SIRI za ndoa za SIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 8 วันที่ผ่านมา +4

    Kwel Wallah Huwa inatokea wana Waoana sheikh sio kuoa Wengine
    ,, Hupeana hata Mimba Tuu,, wakija jua kaka na dada na kuachana hawawezi wana endelea hivo Hivo

  • @MariamuSalum-bb9ov
    @MariamuSalum-bb9ov 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kazzz kazzz anayeogopwa ni mungu tu mengine ni kupunguza kelele❤❤❤

  • @rahyaAlly-ho5tk
    @rahyaAlly-ho5tk 8 วันที่ผ่านมา +5

    Ki ufupi ndoa za Sirii zina madhara zaidi kuliko manufaa...watu kama wanamuogopa Allah kwelikweli waachane nazo.

  • @a.856
    @a.856 8 วันที่ผ่านมา +3

    Jazaka Allah khayran

  • @user-mi3cs9lc6y
    @user-mi3cs9lc6y 8 วันที่ผ่านมา +5

    Shukran

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 6 วันที่ผ่านมา +2

    Usikubali kufanywa bangi.

  • @AshaIddy-kn5lk
    @AshaIddy-kn5lk 7 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani hilo ni tatizo kubwa sana ktk ndoa nyingi sana. Nimeshuhudia Mume ameoa kwa siri Mchana anamalizia mambo yote ya tendo la ndoa kwa Bi. Mdogo, akirudi kwa Bi. Mkubwa analala kama gogo. Viongozi wa Dini toeni mafunzo kwa wanandoa.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AshaIddy-kn5lk hiyo ameitaka mwenyewe mke mkubwa wacha kimrambe! Ametengeneza mazingira mpaka mume akaowe siri, ukimchimbia shimo mwenzio watumbukia mwenyewe!hayo ndo yanawafaa wake wakubwa na bado mpaka waitwii sheria ya Allah, wamekuwa wafuasi wa shetani kumpinga Allah Subuhanah wataallah

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 6 วันที่ผ่านมา +1

    Akifa kwa mke wasiri atazikwa! Na kuhusu mirathi Sio lazima,hata kama anajulikana anaweza asirithi pia

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 6 วันที่ผ่านมา +1

    Sio uadilifu ni uoga sheikh, waume sasa ndo waolewa na wake zao! Hawana sauti hawana maana kabisa

  • @belga3143
    @belga3143 5 วันที่ผ่านมา

    Muke wa siri akibeba mimba aje aitwe muzinifu n’a iko kwa ndoa. Mbona hawayasemi ayo

  • @alrahbialrahbi277
    @alrahbialrahbi277 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nae kakubali kwa siri.

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 7 วันที่ผ่านมา

      😭😭😭

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 6 วันที่ผ่านมา +1

      Ndio pengine ndo anamlisha huyo mume na mke mkubwa je?sindo wake wakubwa wayataka!atajiona yeye ndo mke hasa!kumbe hajui yeye na mumewe wameolewa na kulishwa na huyo Mke wa Siri,familia nzima yalishwa unamke mwenza🤣🤣huo ndo ujinga wao, kwanini umkataze mume kuoa?wengine hawana choyo mtalishwa na wake wasiri

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa yote hayo ni nani wakulaumiwa! Mume au mke wasiri au huyo Mke mkubwa anae ogopewa kuliko Mwenyezi Mungu!wapeni darsa wake wakubwa wanatunyima sie waume haqi zetu! Hasa waume walio tawaliwa na mke, aibu ktk hili masheikh na maustadhat kemeeni hili jambo

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 6 วันที่ผ่านมา

    Kwa maana hiyo nanyi masheikh mwathubutu kuongelea habari hii kwa njia hii kana kwamba mwawaogopa hata ninyi wake zenu Sio? wake kuwazuia waume kuoa Zahir na waowe siri kisa ati wake zao hawapendi uke wenza? 🤔🤔Mwatufundisha nini ktk hizi ndoa? Mnawapa kibri wazidi kuwadhulumu waume haqi zao za kuoa dhahir?na waoe siri! Mnachangia dhulma hamjui au?Kemeeni hili jambo, muwaonye wake kudhulumu haqi za mume, kwani yeye nani zaidi ya Allah alie ruhusu hizi ndoa?

  • @asilahassan9965
    @asilahassan9965 8 วันที่ผ่านมา +1

    Shukran