KIGOMA: WANANCHI WAGOMA AGIZO LA DC, WATAKA UCHAWI UKOMESHWE NA WAGANGA "KAMCHAPE, TUTAFANYA TU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 129

  • @user-nk4dt1tv3f
    @user-nk4dt1tv3f 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kamchape hongereni kwa kazi,mungu awaangamize wachawi wote

  • @user-fx5gu6xs5o
    @user-fx5gu6xs5o 11 หลายเดือนก่อน +5

    Daaa nyumbani huko japo uchawi upo sana lakini hawa jamaa nimatapeli jamii isiwaamini

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 11 หลายเดือนก่อน +4

    Vijana hawafanyi kazi wana watuum wazazi wao eti wachawi ili walisi mali zao Mungu anawaona mana kazi yakuukum yalio gizani sio yetu

  • @user-gn7rs8li8e
    @user-gn7rs8li8e 10 หลายเดือนก่อน +1

    Uchawi utatoka kwa jina la yesu kristo

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 ปีที่แล้ว +3

    utakufa bule kwajili ya Mila zawenyeji achana nao

  • @iraakasubete8287
    @iraakasubete8287 ปีที่แล้ว +1

    Waganga Kamchape wanakomesha uchawi eeehh wanatoa uchawi eeehh, Kiukweli KIGOMA haiendelei kwa sababu ya Uchawi Maana Mtu ukisoma hadi chuo siku ukirudi kwenu kusalimia basi huwezi rudi salama, Yaani Kiufupi DC atulie kama moja aache Kamchape afanye kazi yake

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 ปีที่แล้ว +5

    Ulianza vizuri lakini umeharibu mwishoni ungewaita wazee na viongozi taratibu ungemaliza hili swala vizuri

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 ปีที่แล้ว

      Busara ni akili!
      Sound Positive Mind bro
      Merci

  • @mwanaidikajembe4199
    @mwanaidikajembe4199 ปีที่แล้ว +1

    Safi sna mkuu Mungu akupambanie ktk majukumu yko

  • @noriegapiccaso
    @noriegapiccaso ปีที่แล้ว +8

    Waha wengi ni Wabishi sana Sema Elimu ni Muhimu sana kwa Jamii hii

    • @fadhiliyasini552
      @fadhiliyasini552 ปีที่แล้ว +1

      Ungejua ungenyamaza bro Acha ukabila angalia uhalisia

    • @lilianalmas5911
      @lilianalmas5911 ปีที่แล้ว +1

      @@fadhiliyasini552 Bora hata wewe ni muelewa

    • @mhealthproject4117
      @mhealthproject4117 ปีที่แล้ว +1

      Wewe kaa kimya hujui kitu usijifanye umesoma kima wee

    • @AmiBoy-vs2td
      @AmiBoy-vs2td ปีที่แล้ว +1

      Kumbe Afrika kunawatu mnaelimu?

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 ปีที่แล้ว +1

      Huu ni ukabila kaka!
      Hifai
      Sisi sote ni Watanzania😢

  • @promisetenson7258
    @promisetenson7258 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana dc

  • @saidimgeni9096
    @saidimgeni9096 ปีที่แล้ว +5

    Wa falme wa ubishi tanzania😂😂😂😂

    • @Rasjzjsjs
      @Rasjzjsjs ปีที่แล้ว +1

      Jmn sio wabishi ni watu wenye question mark sio wat wa ndio mzee

  • @penueldjuma2845
    @penueldjuma2845 ปีที่แล้ว +3

    So kweli DC tuache bhana 😂😂😂😂😂

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 ปีที่แล้ว +4

    Dawa ya UCHAWI Ni YESU TU na Kuokoka, Mganga naye Ni mchawi tu vilevile.

    • @zephaniahnkombe1607
      @zephaniahnkombe1607 ปีที่แล้ว

      Exactly

    • @godlovemalekela8575
      @godlovemalekela8575 ปีที่แล้ว

      Hata waganga wapo chini ya MUNGU

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 ปีที่แล้ว

      Mtu Akitaka Kukuroga Anaenda Kwa Mganga, Kwahiyo Mchawi Ndo Mganga Huyohuyo Hakuna Mwingine.

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 ปีที่แล้ว

      Hizo ndo ajira za watu...

