WACHENI KUISHI KWA NONGWA,UTASIKIA HAWA KHULAFI, UISLAMU SI KUKATA KANZU NA KUFUGA NDEVU TU KIPOZEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @theosaimon6933
    @theosaimon6933 2 ปีที่แล้ว +13

    Nampenda sana shekhe kipoozeo? Mimi kama mkristo nikipita nikutane na mawaidha ya huyu mwamba ntasikiliza hadi mwisho ananifurahishaga sana na nimefurahi kweli jamaaa huwa nafurahi tu nikimwona hata asipoongea lolote ?uishi miaka mingi kipoozeo

    • @zandys4686
      @zandys4686 2 ปีที่แล้ว

      karibu sana pia katika kumjua Allah na kuusoma uislamu, hakika utafurahi sana

    • @shamisahmed1425
      @shamisahmed1425 2 ปีที่แล้ว

      Hilo la kumpenda Shekhe si haba umepiga hatua....!

    • @theosaimon6933
      @theosaimon6933 2 ปีที่แล้ว

      @@shamisahmed1425 don't take me different bro acha mawazo ya kijinga nasikiliza vituko vyake sooo plz put off your mind in the dump

    • @shamisahmed1425
      @shamisahmed1425 2 ปีที่แล้ว

      @@theosaimon6933 May Allah have mercy on you to stop insulting...!

    • @salmamaliki3378
      @salmamaliki3378 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akuongoze siku Moja uwe nae mskitin ishaallaah

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 ปีที่แล้ว +4

    Kipozeo tangu nikujue mwaka 94 mpaka leo nakuelewaga wallah

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 ปีที่แล้ว

    Allah akupe umri mrefu shegh hilali ila jamii inufaike

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah nikwl hiyo
    wao najua siku 3 .40
    NaFazail Amal

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 ปีที่แล้ว +2

    MASHA ALLAH.

  • @saidlindukwa6288
    @saidlindukwa6288 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Hilal shaweji is my Boy ni hafidhil hadiith huyo kichwa hicho.wanaomdharau eti sababu ana mada za wanawake kila wakati ala kumbe hamjui thamani ya wanawake kwetu wanaume

  • @KaziZetu-td1qd
    @KaziZetu-td1qd ปีที่แล้ว

    Dah! Astaghfirullah..

  • @haridyhillaryndembo1946
    @haridyhillaryndembo1946 2 ปีที่แล้ว +1

    TULIOKUELEWA TUMEKUELEWA SHEIKH ILA WENYE DHANA ZAO MBAYA HAWATOACHA KUKUKOSOA NA KUKUREKEBISHA JAPO UMETOA UDHURU KUWA HAUMAANISHI KUDHOOFISHA SUNNA ZA MTUME

  • @allysuleiman517
    @allysuleiman517 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mbona nyie muna ng'ang'ania maulidi tu

  • @aloycebabene6239
    @aloycebabene6239 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama kuna shekhe mwenye akili kubwa huyu jamaa ni kiboko.

  • @magustubabu8547
    @magustubabu8547 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akbar

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 2 ปีที่แล้ว +1

    Muwe nashima na mauraamaa adabu kwanza msirete bang mbaya vijana wenzangu

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 ปีที่แล้ว

    Mie si Muislamu, Ila huyu Bwana ndio viongozi tunawataka. Dini ni upole na ushawishi

  • @makolokatanda4456
    @makolokatanda4456 8 หลายเดือนก่อน

    Leo shekhe umenipa elmu kubwa kwakwel

  • @MohamedAli-rl8cl
    @MohamedAli-rl8cl 2 ปีที่แล้ว +1

    umeongea kweli, zaidi ya wengi wao ni kula hata pesa za yatima kwenye vituo.

