Ustadh Haji Upepo amtetea Dr Sule kuhusu kutumia jini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 261

  • @VuaiAli-zt9ib
    @VuaiAli-zt9ib 3 หลายเดือนก่อน +9

    Sheikh Haji shukran,umefafanua vizuri na umeeleweka kwa wasio na ushabiki,jambo hili lipo wazi na Dalili zipo wazi kikubwa Watu wasome na waache ushabiki.

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 3 หลายเดือนก่อน +2

    MCHE ALLAH, na uelewa mbovu kuhusu mawalii

  • @user-bo1ew3xq6w
    @user-bo1ew3xq6w 3 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sheikh wetu hajj allah azidi kukupa umri mrefu hakika hili swala umelifafanua kwa uadilifu kabisa na muonekano wa hali ya juu kwa hili allah akujaalie pepo na kizazi chako chote..

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kweli nyi masufi wenda wazimu kweli yani unamsifia mtu kutetea ushirikina loooh ama kweli naamini alivyosema imamu shafii ukiingia katika usufi asubuhi mchana ushakuwa mpumbavu et shekhe wetu upepo hongera ninyi ndo wale mnao haribu dini ya Allah kutetea majini mnasingizia uislamu

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-yj5on8cz3e umesikiliza au unaropoka tu na kuja kutukana watu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-yj5on8cz3emwenye wazimu nyinyi mawahabi wapotoshaji sheikh wenu ibn taimiya asema waeza tumia majini sasa wasiokua na akili nyinyi mawahabi wapotoshaji

  • @khamisali1929
    @khamisali1929 3 หลายเดือนก่อน +1

    Usiseme mawahabi sheikh McHenry Allah sifa ya Allah unimpeded mwanaadam

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 3 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah saii tunazidi kumshukuru Allah sababu tunaendelea kujua wachawi ila naona Tanzania n wengi dah tumuogope ALLAH jamani wanaongezeka kila kukicha

  • @Abuusaad-uy5cx
    @Abuusaad-uy5cx 3 หลายเดือนก่อน +10

    SHEKH HAJI UPEPO ALLAH AKUHIFADHI KWA JINSI UNAVYO WAELIMISHA MAWAHABI KUPITIA VITABU VYAO...

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน +1

      Anawaelimisha mawahabi kwa ilmu gani alokuwa nayo huyu kijana watu wanampuuza tuuh so kila kitu watu watakujibu saa nyingine ukimya jibu la mjinga ilmu enyewe hana kajitokeza mitandaoni kudandia dandia mashekhe wenye ilmu zao wakubwa bado mtoto huyo ndomana watu hawastuki madrasa za michungwani utasema umesoma?? Sasa huyu unavyo muona atamuweza shekhe muhamnadi bachu au shekhe nurdin kishki? Amna kitu hapo kutafutta umaarufu tuu wa kuongea skuhizi ukipata ushujaa wa kuongea teyari waitwa shekhe Amna kitu hapo

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-yj5on8cz3ewewe unajua nini na huyo bacho wako akasome kwa huyu

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-yj5on8cz3e
      NDIO ANAWAELIMIAHA MAWAHABI WAJINGA WAJINGA AMBAO HAWANA ELIMU KAMA WEWE ..
      TENA MAWAHABI WANAJARIBU KUMRADD DK SULE KWASABAB ANATUMIA MAJINI KTK MAMBO YAKE ..
      MAWAHABI MASHEKHW ZENU NDIO WALIOSEMA KUTUMIA MAJINI INAFAA ... MBONA HAMUMSEMI IBNU UTHAIMEEN NA IBNU TAYMIA AMBAO WAMESEMA INAFAA KUWATUMIA MAJINI ??
      HAPA NDIPO UTAGUNDUA KUWA MAWAHABI SIO WASOMI KAZI YAO NI USHABIKI TU .
      HALAFU KAMA UNAWEZA JIBU HOJA NA USIBAKI TU KUSEMA. ETI " WATU WANAMPUUZA , HANA ELIMU , WTI ANATAFUTA TU UMAARUFU .
      HIZI TUHUMA ZAKO UTAENDA KUJIBU MBELE YA ALLAH ... JEE ULIMFUNGUA KUFUA CHAKE UNAONA KUWA UST HAJJI ANATAFUTA UMAARUFU ???

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 3 หลายเดือนก่อน +1

      Siku zote mjinga akimuona mjinga mwenzake huona ni mwenzake.
      Kwahiyo hatushangai usemacho ndugu

    • @user-bj6yz7gy1v
      @user-bj6yz7gy1v 3 หลายเดือนก่อน

      atakama ingekuwa ipo kwa maana iyo dini inatoka kwa mtume sio sheikh maana mtume ndo kigezo chetu hivyo kama mwanazuoni ataleta kitu hakina ushahidi wa kurani na sunnah hatosikilizwa haswa kwenye maswala ya ltikadi kiufupi sku ya pili anza mtume kasema sio sheikh fulani sawa au kama utatowa sheikh fulani basi ambatanisha maneno yake na kurani au hadithi acha kudanganya ummah kwa uwelewa wako mmbovu

  • @giltaemi4017
    @giltaemi4017 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hahahahaha.
    Kajamaa haka kaongo balaaaa.
    Eti walii anaweza kutumia majini na majini yakamuogopa

    • @user-em3uf8wz6r
      @user-em3uf8wz6r 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe Ndo MUONGO nyooo

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-em3uf8wz6r
      Mi nahangaikaga na Makafiri na Waongo basi.
      Sina hata muda huo ila sijajua ndugu yangu kama ni kafiri au unamtetea muongo mwenzako.
      Maana sijajua kama na wewe ni kafiri au muongo.
      Na kama muislamu Samahani kukuita kafiri ila pia Acha matendo ya kikafiri kafiri.
      Maana kafiri haoni Taabu kutukana kwasababu haamini kua siku ya Kiama Atapata hasara sasa jitambulishe tukuelewe kafiri au mwislamu.
      Na pia Uongo wangu ni nini Labda.

