KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • ‪@fauzproduction‬

ความคิดเห็น • 197

  • @jamalalnadhir4058
    @jamalalnadhir4058 7 หลายเดือนก่อน +48

    Walio tangulia mbele za haki Allah awaingize janatul fridaus ameen yarab

  • @mwanaathumani9594
    @mwanaathumani9594 10 หลายเดือนก่อน +12

    Asante she mungu akujalie kwaelim hii nilio ipata kupigia wewe Kwan namuota Sana mama yangu mkubwa mara kwamara kumbe niroho zetu zinakutana nimefrai sana❤❤❤asante

    • @safarsafari68
      @safarsafari68 5 หลายเดือนก่อน

      Inategemea mda mwengine wamuota marehemu kwsbb humtolei sadaka hua anataka chakula yani umtolee sadaka..au ni shetani hua anataka kukutia ktk shirki

  • @zuwenakhalfan4455
    @zuwenakhalfan4455 2 หลายเดือนก่อน +13

    Inalillah wainailayhi ranjiuun Allah. Amfanyie wepesi ampe kitabu chake Kwa mkono. Wa kulia. Na sisi Allah. Atujalie mwisho. Ulio. Mwema

  • @mwalisuleih1164
    @mwalisuleih1164 ปีที่แล้ว +51

    😢😢😢😢😢 Allah awarehemu wote waliotutangulia mbele za haki na tulio hai bfo Allah atujaalie mwisho mwema ummati Muhammad S. A. W

    • @jasminmohamed6145
      @jasminmohamed6145 ปีที่แล้ว

      SUBHANALLAH
      LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN QADIR WAANNA MUHAMMADAN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI.
      ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM.
      Barakallahu Feek

    • @siriyangu4724
      @siriyangu4724 ปีที่แล้ว +1

      Amiin yarrab 🤲

    • @zauloabdallahmussa1615
      @zauloabdallahmussa1615 ปีที่แล้ว

      Allahuma Amiin 🙏

    • @KisafiHamisi
      @KisafiHamisi 2 หลายเดือนก่อน

      Amiin thuma amiiiiin

    • @azhadsoud1433
      @azhadsoud1433 10 วันที่ผ่านมา

      @@jasminmohamed6145😅😅😅😅😅

  • @MebouHakizimana-od3ku
    @MebouHakizimana-od3ku 7 หลายเดือนก่อน +2

    Allah awarehem waliotangulia amen Jaana nimemuita baba yangu marehem Allah mueekeh shifah pamoja nafamilia zetu inshallah

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว +96

    SUBHANA ALLAH! ALLAH Awarehemu Ndugu Zetu Waliotangulia Mbele Za Haki Ya Rabb. AMIIN

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 หลายเดือนก่อน +11

    Mimi jana nimemuota Baba yangu mzazi Allah ampe Kauli Thabeet ❤

  • @KhalidAli-y4n
    @KhalidAli-y4n ปีที่แล้ว +53

    Sheik nakuomba allah akubariki na mimi naomba uniombee dua nipate elimu nyingi yenye taqwa nakupenda sana kwaajili ya allah

    • @GhanimaHamadi
      @GhanimaHamadi 10 หลายเดือนก่อน +2

      Allah akujaalie uipate elimu ya akhera na iwe na manufa kwako na waislamu wenzako pamoja na mm amin yarabi atupe tulioyaomba amin.

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 2 หลายเดือนก่อน

      Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
      Allah andika kwa herufi kubwa Shukran

    • @MunahyaMubaraka
      @MunahyaMubaraka 17 วันที่ผ่านมา

      Alwahumma amn

  • @bimkubwakhali-g8o
    @bimkubwakhali-g8o 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mshallah allh akulipe ujira ulio mwema kwa daawa yko na awasamehe maiti wote walio tangulia mbele ya Allah na ssi atupe mwsho mwma na kauli thabit ya laailahaillah muhammada rrasulullah

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 11 หลายเดือนก่อน +6

    nishamuota sna Mama yangu tena naongea nae na ananiambia vitu vengine cvijui leo nimepata Elim yaarab nipe mwisho mwema

  • @ravascodealmeida4573
    @ravascodealmeida4573 หลายเดือนก่อน +14

    Subhanallah nmemuota bibiangu kipenzi usiku wa kuamkia leo n asubui napatana n video hii...Allah awarehemu maiti zetu🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @nasoroabdallah6253
      @nasoroabdallah6253 หลายเดือนก่อน +1