    • @abuufayaadh8270
      @abuufayaadh8270 2 ปีที่แล้ว

      Ukiwa na nyumba ya kioo usiwarushie mawe wenye nyumba za udongo!!!
      Maana wakiamua kukuvurumishia mawe utaharibikiwa zaidi.
      Nasema hivyo kwa sababu ukifanya tathmini utakuta wenye kula pesa za mayatima nk ni wa upande huo huo anaoutetea huyo Kipoozeo na shahidi nyingi zipo na vituo vingi ni vya wafuasi wa upande huo huo.

  • @abuufayaadh8270
    @abuufayaadh8270 2 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh Kipozeo tatizo lako unataka kuonekana mzuri kwa watu fulani ,kwa hiyo ili wakuone kweli ni mzuri umeona njia nzuri ni kuwaponda watu wa sunna ili kuwafuhisha hao jamaa.
    Lakini hakuna utakachovuna zaidi ya wao kukuchukia zaidi hata kama si leo wala kesho, amini mwenye kumkasirisha Allah kwa ajili ya kumfurahisha kiumbe basi Allah atamchukia na atawafanya hao hao watu watamchukia.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 ปีที่แล้ว

      Eti Watu Wasunna Uwe Na Hadhwari. Watu Wasunna Wanajisema. Au Wanasema. Mtu Husifiwa Na Kujisifia.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 ปีที่แล้ว

      @@abuufayaadh8270 Kujisifia Hakupo Ila Watu Wema Wooote. Hukificha Nahawana Majigambo

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 ปีที่แล้ว

      @@abuufayaadh8270 Kivyovyo Wewe Namimi Nawengine Niwapokeaji Tu. Hao Unaosema Makhalifa Ndio Waliopokea Kwa Waliopokea Hakuna Ujanja Katika. Isipokuwa Utawakaa Wapokeaji Fulani Usiowataka Wewe. Nautawakubali Wapokeaji Fulani Unaowataka wewe.

    • @abuufayaadh8270
      @abuufayaadh8270 2 ปีที่แล้ว

      @@nurdinmfamau3493
      Mbona hueleweki unazungumzia nini?
      Nimekueleza kwamba kusema wanasuna siyo kujisifia kama ulivyo sema wewe. Nikakuonesha dalili ya kufaa kusema wanasuna/wanasuna/ watu wa sunna nk.
      Pili nikakuuluza wewe kusema mimi ni Mwislamu nikujisifu?
      Hebu jibu hizi hoja vizuri kabla ya hayo ya makhalifa na mengineyo.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 ปีที่แล้ว

      @@abuufayaadh8270 Itategemea Useme Au Niseme Mimi Muislamu. Kwajambo Lipi. Tunao Wapo Waislamu Wengi. FANAUDHU BILLAH Tuliobakia Na Uislamu Huo Wamimi Ni Muislamu. Watu Wema Waza Sizamani Sanaaaa. Walikuwa Wakitosha Kuwajua Kuwa Hawa Ni Waislamu Kwazile Sira Natabia Zao Njema. Sio Sisi Majivuno Nakuwaona Wengine Hawajui. Nala Si WachaMungu Bali Niwa WachaMungu. Ogopa Kitu Kinaitw "ANA" Mimi' Umimi.

  • @MB-yq3ty
    @MB-yq3ty 2 ปีที่แล้ว +3

    Anamaanisha nini huyu kwamba hawezi suna ya ndevu na kupunguza kuburuta mavazi kwa wanaume? Ama nini mbona kejeli kejeli tu. Hivi kweli watu wahimiza ndevu na mavazi tu basi huu ni uwongo na upingaji anataka watu wasio fuga ndevu wajisikie amani na wapo sawa wakiulizwa waseme sisi tunashughulikia mayatima.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo nikweli mwahabi wanajulikana zaidi kwa kuhimiza kufuga ndevu,kukata kanzu,kupinga maulidi tu.lkn siyo maarufu kwa kuhimiza umoja,adabu ujirani mwema au kulea mayatima

