenya ni ya Waislamu wa Pwani - Makala ya Kwanza.
มุมมอง 2.9K6 หลายเดือนก่อน
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #history #kenya #culture #africa #duet #trending #motivation #trendingshorts #reel #reels #truth
Marufuku ya Muguka Pwani - Makala ya Kwanza.
มุมมอง 1.3K6 หลายเดือนก่อน
All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues. #history #kenya #culture #africa #trending #trendingshorts #trend #trendingvideo #youtubeshorts #youtuber #reels #respect #truth #reaction l
Marufuku ya Muguka Pwani (Utangulizi).
มุมมอง 3.5K6 หลายเดือนก่อน
Marufuku ya Muguka Pwani (Utangulizi).
Waqf wa Waislamu ni Haki ya Waislamu wa Pwani.
มุมมอง 2.2K7 หลายเดือนก่อน
Waqf wa Waislamu ni Haki ya Waislamu wa Pwani.
Hafla ya kumuaga 'Senior-Chief' wa Old Town, Mombasa County - Ahmad Abdulrazaq - aliyesta'afu leo.
มุมมอง 5K7 หลายเดือนก่อน
Hafla ya kumuaga 'Senior-Chief' wa Old Town, Mombasa County - Ahmad Abdulrazaq - aliyesta'afu leo.
Unyama wa Vasco da Gama na Kanisa Katholiki dhidi ya Waswahili.
มุมมอง 4.8K8 หลายเดือนก่อน
Unyama wa Vasco da Gama na Kanisa Katholiki dhidi ya Waswahili.
Kweli kuhusu Uwanja wa Makadara-Makala ya Tatu.
มุมมอง 1.5K8 หลายเดือนก่อน
Kweli kuhusu Uwanja wa Makadara-Makala ya Tatu.
Kweli kuhusu Uwanja wa Makadara-Makala ya Pili.
มุมมอง 2.1K8 หลายเดือนก่อน
Kweli kuhusu Uwanja wa Makadara-Makala ya Pili.
Kweli kuhusu Uwanja wa Makadara-Makala ya Kwanza.
มุมมอง 2.8K8 หลายเดือนก่อน
Kweli kuhusu Uwanja wa Makadara-Makala ya Kwanza.
Sh. Aydarus Athman Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir - Ijumaamosi, Tarehe13 January, 2024.
มุมมอง 18010 หลายเดือนก่อน
Sh. Aydarus Athman Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir - Ijumaamosi, Tarehe13 January, 2024.
Stambuli Abdillahi Nassir. Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir - Ijumaamosi, 13 January, 2024.
มุมมอง 65010 หลายเดือนก่อน
Stambuli Abdillahi Nassir. Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir - Ijumaamosi, 13 January, 2024.
Ustadh Muhammad Dumila- Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir - Ijumaamosi, 13 January, 2024.
มุมมอง 18510 หลายเดือนก่อน
Ustadh Muhammad Dumila- Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir - Ijumaamosi, 13 January, 2024.
Sh. Musa Shali- Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir - Ijumaamosi, 13 January, 2024-_1
มุมมอง 6910 หลายเดือนก่อน
Sh. Musa Shali- Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir - Ijumaamosi, 13 January, 2024-_1
Al Hajj Abdulqadir A. Nassir. Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir, Ijumaamosi, 13 January, 2024
มุมมอง 10210 หลายเดือนก่อน
Al Hajj Abdulqadir A. Nassir. Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir, Ijumaamosi, 13 January, 2024
Utangulizi wa "Kweli kuhusu Uwanja wa Makadara".
มุมมอง 1K11 หลายเดือนก่อน
Utangulizi wa "Kweli kuhusu Uwanja wa Makadara".
Ndugu Ali Bafundi. Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir - Ijumaamosi, Tarehe13 January, 2024.
มุมมอง 25511 หลายเดือนก่อน
Ndugu Ali Bafundi. Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir - Ijumaamosi, Tarehe13 January, 2024.
Sh. Muhammad Dor. Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir- Ijumaamosi, Tarehe13 January, 2024.
มุมมอง 40211 หลายเดือนก่อน
Sh. Muhammad Dor. Hawli ya Al Mar'huum Sh. Abdilahi Nassir- Ijumaamosi, Tarehe13 January, 2024.