      SubhaanaLlah. Kama ilivyotokea kwangu leo

  • @SalmaTelkom
    @SalmaTelkom ปีที่แล้ว +17

    INSHAALLAH TUNAMUOMBA ALLAH AWAREHEMU WTE N AWAONDOLEE MISUKOSUKO ZTE Z KABURUNI

  • @mwashas
    @mwashas ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwenyezi mungu awasamehe na na awarehemu …marehemu wote

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +13

    Subuhanallh yarabi tujaliye mwisho mwema

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 11 หลายเดือนก่อน +7

    Yaarabbi tujaalie Mwisho mwema YARABBI🤲🤲🤲😭😭😭😭😭

  • @fatmaramadhan1889
    @fatmaramadhan1889 2 วันที่ผ่านมา

    Huwa namuota sana marehem mume wangu

  • @AshaAli-n7e
    @AshaAli-n7e ปีที่แล้ว +6

    Allah awajaalie ndugu zetu waliotangulia awaepushie na adhabu ammiin

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv 11 หลายเดือนก่อน +2

    Subhan Allah yaa Allah warehemu wa Zazie wangu nawa islamu wote walio tangulia mbele za haqi Allahumma Ameen yaarabby 🤲

  • @Latifaally390Latifa
    @Latifaally390Latifa หลายเดือนก่อน +2

    Allah awape makazi mema maiti wetu waliotangulia mbele za haki nasie allah atupa husnil hatima

  • @mwanamkasiabdul4646
    @mwanamkasiabdul4646 ปีที่แล้ว +7

    Innalilah wainailah rajiuun Allah atufikishe mwisho mwema

  • @Mayamovic
    @Mayamovic 4 วันที่ผ่านมา

    Ni mm huyo namuota sana sana mtalaka wangu

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ameen mungu aamjaalie azitie peponi wote yarabiii mungu atupe mwisho mwema

    • @KassimShora
      @KassimShora 2 หลายเดือนก่อน

      Amiin amiin amiin jazakallah khairul jaza fidunyaa wal akhera ya sheikh DR ISLAM

  • @AminaRamadhan-f9x
    @AminaRamadhan-f9x หลายเดือนก่อน +1

    Allahuma ghfirlahum warhamhum wasqinhum fil janna amiin nyanya mwanaisha Allah akupe Nuru na akuepushe na adhabu ya kaburi

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 ปีที่แล้ว +6

    Subhaanallah. Ni kweli utakacho ambiwa na maiti utaona kama alivyo kwambia. Na akikupa kitu hakika utakipata kitu hichohicho

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 หลายเดือนก่อน +2

    Allahuma ghafilahu waliwalidaiyya wa arhamahumaa kama rabbayan swighar🤲allahuma ghafil lilmuslimin walmuslimat wal muuminina wal muuminat al ahyaa minhum l amuat birahmatika ya arhama rahimeen.🤲

  • @salmaabdalla6488
    @salmaabdalla6488 ปีที่แล้ว +14

    Allahummaghfir lahum warhamhum waskinhum fil jinnah,wote walotangulia

  • @zakiabakari9983
    @zakiabakari9983 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awalaze mahalo pema peponi Amina

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 ปีที่แล้ว +25

    Allah waondoshee adhabu ya kabri ndugu zangu wote waliotangulia mbele za haki

  • @SaidathSalehe
    @SaidathSalehe ปีที่แล้ว +7

    Allah awalehemu ndugu zetu walotangulia nasi atupe mwisho mwema 🙏🙏

    • @rahmarr2160
      @rahmarr2160 ปีที่แล้ว

      Allahuma Amiin 🤲

  • @fatimaussene1010
    @fatimaussene1010 ปีที่แล้ว +10

    Mi nilipewa namba za simu ni dada yangu alisema ukipiga namba hii utanipata na asubuhi nilipoipiga simu ikaita mtu yuko morogoro na nilipotaka kujua kama anamfahamu marehemu alikataa na kukata simu allaha ampunguzie adhabu ya kabri dada yangu

  • @monarose6091
    @monarose6091 ปีที่แล้ว +5

    Subuana Allah mwenyez mungu tujalie mwisho mwema inshallah

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 26 วันที่ผ่านมา +1

    Allah awarehem walio tangulia Baba angu na mzazi mwenzangu InshaAllah

  • @Saumu-lm7nt
    @Saumu-lm7nt หลายเดือนก่อน

    Sübhan Allah yaa Allah wahifaz walitangulia kwako na utujarie mwisho mema aniim yaarabby

