"HUU MRADI HELA YAKE IKO WAPI" RC MAKONDA AWABANANISHA WASIMAMIZI WA MRADI WA BILIONI 520

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 4 หลายเดือนก่อน +4

    Pamoja na yote,ila huyo dada yupo smart kwenye maelezo.

  • @LugyPlan
    @LugyPlan 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada jamn ni zaid ya ayo majanaime . Dada Yuko smart sana isee

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ml 600 icho kisima kinatoa mafuta nini au gesi

  • @DeruDeru-p4t
    @DeruDeru-p4t 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba hapo kazi unayo aise mafisadi hawaishi wanapenda Kitonga baraaaaaa bila kujali wanainji wao wanachangamoto gani jaman hawa viongozi Mungu anawaona

    • @AudaxLwekamwa-kt6eg
      @AudaxLwekamwa-kt6eg 4 หลายเดือนก่อน +1

      Apo kwenye ""wanainji"" apo ndo kunayo shida

    • @DeruDeru-p4t
      @DeruDeru-p4t 4 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 4 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo katika billion 600 au 500 gawanya kwa visima 56...unapata kila kisima ni Billion na ushenzi.. Au wapigaji.. Kisima cha million 5 au 10..mnachimba kama billion.. Rais waoji awa watu.. Wezi

  • @mwaimuj
    @mwaimuj 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimiwa Makonda una kazi kubwa hapo Arusha. Jitahidi piga kazi. Wabadhilifu wa mali ya umma wawajibishwe kwa kufuata sheria zote.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani kisima.kimoja mi 600
    Wakati mie changu nimechima mil1

  • @EvansMaiko-h2g
    @EvansMaiko-h2g 3 หลายเดือนก่อน

    E

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