ความคิดเห็น

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu hana dini ispokuw Upwani unati na Ungozi basi

  • @ericmutale178
    @ericmutale178 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unafanya kazi ya kuficha maovu ya waarabu...kwamba sio waarabu wote walifanya utumwa sio kitu cha msingi...hata sio wazungu wote walifanya utumwa Kukumbuka ya jana haimaanishi ya kale yamesahauliwa...KAZI YENU NI KUWATETEA WAARABU KWA SABABU YA DINI WAARABU NDIO WALIANZISHA BIASHARA YA UTUMWA AFRIKA...TANGU KARNE YA 7 WALIPOTEKA AFRIKA KASKAZINI unaongea UONGO MKUBWA MNENE

  • @febamohammed2989
    @febamohammed2989 วันที่ผ่านมา

    Na mbona huwa unasema mijikenda walikuja miaka 300 iliopita kumbe kuna wadigo waliokwenda kuita waarabu kusaidia kumtoa mreno,,au kwa tafsiri yako mdigo sio mijkenda?

  • @rajabSumba-cp3cy
    @rajabSumba-cp3cy 2 วันที่ผ่านมา

    Shukran Sheikh Stambuli A.Nassir . Labda tuseme walioyasema wazee."Mgeni naje" Hao wote walozuru huku kwetu waliata athari nzuri na mbaya. Je tukubali msemo "Mwenyeji apone" Je wamiji wamepona?

  • @Wasengenyie
    @Wasengenyie 2 วันที่ผ่านมา

    DNA studies zinaonyesha waswahili ni mix ya shirazi Persians na bantu women. Hii inalingana na vile waswahili wenyewe wasema.

  • @Masjidfirdous-onlinetv
    @Masjidfirdous-onlinetv 2 วันที่ผ่านมา

    Assalamualaikum warahmatullah wabarakaut.Naomba kuuliza ni kwanini Huy Jemshid bun Abdullah hakurusiwa kuingia nchini Oman mpaka baada ya kifo cha Sultan qabous 2021??

  • @mohammedsiga7202
    @mohammedsiga7202 2 วันที่ผ่านมา

    Mashaa Allah TwaalaAllah umrak ✍🏾✍🏾

  • @williammbuthiamaitai5274
    @williammbuthiamaitai5274 3 วันที่ผ่านมา

    Arabs were and even now brutal expansionist colonial People devoid of any development but thing and control agenda

  • @tomgarama3401
    @tomgarama3401 3 วันที่ผ่านมา

    Shukran kwa makala haya. Hawa viongozi walokuwa miaka ya 30- 60 ndio walioharibu kabisa maisha tunayoishi kama wapwani kwa sasa. Ukweli na usemwe, ni vizuri kama waakilishi ambao ni wazee kutoka kila kabila la kutoka mkoa wa pwani kuweza kuwakilisha jambo hili kwa serikali ya Kenya.

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123 3 วันที่ผ่านมา

      Kwa ridhaa ya Mwenyezi Mgu, tunajaribu kushawishiana kuandaa kongamano amabalo tutajumuika na kujadili namna tutakavyoweza kukubaliana kuungana pamoja na kuwakilisha jambo hili. Du'a zenu (nyote) ni muhimu.

  • @SaadSameer-r9u
    @SaadSameer-r9u 3 วันที่ผ่านมา

    Makala mzuri yenye kusisimua na kusikitisha. Lakini ni vipi ije baada ya Sultan wa mwisho kufa?

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123 3 วันที่ผ่านมา

      Kwa hakika, jaribu kuangalia haya makala yote kwenye ukurasa huu na utafahamu kuwa hayakuanza leo.

  • @TruthSeekerAfrica
    @TruthSeekerAfrica 3 วันที่ผ่านมา

    Serikali ilifanya makosa. Hayo mashamba wangepewa wakaazi asili wa Amu na hizo sehem.