  • @abdulmalikali1501
    @abdulmalikali1501 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hini sio dini Aloiwacha bwana Mtumi Muhammad.Mbn muugawanye uislamu pande mbili?.Sote ni waislamu mbona watu wafike kwa haddi hini.kila mtu afuate lisilomtia shaka na aliwache mbali limtialo shaka.Shukran

  • @IbnuAlly-wm8il
    @IbnuAlly-wm8il หลายเดือนก่อน

    Na uwalii wa Allah hajuilikani ispokuwa na Allah kwaiyo haku ni a njia ya kutumia jinni

  • @YUSUPHMTULILA
    @YUSUPHMTULILA หลายเดือนก่อน

    Hamna sheikh hapa,Jiongo hili

  • @bakarimussa8561
    @bakarimussa8561 3 หลายเดือนก่อน

    Shukean shekh umefahamika mashaa Allah

  • @user-qe9pd9zk8v
    @user-qe9pd9zk8v 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoka kwa Hafswa bint Omari bin Khattwabi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote, akamsadikisha, haitokubaliwa kwake swala yoyote siku arobaini".
    Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wallah sh hajji umeongea kwa hikma kubwa sana kwenye hii kadhia na nazani umefahamika kabisaa

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa wakisema mashekhe wapite mbele huyu nae mtamtowa shekhe, kwa ilmu gani alonayo? Za kutetea washirikina wafuga majini

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-yj5on8cz3endio shekhe kama sio sheikh mbona wamsikiza nyinyi mawahabi wapotoshaji mumelaniwa hao mashekhe weni ndio mashekhe kwa sababu waongea na paka

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@saba-gv3mj kweli una Akili mgando kwaiyo Kila anayetokea kwenye midia ukamsikiliza kwako wewe tayar ni shehe😂😂

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      @saidimkwinzu9106 kulingana na ilimu yake mwenye ilimu utamjua na huu ni mwisho wadunia mashekhe wakweli wanatukanwa na kuonekana warongo na mashekhe wa urongo wanatukana wenzao nyinyi mukiona mashekhe wa ukweli nyinyi mawahabi muna shida sana na mtume s a w aliwatabiri tangu zamani nyinyi mawahabi wapotoshaji

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

      @@saba-gv3mj ndo mnavyodanganywa na shekhe zenu Kati sisi na ninyi sufi nani waongo so ninyi?? Ninyi mnasema mtume anaudhuria maulidini usiku kiamo raily na hali ya kuwa mtume kashakufa yupo kaburini kwake waongo? Aya gani na haditihi gani mtume kataja mawahabi? Na jina wahabi kalileta nani mtume? Au niyinyi wazushi kwani wahabi Ni dhehebu?? Kumbe masufi Ni wajinga xana hamna ilmu mdadanganya na shekhe zenu tuu someni mtakuwa watumwa wa kutojuwa uislamu wenu ninyi mpk leo mnaburuzwa tuu!!

  • @TaadudTaadud
    @TaadudTaadud หลายเดือนก่อน

    elmu ni pana usichokijuwa ww anajua mwenzako kila moja mungu kampa elmu yake kusudi kujua ulimwengu

  • @abdallajuma0587
    @abdallajuma0587 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu hajji epepo ni mwehu mshenz Sana anawapeleka watu kwenye shirki utakwenda ulizwa mbele ya Allah 😢

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน

      ww ni mwehu usojua chcht

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      Hata ww Allah atakuliza na kusingizia watu washirikina wakati hujaona akimshirikisha

    • @athumanikhamisi3377
      @athumanikhamisi3377 3 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 3 หลายเดือนก่อน

      SIJAWAONA WATU MAPUMBAVU KAMA MAWAHABI ..YAANI MARA NYENGINE BORA (( WAKRISTO )) WANATUMIA AKILI ZAO KULIKO HAWA WATU ......
      MFANO HUYU ((ABDALLA JUMA ))
      ANAMTUHUMU UST HAJI KUWA NI MSHIRIKINA KWASABB AMESEMA INAFAA KUTUMIA MAJINI.
      WAKATI MASHEKH WA KIWAHABI NDIO WA ALIOWANUKUU. KAMA VILE IBNU TAYMIA NA IBNU UTHAIMIIN .
      KWA HUKUMU YAKO HIO MAANA YAKE .
      UMEWAINGIZA IBNU UTHAIMIIN NA IBNU TAYMIA KTK USHIRIKINA .
      KWASABABU HAO NDIO WALIOSEMA INAFAA KUTUMIA MAJINI. UST HAJI YEYE KANUKUU TU .
      وناقل الكفر ليس بكافر

    • @Mpakistanog
      @Mpakistanog 3 หลายเดือนก่อน

      Subhahanallah

  • @aliabdullahi9200
    @aliabdullahi9200 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ya sheikh ❤

