Hapo sasa maana sielewi walikuja ama walizaliwa na myeye alafu episode nyengine amesema kuwa wagiriama wamepakaka na wakauma wachonyi na warabai kwa hio hao wengine kama wachoni warabai wakauma sio wakuja niwenyeji
Kwanza, samahani kwa kuchelewa kukujibu suali lako. Pili, wengi miongoni mwa jamii ya Wasegeju waliingiliana zaidi na watu wa jamii zilizokuwa zikiishi kwenye sehemu za kusini mwa Pwani ya Kenya. Kwa hivyo, lazima wawe washachanganya damu na kuendelea kuishi kwenye ufuo huu- pande zote mbili, yaani, kusini mwa Kenya (Kwale) na hata kaskazini mwa Tanzania (yaani, Tanga hadi kwenye mpaka wa Kenya/Tanzania.
JAMANINI ISTAMBULI.....Nukuu za magazeti haziwezi kua ushahidi wa jambo lolote ulimwengu mzima!!! Nani asiejua wanahabari wanatia chumvi,hamasa,misisimko na uwongo katika makala zao ili kufanikisha biashara zao ama kuchukua mrengo fulani wa kisiasa ?!
Shukran kwakutuelimisha
Ni wajib Mjomba.
Asante Kwa alime mzee
Kibri na uongo wa waarabu,
Maji ya shingo
Twailimika kila siku zaidi asantaen sana
Shukran. Du'a zenu muhimu sana.
Nasikiza ipindi hadija hadee 33:55
Qnapongza kpindi hadija hadee
Nasikiza ipindi hadija hadee 33:55 37:59
Wagiriama au mijikenda walzalwa na mzee myeye au walifanyakuja.
Hapo sasa maana sielewi walikuja ama walizaliwa na myeye alafu episode nyengine amesema kuwa wagiriama wamepakaka na wakauma wachonyi na warabai kwa hio hao wengine kama wachoni warabai wakauma sio wakuja niwenyeji
Kwanini hukututafsiria kwa Kiswahili siote wanajua kizungu hatukufaidi chochote
Inshaa'Allah, nitalishughulikia hilo la kuwatafsiria.
Uongo mtupu mnafundisha watu,
Iwapo Mwenyezi Mungu amekujaaliya wewe kuujuwa ukweli, basi si utufundishe na sisi ambao wewe waamini sisi waongo?! Au vipi!?
A alaikom nauliza kabila la wasegeju Leo hii liko wapi
Kwanza, samahani kwa kuchelewa kukujibu suali lako. Pili, wengi miongoni mwa jamii ya Wasegeju waliingiliana zaidi na watu wa jamii zilizokuwa zikiishi kwenye sehemu za kusini mwa Pwani ya Kenya. Kwa hivyo, lazima wawe washachanganya damu na kuendelea kuishi kwenye ufuo huu- pande zote mbili, yaani, kusini mwa Kenya (Kwale) na hata kaskazini mwa Tanzania (yaani, Tanga hadi kwenye mpaka wa Kenya/Tanzania.
The mjikenda were from the congo and mozambigue