Magoli | Gor Mahia 5-1 EL Merrekh | CAF CL 25/08/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024
  • Tazama magoli yote sita, Gor Mahia FC ya Kenya ikiishushia kichapo kikali cha mabao 5-1 El Merreikh Bentiu ya Sudan Kusini katika mchgezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Kenyatta, Nairobi Kenya.
    Wafungaji wa magoli haya ni Ochieng, Onyango, Omija na Rooney aliyefunga mawili huku goli pekee la Bentiu likifungwa na Akinbinu...
    Matokeo haya yanaivusha Gor Mahia kwa jumla ya magoli 5-2 baada ya kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza kwa bao 1-0.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 78

  • @fredrickomondi1813
    @fredrickomondi1813 2 หลายเดือนก่อน +5

    I just cry when i watch that s. Sudan coach😢😢😢 pole kwake anafaa kuangalia career ingine mpira utamuua

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 2 หลายเดือนก่อน +2

    Elmelk mabonge sana

  • @FatumaKitambuu
    @FatumaKitambuu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kenya 🇰🇪 juu japo mimi mtanzania

  • @OfficialElishamaMulokozi
    @OfficialElishamaMulokozi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Goooaaal with Gor Mahia

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dah kocha wa sudani Hadi huruma Yani kama alie hivi😢😢😢

  • @ZuberiMaulid-g4v
    @ZuberiMaulid-g4v 2 หลายเดือนก่อน +2

    aaaah naona huruma kwa coach aloo kama anataka kulia or kuongea yan its mixed feelngs😅

  • @ericksonodhiambo9964
    @ericksonodhiambo9964 2 หลายเดือนก่อน +2

    Azam TV ni wasenge sana game imechezwa jumamosi leo ndo mnaweka highlights. Kwani hizo hamsa za Gor mahia ziliwakera?

    • @groovy5357
      @groovy5357 2 หลายเดือนก่อน

      Walai iliwaboh
      Hao walitolewa 😂

  • @NasrajNasrajhassan-z9f
    @NasrajNasrajhassan-z9f 2 หลายเดือนก่อน

    Vp na hao wamepewa millioni ngapi kwa kila gori na laisi waooo😂😂😂

  • @FatumaKitambuu
    @FatumaKitambuu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa hata na singida wanapigwa

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน +6

    Yani sisi YANGA East Africa tuchakaza wote hata hyo sijui Gor Mahia 😅😅😅😅😅

    • @othmantv2654
      @othmantv2654 2 หลายเดือนก่อน

      Wakenya waje wabishe na hili tuombe mechi ya kirafiki na hao gor mahia😂😂😂

    • @colethambusule5840
      @colethambusule5840 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mpira hujui wew

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      @@colethambusule5840 leta timu yako uwanjani 😅😅😅

    • @majidabdul-wg8ww
      @majidabdul-wg8ww 2 หลายเดือนก่อน +1

      Utaomba maji

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 หลายเดือนก่อน +1

      Timu ambayo hata top 10 Africa haipo ghafla inajiona ndio miamba ya Dunia hii nayo ajabu ,wale mlokutana nao na kuwafunga 10 ni watoto sana huko mbele ndio tutajua nn ni nn😂😂😂

  • @michaelian7725
    @michaelian7725 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mlimfanya vibaya kocha jamani😢

  • @mussacmchile397
    @mussacmchile397 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂huyu Kocha el merek atakuwa mlev😂😂

  • @NasrajNasrajhassan-z9f
    @NasrajNasrajhassan-z9f 2 หลายเดือนก่อน

    Vp nao wamepewa milioni ngapi hao kwa kila goli😂😂😂

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 2 หลายเดือนก่อน +2

    DAH!! MBONA MMEWAHURUMIA SANA TIMU ZA SUDAN KUSINI WAKIKUTANA NA YANGA HUWA WANAPIGWA SABA NA KUENDELEA... SIKU NYENGI WAPIGENI KUMI HAO 😂😂😂😂 WAWAHESHIMU... MAMMAEE

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 หลายเดือนก่อน

      We naye nani kakuambia El - Melekh ni Sudani kusini? Hao kwao Kuna vita saa hivi ndio maana wameshuka ila hiyo timu ilikuwa tishio sana wanatoka sudan

    • @husseinamiri7096
      @husseinamiri7096 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@emmadora7848Hao ni El-mereikh wau ya south sudan EL-MEREIKH yenyew unayoitaja imefuzu ipo second round

    • @husseinamiri7096
      @husseinamiri7096 2 หลายเดือนก่อน

      Hao EL-mereikh wau kwao hakuna vita ndiomaana first leg wamecheza kwao JUBA ila wale EL-mereikh ya SUDAN(arabs) kwao omdurman ndio kuna vita kwaio hao ni kuwapiga 8

    • @BenjaminMetanyau
      @BenjaminMetanyau 2 หลายเดือนก่อน

      Sio kweri utopolo mlikutana na al hilal ya sudani mkakojorewa kimoja mkatupwa shirikisho wewe ni wasudani Gani una wasemea😒

  • @husseniAhmadahmed-x8z
    @husseniAhmadahmed-x8z 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga tynawahtaji GOr

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sio level zetu hyo . Hao ni kma viral o 😅😅😅😅😅