  • @abuualya9390
    @abuualya9390 3 หลายเดือนก่อน +3

    Shekh kiukwely sijawai kucomment hat siku moja lakin shekh wangu nakuomba uwend ukasome urud darasan tena

    • @aminabdalla7824
      @aminabdalla7824 3 หลายเดือนก่อน +1

      Swadakta bwana abuu ...Hawa ndio watu wanao potosha ummah...arudi akasome dini vizuri

    • @shakourdutilo3813
      @shakourdutilo3813 3 หลายเดือนก่อน +1

      Unao uwezo wa kuelewa mambo? Unamwambia sheikh akasome tena kivipi wakat yeye amewanukuu masheikh wakubwa duniani? Walio ruhusu kutumia majini ni SHEIKH IBN TAYMIA NA IBN UTHAIMIN, tumia akili.

    • @fauzishma8033
      @fauzishma8033 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu hata ni jahili mraqab

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p 3 หลายเดือนก่อน +2

    Group Majini

  • @rambazojournalist666
    @rambazojournalist666 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh umetolea mfano wa makubaliano ambayo hayafai kati ya binaadamu na jini, sasa tunaomba tutolee hiyo mifano ya makubaliano ya halali kati ya Jini na binaadamu. Pia tuelezee utaongea naye kwa mazingira gani na mtaonana wapi?.
    Tafadhali naomba nijibu haya maswali ili nasi tujue kwamba wew sio miongoni mwa hao washirikina. Ahsante.

  • @abdallajuma0587
    @abdallajuma0587 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hili HAJI upepo ni shirikina tulisema zamani chawi sana hili

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน

      Ww mjinga huyu sheikh haji apa ananukuu mijtabu yenu hivyo nynyi ndio wachawi wakubwa

    • @abdallajuma0587
      @abdallajuma0587 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@HemedSerious nyie uko misufu ndio mishirikina munao abudia makaburii

    • @athumanikhamisi3377
      @athumanikhamisi3377 3 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน

      @@abdallajuma0587 wewe una akili lkn? Au mgonjwa? Unajua maana ya kuabudu? Km unajua naomba nipe maana ya kuabudu

    • @abdallajuma0587
      @abdallajuma0587 3 หลายเดือนก่อน

      @@HemedSerious munawapoteza watu Sana nyie makohani tushawajuwa zamani munakoelekea acheni kuabudia mizimu nyie masufii

  • @nourdinpro
    @nourdinpro 3 หลายเดือนก่อน

    Asante shekh

  • @MussaMohammad-ku5bt
    @MussaMohammad-ku5bt 3 หลายเดือนก่อน

    Allah atuogoze katika njia ilyo sawa

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 3 หลายเดือนก่อน +3

    جزاك الله خيرا

    • @hudhaifahsadru-xr2gg
      @hudhaifahsadru-xr2gg 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mpaka Leo nashangaa yaani wew kutokana na chuki za tofauti ya ufahamu, umeamua kusema kuwa mawahabi Ni sawa na wakristo, hivi huoni kauli yako unawafadhilisha makafiri? Mwanzo nilijua wew Ni msomi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@hudhaifahsadru-xr2gg kabisa wakatoliki. Uhakika mia mia

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ahlu bidaa huyu atajuwa hilo wazushi sikuzote ndo walivyo mashekhe kama hawa wanastahiki adhabu duniani na akhera linadanganya umma wallah mtajibu kwa Allah nyie ukamnasibisha muislamu na ukristo subuhana llah hamna kitu hapo kichwani

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@hilalkhalfan1452na ww msufi munae abudu makaburi ya masharifu upo sahihi usufi ni upumbavu mi ndomana nikimuona mtu wa bidaah simsalimii kabisa wazushi hawa

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-yj5on8cz3e Kama Wewe Una chuki Na masharifu basi utapambana Nao akhera. Sisi tunawapenda na tutawazuru.

  • @suleimanadim6522
    @suleimanadim6522 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mm nakushauri kasome kwanza kabla ya kutoa fatwa au kuhutubia

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน +1

      Pengine usome ww mana huelewi punguza bangi

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@saba-gv3mjKufuga Jini ni Shirki Full Stop,,

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      @@emanuelkyomo3772 ki vp shirki wajia ukisema shirki toa na maelezo kuna wengine wawatumia kwa kazi zao jini waeza mtumia

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 หลายเดือนก่อน

      Lete weye hoja zako basi, msituletee chuki hazitupi faida. lete dalili

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 หลายเดือนก่อน

      @@emanuelkyomo3772 jini sio kuku ata ufuge. Jini hafugwi Kwanza.

