waandishi wa habari wengi football hawaijui,bt ukweli wa huyu jamaa ndiyo ukweli wa YANGA,hata wanapopropose ile kanuni ya number of saves hawajamwangalia DIARA anachezaje,so naomba tuanze kutafuta watoto wakumuiga huyu kipa cse najua ataondoka tu,kama malengo ya kufika nusu fainali na+++ yatatimia,huyu ndiyo uti wa mgongo wa YANGA,angalia asipodaka hata mabeki wetu umakini unakosekana.LAKINI MZEE HERSI CHONDECHONDE PLEASE ADDITONAL YA CENTRAL DEFENDER(We cant get the best of Africa defenders wa kuona bt we need to recruit the local one -that YOUNG MAN -yupo SINGIDA mzanzibari ana nywele za kivulana anaweza kutusaidia,kwa training facilities tulizo nazo na technical bench,mlipo mleta BACCA mimi sikupenda cse tulijua A MANGALO,bt angalia sasa -nahofia injuries na suspension please mfanyie kazi.
hawa wakina FRED ni kama mukwala-maababu nk.anashindwa ku click as our central defenders ndiyo bora TANZANIA-so akija ambaye hana uhakika kwao(National timu ata struggle) tungekuwa wale wahuni SIMBA wanasema eti uchawi bt fact ni ubora,cse nasikiaga cases za tshabalala na Kapombe,-wanawaletea mabeki wabovu wakishindwa kucheza eti wanawaroga.
Me sijawah hata kupata like moja
Una yanga App?
Kuomba like tu kujisajili aaaaah
@@mwajayhaxxan5507 🤣🤣🤣🤣
Yanga app ninayo na nimejisajili kadi ya uanachama na ya ushabiki
Kama unamkubali Dguid Diara weka like zenu
Leo wa kwanza naomba likes zangu Future Care family 🎉🎉
Wa kwanza leo
He is my best player of all the time
Asante Diarra nakukubali sana
MUNGU ni mwema hongera Sana Diara kila la kheri kwenu kazi njema barikiwa Sana Yanga
Asante Eng Hersi na GSM na timu yako kwa ujumla..lakini washabiki na wapenzi wa Yanga sasa tukawe wanachama hai...
Mdaka mishale ni mmoja tu Diara the master
Mtu mwenye weledi mkubwa xaaaaana diara
Nimefurahi💛
Wa kwanza kabisa kama wewe ni Yanga kweli niambie Leo zimekatwa cake ngapi like zenu vitaonyesha kweli wewe unaipenda Yanga
Kindakindaki,cake 🍰 17
I love you yanga 💚💛💛💚 l Love You DIARA
Vizuri sana msimu ukianza tunalitaka unbeaten na makombe yote ikiwemo ngao
Jaman nimefurah sanaaaaa💚💛💚💛💚💛💚💛
Mie mwwnyewe yaani hii kwangu ni khabary kuubwa saana❤❤❤❤❤❤
Mm furaha yangu itakamilika nikisikia mwisho wamefikia wapi na Aziz ki.
@@EdwardJohn-xz5oi Ukipata chance ya kufuraahi we furaahia tuu usisubiry Jambo ambalo halijafikia wakati wake..We will have Aziiz inshaAllah
💚💛🧡💪Daima Mbele Nyuma Mwiko
Moyo wangu sasa kwantu🤸🏻♀️🤸🏻♀️🔰🔰🔰
Safi sana wananchii hongeren Kwa viongoz Kaz nzur
Mungu azidi kudumishA amani na upendo kweny Timu Yetu 💛💚
Congrats my club 😂😂
Safiiii san
Djigui Diarra the screen protector soldier kamanda mtu wa maana sana huyu mwamba
Safi sana 🎉🎉🎉
Congratulations viongozi watu mnazidi kutuheshimisha
Mwamba kwelikweli 🎉🎉🎉
Safi sana viongozi wetu kwa kazi nzuri,Diara🎉🎉🎉
Kama unaamini diara ni golikipa bora 24_25 gonga apa
No one like diara in Tanzania 🇹🇿 our goalkeepers they need to learn from him
mchazaji wangu pendwaaa na ni mmoja kati ya mihimili ya Yanga🎉🎉🎉
ooooh ahsante god🙏🙏🙏🙏
GOAL KEEPER
Super goalkeeper
Oyooooooo ❤💚💚💚💚💚💚💚
Kama unaamni yanga niyamuto
Musimuujayo
Nipemauwayangu
Weka like za gsm hapa mwananch
Jigwidi💥
Best prayer for the best team
Ahsante kipa wetup
Safi sana hatupingi🙏💚🙏
Asanter yanga
Hizo unaambiwa ni heka heka za mdaka mishale wetu unaweza sema kama ni move fulani hivi😂😂lkn ndo ukweli wenyewe 💪🏿💪🏿💪🏿
Screen protector🎉🎉🎉🎉
Yanga bingwa
diaraaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
🕺🕺🕺🕺🕺🕺 yanga bingwa adi 230😂😂
My fav 😍 International player
Wow 😮
🔥🔥🔥🔰🔰🔰✅
🤝🤝🤝🤝💪💪
Allaah Akbar
😂😂 wapili
Daah, safi sana ila mmesahau kuiweka ile ya Enonga alipoumia pale pale golini😂😂
Taaabu iko palepale, poleni majirani zetu.
