Zitto Mdogo akimnadi Zitto Kabwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Mkutano wa Nyamhoza
    Kijiji cha Nyamhoza, Kata ya Mkongoro, Jimbo la Kigoma Kaskazini
    Tarehe: 17-10-2010

ความคิดเห็น • 22

  • @chazoenty
    @chazoenty ปีที่แล้ว

    Always each and every thing have its time

  • @bakaryngoneke5606
    @bakaryngoneke5606 2 หลายเดือนก่อน

    Zitto luhusu mikutano uliyoifanya ukiwa chadema yote iludi mtandaoni

  • @emmanuelmajele5812
    @emmanuelmajele5812 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda Sana

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว

    Malaika za mungu ndio unataka wapate mimba wakiwa Malaika unalazimisha wawe mashetani Mungu Ata kuonyesha kupitia Hao hao

  • @saidmaulid523
    @saidmaulid523 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar

  • @zablonnyanda6095
    @zablonnyanda6095 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtasubiri sana

  • @rinovarthiliwi1314
    @rinovarthiliwi1314 4 ปีที่แล้ว +1

    CCM wanaigawa nchi. Hawana kauli nzuri za maendeleo wakati wanajua
    kabisa hata vyama vya upinzani na wanachama wao wanalipa kodi. CCM
    kufanya mambo ya kuendeleza nchi ni wajibu wao kwani wao ndio
    wanaokusanya kodi na walipa kodi ni Watanzania wote vikiwemo vyama vya
    upinzani. Sasa nashangaa RC makonda anazunguka majimbo ya wapinzani
    kuwapiga vita ili Watanzania wwaliopo upinzani wawachague wabunge wa
    CCM. Hivi Watanzania kama bunge litakosa Wabunge wa upinzani mnategemea
    nchi iweje. Yani bunge lisiwe na watu wa kohoji Bunge. Watanzania
    mumesoma shule kura mpeni Rais Magufuli lakini wabunge lazima watoke
    pande zote kuwe na watu wa kuhoji bunge kwa vile wenyewe mumeona Wabunge
    wa CCM wasivyo na maswali ya kulihoji bunge.

  • @blesslory1862
    @blesslory1862 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais wa kigoma huyu

  • @mohanedibabu5129
    @mohanedibabu5129 4 ปีที่แล้ว

    Kipajihicho

  • @adammwangonda1888
    @adammwangonda1888 10 ปีที่แล้ว +3

    Duh huyu do go wamemfundishaje?

    • @alexdaniel7214
      @alexdaniel7214 6 ปีที่แล้ว

      hata kama kafundishwa Ila ana uwezo wake

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 4 ปีที่แล้ว

    Enzi hizo kabwe kweli lakini kwa sasa ni zigo badala ya zitto

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Wamekuombea kura, Leo unaandika barua benki ya dunia kuzuia pesa ili mtoto huyo wa mlala hoi asisome!

    • @zawaditemwa3043
      @zawaditemwa3043 4 ปีที่แล้ว

      Uwo mkopo kwaji ya masilahi yawa2 fulani nenda chato ndio utajua nn kinandele

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@zawaditemwa3043 kwani chato iko Kenya? kwani huko chato hakuna walalahoi???

    • @maplaylistsflavian95
      @maplaylistsflavian95 4 ปีที่แล้ว

      Ny akin kapilima c mn percent zenu

    • @h.rukuba7464
      @h.rukuba7464 4 ปีที่แล้ว

      Acheni udikteta kwanza

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

    Naona wengi tuu tunakuombea ila hao wakiritimba wa ccm majini mwitu

  • @frankmwita6840
    @frankmwita6840 4 ปีที่แล้ว

    Sasa bendera ya chadema ya nn wakati huyo kiongozi wa ACT

  • @sharifumuadham8852
    @sharifumuadham8852 5 ปีที่แล้ว

    Unsyisja

    • @godfreykilulu2961
      @godfreykilulu2961 4 ปีที่แล้ว

      Mkutano huo ni miaka Tisa iliyopita.mh zito akiwa bado ni mwanachama wa chadema