  • @drruhanitz8161
    @drruhanitz8161 2 หลายเดือนก่อน

    MWALIM HICHO KITABU
    NI KATIKA mlango ngani Tadhali ili tupate faida KATIKA hicho kitabu

  • @user-bj6yz7gy1v
    @user-bj6yz7gy1v 3 หลายเดือนก่อน +1

    sheikh wangu umeupa khofu yangu utathibitisha kwa kuran na hadithi ety sheikh flani kasema kumbe mukiambiwa wazembe munazidi

  • @TaadudTaadud
    @TaadudTaadud หลายเดือนก่อน

    hiyo kawaida kwa viumbe wa allah hata binadam wapo namna kuwa mwema kwako baadae kubadilika tumche mungu allah alam

  • @user-fu3cg3gv9g
    @user-fu3cg3gv9g 3 หลายเดือนก่อน

    Napendaga sana kufatilia haya marumbano japo mi si muislam nabaki kucheka maana huyu mshirikina huyu hana elimu bas daah dini hizi wakristo nao ndio kabisa hawa hakuna mafuta ya upako wengime mafuta ya upako yameruhusiwa vurugu mtindo mmoja

  • @abuuhhashim
    @abuuhhashim 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wew . Haji unajielewa

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi unajua sana

  • @KhalidAbdalla-lb4ph
    @KhalidAbdalla-lb4ph 2 หลายเดือนก่อน

    kwa ufahamu wako je jini anaweza kukusaidia bila sharti za kumuasi Allah

  • @RamaNassry
    @RamaNassry 3 หลายเดือนก่อน

    KWA HAKIKA UISLAMU WA KWELI NI "KUIFUATA QUR,AAN,SUNNAH KWA UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA{MTUME NA MASWAHABA NA WALIOWAFUATA KAMA WAO WALIVYO},KUACHANA NA UZUSHI KTK DINI YA ALLAH ILIYOKAMILIFU" HIYO INANITOSHA MIMI KAMA MUISLAMU

    • @shakourdutilo3813
      @shakourdutilo3813 3 หลายเดือนก่อน

      Kwako wewe, hao wema waliotangulia ,SHEIKH IBN TAYMIA NA SHEIKH UTHAIMIN hawamo? Hukubali kama hawa ni wanazuoni na niwema waliotangulia? Hao ndio walosema inafaa kuwatumi majini.

    • @RamaNassry
      @RamaNassry 3 หลายเดือนก่อน

      KWANINI WASIWEMO, HAWA NI WANAWAZUONI WETU KTK HII MANHAJ (ALLAH TAALA AWEREHEMU) TUNARUDIA KUSEMA "UISLAMU WA KWELI NI "KUIFUATA QUR,AAN,SUNNAH KWA UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA{MTUME NA MASWAHABA NA WALIOWAFUATA KAMA WAO WALIVYO},KUACHANA NA UZUSHI KTK DINI YA ALLAH ILIYOKAMILIFU" SASA MI NATAKA UTOE DOSARI ZA KUFUATA DINI KWA UELEWA NA UFAHAMU WA MTUME(ALAYHI SALAAM),MASWAHABA NA WEMA WALIOWAFUATA KAMA WAO WALIVYO.NIPE DOSARI MOJA TU.

  • @Masudiabdullah
    @Masudiabdullah 3 วันที่ผ่านมา

    Mtu mwenyewe anaitwa hajji upepo....lini akawaelimisha watu

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 3 หลายเดือนก่อน +1

    WATU WA BIDAA WOTE WASHIRIKINA

  • @user-wh3et9pu3h
    @user-wh3et9pu3h 3 หลายเดือนก่อน +4

    hebu weye upepo acha mambo yako hayo na chuki, hata hao masufi wenzako wamempinga

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 หลายเดือนก่อน

      Tunaangalia Sheria SIO YA Sufi wala YA muwahabi

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 3 หลายเดือนก่อน

    Huna lakusema haji,yote Sheikh Muhammad bachu alisha yabainisha ila ulipenda uonekane nawe unaongea kwenye hili. Unge kua muadilifu na mwenye busara ulitakiwa usizunguke bali uenda direct kusema hivi hii kadhia Bachu yuko sawa kulikoni wote walio lizungumza hili. Lakini kwakua husda zimewajaeni hamuezi kumpongeza ambaye mumerofautiana kimadhebu hata kama amefanya zuri la aina gani.

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 3 หลายเดือนก่อน +3

    Umaarufu utaupata kwa hali hii, hapo hamna faida kuna ujinga tu.

  • @ahmedseif-cu4ex
    @ahmedseif-cu4ex 3 หลายเดือนก่อน +3

    We upepo una usaha wa kichwa

  • @Harithshaame
    @Harithshaame 3 หลายเดือนก่อน

    DJ HAJI Usijingize katika mambo Ambayo huna elimu nao
    Wewe ni Dj tu usipoteze watu utasimishwa mbele ya Allah wew !!!

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 3 หลายเดือนก่อน +3

    Na wew pia mshirikina kwa nini utumie jini kwani ALLAH hatoshi hadi utafute msaada wa jini daaa mwamba unayumba

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      Wacha ushamba kwani ukimtumia jini ni mshirikina kua na akili na uwe na ilimu jini ukimtumia sio ushirikina ukimtumia kuroga ndio utakua mshirikina someni mijuha ya kiwahabi

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 3 หลายเดือนก่อน

      @@saba-gv3mj pumbavu zako ww ivi kumtumia jini kulikuwa ukosefu gani kwa mungu iyo ni elimu ya kiganga na ww apo ulipo mganga wacha kujibabaisha mnajifanya wasomi wavivu wakufanya kazi

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      @ZubeirJuma-up7kb wacha ujinga kondoo moja ww soma jini waeza mtumia kama mfanyi kazi wako sawa lakini unamtumia kwa njia ya sawa sio umtumie jini kuroga hapo utakua umemshirikisha ama umtumie jini kukulinda hapo utakua umeshirikisha lakini jini waeza kumtumia kwa kutibu watu kukuchukulia madawa na vitu vengine nabi suleiman aliwatumia majini kujenga aliwatumia majini wakipika chakula aliwatumia majini wakizama ardhini kuleta madini na alikua na majeshi yake ya kijini binadamu mpaka upepo na mengineo sawa hio akili yako iko kwenye makalio sio kila mtu mshirikina wala hujaona mtu akimshirikisha mungu nyinyi mawahabi wapotoshaji ilimu hamuna watupu kabisa ww na kondoo huna tafauti akili zenu

    • @shakourdutilo3813
      @shakourdutilo3813 3 หลายเดือนก่อน

      Nani mshirikina hapo, SHEIKH IBN UTHAIMIN NA SHEIKH IBN TAYMIYA Walioruhusu kutumia mjini au huyu sheikh UPEO??