    • @user-fx5gu6xs5o
      @user-fx5gu6xs5o 11 หลายเดือนก่อน

      Hapo umeneja kweli ndugu 🙏🙏🙏🙏

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว +2

    Watu Mnachukulia Poa Lakini Vifo Vya Ajabu Vinauma Jamani Niliwai Kuona Mtu Amekwaluzwa Makucha Na Paka Atimae Kuzidiwa Na Kufa Na Siku Iyo Kabla Ya Tukio Alicheza Sana Mpira Uchawi Upo

  • @mtumishi669
    @mtumishi669 10 หลายเดือนก่อน +1

    wengine tutabzausiku😅😅tutanzausiku

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 ปีที่แล้ว +4

    ﴿وَأَنَّا مِنَّا الْمُسْلِمُونَ وَمِنَّا الْقَاسِطُونَ ۖ فَمَنْ أَسْلَمَ فَأُولَٰئِكَ تَحَرَّوْا رَشَدًا﴾
    [ الجن: 14]
    MAJINI YAMO KATI YAO NA WALIOSILIMU
    Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.
    Surah Al-Jinn in Swahili

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว +6

    Sema na wewe DC hujui kuongea na watu kama hawa hujui kabisa

  • @WilliamMtega-qi6yw
    @WilliamMtega-qi6yw 11 หลายเดือนก่อน

    Ukitumie kombora YESU utafanikiwa,uchawi hauishi Kwa kuleta waganga wa jadi,okokeni mpokee YESU ndiye kiboko ya wachawi,bila YESU mtalia sana

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 ปีที่แล้ว +3

    Swala na wachawi kigoma waachie wazee wenyewe mkianza kuingiza siasa uchawi huwezi kuumaliza kigoma, ni mkoa mgumu sana kuishi asa wenyewe kwa wenyewe

  • @penueldjuma2845
    @penueldjuma2845 ปีที่แล้ว +4

    Uchawi mwisho 😂😂😂😂😂😂

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx ปีที่แล้ว +2

    milad ayo khabary zako ni za uhakika mno kuliko media zingine zote zilizoanzishwa za mbao bado tunataka utupe kwa kina khabary za rashia huko ok vzr

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว +2

    Kuoongoza ni kazi sana ni wajuaji

  • @hellenchiristian3368
    @hellenchiristian3368 ปีที่แล้ว +3

    Baba unajichosha tu waha ni wabishi 😅

  • @comredidamiano1351
    @comredidamiano1351 6 หลายเดือนก่อน

    kama hayiamini kwanini serikali inawaganga wew ACHA mamb yko bn

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli hii serikali wangeingila swali hili ili watu kuroga au kuchukua watu msukule au kurogana kurudishana maisha nyuma akibain8ka mtu anamzulumu mtu mwezio kwa uchawi akamatwe achunguzwe

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas 5 หลายเดือนก่อน

    Sikiliza viliyo vya wanaichi uchawi umezidi

  • @comredidamiano1351
    @comredidamiano1351 6 หลายเดือนก่อน

    hizo pesa wanalazimishwa kutoa au wew ndo umekula hela

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว

    Serikal haimin wakt wew DC mshirikin pia. Vingine sio vyakusem hadharan utakuf bure

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas 5 หลายเดือนก่อน

    Kiliyo vyawanainchi kiende wapi ukisema mchawi umemzalilisha naakikupeleka polisi nikesi Sasa wamefanywa kuleta kamchape ili wachapwe basi pia hamtaki Sasa kiliyo Chao wakipeleke wapi? Kwahiyo unataka wachawi waendelee kurogwa kuua kisa hakuna ushaidi et Kijiji kinawatenga walisha chapwa Sasa ulitaka Kijiji kiwakumbatie kwakazi yakuwaroga nakuwaua?.

  • @utamuwashanga8935
    @utamuwashanga8935 ปีที่แล้ว +2

    Katika watu wa ovyo ni huyu Mkuu wa Wilaya ya Kigoma , Sio msomi na anataka kuongoza watu kwa jinsi akili inavyotaka. Hatuna kiongozi tuna pazia kweli kweli

    • @gayanimwansasu
      @gayanimwansasu 11 หลายเดือนก่อน

      Amani ndio maisha kama visa navisasi wakasema wewe ndie mchawi itakuwa je yalio gizani Mungu ndie anayejua

  • @misheckmrk8848
    @misheckmrk8848 ปีที่แล้ว +1

    Kigoma etu 😂😂😂😂 #jeuli

  • @aliemdogo
    @aliemdogo ปีที่แล้ว +3

    Huyu nae nimchawi

  • @power.truckxd9957
    @power.truckxd9957 ปีที่แล้ว +2

    Chamsingi weka ulinzi kamchape muhimu

  • @babafaida9719
    @babafaida9719 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ni mkuu wa wilaya hayo ndio tunayokutana nayo huku serikali za mitaa wakati tunatekeleza majukumu

  • @gngn762
    @gngn762 ปีที่แล้ว +1

    Wachawazallishwekwann wanaroga?