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 2 ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353
      Usibugizwe vitu ambavyo huna ushahidi navyo. Kuhusu mayatima kila MTU anautaratibu wake wengine wanavituo wengine watoa kwa siri si kamq vituo flani hivi watu warundika watoto wa watu kisha inaanza ombaomba ya tumbo lake ni mbaya zaidi kama huna uwezo bora uhudumie mmoja kuliko kuwafanya mitaji. Ndevu ya suna imekushindeni nini nyinyi ni Mmajusii? na kuna ya kupunguza nguo kwa wanaume imekushindeni nini hasa mnaposhindwa hoja mnakimbilia ooh wahabi huu ni umasikini wa maarifa

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 ปีที่แล้ว

      @@MB-yq3ty Haha nafurahi unavyosema suna ya ndevu inakushindeni. Yano nyinyi suna yandevu ndiyo issue kubwa kulikuwa kuhimiza kulea mayatima,kuliko kuhimiza umoja,kuliko kumtangaza mtume. Kwahiyo nyinyi mnahimiza kulea mayatima kwasiri lkn kupinga maulidi na kufuga ndevu ndo mnafanya kwa dhahiri? Yani nyinyi mawahabi mnataabu sana.sijui uwezo wenu wskuelewa mambo ni mdogo kiwango gani

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 2 ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353
      Makhurafi anzeni basi na mambo ambayo ni rahisi msiparue videvu vyevu mkawa hamna tofauti na wake zenu na kanzu zisiburuze chini basi sio hijabu za wanawake hizo. Sisi tunaitia katika umoja wa kweli kutokana na qur an na Sunnah sio kwenye uzushi.

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 2 ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353
      Eti swala limekuwa nyinyi ndo mwasaidia yatima ndo mnachokifanya duniani Wallah Mcheni Allah kwa Msaada upi hasa hebu mvitangaze kwenye maredio tusiki maana sisi hatuoni hayo isipokuwa kama watu wengine tu.

  • @isihaqarajabu8374
    @isihaqarajabu8374 2 ปีที่แล้ว +1

    Kufuga ndevu nisunna ambayo wengi wanaiweza sema watu hawataki kufuata sunna za mtume lkn mtoto yatima unavyosema wengne hata mlo kwao nitabu lkn ndevu wanafuga kwahio unaponda sunna kupitia yatoto yatima ,mtihn San

    • @haridyhillaryndembo1946
      @haridyhillaryndembo1946 2 ปีที่แล้ว +1

      Vichwa vingine kuelewa ni xhida😄😄

    • @sadiqselengu4197
      @sadiqselengu4197 2 ปีที่แล้ว +1

      Angekuwa anakejeli ama kuponda asingekuwa nazo maana nae kafuga..
      Jitahidi kumuelewa anachozungumzia bila kuweka chuki ktkt jambo unalotaka utamuelewa

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 ปีที่แล้ว +2

    Masheikh Wa Mchongo tupo wengi tuu

  • @mussakantumba824
    @mussakantumba824 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wanaojiita, Salafi no shida Sana Kila kitu wao Ni kuponda tu

  • @alfanimashaka6135
    @alfanimashaka6135 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna shee hapa

  • @ibnqassim7002
    @ibnqassim7002 ปีที่แล้ว

    Mtu huwa mjinga tuh ata akiwa ni professor ile hali yupo nje ya uislamu Bali pia Alie ktk uislamu huwa mjinga tuh mpka akawa katika Sunna za mtume swalallaah alayhi wasalaam

  • @alhajimshewa1982
    @alhajimshewa1982 2 ปีที่แล้ว +2

    huyukipozeo nimtumpuuzi

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 ปีที่แล้ว

    Comedian mpaka wakristo wanajua

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 ปีที่แล้ว

    Kwan kipozeo siku izi anaenda maulidini c alikua Mtu wa suna uyu ama apo ni wapi..?

  • @saidkondo5112
    @saidkondo5112 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaaaa ,azinduliwe anazidi kupotea ndugu zangu, anamatatizo huyu

    • @khalidkassimmadoa9329
      @khalidkassimmadoa9329 2 ปีที่แล้ว

      matatizo unayo wewe unayeona mtatizo hata pasipo....na matatizo!!