    • @othmantv2654
      @othmantv2654 2 หลายเดือนก่อน +2

      gor mahia wakija tutawapa yanga princess wacheze nao wanaweza wakapata hata draw😂😂😂

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@othmantv2654 Sema biashara yao imeisha.Wanakutana na mafaro wa Egypt 😅😅😅😅😅

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 หลายเดือนก่อน

      Ninyi nyote ,Mahia na yanga mmekutana na timu zenye njaa na vita kwao😂😂😂😂

  • @Saikalyasi
    @Saikalyasi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa wanacheza ligi ya mabingwa gani hii hii wanayocheza YANGA au 😅😅😅😅

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kaa kimya waache waje tukutane nao ni mahuaji ya kimbari

    • @majidabdul-wg8ww
      @majidabdul-wg8ww 2 หลายเดือนก่อน

      Na vital O nawo

    • @jumamkoka2267
      @jumamkoka2267 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa mpira upi sasa ...maana hii mechi n kama iliwekwa slow mo😂😂😂😂

    • @wilberforcewanami7665
      @wilberforcewanami7665 2 หลายเดือนก่อน

      Weeeuh yanga ya moto atakufa Gor mahia ata 7 bila

  • @abdulhamidyhamady762
    @abdulhamidyhamady762 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sio km wamefufuka wamepata vibonde tu wakija bongo kucheza na yanga awa gormahia wanakula 7

  • @kareemibrahim1892
    @kareemibrahim1892 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duh wamefufuka bhan 😂😂😂

    • @RamadhaniBendera-j1s
      @RamadhaniBendera-j1s 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wamefufuka tena

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hao wote YANGA anapiga anapasuw vipande pande 😅😅😅😅

    • @kareemibrahim1892
      @kareemibrahim1892 2 หลายเดือนก่อน

      @@JELSONMAUKI istosh wap Al ahly sas 🤣🤣🤣

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndio gormahia

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo Simba wanaanguka

  • @EdiSule
    @EdiSule 2 หลายเดือนก่อน

    Bado sana

  • @FatumaKitambuu
    @FatumaKitambuu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Goal kipa hakuna

  • @groovy5357
    @groovy5357 2 หลายเดือนก่อน

    Azam muache upuzi
    Mechi ilichezwa jumapili mnapost highlights Jumatano
    Ama iliwauma juu nyinyi mlishatolewa
    Ufala

    • @patricklaiton8939
      @patricklaiton8939 2 หลายเดือนก่อน

      Next mECHI BWATAWAI KUPOOST UPO TYARI KUITAZAMA HIGHLIGHT?

    • @groovy5357
      @groovy5357 2 หลายเดือนก่อน

      @patricklaiton8939 mimi huenda stadium, sitegemei highlights baba
      And yes Kogalo is ready

  • @wiyz_ta
    @wiyz_ta 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂coach 😅😅😅😅 haelewi 😂😂😂😂

  • @AziziRajabu-mv8jz
    @AziziRajabu-mv8jz 2 หลายเดือนก่อน

    Mechi ijayo na al ahly 😅😅😅😅

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 2 หลายเดือนก่อน

    Vibaba dulla ivo

  • @babukaju538
    @babukaju538 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba yanga tukutane na awa wakenya

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂 hata mimi natamani😂😂

    • @kareemibrahim1892
      @kareemibrahim1892 2 หลายเดือนก่อน

      @@babukaju538 🙄

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@RamadanPaulGroup stage hyo itakuwa Raha sana. Ela za Mama tutabeba kma zote 😅😅😅😅😅

    • @majidabdul-wg8ww
      @majidabdul-wg8ww 2 หลายเดือนก่อน +1

      Jidanganyeni mpira chochote hutokea...

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

      @@majidabdul-wg8ww SEMA hawatoboi raund ya 2 wako na mafaro wa Egypt 😅😅😅

  • @othmantv2654
    @othmantv2654 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hao gor mahia wakija ligi ya bongo hata nafasi ya 10 hawapati😂

    • @ericksonodhiambo9964
      @ericksonodhiambo9964 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani Tz kuna talanta ama mnategemea wachezaji wa kigeni?

    • @NyunduMtewele-ez7ei
      @NyunduMtewele-ez7ei 2 หลายเดือนก่อน +3

      vyovyote ixhu nafas ya kum hawapat​@@ericksonodhiambo9964

    • @headoffice3221
      @headoffice3221 2 หลายเดือนก่อน

      L0😊​@@ericksonodhiambo9964

    • @majidabdul-wg8ww
      @majidabdul-wg8ww 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe una wazim sana

    • @bernardphillip2960
      @bernardphillip2960 2 หลายเดือนก่อน

      @@ericksonodhiambo9964wewe rudi mathare ukamalizie dose yako coz nadhani unajisahau kuwa clubs ni pesa ya mtu ndio inaweza kufanya awe vizuri na kupata wachezaji wazuri kama watasajili vizuri. Ninyi bakini tu na legue za England huku kwingine kitulize. Hiyo Gor Mahia ni size ya Pamba jiji au FAO kwa Tz 😂🤣

  • @NasrajNasrajhassan-z9f
    @NasrajNasrajhassan-z9f 2 หลายเดือนก่อน

    Vp na hao wamepewa millioni ngapi kwa kila gori na laisi waooo😂😂😂