Aa,Shukran khui kwa ilmu yako na mashaallah ilmu unayo,jambo la kufanya ni uandike vitabu ili vizazi vijavyo waje wapate kujua historia yao ya pwani.Shukran sana na nakutakia kila la kheri na Allah akulinde na kila shari,ameen.
ASSALAAMU ALEYKUM MZEE YANGU MASHALLAH I LOVE UR STORIES U SAY EVERYTHING IS TRUE ABSULTE 👍 ❤️ 💕 🙌 👌 ❤❤❤ U ALWAYS SAY TRUE I DONT HAVE WORDS TO SAY MY DUA ALWAYS WITH YOU AND YOUR FAMILY AND ALL PEOPLE OF KENYA. REMEMBER ME IN UR DUA UR SON SIDIK FROM LONDON. I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT I AM LIVING IN UK LONDON. BUT I AM PROUD OF PEOPLE OF KENYA 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wa'alaykum salaam, wa RahmatuLlahi, wa Barakaatuh. AlhamduliLlah, greatful to hear from you, and may the Almighty guide and bless us all abundantly. Inshaa'Allah, we all pray for each other. Blessings to you too. Shukran.
Asante sana mr Istambul wa Abdullahi Nassir Marhum abdilahi Nasir Mungu amrahamu Kwani kama aliuza mwambao ungetembea wewe na miguu ? Hayo yao ni madai ya kipuzi
I have enjoyed this excellent history with literally evidence.👏👏👏 Nonetheless, I feel that a good historian/narrator should try to distance his/her feelings on the content/subject matter. My humble opinion 🙏
Babuu staa, Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh.. natumai umzima.. Naulizaa ivi hawa waswahili wa changamwe mahali asili walipotoka ni wapi ama ni papo hapo changamwe ndo waliptokea??
Na'am, yawezekana! Muhimu, kwanza, ni kuilimishana mpaka wengi tukafahamu haki zetu kikamilifu. Na, si Wareno tu; kuna wa-Oman na Waingereza kabla ya kuwafikia Wakenya.
Twashkuru kwa elmu tusoijua,, ndugu stambuli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🍀
Aa,Shukran khui kwa ilmu yako na mashaallah ilmu unayo,jambo la kufanya ni uandike vitabu ili vizazi vijavyo waje wapate kujua historia yao ya pwani.Shukran sana na nakutakia kila la kheri na Allah akulinde na kila shari,ameen.
اللهم ارنا الحق حقا وارزقنا اتباعه وارنا الباطل باطلا وارزقنا اجتنابه
Shukran bro stambuli kwa kutuilimisha in shallah yataleta muwamko 3aajilan am aajilan
From Washington napenda.sana program zako.shukran
Nami napenda sana kusikia maoni yako ndugu yangu. Inshaa'Allah, Mola atubariki sote.
MZEE ABDILLAHI NASSIR MWENYEZI MUNGU AMUEKE PEPONI,
ASSALAAMU ALEYKUM MZEE YANGU MASHALLAH I LOVE UR STORIES U SAY EVERYTHING IS TRUE ABSULTE 👍 ❤️ 💕 🙌 👌 ❤❤❤ U ALWAYS SAY TRUE I DONT HAVE WORDS TO SAY MY DUA ALWAYS WITH YOU AND YOUR FAMILY AND ALL PEOPLE OF KENYA. REMEMBER ME IN UR DUA UR SON SIDIK FROM LONDON. I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT I AM LIVING IN UK LONDON. BUT I AM PROUD OF PEOPLE OF KENYA 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wa'alaykum salaam, wa RahmatuLlahi, wa Barakaatuh. AlhamduliLlah, greatful to hear from you, and may the Almighty guide and bless us all abundantly. Inshaa'Allah, we all pray for each other. Blessings to you too. Shukran.
Shukran kwa Elmu
Simulizi nzuri, jee Nakala hizi tunaeza Pata wapi?
The Portuguese periods in East Africa
Justus strandes
Asante sana mr Istambul wa Abdullahi Nassir
Marhum abdilahi Nasir Mungu amrahamu
Kwani kama aliuza mwambao ungetembea wewe na miguu ?
Hayo yao ni madai ya kipuzi
Tuko pamoja
Shukran Sana Allah akupe umri mrefu akulinde na wa na fiki
Allaahumma aamiin. Ahsanta sana.
I have enjoyed this excellent history with literally evidence.👏👏👏 Nonetheless, I feel that a good historian/narrator should try to distance his/her feelings on the content/subject matter. My humble opinion 🙏
Noted. Shukran.
shukran sana star kwa ilimu unayo tupa.swali langu ni je washahili nao origin yao ni ya wapi ??
Sheikh Stambuli A.NASSIR shukran.
Je waonaje kama ungeandika kitabu labda vizazi vijavyo vingepata faida kubwa ya Wapwani na haki zao.
Babuu staa, Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh.. natumai umzima..
Naulizaa ivi hawa waswahili wa changamwe mahali asili walipotoka ni wapi ama ni papo hapo changamwe ndo waliptokea??
please twambie asili ya mswahili
Tafakari ya Babu; ni msemo unaotumika kwa kiswahili.
Tuanze na wewe mzee wewe mwenyewe please tuelezee asili yako
Sheikh Stambuli....kuna uwezekano wa kuomba fidia kwa serekali ya Ureno....
Na'am, yawezekana! Muhimu, kwanza, ni kuilimishana mpaka wengi tukafahamu haki zetu kikamilifu. Na, si Wareno tu; kuna wa-Oman na Waingereza kabla ya kuwafikia Wakenya.
Penye mulienda kuomba msaada huko Oman basi huko ndiko mulitoka!
mswahili ni nani alitoka wapi
nakubaliana na wewe kuhusu uwakilishi
Shida iko hapa wenzangu; Ukweli hubadilishwa ikawa Uongo, na Uongo hubadilishwa ikawa Ukweli. Hio ndio shida.
Kulingana na maelezo yako tumeelewa wazi na ndio ukweli bila ya kumcha mke ndugu, PWANI SI KENYA
Bado niko nawe bwana stambuli, sasa Tana river shungwaya kweli. Majina na lugha tena maneno mengi sana yakimijikenda yako Malawi na Zimbabwe.
Sasa huyu mswahili basi alitoka wapi?
Mswahili ni half cast
Mswahili ni Bantu (original).