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 3 วันที่ผ่านมา

    Kama si waarabu mpaka leo Kenya na Tz mngekuwa chini ya Mreno Majina yenu yangekuwa Oribero orteriro Na huyu mzungumzaji angekuwa anaitwa Ornandir

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 2 วันที่ผ่านมา

      Kwan aisha ni jina la kiafrika? Utumwa uleule tu

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwehu waahid Mada Znz ajabu anamalizia uzalendo wa Kenya wakakutane na Zakayo Teh teh tehe

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 3 วันที่ผ่านมา

    Sheikh tupe muelekeo lakufanya ss tuko tayari kwa sababu kuzugumza tu hatutasikika mpaka tuoneshe hasira zetu

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni mbaguzi sana anachuki na waarab kwa msukumo wa Iran Anajifanya mjuzi wa historia lakini hathubutu kuwalaani watawala wa kweli wa Znz ambao ni waingereza na waarab walikuwa matarishi tu kwa waingereza

  • @salimaloufi6470
    @salimaloufi6470 3 วันที่ผ่านมา

    WAINGEREZA NDIO WALOGAWA MATAIFA DON'T FORGET DIVIDE AND RULE GO BACK AT HISTORY , DON'T SPOIL HISTORY

  • @salimaloufi6470
    @salimaloufi6470 3 วันที่ผ่านมา

    WAINGEREZA NDIO WALOGAWA MATAIFA DON'T FORGET DIVIDE AND RULE GO BACK AT HISTORY , DON'T SPOIL HISTORY

    • @febamohammed2989
      @febamohammed2989 วันที่ผ่านมา

      Elewa kwanza kabla ucomment,,alieitawala pwani ya kenya ni mkoloni muarabu muengereza alikua anapeana ulinzi tu maana walieke mikata ya ulinzi,,na utawala wa waarabu ulikua wakibaguzi kama ule uliokua afrika kusini,,watu wa mombasa waligaanywa makundi matatu waarabu,waswahili na wanyika au makafiri,,walioktaa utawala wa waarabh waliitwa wanyika na makafiri na hawakuruhisiwa kutangamana na ndugu zao waliotaka kujipendekeza na waarabu hata shule wadigo walikatazwa kusoma maana walijulikana kama wanyika

  • @salimaloufi6470
    @salimaloufi6470 3 วันที่ผ่านมา

    JUST TO REMIND THE GENTLEMAN'S HISTORY AT 1800 THERE'S NO COUNTRY CALLED RAS ALKHAIMAH OR DUBAI OR ABUDHABI WHICH NOW CALLED UNITED ARAB EMIRATES THIS ESTABLISHED AT 1970😂

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 4 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu wanaojiita gumzo la ghasan ni vibaraka wa sultan wao wanaona hakuna mwenye haki ya kuitawala zanzibar zaidi ya Jamshed shukran sana bwana Stambuli kwa makala yako sasa tutapumua kutoka kwa hao vibaraka wa sultan

    • @moxasaidi3398
      @moxasaidi3398 3 วันที่ผ่านมา

      Wewe kichwa kibovu na hujamuelewa bado alie kuja kuitawala zanzibar ni muengereza na sio muoman kwasababu muomani alikuwa ni kibaraka tuu mwenye nguvu zote za kupanga alikuwa ni muengereza

    • @jumaseifjuma4185
      @jumaseifjuma4185 2 วันที่ผ่านมา

      Wenye haki ya kuitawala Zanzibar ni Watanganyika kama tuonavyo hivi. Gumzo la Ghasan ni watoa taaluma tu kama huyu wewe isikukere, hutaki usimsikilize lkn Historia siku zote huwezi kuipindisha ukweli utabakia kuwa ni ukweli tu.