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 ปีที่แล้ว +1

    Waha wabishi wa dunia 😂😂🙌🙌

  • @user-nl5pf7tb1j
    @user-nl5pf7tb1j 10 หลายเดือนก่อน

    Kinachoendelea kwa xx niwizi wa mali za watu wanawacha watu wakiwa masikini ni Kama serikali haioni ebu wadau pazeni sauti Hali ni mbaya xana

  • @fredyshirima8594
    @fredyshirima8594 ปีที่แล้ว +1

    Nilijua ni mambo ya bandari kumbe ni uchawi! 😷

  • @brmtvtibaasili8289
    @brmtvtibaasili8289 ปีที่แล้ว +1

    Wamelienda hili jambo kienyeji walipaswa wawape elimu kwanza

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas 5 หลายเดือนก่อน

    Ukiona sehemu kamchape wamechapa bila shida ujuwe mkuu waeneo hilo namwenyekiti siyo wa chwawi kwasababu hiyo ataruhusu uchawi uchapwe et kamchape nao niwachawi sasa sibora wachapane tu? Ili uchawi upunguwe? Yaani katika yanyumba kumi wachawi saba sasa tutapumlia wapi? Bora wapunguzane hata kama nao watakuwa wachawi itakuwa nafuu kwenye majambazi kumi yakipunguwa majambazi saba nafu kwalaia sasa shida iko wapi?.

  • @user-bs6un2zz7w
    @user-bs6un2zz7w 8 หลายเดือนก่อน

    Kamchape mwenyewe nimchawi.anaumbua mchawi yupi tena

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 11 หลายเดือนก่อน

    DINI NI UPUUZI KAMA UPUUZI MWINGINE

  • @comredidamiano1351
    @comredidamiano1351 6 หลายเดือนก่อน

    naomba wachawi waanze na yeye

  • @user-il4mt7kg6v
    @user-il4mt7kg6v 10 หลายเดือนก่อน

    uchawi upo tusidanganyane

  • @comredidamiano1351
    @comredidamiano1351 6 หลายเดือนก่อน

    huyu mkuu wawilaya nimwehu Tena aangalie vizuli

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 ปีที่แล้ว +5

    Asee hapo waslamu wako wengi ndo manaa wanapenda ayo mambo

    • @luqmanomary3558
      @luqmanomary3558 ปีที่แล้ว +1

      Waislam na uchawi vinahusian vipi ..vipi mapadre wanajifanya wnaponya wao hutumia nini??
      Alafu uislam n dini ya Allah dini ya amani dini ya ustaarabu

    • @aqmmsm55
      @aqmmsm55 ปีที่แล้ว

      weee koma na ukomae wanga ni washirikina sio waislamu na washirikina zaidi ni wakristo

    • @danieljosiah2628
      @danieljosiah2628 ปีที่แล้ว

      @@aqmmsm55 Ujiji kuna wachawi wengi sana mkoa mzima wa kigoma chimbuko la wachawi ni Ujiji je, ujiji wanaishi wakristo?

    • @aqmmsm55
      @aqmmsm55 ปีที่แล้ว

      @@danieljosiah2628 hili linajulikana kuwa kawaida ya wakristo na washirikina sehu yenye waislamu wengi wanasema kuna wachawi

    • @chishakosaidi1541
      @chishakosaidi1541 ปีที่แล้ว

      Mpanda na sumbawanga niwachawi sana kuna waisilam wengi? kule

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 ปีที่แล้ว +1

    Hukubaliki

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 ปีที่แล้ว +1

    Huyu nae ni miongoni mwao

  • @user-gn7rs8li8e
    @user-gn7rs8li8e 10 หลายเดือนก่อน

    Watu wa kigoma hawana elimu irudoshwe memkwa

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 ปีที่แล้ว

    Ila kigoma mmezidi badilikeni

  • @emanuelibora8186
    @emanuelibora8186 11 หลายเดือนก่อน

    Na nyie mnaokoment kushabikia na kumkosoa mkuu wa wilaya mnaakili timamu kwel!!kwani mganga na mchawi wanatofaut gan?

