Je, Mwambao Uliuzwa?! - Makala ya Tano.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • All my videos are meant to inform and educate the viewers in general on very relevant issues.
    #history #trending #news #mombasa #kenya #africa #world #education #information

ความคิดเห็น • 21

  • @ALIHASSAN-dx7ie
    @ALIHASSAN-dx7ie 3 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda kujua historia ya ule msikiti Congo kule maeneo ya south Coast ulioko pambizoni mwa bahari

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bro Kusemakweli nafaidika Sana Jazakallah kher❤❤❤.

  • @HusseinKagesho
    @HusseinKagesho 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asalaam Alekkum kwakweli haya hatuyajui nahatungeliyajua unafuza mazuri na piaungelifanyiwa mpango wanafunzi watengewe siku maalum uwaelezee mengi ya histiria hii. sababj hata haya hatuyajui nahatutaki uiingiliawe kisiasa kwani mbona walikodolea macho kimya ?? sheikh Stambul apewe nafasi kwani anayaelewa ...wanaosema wanayajua walikaakimya wakijivinjali...sasa tumepata mjuzi...wahindi inaafaa wapewehaki kama wakenya wengine shukran nayahifadhi makaratasi yaushahidi sababu ukwelihupenwi siku zote shukran shukran shukran wako Hussein kagesho alafu walio uwawa kinyama walipwe kwadhulma zizopita .....mahakama zipo atakama nizakimataifa🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤✌✌✌✌

    • @princefeisla3692
      @princefeisla3692 หลายเดือนก่อน

      Mutaruhisiwa historia wanaoitaka ni maumau na homo erectus ambao hazituhusu

  • @Mzayanine
    @Mzayanine ปีที่แล้ว +2

    Mzee wangu asante saa

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 ปีที่แล้ว +2

    Mwambao uliibwa haukuuzwa,its an injustce that was done by british and needs to be brought to justice.

  • @ahussein5083
    @ahussein5083 ปีที่แล้ว +2

    Endelea mzee wetu kwa makala Maluma ambaye uliyotubayanisha mada muhimu sana.

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว +1

    ASSALAAMU ALEYKUM MASHALLAH MZEE WETU I LOVE UR STORIES OF KENYA 🇰🇪 MOMBASA I AM LIVING IN LONDON BUT I AM FROM MOMBASA RAHA. I AM PROUD OF YOU MZEE WETU MASHALLAH I DONT HAVE WORDS TO SAY TO YOU MY DUA ALWAYS WITH YOU UR SON SIDIK FROM UK LONDON WS JUMA MUBARAK TO EVERYONE IN KENYA AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤

  • @amirimohamed8013
    @amirimohamed8013 ปีที่แล้ว +1

    Asalam aleikum sheikh starmbuli natumai hamujambo nyote mwenye ezi mngu akubarik akupe umri mrefu uwa juze watu umuhimu wa mombasa.

  • @salimmachila5736
    @salimmachila5736 ปีที่แล้ว +1

    Sawasawa Star ⭐

  • @binabeidsalim6380
    @binabeidsalim6380 ปีที่แล้ว +2

    Juzi nikisha Wahi kuzungumza suala Hilo kuwa Je mwafrika Ni mweusi pekee ake ???
    Shukran sana Kwa kugusia hio Mada ili wafahamu wakazi wetu asili wa pwani kuwa mwafrika si mweusi pekee

  • @abdallahmasare3116
    @abdallahmasare3116 ปีที่แล้ว +1

    Aslm alykum. Tuko chonjo kukusikiliza mzee wetu. Bismillahi

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 ปีที่แล้ว

    Mzee wangu umeandika kitabu kuhusu hii historia?,kama umeandika naweza kukipata vipi nikiwa merikani?.
    ama naweza tuma mtu kuninunulia akiwa Kenya?.

  • @binabeidsalim6380
    @binabeidsalim6380 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mwana historia istambul wa Abdullahi Nassir hayo hayafundishwi mashule Na wenye asili wa pwani Ni lazima wasome historia Yao nakufahamu
    Shukran sana
    Shukran prof.

  • @mahabubamahabuba714
    @mahabubamahabuba714 ปีที่แล้ว

    kwa upole hishma na taadhima napenda kujuwa huyu sheikh Ahmad bin Muhamad bin Mushamu (shee mvita) alikuwa kabila gani????