  • @MohammedThoya
    @MohammedThoya 4 วันที่ผ่านมา

    Aslm aleikum,nakushkuru kwa uzando wa pwani na mwambao,Eritrea iliunga chama kimoja cha kisiasa na wakawa kitu kimoja na wakawa bungeni Ethiopia wanaogopewa,pwani ya Kenya haina chama cha kizalendo,hip ndio shida,inawezekana,shkran

  • @MaryamSalim-yk3po
    @MaryamSalim-yk3po 4 วันที่ผ่านมา

    Muarabu hakutesa mtu yoyote uliza ukweli unajisemeya maneno unaleta fitna

    • @moxasaidi3398
      @moxasaidi3398 3 วันที่ผ่านมา

      Alietesa wazee wetu ashasema hakusema mwarabu

  • @abdulqadirissa2535
    @abdulqadirissa2535 4 วันที่ผ่านมา

    Shukran ya akhi Istanbul 👍

  • @ahmedsharif2424
    @ahmedsharif2424 4 วันที่ผ่านมา

    Huyo shehe aongea yalio tupata na mateso yalio tuathiri mpaka Leo hii

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 4 วันที่ผ่านมา

      @@ahmedsharif2424 umeathirika na nini hebu tuambie lililokuathiri huyo babu nadhani ni mtu wa Mambasa na Mombasa Kenya ipo mikononi mwao hicho kilokuathiri nini

  • @ahmedsharif2424
    @ahmedsharif2424 4 วันที่ผ่านมา

    Wacheni matusi kwahisani zenu

  • @omarizuberi7163
    @omarizuberi7163 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu akulinde

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 4 วันที่ผ่านมา

    amina. sema. wala. usiongope. chote. ishaalla mungu anakusikiya. mdhalimu yoyote hawawezi kusema ukweli

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 4 วันที่ผ่านมา

    In 1795, the **Ottoman Empire** was at a significant crossroads in its history, marked by both internal challenges and external pressures. Here are some key aspects of the empire during this period: ### **Political Landscape** 1. **Sultanate**: The reigning Sultan at this time was **Selim **, who ascended to the throne in 1789. He attempted to implement various reforms to modernize the empire, inspired by European practices. 2. **Constitutional Reforms**: Selim sought to strengthen the central authority of the Sultan and modernize the military through the establishment of the **Nizam-ı Cedid** (New Order), which aimed at creating a modern, Western-style army. 3. **Administrative Challenges**: The empire was experiencing difficulties in controlling its vast territories. Local governors (Aghas and Pashas) often acted independently, leading to issues of loyalty and governance. Corruption and inefficiency plagued the administrative system. ### **Military Situation** 1. **Military Decline**: Although efforts were made to reform the military, the Ottoman military faced challenges, including outdated tactics and technologies compared to European powers. 2. **Wars with Russia**: The empire found itself embroiled in conflicts, particularly with Russia, which culminated in the Russo-Turkish War (1787-1792). This conflict resulted in territorial losses for the Ottomans, notably to Russia in regions such as the Black Sea and Moldova. 3. **Rebellions**: The empire was dealing with various internal revolts and uprisings. The Janissaries, the elite military corps, were often resistant to reforms and posed a significant challenge to the Sultan's authority. ### **Economic Conditions** 1. **Economic Strain**: The empire's economy was suffering due to military expenditures, losses of territories, and trade disruptions. nternal taxation systems were often inefficient and contributed to local discontent. 2. **Trade Routes**: The Ottomans still controlled important trade routes, but their ability to manage and protect these routes was diminishing due to European colonial expansion in the region. ### **Cultural and Social Dynamics** 1. **Cultural Resilience**: Despite the challenges, the Ottoman Empire remained a culturally vibrant entity, with stanbul (formerly Constantinople) as a major center of art, architecture, and scholarship. 2. **Diverse Populations**: The empire was ethnically and religiously diverse, including Turks, Arabs, Kurds, Greeks, Armenians, and Jews, which presented both opportunities for cultural richness and challenges for governance and social cohesion. ### **Conclusion** n 1795, the Ottoman Empire was characterized by efforts at modernization and reform under Sultan Selim , but it faced significant internal strife and external threats that undermined its authority. The empire was at a critical juncture that would lead to further challenges and eventual transformations in the 19th century. The interplay of these factors would eventually influence the course of Ottoman history and its interactions with other powers, including Britain and emerging national movements within its territories.

