Kila nikiangalia natamani kurudia tena na tena Raha Sana 💚💛💚🖐️🙏🙏
Yani nimekuwa nangalia kila wakati utasema naangalia tamthilia😂😂😂
💚💛💚💛💚💛💚💛
Mungu ibaliki yangaaaaaa
Mungu ibaliki yangaaaaaa 💚💛💚💛💛💚💚💚💚💛💚💛💛💛💚💛💚💛💚
Kwel Wana yanga
Yanga lahaaaaa saaaana full lahaaa tena na tena❤😂😅 makolo wananuna ety,
Ata mimi 😂❤
Yanga laha
Kkkkk kweli iyo kabisa
👏👏👏👏👏😁
💚💛🖤
Raha kweli
Yanga moto
❤
Hamsaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂
Natamani irudiwe Tena raha sana
Mimi n yanga lakin napenda sana tabasamu la enock enonga yey ata akifungwa huwa anatabasamu tu
Kuwakata mdomo hii 5G
08 Aust 2024 Simba watapigwa goli 08 tena
Asanten simba kwakutupa ubigwa
Kila nikitazama kolo Bado anateseka
😊😊hata mm Kira mara naichek ni Tami sana
Mwaka uu kaz ipo
Kwani hiii movi inaitwaje mbona tamu
My mamb
Kweli mwanangu hii dabi tuliwaweza
Kipigo cha SIMBA MWIZI,🤣🤣🤣🤣🤣
Hii siku ndo ilimuharibia kibarua manula😅
Tunao angalia tares 31 mwez wa 7 leo tujuane
Haka ka chemistry ka wananchi walicheza siku hiyo ilikuwa balaa😊
😢dash inafurahisha sana
natamani msim huu iwe kama hivi
Yan nilikua natamani match isiishe ila ndo ivo wanabahati
Yaaan hiiisiku naipendaga sana jamani, etikibu anatuziba mdomo, yaliyomkuta sasa
Cijutii mb zangu kila nikikaa naangalia
Tarehe 8 wajiandae tano zita ongezeka
Wananchiiiiiiiii
😂😂
match Tamu sana hii turudie tena kucheza😂
Musa Petro
Msiingize timu uwanjani
Hiligoli la nne mohamed hussen alikua haelewi kitu😂😂😂
Mechi nzuri hii idumu miaka 100.
5G
Sichoki kuangalia
Tunaona Simba mbovu yamwaka huu
Mwez ujao tabu Iko palepale
Makolo
Hv jmn kumbe shabalala alitolewa halafu akumpa mtu kitambaa alitokanacho namsemi
Tuliwaambia hapo panashot ohoooo si wakubwa haya hayo sasa
Hii ishu yakuwafunga yanga midomo huwaponza imewaponza kama fei toto
Tunaoangalia leo mwez wasaba tujuane
Simba walizidiwa nguvu kipindi Cha pili walichoka.mambo ya kufanyia Simba 1.wachezaji washkirikiane kulinda goli,wasiwachie mabeki tu.2 wachezaji wa mbele washkirikiane kutafuta goli siyo kutaka kufumga pekeyako.3.wajifunze kukaa na Mpira na mbinu za kumnyanganya Mpira mchezaji wa timu nyingine.4.bado Kasi ya Simba ni mdogo.5bado hatuja wafungaji wanaojituma.
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂yani nikikosa furaha nakuja zangu uku
Zinger
Jmn nategemea Tano zingine msim ujao
Yan had,raha,sana,kuriona,gor,ra,max,ra,2
Leo tume Wakanda 5g
I love you yanga I❤❤😂😂😂
Wanafukuza makocha tu wanjipange
Tamu sana sita isahau
Yaani Acha Tu hii mechi❤
Ukowapmwamba
Ilikua boli kubwaaa
Wacha inyeshe
Bongela geme
Haya mtani jembe sawa
Me nipo Msumbiji 🇲🇿 ila Kila siku nangalia
Kisupika arizowea kusemakuwa wapinzani watapumua pumzi ya moto na wao yamewakuta hapo Jana yaani daaah
Atamie
Hawa yanga sijai kuona kabxa
sio ww2 mjomba ata mim
Me pia 😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣
Sichoki kuangalia
😂😂😂😂😂
Hata mimi niko naangalia sasa hivi nikimaliza narudia tena😂😂😂😂
yanga laaa jamannn
Ahaha
Hahahaha Rana sanaa