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      @@shakourdutilo3813 na hao mashekhe ni wakiwahabi wote ibn taimiya na uthaimin wote mawahabi

  • @adimiddyrama8894
    @adimiddyrama8894 3 หลายเดือนก่อน +2

    mwendawazimu ww.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni kichaa kabisa

    • @muhamadhusein5260
      @muhamadhusein5260 3 หลายเดือนก่อน

      Acha hasira ,lete hoja

  • @Hemy73Ally
    @Hemy73Ally 3 หลายเดือนก่อน

    Mzeee sema tu km unatafutaa umaruufuu kwa nguvu lakini unayoongea bado hayana kauli zilizoshiba hakuna jini utakaemtumia asitake lake uyo binadamu akikusaidia mamb kibao yanakuja Mungu yupo anatosha mwisho mtu ndio kila kitu jini mpk ushirikina km Mola wako hakutoshi bas lkin ilo ni jambo lisilo la msingi tafuteni tu izo njia za kua wachawi taratibu

  • @omarabdullah3412
    @omarabdullah3412 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah Atuongoze. Fungua vitabu basi kama Bachu sio balbala. Angalia unavojichanganya

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 3 หลายเดือนก่อน

      IBNU UTHAIMIIN AMESEMA KUTUMIA MAJINI INAFAA KAMA ALIVOSEMA DK SULE ..
      IBNU TAYMIA AMESEMA KUTUMIA MAJINI INAFAA KAMA ALIVOSEMA DK SULE
      MAWAHABI MNAAEMA JEE HAPA. JEE INAFAA MWENYE KUMIA MAJINI TUMUITE MSHIRIKINA ???
      AU MCHAWI ??
      ILI TUKIMUITA DK SULE NI MCHAWI BASI PIA TUMUITE IBNU TAYMIA NA IBNU UTHAIMEEN NI WACHAWI ??

  • @ramadhandiwani3410
    @ramadhandiwani3410 3 หลายเดือนก่อน

    Asante shehe
    Majini wanatumiwa na mawalii tu
    Sio kina sule wanaojigamba na kujion na kujidai
    Akifanya mchezo watampoteza ajitayarisha mapesa ya majini hayo hayandi burre

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 3 หลายเดือนก่อน

    Umesema humtetei dr.sule kwa mengine hayako sawa sasa swali mbona husemi hili dr.sule hapo hapana ww pia umwoga kitu amepindisha s useme hapa umepindisha

  • @yunusabubakar6862
    @yunusabubakar6862 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyu atoe mawaidha bila kutaja mawahabi nadhani yuaeza kuumwa😂

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenda wazimu WEWE

    • @shakourdutilo3813
      @shakourdutilo3813 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa mwenda wazimu ni nani?? Inamaana unamtukana sheikh IBN TAYMIA NA SHEIKH IBN UTHAIMIN waloruhusu kutumia majini!?

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 3 หลายเดือนก่อน +5

    Dini imevamiwa na vijana wasio na hekma ,
    Jambo hili lina shubha kubwa ndani yake, na kama masheikh hamtakuwa makini mutawaongiza watu katika ushirikina.
    Kwa mfano Zanzibar watu wengi wamezama katika ushirimina huo wa kutumia majini, mpaka wanawapigia ngoma na kuwachinjia , na wengine wanawatumia katika tiba, kwa sharti. La kuwachinjia, na masharti mengineyo.
    Watu hawa unapokaa kwenye chombo cha habari ukawaambia inafaa huoni kwamba ndio unazidi kuwazamisha kwenye ushirikina.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 หลายเดือนก่อน

      Kwahio ulitaka isemwe haifai kwani Sisi ndio miungu ya kuwapangia watu?!. Wanaotaka upotovu huwezi kuwazuia na haqi husemwa kwa kiasi Cha ukweli. Hawezi kuwadanganya watu kwasababu tu ya dhana za fikra zako. Kwani ukisema haifai kutumia Kwa LOLOTE unafkiri washirikina wataacha ushirikina wao?!. Hawatoacha isipokuwa utakuwa umetoa hukumu kinyume Na Mwenyezimungu sw. Sisi hatufuati maoni, twafuata Dini Kwanza.