    • @saidkondo5112
      @saidkondo5112 2 ปีที่แล้ว

      @@khalidkassimmadoa9329 katika dini hakuna jambo la kudharauriwa ,au mtu hasemwi kwa jitihada zake za kheri katika dini, anapopwaya mwenzio wewe zibaa kaza, lakini naomba kujua unamaarifa kidogo na dini?

    • @omaryramdhani9823
      @omaryramdhani9823 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio uzinduliwe SI yeye ,huyu yupo makini mno kama hutaki basi, yapo meengi yakukataza yalo mabaya kama mnakheri mngeanza kwayo watoto wenu watembea uchi tena wakinyama zinaa ndio fasheni hamyasemi wahabi wakubwa ninyi

  • @jumannemuhammad6827
    @jumannemuhammad6827 2 ปีที่แล้ว

    Sasa mbna shekh munajisema wenyew mnachagua sunnah za kuzifanya na vitu vingne mnafanya vya bidaa.

  • @sudisalehe192
    @sudisalehe192 2 ปีที่แล้ว

    Maulid na kulisha yatima lipi ni kheri ,je mtume gani kasheherekea maulid

  • @abuufayaadh8270
    @abuufayaadh8270 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama unakubabali kufuga ndevu ni sunna na kukata kanzu ni sunna ya nini kuwasema wanaipambania ?
    Je wao kuna mahala wamesema kwamba kuwasaidia mayatima,wajane nk hayana maana? Au wanasema dini inaishia kwenye hizo sunna tu?
    Hao jamaa unaowasema chunguza ni vituo vingapi vya mayatima wanavyo viendesha nchini!! Madrasa,vyuo,Mashule na huduma nyingi za kijamii zimeenea!!

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 2 ปีที่แล้ว

      Maswali kama haya waulize na wale waupande wapili

    • @abuufayaadh8270
      @abuufayaadh8270 2 ปีที่แล้ว

      @@jamalishoo3802
      Fafanua kidogo ili tukuelewe zaidi na tupate faida

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 ปีที่แล้ว

      Mi nashangaa Mtu wa sunna anaenda maulidini msiba huu....

  • @shaibuhammad-l6d
    @shaibuhammad-l6d ปีที่แล้ว

    Katika mashekhe wrote wewe kiboko yao

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 ปีที่แล้ว

    comedian katka ubora wake

  • @shuaibalula9003
    @shuaibalula9003 2 ปีที่แล้ว

    Mashekhe sikuhizi wanafwata palipo na msosi

  • @isihaqarajabu8374
    @isihaqarajabu8374 2 ปีที่แล้ว +3

    Hizo hela mlizotumia hapo kwenye maulid mngepeleka kwa watoto yatima unafikir nithawab kias gan mngepata?nyie ndo mnafanya vitu ambavyo vipo kinyume mnawaacha watoto yatima wanateseka halaf hata aib hamna

    • @yaziduhamisi4096
      @yaziduhamisi4096 2 ปีที่แล้ว +1

      Faida iliopatikana hapo sio ndogo

    • @haridyhillaryndembo1946
      @haridyhillaryndembo1946 2 ปีที่แล้ว +2

      Na ww bila hio shughuli ungekomenti wapi? Yatima wa fikra😄😄

    • @yaziduhamisi4096
      @yaziduhamisi4096 2 ปีที่แล้ว +1

      Bando uloweka hapo ungesaidia yatima ungepata faida kiasi gan

    • @husenimmussa6479
      @husenimmussa6479 2 ปีที่แล้ว +1

      Wewe umelea wangap?

    • @omarykyutta6681
      @omarykyutta6681 2 ปีที่แล้ว +1

      Faida na elim iliyopatikana hapo ni kubwa miongon mwa wanufaikaj had wew

  • @munyumunyama8365
    @munyumunyama8365 2 ปีที่แล้ว

    Mtu mpuuz mpuuz tu kipozeo