  • @2002-h6c
    @2002-h6c 4 วันที่ผ่านมา

    Hata kiswahili wee babu hikijui, kisha unajifanya Mzanzibari, kazi kweli kweli 😂

    • @NyumbaYaHekima
      @NyumbaYaHekima 4 วันที่ผ่านมา

      unaonekana siasa za watu wa pwani huzijui wala hujayafahamu mazungumzo, mana huyo mzungumzaji kabisa haonekani kuridhishwa mombasa ilkuwa sehemu ya Zanzibar

    • @2002-h6c
      @2002-h6c 3 วันที่ผ่านมา

      @NyumbaYaHekima Pwani pwani !!! watu tunaijua Zanzibar na Pwani kuliko wewe , usitake ufanye kuijua wani au Zanzibar ati lazima mtu awe na fikra kama zako, fikra za kukataa asili yako na kujipendekeza kwa watu wenye asili nyengine.

    • @NyumbaYaHekima
      @NyumbaYaHekima 3 วันที่ผ่านมา

      @@2002-h6c mm nakuona wewe ndio unataka niwe na fikra kama zako, ivi unamchagulia mtu asemee yeye ni nani!, na ntakuwa na mahusiano naye ni maamuzi yangu sio yako. Watu wa bara asli yao wakiishi kwa makabila, hili suala la kuona watu wa pwani wameishi na wageni bado hamligahamu linawezekana vipi kwa sababu si katka asli yenu kuishi na watu wa kabila tofauti. Kwaio usinambie mie kuhusu asli yako. Keep it to yourself. Ni asli yetu kuishi na watu.

    • @2002-h6c
      @2002-h6c 3 วันที่ผ่านมา

      @NyumbaYaHekima Hiyo ndo shida yako, nani kakwambia mie ni mtu wa bara ? yaani wewe ukiona mtu ana mawazo ya kizalendo ya kuupenda Uafrica wake, basi unaona huyo ni mtu wa bara na siyo Muislam, that's not right , and that's why I think you need to change your pescepltion on people , especially Zanzibaris

    • @NyumbaYaHekima
      @NyumbaYaHekima 3 วันที่ผ่านมา

      @@2002-h6c hilo si kosa langu, hakuna kuwa mzalendo wa rangi yako na kabila lako kuliko kuwa mzalendo wa Uislamu. Tumekubali kuwa waislanu tuzikubali fikra za uislamu na tuachane ni izo takataka za urangi na ukabila. Hakun uafrika mbele ya uislamu. Uislamu kwanza. Na ukiwa na fikra izo za kimakabila hujaukubali uislamu sawaswa, kama kuna makosa yanafanywa na waarabu ni jukumu letu kama waislanu kuelekezana tuachane na tabia mbovu sio kuvunja udugu wetu kwa sababu ya rangi zetu.

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 4 วันที่ผ่านมา

    ●umenena kweli kabisa ○○

  • @joachimmahoo9786
    @joachimmahoo9786 4 วันที่ผ่านมา

    Waarabu waliwaona wa afrika kama tumbili ( renea horuna ya samia kwa jeshi la polisi) CCP Moshi October 2024

    • @joachimmahoo9786
      @joachimmahoo9786 4 วันที่ผ่านมา

      Wali peleka wa afrika ütüme anı na kuwaondoa koro donu imi wa izah na kuş ha uchaguzi ndani ya ardhi yao. Ushauri tunao

  • @ahmedsharif2424
    @ahmedsharif2424 4 วันที่ผ่านมา

    Sawa sawa

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 4 วันที่ผ่านมา

    Soma huo ukweli badala ya kutia fitna. Wewe WaOmani wamefunya nini hata unatapakaza chuki kila siku? Twambie ukwell!

    • @NyumbaYaHekima
      @NyumbaYaHekima 4 วันที่ผ่านมา

      mimi husema watu wa mwambao wamepatwa na virus ileile iliosababisha mauwaji unguja, kuona waarabu hawakufaa kutawala hapo kwao, wakisahau ktk uislamu suala la utawala halina rangi. mtawala wa waliojikubali kuwa waislamu anaweza kuwa yoyote ambae atatunza uslama wa watu na haki zao bila ya kujadili asli yake. leo wanamsingizia sultani kauza mwambao, lkn ukweli waseme wasione haya, wao ndio walikata shauri hilo, na sultani akjuilishwa hivyo, tena walitaka sultani afanye vipi?! hisabu zao ilkuwa ni kuja kutengeneza nchi yao kando, lkn wamejikuta hawaganduki kwenye mikono ya watu wengine. ni wachache ndio walikubali kubaki chini ya sultani.