    • @shakourdutilo3813
      @shakourdutilo3813 3 หลายเดือนก่อน

      Kama una akili timamu na unaweza kufikiri utaelewa kuwa, walioruhusu kutumia majini na wakaandika kwenye vitabu vyao ni SHEIKH IBN TAYMIA NA SHEIKH IBN UTHAIMIN huyo sheikh UPEO anawanukuu hao masheikh wakubwa. Sijui umeelewa

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 หลายเดือนก่อน

      @@shakourdutilo3813 IBN taymia na uthaimeen hawaaminiki labda washirikina TU wamejificha kichaka cha dini

  • @user-qe9pd9zk8v
    @user-qe9pd9zk8v 3 หลายเดือนก่อน

    Jiupusheni na mambo saba yanayoangamiza, wakasema maswahaba: Ni yapi, ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu? Akasema Mtume ﷺ: Kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na uchawi, na kuuwa nafsi aliyoharamishwa na Mwenyezi Mungu ila kwa haki, na kula Ribaa, na kula mali ya yatima, na kukimbia vitani,(katika jihadi) na kuwasingizia kuwa wamezini wanawake waliojihifadhi walioghafilika tena waumini]. [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

  • @Harithshaame
    @Harithshaame 3 หลายเดือนก่อน

    Kasome Bado hujawa na elimu.
    Haji upepo......nenda kasome usipoteze watu utaulizwa mbele ya mola wako..

  • @user-qe9pd9zk8v
    @user-qe9pd9zk8v 3 หลายเดือนก่อน

    Anaeleza Mtume -Rehema amani ziwe juu yake- yakuwa atakayejifunza na akachukua katika elimu ya nyota na mashukio yake na kutumia harakati zake kama ushahidi wa matukio ya ardhini kama kifo cha mtu fulani au uhai wake au maradhi yake, na mfano wake katika yatakayotokea siku za mbeleni, basi atakuwa kajifunza sehemu ya uchwi, nakuwa kadiri mwanadamu anavyokithirisha elimu hii basi anakithirisha uchawi

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 3 หลายเดือนก่อน +3

    Uyo walii ni Nan ? Wewe sh upepo usijifanye mjuaji utapoteza watu na utaulizwa

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 3 หลายเดือนก่อน

      Muulize lBNU taymiyya na lBNU uthaimeen
      Wametoa wapi KUWA kutumia majini inafaa ???
      Maana Ust HAJI amewanukuu hao wawili tu .
      Sasa akisema wanaotumia majini ni washirikina. Jee lBNU TAYMIA na lBNU UTHAIMIIN watakua ni naniiiii ???

  • @user-oh7gv8zg5y
    @user-oh7gv8zg5y 3 หลายเดือนก่อน

    Acha, upuuzi wote tunafaham wao Wameumbwa na moto na Sisi Kwa uongo, SA utawezaje kumdhibiti wakat yey ananguvu kushinda, sisi

  • @Harithshaame
    @Harithshaame 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani uyu sio Sheikh uyu ni DJ tu anaepoteza watu musimuite sheikh ..
    Tunamuomba Allah amuongoze.

  • @OstaziRamadhan
    @OstaziRamadhan 6 วันที่ผ่านมา

    Kumbe shee nawewe ni katika watumia majini wachawi muko wengi

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 3 หลายเดือนก่อน

    We Nishimura shiyaaaa

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 3 หลายเดือนก่อน

    Tupe ilmu Shekhe

  • @Hemy73Ally
    @Hemy73Ally 3 หลายเดือนก่อน

    Kisha mwenyewe unajifungaaa waliokataa ilo jambo hawajakosea wapo sawa mzee usiwatie watu kwenye ushirikina unajizongaa sana mzeee bora wao waliokuja wakasema haifai moja kwa moja mie ata sikuelewi naona unajizonga tuu mzee

  • @user-bj6yz7gy1v
    @user-bj6yz7gy1v 3 หลายเดือนก่อน

    kumtumia jini kwa mambo ambayo ya kawaida mfano kumuuliza aliye pandisha kwa kutaka yule jini akusaidie kujuwa wapi uchawi umeekwa au wako wangapi iyo sawa lla kama alivo kurupuka huyu mzembe kutumia jini kwa kummiliki yani kuwa kama mfanya kazi...jengine walii ni mchamungu akiwa na jini mshirikina uyo kaka waskilizaji nawo wanaakili

  • @user-es4uf6gj7u
    @user-es4uf6gj7u 3 หลายเดือนก่อน

    Weneyetabia yakupenda majini wengiwao niwashirirkini

  • @YussufWakala
    @YussufWakala 2 หลายเดือนก่อน

    Dk sule na yey waliiii hhhhh apo tuache

  • @AbuuSumayyah-rh7oi
    @AbuuSumayyah-rh7oi 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa kwa jinsi alivyo wachukia mawahabi yaonyesha hata ndani ya pepo akiwaona washaingia basi yeye atatoka atasema bora asingie peponi kuliko kuingia na mawahabi
    Ndugu yangu upepo safisha moyo wako na acha chuki zako juu ya watu walio simama ktk haqi mwendo unao kwenda hauna mwisho mwema mbele ya Mola wako wee ghurafy mtumwa wa wazushi

  • @la_raib953
    @la_raib953 3 หลายเดือนก่อน +2

    sisi ni waislamu anapotokea Muumini yoyote Haram akaihalalisha or kuilainisha hiyo anatakiwa kupingwa Kwa kuelimishwa or ata kutengwa

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      Soma mzuka ww wakupingwa kama ww usio kua na ilimu

  • @user-ww5iu4gz4b
    @user-ww5iu4gz4b 3 หลายเดือนก่อน

    HAJI UPAPA
    HAJI UPAPA
    HAJI UPAPA
    HAJI UPAPA
    HAJI UPAPA
    HAJI UPAPA
    KASOMEEEEEEE ACHA UMAARUFU
    HAJI UPAPA KASOME HAJI UPAPA KASOMEEE

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 3 หลายเดือนก่อน

      Pungza kuvuta bangi kwanza. Kisha anza kucomment

  • @gotfriedmwesiga4234
    @gotfriedmwesiga4234 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini msimwombe Mungu mwenyewe awasaidie jamani mnaomba majini ili iweje?