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Allah tujalie mwisho mwema, wallahi kulala n nusu ya kifo,na huwarehemu ndugu zetu walio tangulia mbele za haki,Amiin

  • @MohamedAhmed-xy1if
    @MohamedAhmed-xy1if หลายเดือนก่อน +1

    Rabbi ghfiril walwallideena walill muuminina yauma yakumul hesaab ameen

  • @Ally-lf2lx
    @Ally-lf2lx 14 วันที่ผ่านมา

    Allah awarehemu waliotangulia Amiin

  • @jkizondoswahilibites434
    @jkizondoswahilibites434 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah Allahu Akbar 😢 Allah awalaze pema waliotutangulia Ameen. Na atupe na sisi khusnul Khatma ameen yaa rabb 😢

  • @AshsAhmed
    @AshsAhmed 14 วันที่ผ่านมา

    Allah awajaalie Hannah awaepushe na adhabu ya kabr

  • @OmaryAisha
    @OmaryAisha 11 วันที่ผ่านมา

    Ya Allah nakuomba wasamee mait wt mnakosaje Yao nasi utujalie mwisho mwema hakuna kifo n faradhi kwa Kila mja

  • @Zubeab
    @Zubeab 7 วันที่ผ่านมา

    Allah awarehemu Waliotangulia ameen

  • @justineemanueli6847
    @justineemanueli6847 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa mbinguni akulind San sheikh

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 ปีที่แล้ว +10

    Allah wasamehe maiti wetu wote

  • @zahrahabibu7385
    @zahrahabibu7385 6 หลายเดือนก่อน +2

    Allah Awarehemu Wote waliotangulia Mbele ya Haki

  • @WardaWarda-gi2wn
    @WardaWarda-gi2wn 29 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah, shukran sheikh Allah akubarik ❤

  • @DavidTweve-dj5uh
    @DavidTweve-dj5uh หลายเดือนก่อน

    Mungu atujalie mwisho ulio mwema

  • @FatmaFaridy
    @FatmaFaridy หลายเดือนก่อน

    Allah awape khaur thabit mama angu kaka angu mjomba bibi babu baba angu nawengine 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @cellcelll2151
    @cellcelll2151 ปีที่แล้ว +1

    mashaAllah mungu akujze sheikh ila ukutuambia maana y hii ndoto

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atujaalie sote viumbe mwisho mwema

  • @AminaBaraka-p8n
    @AminaBaraka-p8n 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mola wangu wareemu watoto wangu yaraab na ndugu zangu

    • @katore1982
      @katore1982 6 หลายเดือนก่อน

      Aamen yaRabb

  • @LeilaLubangula
    @LeilaLubangula 7 วันที่ผ่านมา

    Allah awape kauli thabit wote waliotangulia mbele ya haki

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza7852 หลายเดือนก่อน

    Mwezi ulopita nilimuota Baba tunataka kumfanyia dua sasa tulikua tunamtengeneza mbuzi kwa ajili ya swadaka
    Wakat nazunguka nyuma ya nyumba tunakopikia sadaka namuona Babamdogo na ndugu wengine wanatengeneza Nyama ya Ng'ombe kwa ajili ya sadaka pia
    Nikashangaa kulinganq na uwezo wetu hela yakununua Ng'ombe hatuna
    Allah amlaze mahala pema Mzazi wangu na maiti wot kwa ujumla Aamiyn Aamiyn Aamiyn

  • @fatmahmkuzi
    @fatmahmkuzi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nilikuwa na ongopa mana baba na mama simalizi mwezi bila kuongea nao handi nikawa natafuta masanda kwaza nikiwa na mawazo ama kufikiria ama kwenye matatizo mangum basi huwa lazima mama niongee naye ndio hicho kitu kifanyika yani amekuwa kama mshauri wangu wa kila wakati❤❤❤❤❤ila nashukuru ka kuelewa mana ya ndoto ya kuota mtu wa kufa

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 3 หลายเดือนก่อน

      Weka desturi ya kuwaombea Dua labda Kila baada ya sala ya alfajiri,ndio zawadi pekee ya marehem ndio ktk Yale mambo matatu ukifa Mungu hufanya Amana kwako "aulaadu swaalihan" mtoto mwema mwenye kuwaombea wazazi wake Dua wanapotangulia mbele za haki duwa ya mtoto hufika bila kizuwizi kwa mzazi