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 4 วันที่ผ่านมา

    In 1795, Britain was a significant global power, particularly in terms of military, naval, and economic strength, whereas Oman, though influential in its region, was considerably less powerful on the world stage. Here's a comparison of the two: ### British Power in 1795: 1. **Naval Dominance**: Britain had the most powerful navy in the world, which allowed it to control vital trade routes and protect its expanding empire. The Royal Navy played a crucial role in asserting British interests abroad. 2. **Colonial Empire**: By 1795, Britain had established a vast colonial empire, including territories in the Americas, the Caribbean, parts of India, and various outposts in Africa and the Pacific. This empire provided Britain with extensive resources and wealth. 3. **Economic Strength**: The Industrial Revolution was gaining momentum in Britain, leading to increased manufacturing and trade capabilities. British merchants and industries benefited from access to raw materials from its colonies. 4. **Military Power**: Britain had a well-trained and professional army, supported by its navy. This allowed Britain to project power across the globe, protecting its interests and expanding its influence. ### Oman's Position in 1795: 1. **Regional Influence**: Oman was a regional maritime power, particularly under the rule of Sultan Said bin Sultan. It had a strong navy that controlled trade routes in the Arabian Sea and the Gulf of Oman. 2. **Economic Activities**: Oman was involved in trade, particularly in commodities such as frankincense, dates, and textiles. Its economy was based on agriculture, trade, and fishing rather than industrialized production. 3. **Geopolitical Challenges**: Oman faced threats from powerful neighboring states, including the Portuguese, which had a historical presence in the region, and the Zaydids in Yemen. While Oman was influential in the Arabian Peninsula, it lacked the global reach and resources of Britain. 4. **Military Capability**: Oman's military capabilities were primarily based on local forces and traditional warfare, in contrast to Britain's professional military establishment. ### Conclusion: In summary, in 1795, Britain was a global superpower with vast resources, a powerful navy, and significant colonial holdings, while Oman, though an important regional player, was less powerful in comparison. The Treaty of Muscat reflects this dynamic, as Oman sought to ally with a powerful Britain for mutual defense and to safeguard its interests against external threats.

  • @ronvibes89
    @ronvibes89 4 วันที่ผ่านมา

    Deep history. Keep up enlightening us.

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 4 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni fatani mkubwa. Wengereza walikuwa wameshakuwa dola yenye nguvu na huwezi kulikataa hilo. Nyinyi ni sehemu ya Kenya kwa nini hutaki kukubali? Kazi yako ni fitna tu. Hebu jiulize vipi Kenya ilikuwa colony la Uingereza?

  • @TuliOreshnik
    @TuliOreshnik 4 วันที่ผ่านมา

    Sheikh stambuli unayo ongea nikweli mm nimoja wao tulimfwata mzee mmoja alikuwa anamiliki duka la vipodozi kabla ya baroda bank huwa kuna mwanawake wanaka jina nimelisahau aliachiwa nyumba mbili maeneo ya mskiti wa konzi na tukafuwata mpaka nyumbani kwake nyuma ya tembo disco tukamuelezea na karatasi na jinalake na makubaliano kila akikusanya pesa atawatumia wazee wetu pemba wakati huo lkn miaka ilipita wazee walifariki baad kupekuwa pekuwa tuliyakuta makaratasi na tuliamuwa kufunga safari kuja Mombasa.kwa uzuwefu wako sheikh stambuli ushamjuwa

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 4 วันที่ผ่านมา

    Sema kweli japo ni uchungu. Wacha watu wajue na kuelewa what transpired. Shukran my brother Stambuli.