  • @user-ze8rk9ye6r
    @user-ze8rk9ye6r หลายเดือนก่อน

    hapana wewe umechanganyikiwa naona,mwanadamu hawezi kutumia jini kihali yoyote ile iwayo koz vyovyote iwavyo jini ni jini na mwanadamu ni mwanadam,na ikipatikana urafiki baina ya jini na mwanadamu lazima kuna mahali itafikia jini atataka kuwa juu kuliko mwanadamu hili nalo ujlijue,ndio maana wallahi ulamaa wa kisunnah wanafanya bidii sana kuwatoa watu katika baatwil kwa taufiki yake allah,na usipo kubali haki mwisho wake uwa kama huu

  • @citygraphics6670
    @citygraphics6670 3 หลายเดือนก่อน

    Haya mbona ndio alosema Bachu? Mnalazimisha utofauti wa waislam mcheni Allah jamani

  • @allymuhammad8956
    @allymuhammad8956 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani wewe mwenyewe unajichanganya

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 3 หลายเดือนก่อน +2

    USHIRIKINA HUO jini anaulimwengu wake na sisi tunaulimwengu wetu hakuna, QN kunaubusiano gani wa Pete na majini?

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      Ulimwengu wa majini ni upi hemu tuambie someni tumeumbwa majini na binadamu kumuabudu Allah na jini waeza mtumia kwa njia ya sawa

  • @user-xc6wt1lf6u
    @user-xc6wt1lf6u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi Shekhe Naomba Kufaham Tunafata Quran na Sunna Za Mtume Au Haitosh Tunafata Na Ya Watu Wengine

    • @rizikilukali1558
      @rizikilukali1558 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe unauwezo wa kuifafanua qur'an na sunna bila msaada wa maulamaa

  • @hassansheha1092
    @hassansheha1092 3 หลายเดือนก่อน

    Huna akili babu

  • @mirajramadhan3845
    @mirajramadhan3845 3 หลายเดือนก่อน +1

    Walii ni kila muumini anayemwamini ALLah.na si walii mtu maalum na kabla Mashekh wa kusudi kwa.

  • @jumaothman4411
    @jumaothman4411 3 หลายเดือนก่อน

    kwaiy umeamua kutetea huku kwenye haki ukaacha kuke kwenye haramu kwakua mawahabi wameongea na we huwapendi

  • @jumaothman4411
    @jumaothman4411 3 หลายเดือนก่อน

    tatizo la mashehe wetu (upepo) hamusikilzi ili mufaham munasikiliza ili mujibu

  • @ShabanHassan-td3lx
    @ShabanHassan-td3lx 3 หลายเดือนก่อน

    Ww hajji tumia akili kwanza, tumia ww ao majini, ss mawahabi msimamo wtu haifai,

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio wanajiita mashekh sasa, sasa majini wameumbwa kwa aina zao na binadamu tumeumbwa kwa aina zetu. Sasa umtumie jini wa nini mafundisho gani kwenye Qur'an yanasena ni sawa kumtumia jini kwa mazuri halafu umtumie ili iweje acheni uwehu

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu msela wawapi anatokea wapi mbona x shehe uyu ni mla bangi tuuu

  • @KhalidAbdalla-lb4ph
    @KhalidAbdalla-lb4ph 2 หลายเดือนก่อน

    Ata kama kasema lkn ufahamu yy ni mujtahidi

  • @user-oh7gv8zg5y
    @user-oh7gv8zg5y 3 หลายเดือนก่อน

    Inabid shekh utuambie sas je, na wewe ushawahi au kukubaliana na hao majini, ambao hawakupi masharti yasiyo kufru

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaahaa leo umekua ibn tehimia innalillah wainnalillaih rajoon japo huo ni uongo maelezo ni tofaut kwel usufi mzingo

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      Mzigo wako ibn taimiya ndio kazi yake ikitoa watu majini na pia asema waeza kutumia kwa njia ya sawa ubaya nyinyi mawahabi wapotoshaji hamusomi huyo sheikh wenu kakubali

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 2 หลายเดือนก่อน

    Je mtume alitumia ?

  • @alimau7939
    @alimau7939 2 หลายเดือนก่อน

    Mukizozana juu ya jambo lirudisheni kwa Allah na mtume wake mbona mashehe wa leo vitabu ndio kipao mbele

  • @SHABANIRAJABUNAMANGAYA
    @SHABANIRAJABUNAMANGAYA 3 หลายเดือนก่อน

    Ilishawah kuthibit katika wakat kipind cha Salaf...?.. Alaf acha kusema Mawahab.. Kwan Ukisema MASHEKH wa kiislam haitoshi

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan 3 หลายเดือนก่อน

    we nnae mshirkina tu Allah katika Quran yake kakwambia umfuate Ibn Uthaymeen au ufuate kitabu chake na mtume wake. Asee Allah atufanyie wepesi waislam.. asa kusomesha familia zetu katika nguzo za uislam na nguzo za iman muislam hajatajiwa mwanadam yyte ispokua Muhammad tu ila washrikina kama kawaida watafanya juu chini kujihalalisha tu, ukute hata kitabu anachosoma huyu bwana mdogo kimetengenezwa na wao kwa jina la uthaymeen na dogo hajui kua sio maandish sahihi ya Uthaymen..