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 11 วันที่ผ่านมา

    Subhanallaa

  • @SuleimaniMtangi
    @SuleimaniMtangi 3 วันที่ผ่านมา

    Dah ss sote njia ni moja yarabi tupe mwisho mwemaa na utujalie tufe tukiwa waislanu utusameh zambi zeto uwa tehemu woooote walio tangulia yaaaa ala taqbali duaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @AishaAdan-o1c
    @AishaAdan-o1c ปีที่แล้ว +3

    Allah awarehemu ndugu zetu waliyo tangulia mbele ya haki

  • @Africa-l6l
    @Africa-l6l 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh allah azidi kkuokania katika wasia wako

  • @samirahmed5891
    @samirahmed5891 หลายเดือนก่อน +1

    I very often dream about my dad many times i can't even count, he passed away back in 2017

  • @muhamadriziki6967
    @muhamadriziki6967 14 วันที่ผ่านมา

    Amin

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp หลายเดือนก่อน

    Kwa mtazamo wangu ndoto nyingi ni za shetani ila hatujui ya mungu zaidi

  • @FaidaNzunury
    @FaidaNzunury 13 วันที่ผ่านมา

    Mm mala kwa mala hua naota naongea nababu yangu ndotoni naananijibu hii inaishala gani

  • @imamufamily5617
    @imamufamily5617 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yalaby warehemu ndugu zetu waliotangulia mbele zahaki nautujalie mwisho mwema

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 11 หลายเดือนก่อน

    Allah awarehem Wazazi wangu Amin

  • @FatmaMchenii
    @FatmaMchenii 2 หลายเดือนก่อน

    Allah atupe mwisho mwema sote naota sana

  • @AhmadSalim-dm4uk
    @AhmadSalim-dm4uk 2 หลายเดือนก่อน

    Allaah awarehem marehem wote nasisi tulio hai Allaah atupe mwishomwema

  • @HassanUtoto-h9e
    @HassanUtoto-h9e 2 หลายเดือนก่อน

    Nkupenda sana shekh mungu akubariki na akupe umri mrefu niliwahi kukukosoa kwenye comment kumbe mm ndio elimu yangu ndogo nisamehe sheikh wangu

  • @Zzz-fl2gr
    @Zzz-fl2gr 27 วันที่ผ่านมา

    Kweli.

  • @ahmedomar804
    @ahmedomar804 6 วันที่ผ่านมา

    Alichokizungumza Dr. Islam nikweli

  • @FaidaNzunury
    @FaidaNzunury 13 วันที่ผ่านมา

    Babu yangu amefariki mda mlefu Toka 2006 lakini mala kwa mala ananijia ndotoni naongeanae pia hua tutaongea ananijibu vzuri hii inaishala Gani

  • @zulfamwakitosi5002
    @zulfamwakitosi5002 22 วันที่ผ่านมา

    Mimi namuota dada yangu alikuaga anafanya kazi za ndani nyumbani kwetu miaka 10 amefariki namuota Sana karibia kila siku apumzike kwa Amani

  • @IssaLanga
    @IssaLanga หลายเดือนก่อน

    Allah ampe baba yangu kauli thabiit

  • @SwaiberMasoudy
    @SwaiberMasoudy ปีที่แล้ว +2

    Allah awarehem ndug zetu walotangulia

  • @FaridaAdinani
    @FaridaAdinani ปีที่แล้ว

    Wallahi nilikua namuota dadaangu ananiambia kaniombee msamaha kwa mamaake wa kufikia au mlezi maana uko ajafika kaburi limemkataa yupo tu Kati uko anafukuzwa bc naliia tuu sijui nifanye je

  • @kingkibataliikiba5635
    @kingkibataliikiba5635 26 วันที่ผ่านมา

    Alhadulilah Leo nimeongea na baba angu usiku wakuamkia Leo na akanifundisha maneno niayaseme na nikayasema Kisha akaniambia njoo nikamwambia bila idhni ya Allah sitaweza Kuja nenda TU

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 ปีที่แล้ว

    Mmi hii otanitokea pka wanitia hofu shukran sheikh

  • @AishaSalumu-h6f
    @AishaSalumu-h6f ปีที่แล้ว

    Allah awarehem ndugu zetu wote waliotangulia mbele za haki ameena labby ameen

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c ปีที่แล้ว

    Wlkm slm ww... shukran sana sheikh. Jazakallah kheir 🙏

  • @LufyBlack
    @LufyBlack หลายเดือนก่อน

    Sio hivyo. Ndugu zangu ktk imani. Maana ya aya hiyo. Ni baadhi ya nafsi atazilipa malipo yake,baada ya kufa kwake. Kabla ya cku ya kiama. (Waliola) yani walio kufa. Nafsi na roho vitu viwili tofauti.

