Kisa cha Simba,Mume,mke na Mganga - Mzee Yusuph Makamba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @user-eu8qm8bv4l
    @user-eu8qm8bv4l 23 วันที่ผ่านมา

    Anazungumza bila kusoma, sura gani na Aya ya ngapi

  • @a.856
    @a.856 29 วันที่ผ่านมา

    Jazakallah khayran

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee kabla haujaja huu utandawazi nilikua nafikiri ni mzee ambae Mwenye hekma na Kimjua Mungu ila baada kuja huu utandawazi nayeye kuwa kwenye mitandao namuona kumbe mjinga

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el 29 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo pa kusema kuwa imeandikwa katika msahafu i.e. Qur'an kuwa mwanamke huolewa kwa mambo manne mimi nitakuchallenge. Nipe jina la sura na namba ya Aya. Acheni kumzushia Mungu uongo katika hadithi zenu

    • @nchimbuke7261
      @nchimbuke7261 23 วันที่ผ่านมา

      Hadith Sahih Bro Hakuna Mkamilifu kukosea Ni Kwetu

    • @BushDoctor-dw8el
      @BushDoctor-dw8el 23 วันที่ผ่านมา

      @@nchimbuke7261 hadithi ya nani

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 28 วันที่ผ่านมา

    Samahanini, ety uyu mzee anapatikana wapi?

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 28 วันที่ผ่านมา

    Bushdocter Ni hadith ya mtume sio Quraan iliosema kuwa mwanammke huolewa kwa mambo 4 na mtume hasemi kwa matakwa yake bali ni maagizo wahyi kutoka kwa Allah hasemi kwa matamanio yake hadith ipo