  • @user-lh8qf5mn3s
    @user-lh8qf5mn3s หลายเดือนก่อน

    Kishehe ubwabwa hicho kinaporoja

  • @amidsshimirimana-yg4ku
    @amidsshimirimana-yg4ku 3 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo hayiwezekani huyo sure nimushilikina

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 2 หลายเดือนก่อน

    Upepo kasome tauhidi kwanza kisha ndo uje umtetee mtu mshirikina

  • @jumaothman4411
    @jumaothman4411 3 หลายเดือนก่อน

    au msikilizs shekh kiriwasha sehem ya pili

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 3 หลายเดือนก่อน

    Washirikina mnajuana

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kijana acha kuwapoteza waislam fahamu Kila unachosema utakuja kuulizwa

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani apo kakosea wapi mwehu ww

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee mnavogombana ivi wakristo wanafatilia mwishoe wanatumia maneno haya haya kutudharau

  • @giltaemi4017
    @giltaemi4017 3 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kujua kikundi cha Wajinga gusa mmoja katika wao utaona wengi wanaibuka kumtetea mjinga mwenzao.
    Ukimgusa mganga mshirikina mmoja tuuu watatokeza waganga wenzake wakimtetea mwenzao.

  • @binsaid8248
    @binsaid8248 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa unastadili kwenye vitabu ambavyo unavikosowa kila siku
    Nashindwa sasa nishike wapi mañana ibnu taiymiya na ibnu uthaimin unawapinga mnooo

  • @citygraphics6670
    @citygraphics6670 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna tofauti unayosema na aliyosema bachu. Nini maana ya Ulamaa wa Ahlusuna na Mawahabi. Usigawe waislam mcheni Allah

  • @coolvoices6608
    @coolvoices6608 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii mada ya kutumia majini kwa mda huu fatwa hy haifai kabisa ina madhara makubwa. Hakuna cha mawahabi wala maulidi hapa. Swali swahaba yupi katumia jini?

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน

      Kwanini siku zote hanjawahi kuhiji hili wakt lipo kwenye mijitabu yenu?

    • @jumaa052
      @jumaa052 3 หลายเดือนก่อน

      Uliza nabii yupi katumia majin na si swahaba nabiii?

    • @fundimagari5825
      @fundimagari5825 3 หลายเดือนก่อน

      Hii ni elimu pana sana ,kwa sababu M,Mungu amesema kwenye qur an uwashusha maraika na roho kwa mja hamtakae mola..
      Mwenye Mungu alimshusha roho kwa nabii issa ( yesu ) akiwa mtoto kabisa huo ucha Mungu wake aliufanya wapi?
      M,Mungu alimshusha roho kwa nabii Musa akiwa mdogo kabisa huo uwalii na uchaMungu aliupatia wapi?
      Ndio maana quran imesema Mungu ushusha roho kwa mja wake ampende ...anaweza akawa hata wewe au Sule au mimi ni mapenzi yake Allah uwe unaswali au aufanyi kabisa ibada Mungu ndiye mkadiliaji wa kila jambo inshallah

    • @jumaa052
      @jumaa052 3 หลายเดือนก่อน

      Hatupasw Kua na jaziba kwaivyo Unavyo hitaj kua swahaba gan katumia jinni ? Nb : nabii Suleiman katumia majin c jini ni majin make wengi Tu uta angalia uzito wa nabii na swahaba hapo Kwanza alaf pili ili tupate kua na ujuzi wa mambo tujitahid kusoma tusiwe kwamba sheikh wangu ndo mkwel na ndo ana Hali kuliko wengine muhimu ni kusoma kwa jitihada

  • @user-oh7gv8zg5y
    @user-oh7gv8zg5y 3 หลายเดือนก่อน

    Huwezi, kutumia jini ukamdhinit , ispokua wew ni mchawi na yeye lazima akupe masharti ya kufru, khalasi acheni kupindisha pindisha mambo, mashekh WA ki khurafi😊

  • @JumaMgeni
    @JumaMgeni 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndugu yangu hueleweki maelezo Yako, tutajie walii mmoja tu unamjua wewe nayuko wapi huyo waliii

  • @planetanimals9547
    @planetanimals9547 3 หลายเดือนก่อน +1

    Njia gn hio yakuongea namajini isiyo yakishirikina mbona hatukuona kigezo mtume wetu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 3 หลายเดือนก่อน

      Soma ww mtume s a w aliongea na majini ma wengine akiwafundisha quran hujielewi someni mawahabi wapotoshaji

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 3 หลายเดือนก่อน

    Sio Wahabi, hata mimi nasema haramm kumtumia jini katika jambo lolote nie SHIRKI.
    MNAPINGA Qur'an. Tatizo lipo mnapoteza uislamu wenu. Mtasujudu MOTONI.
    JE SHEIKH UNAPINGANA NA QUR'AN?

  • @rizikilukali1558
    @rizikilukali1558 3 หลายเดือนก่อน

    Umeeleza kisomi kijana tofauti na hawa mawahabi wanaokwenda kishabiki