  • @zulfakasonga5398
    @zulfakasonga5398 ปีที่แล้ว

    Jamman kwani hao waganga wameanzia bitale tu mbno vijiji vingine wamefanya hivyo haukwenda kuzuia kwani ulikuwa wapi sikuzote .

  • @intellectualeducationcentr4484
    @intellectualeducationcentr4484 ปีที่แล้ว

    Huyu mkuu wa wilaya boya kabisa
    Yeye apo anakesha kwa waganga fala sana huyo

  • @safinkeyemba2174
    @safinkeyemba2174 11 หลายเดือนก่อน

    WAGANGA nawachawi ni Giza tupu MUNGU utusimamie

  • @abeliantony7085
    @abeliantony7085 ปีที่แล้ว

    Kuja uwe kiongozi lazima uwe ulafiki nawachawi ndipo utaweza uongozi, dawa ya mchawi nipanga tu

  • @PiiiNickson-wi1ld
    @PiiiNickson-wi1ld ปีที่แล้ว

    We DC hujui chochote hayajakukuta

  • @fadhilphone2515
    @fadhilphone2515 ปีที่แล้ว

    Masuala ya uchawi waachieni wenyewe nyie Serikali haiwahusu hata kidogo hayo mambo niyakimila zaidi

  • @ImraniNjwili-ch1jy
    @ImraniNjwili-ch1jy ปีที่แล้ว

    Jaman

  • @amanimusa5744
    @amanimusa5744 ปีที่แล้ว

    Uchawi upo nayeye mshurika dc

  • @najmamgallah8154
    @najmamgallah8154 11 หลายเดือนก่อน

    Wanaosababisha mauwaji n askali kw kuingiria yasiyo wahusu, wanachap tenaa kw amani kabisa

  • @PiiiNickson-wi1ld
    @PiiiNickson-wi1ld ปีที่แล้ว

    Ilagala kwetu

  • @user-nk4dt1tv3f
    @user-nk4dt1tv3f 8 หลายเดือนก่อน

    Hatukusikilizi wewe Basi nawewe ni mchawi

  • @mohamedsalum8933
    @mohamedsalum8933 ปีที่แล้ว +1

    Mcposhughulikia hili suala kwa kina huu mgogoro unaweza kuspill over ukashindwa kuwa controlled. Kamata hao waganga na wenyeji wao sweka ndani mpk watu watakapoelewa umuhimu wa amani. Kweli if you think education is expensive try ignorance. Yote Hii inasababishwa na ujinga c kitu kingine.

    • @intellectualeducationcentr4484
      @intellectualeducationcentr4484 ปีที่แล้ว

      Hujitambui na hujielew Acha kuona watu hawana akili

    • @RynoFiree
      @RynoFiree 10 หลายเดือนก่อน

      Mbwa tu vibaraka wa serikali mboovu huna lolote ulishawah kurogwa ww

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว +1

    Ukisikia tunaongozwa na watu wapuuzi ndo kama uyu mkuu wa wilaya, eti watu wangu, uliwaumba ww bogus kabisa

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk ปีที่แล้ว +2

    Huyu kiongozi familia yake ni wachawi msenge sana huyo mzee

    • @promisetenson7258
      @promisetenson7258 ปีที่แล้ว

      Acha upuuzi ww huu ni ujinga hujui kuwa hawa ni matapeli,una elimu ya kichawi nyooooo

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas 5 หลายเดือนก่อน

    Utakamata wangapi wewe? Usitake kuwaonea wanainchi kisa wewe nipolisi we sikiliza maoni ya wanainchi siyo kuwatishia bwana watu wameshachoka nauchawi bwana

  • @KazolaLazaro
    @KazolaLazaro ปีที่แล้ว

    Et wana waumbua wazee wenu, mama zenu, haya wenye wazee na wenye mama tumetaka we nae chakuwasha nini? Au wataka tuendelee kuwa duni miaka yote wangine wanaendelea. kwanza kwann hapa2 maeneo mengine hiongozi ww mbn wamepiga.