Ile game na Al ahly ndo nilimuona Diara ni MONSTER 🔥🔥🔥🔥
Mi game ya USM Alger kule kwao😂
@@hidayahassan8014eee kweli Ile penality
Hongera sana
Hahaha
Mbona kule mnaonesha kule Hadi 2026 na hapa mnaonesha 2027
Mkataba wake wa sasa unaisha mwakani 2025. Lakini ameongeza miwili tena ambao utaisha 2027. Kwahiyo ana miaka mitatu.
Saf sana
Djiu katika ubora wake
🎉🎉🎉🎉🎉
Kule mmesema hadi 2027, huku hadi 27, tuongeze umakini wapendwa
Sasa wewe ndo umesema nini hapa !!!!
Alikuwa na mkataba mpaka 2025 Kama ameongeza 2 bc Ni mpaka 2027
💚💛💚💛
We are happy for him🎉🎉
We amua
N.....🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙆💚✅
Mbona Farid Ukufanya Lakin Achen Ubaguz bx🥺🥺🥺🥺
Screen protector 💚💚💚💚💚💚💚
👏👏👏💚💛💚💛
Waoooo
Ndo huyo huyo humu tuu😅
Mmmmmh imekula kwako
Waoooooh???
Anastahili awe cepten
👋👋👋👋👋umefikilia mbalii
Wacha Chama wacha nani kama kunausajili mumefanya wa maana ni kumubakisha Djigi Diarra
waandishi wa habari wengi football hawaijui,bt ukweli wa huyu jamaa ndiyo ukweli wa YANGA,hata wanapopropose ile kanuni ya number of saves hawajamwangalia DIARA anachezaje,so naomba tuanze kutafuta watoto wakumuiga huyu kipa cse najua ataondoka tu,kama malengo ya kufika nusu fainali na+++ yatatimia,huyu ndiyo uti wa mgongo wa YANGA,angalia asipodaka hata mabeki wetu umakini unakosekana.LAKINI MZEE HERSI CHONDECHONDE PLEASE ADDITONAL YA CENTRAL DEFENDER(We cant get the best of Africa defenders wa kuona bt we need to recruit the local one -that YOUNG MAN -yupo SINGIDA mzanzibari ana nywele za kivulana anaweza kutusaidia,kwa training facilities tulizo nazo na technical bench,mlipo mleta BACCA mimi sikupenda cse tulijua A MANGALO,bt angalia sasa -nahofia injuries na suspension please mfanyie kazi.
hawa wakina FRED ni kama mukwala-maababu nk.anashindwa ku click as our central defenders ndiyo bora TANZANIA-so akija ambaye hana uhakika kwao(National timu ata struggle) tungekuwa wale wahuni SIMBA wanasema eti uchawi bt fact ni ubora,cse nasikiaga cases za tshabalala na Kapombe,-wanawaletea mabeki wabovu wakishindwa kucheza eti wanawaroga.
MMESAHAU ile mechi na kagera sugar kule mwanza kwenye ushindi wa goli moja kwa sifuri goli pekee la mzize
💛💚
❤❤❤❤❤
Hii nitaalifa mbaya kwa wapinzan yanga tunaenda kutawala soko labongo
SUPER GOALKEEPER ⚽🥅😘💛✨💛
Hapa viongozi wapewe maua yake walai nimalipa wachache wenye uwezo Kam wa diarra
Bila kuchoka
Why
🔥🔥🔥🔰🔰🔰✅
Why
🔥🔥🔥🔰🔰🔰✅
🔥🔥🔥🔰🔰🔰✅