  • @BATULIMUSSA-j6w
    @BATULIMUSSA-j6w หลายเดือนก่อน

    Allah awape kaul Thabit ndugu Zetu

  • @FatuuRamadhanuRamadhani
    @FatuuRamadhanuRamadhani 23 วันที่ผ่านมา

    Mola wasamehe na utupe vitabu na mkono wa kulia

  • @mwanamisiomari8189
    @mwanamisiomari8189 3 หลายเดือนก่อน

    Mi usiku wa jana nimeota nakaa na mamangu twaongea na alishakufa saii ana miaka minne

  • @leylahbilali
    @leylahbilali หลายเดือนก่อน

    A.aleykum..
    Sheikh izo roho za mait ni za wale waliobashiriwa pepo tu znakutana na Sisi au mpaka za motoni ????..
    Na kam za motoni pia , inamaan kwa muda ule ambao zinakutana na sisi zinakuwa haziko katik mateso zinakuwa haziadhibiwi muda huo ?????
    ... NAOMBA UNISAIDIE JAWABU KATIKA HILI USTADH WANGU

  • @KhadijaOmary-u2n
    @KhadijaOmary-u2n 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi hua namuota mama angu akiniambia kasafishe kaburi msibani hukufika niribaki najiuriza bs nakumshukuru mungu tu

    • @OmaryKingo-hr7kw
      @OmaryKingo-hr7kw หลายเดือนก่อน

      Kwanini Sasa auwendi kusafisha na amekuambia uwende kwasababu kwenye msiba wake aujakuwepo

  • @PilisaidPilisaid
    @PilisaidPilisaid ปีที่แล้ว +1

    Shukuran shehe mm huwa naota Sana leo nimeelewa sasa

  • @KarimaKrieger
    @KarimaKrieger 2 หลายเดือนก่อน

    Ya Raab wajalie Jana walio enda mbele ya haki ..,Ameen

  • @FaridaIloko
    @FaridaIloko 11 หลายเดือนก่อน

    Shukran

  • @fatimahassan1534
    @fatimahassan1534 2 หลายเดือนก่อน +2

    AMEEN YARABB

  • @musa.-hj5ld
    @musa.-hj5ld 11 หลายเดือนก่อน

    Allah awapumzishe kwa amani

  • @bdvc7107
    @bdvc7107 26 วันที่ผ่านมา

    Yan nimelia maana namuona mama angu mara nyingi tunaongea

  • @SNKANTO
    @SNKANTO ปีที่แล้ว +2

    Allahu Akbaru

  • @NasibuNasoro-ew3vw
    @NasibuNasoro-ew3vw ปีที่แล้ว

    Subuhanallh yabi tujarie mwisho mwema je? Nisaidie erimu juu ya hizo doto baada ya kukutana huko baina roho hizo mbili aidha kumuona mzazi wako arietangulia au ndg yko vp hpo ukimuona ypo ktk furaha ina maanisha nini haswa nipe faida yke pia naitaji kujua erimmu hiyo zai ishaallaah

  • @abuusuhayl7830
    @abuusuhayl7830 หลายเดือนก่อน

    Ambae anajua naweza pata wapi kofia kama Ya Duktur anijuze

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 หลายเดือนก่อน

    Alla awalaze mahala pema waliotangulia

  • @hanifahnabakiibi6929
    @hanifahnabakiibi6929 ปีที่แล้ว +1

    JazaakAllahu khair

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 หลายเดือนก่อน

    Natamani ungeendelea ah

  • @HusseinIbrahim-mc9sq
    @HusseinIbrahim-mc9sq ปีที่แล้ว +1

    Allah awarehmu ndug zetu

  • @GodfreyGodwin-cs8vt
    @GodfreyGodwin-cs8vt หลายเดือนก่อน

    Shekhe me naitwa Godfrey ninakumbwa na matatizo kama hayo nasaidiwaje na ninataka kusilim

  • @rabialema9013
    @rabialema9013 10 หลายเดือนก่อน

    Inshaalah

  • @goldenashtv5136
    @goldenashtv5136 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah Ya Rabb

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @صفوابنتسعيدباوافد
    @صفوابنتسعيدباوافد หลายเดือนก่อน

    Mimi nawaota watu wengi waliokufa na niko nao ndugu wengi ,,,,mpaka naogopa