  • @EnockyHebron
    @EnockyHebron ปีที่แล้ว +1

    Wanaichi mbona wajinga sana😮😮😢

  • @godlovemalekela8575
    @godlovemalekela8575 ปีที่แล้ว

    Wamezidi Acha wachapwe

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 ปีที่แล้ว

    Oyeee

  • @hamisimkoma7380
    @hamisimkoma7380 ปีที่แล้ว

    Huyu DC naye ni fala tu

  • @abseismail
    @abseismail 8 หลายเดือนก่อน

    vp

  • @joycebwami2001
    @joycebwami2001 ปีที่แล้ว

    😂😂aiseee kwetu uko

  • @IsraelKisaila
    @IsraelKisaila ปีที่แล้ว

    KIGOMA kiboko

  • @daudminzi-pb3je
    @daudminzi-pb3je ปีที่แล้ว

    Wanamini uchawi hao

    • @Rasjzjsjs
      @Rasjzjsjs ปีที่แล้ว

      Vp kuhus wew huamn kam uchawi upo?

  • @boxdadio
    @boxdadio ปีที่แล้ว

    Wanamkalanzua

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 ปีที่แล้ว

    Walioweka mipaka walikosea kigoma kuiweka Tanzania wangeiwacha iwe Burundi tu.

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 11 หลายเดือนก่อน

    nikweli wazee wengine niwachawi kwelkweli siokama Mzee wako hakuwa mchawi na WA mwenzio sio mchawi uchawi upo waacha wawasalambe wachawi wamezidi

  • @homeboyasilia2023
    @homeboyasilia2023 11 หลายเดือนก่อน

    🤣😆😆😆 laaaaa kigoma balaaaa

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว

    Elimu elimu... ziwa tanganyika imekwenda wao wanatafuta mchawi kati yao.. huyu mungu wa hizi dini zinazotugawa....

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 ปีที่แล้ว

    Wawakamate hao waganga kuondoa tatizo

    • @edithajonh2970
      @edithajonh2970 ปีที่แล้ว

      Kumanyoko mkundu wako unamavi kicwani mwako pumbavu zako ungekuwa kalibu yangu ningekukata makofi jinga kwel ww muone kichwa kama Bata

    • @bernardjohn8788
      @bernardjohn8788 ปีที่แล้ว

      @@edithajonh2970 Halafu jumapili umejipanga mstari kanisani kukomunika. Kama dini haijibu matatizo yenu , basi achaneni nayo
      Kiufupi hao MATAPELI wamefukuzwa ufipani ninyi ndio mnaona mmepata?

    • @edithajonh2970
      @edithajonh2970 ปีที่แล้ว

      @@bernardjohn8788 Kuma la mama yako tapeli Ni mkundu wako na wa mama yako jinga kwel ww muone kichwa kama Bata pumbavu zako ungekuwa kalibu yangu ningekukata makofi wamekutapeli nn et una nn ww hapo unamatako matupu tu Jinga kwel ww

    • @emilipaul9474
      @emilipaul9474 ปีที่แล้ว

      Kiongoz umesomea wapi hao nimatapeli wakija kwako siku wakuambie wewe ni mchawi ndo utakuja ⁴kuelewa hili

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว

    uongoz cıo utdekta
    Dc ulitakiwa kudwell down kisha ungetafta namna t kuliondoa hili hali ya kuwa wananchi wameşngiwa na imani ta kukuamin
    Uongoz cıp kukurupuka uongozi n karama kutoka kwa Mungu

  • @elicanageorge1319
    @elicanageorge1319 ปีที่แล้ว

    HIVI NDIVYO MAKUNDI NA MAKUNDI YATAKAVYOINGIA MOTONI KWA KUTOKUJUA KUWA MUNGU NI MKUU SANA.

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk ปีที่แล้ว

    DC ni mwehu au nayeye ni mchawi matako yake

  • @vipackyummy6916
    @vipackyummy6916 ปีที่แล้ว

    Wacongo wabishi xan

    • @Rasjzjsjs
      @Rasjzjsjs ปีที่แล้ว

      Sio wabishi ni watu wenye question mark,sio wat wa ndio mzee,kumshawishi jipange kwel kwel

    • @double8boy802
      @double8boy802 ปีที่แล้ว

      kwani apo ni congo?

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 ปีที่แล้ว

    Kati ya wajinga nae ni mjinga