  • @SalimMatano-r1c
    @SalimMatano-r1c 4 วันที่ผ่านมา

    Stambuli miminaona nikweli maana adi Sasa akujabadili mambomingi yanafaywa bila ya sisi wapwani

  • @SalimMatano-r1c
    @SalimMatano-r1c 4 วันที่ผ่านมา

    Stambuli miminaona nikweli maana adi Sasa akujabadili mambomingi yanafaywa bila ya sisi wapwani

    • @aliyissa9857
      @aliyissa9857 4 วันที่ผ่านมา

      Bhot achaye

  • @husseinnderu8268
    @husseinnderu8268 4 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SalimMatano-r1c
    @SalimMatano-r1c 4 วันที่ผ่านมา

    Afadhali tugebaki na wareno mambo yasigekua ivi

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 4 วันที่ผ่านมา

    I will share it to all good people❤

  • @SalimMatano-r1c
    @SalimMatano-r1c 4 วันที่ผ่านมา

    Viziri sana

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 4 วันที่ผ่านมา

    Mwaarabu ni msaliti mpaka kesho. Anatupumbaza kwa Kutufunika na dini

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 4 วันที่ผ่านมา

    Serikali ya kenya hakuna isilolijua katika maswala ya Mwambao hata moja, na kuna wengi baina ya waMwambao wanaonufaika katika hali ilivyo baada ya 8 October 1963.......YASHAMWAGIKA HAYO.....Twendeni nalo !!!

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123 4 วันที่ผ่านมา

      Kwa hakika, wako wengi miongoni mwa waliowahi kutawala na wanaotawala nchini Kenya ambao hawayajui mengi miongoni mwa tunayojadili hivi sasa. Lakini, naamini, kwa radhi za Mwenyezi Mngu, wengi wataelewa.

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 4 วันที่ผ่านมา

    Waarabu tangu jadi ni watu wakuenda kinyume na mambo ndio maana waliletewa mitume mingi ili kuwanyoosha lakini bado wamepinda hadi leo......Wameshika utawala sehemu za watu na kuziuza bila khiari ya wenyeji, kuweka mikataba na wasiokua waislamu eti kuwalinda na ziadi ya hayo wamehusika pakubwa katika kuanguka kwa Khilafa mwaka 1920s. Ubaguzi wa kirangi kwao ndio destruri licha ya Mtume Mohammad (S.A.W) kukemea sana upuuzi na ujinga huu !....DINI KWAO NI DESTURI TU WALA SIO IMANI !

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 4 วันที่ผ่านมา

      Walio kuwa waki letewa mitume ni mayahudi sio waarabu nenda kasome na upate elimu

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 4 วันที่ผ่านมา

      @rayaalhabsi1725 Hud.. Saleh...Shuaib....Mohd. Wangapi hao ?!

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 4 วันที่ผ่านมา

      @lenniefei6710 MOHAMMAD SAW pekee ndio alikuwa ni mwarabu na ametumwa kwa wote duniani sio kwa warabu tu.pamoja wewe. Na hao ulio wataja pamoja huyo mnae mwita yesu wali tumwa kwa makabila yao only

    • @NassorOmarDadi
      @NassorOmarDadi 4 วันที่ผ่านมา

      Mitume walio waarabu ni wachache sana kuliko Mitume ambao wazungu. Kwa hio Mitume wazungu ni wengi kuliko Mitume ambao ni waarab jua hivo

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 4 วันที่ผ่านมา

      @NassorOmarDadi Mitume wazungu ndio wepi ?!....Tafuta Qur'an walau ya tafsir ujielimishe kwanza kuliko kujiaibisha bure !

  • @lucasomolo8443
    @lucasomolo8443 4 วันที่ผ่านมา

    Na ilikuwa ni sababu gani iliyokuwa inawafanya wapwani watake kujitenga na wakenya...kwa nini wengi walikuwa na maoni ya kuwa pekee yao bila kuunganishwa na wakenya wengine

  • @victorkenga8309
    @victorkenga8309 4 วันที่ผ่านมา

    Tuanze na wewe mzee wewe mwenyewe please tuelezee asili yako

  • @victorkenga8309
    @victorkenga8309 4 วันที่ผ่านมา

    mswahili ni nani alitoka wapi

  • @victorkenga8309
    @victorkenga8309 4 วันที่ผ่านมา

    please twambie asili ya mswahili