Zitto Kabwe Ang'atuka ACT Wazalendo I Ni Vigumu Kutoa Maoni Kwenye Vyama Vingine I Waulizeni...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 81

  • @moddy8744
    @moddy8744 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa kweli hichi ndio chama na zito ni kiongozi best msomi na ni mwenye hekima

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante Mwami na ACT, hakika hiki ni Chama Kiongozi kwa sasa Tanzania

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ktk upinzani kwa taifa letu tuangalie sana. Mtu sio chama tuu unaweza kuwa na chama na sera nzuri mwana siasa mbovu ktk chama tumeona Hilo ktk vyana vingi wengine ni matapeli ktk vyana mfano zito kabwe sio matiriol sana ktk uongozi

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 9 หลายเดือนก่อน +3

    ACT mnakomaa kidemokrasia, kubadilisha Uongozi ni Jambo jema,,,CUF, CHADEMA, SIPUNDA, n.k , toeni vibanzi.

  • @AllyHamisi-c7j
    @AllyHamisi-c7j 7 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi wangu pendwa,kwenye chama changu pendwa,na ndani ya inchi yangu pendwa.

  • @chemstry409
    @chemstry409 9 หลายเดือนก่อน +1

    DJ yeye hataki kuondoka....kang'ang'ania...😂😂😂

  • @DionisMalila
    @DionisMalila 8 หลายเดือนก่อน

    Zitto ni kiongoz makini

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt 9 หลายเดือนก่อน +2

    Zitto una haki.uachie ngazi kwa mujibu wa hali.ya chama.chenu, ukweli kiko.hoi.mno. Tunapoambiwa ni CCM B, ni kweli maana mina ndoa na CCM huko Zanzibar. Achia ngazi wengine wakinyooshe.

  • @SarahShao-jw1up
    @SarahShao-jw1up 9 หลายเดือนก่อน

    Nyie ACT mnaweza kibadilishana uongozi ksb humwindwi ..,....CCM B

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 8 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kubadirisha kamanda wa vita katikati yavita ebufatilia vizuri duniani ushahidi haufichiki mandela , HH wazambia, laila wakenya,n,k kwahiyo act inaigiza hawako siliasi

  • @HeriMohamedi-p6g
    @HeriMohamedi-p6g 9 หลายเดือนก่อน +1

    Zito kabwe ni SawA na waziri mkuu wanafiki hao

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 9 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Zito wewe umebobea kwenye siasa. Napenda mtazamo mpana.

  • @sadhamis5463
    @sadhamis5463 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona amuulizi hiyo kiongozi wa chama maana yake ni nini aiwezikani hawe kiongozi wa chama wakati anakwepa neno la kiongozi wa juu wa chama.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 9 หลายเดือนก่อน

      Kiongozi wa chama ni taasisi ambayo itakuwa ikimmulika Rais, ili kuepuka kumpigia makofi Rais hali kwamba anaharibu. Ni mfumo bora kabisa kama utatekelezwa kama ulivyo. Hata nchi kama USA inaongozwa kukiwa na ranking members, kumsimamia Rais.

  • @omarali797
    @omarali797 9 หลายเดือนก่อน +1

    Neno kung'atuka lilikuwa kama jipya pale lilipotumika kwa Mwalimu Nyerere pale alipo kangutuka rasmi na siasa. Zitto bado ni mwanasiasa na anatarajia kugombania Ubunge,

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 9 หลายเดือนก่อน

      Sasa tatizo liko wapi sio anang'atuka hapana katiba yetu iko ivo

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 9 หลายเดือนก่อน

    Zitto aliigiza kile kinachoendelea Iran ambapo kuna ayattollah kama kiongozi mkuu na rais kama kingozi wa serikali. Kimsingi, chama cha kidemokrasia hakihitaji kiongozi mkuu wala nini. Ni mfumo wa kihuni tu wa kujitafutia riziki. Kwa wanaofahamu jinsi ACT ilivyogeuka CUF pale Lipumba alipomtimua marehemu Seif Sharif Hamad aliyedhani angemtumia, wakaamua kujiuza kwa CUF.

  • @marthalazaro9739
    @marthalazaro9739 9 หลายเดือนก่อน

    Hahahaaaa janja ya nyani. Mwenyekiti wa Chama anatakiwa awe imara. Asiyeyumbishwa. Chadema msidanganyije

  • @khamismakame
    @khamismakame 9 หลายเดือนก่อน +2

    Freeman mbowe jifunze kwa Zitto kabwe kuhusu Siasa na uongozi Miaka yote Hutaki kuacha nafasi ya mwenyekiti Kama chama chadema umeinunua😊

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 9 หลายเดือนก่อน +2

      Ajifunze nini kutoka Zitto?

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 9 หลายเดือนก่อน +2

      Hahahahaha
      Mbowe ana uwezo mkubwa hakuna atakaeweza kuvaa viatu vyake

    • @piusjoachim5843
      @piusjoachim5843 9 หลายเดือนก่อน +2

      Kwanini mbowe na sio Lipumba?

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 9 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanimtetu3656 Hawa watu ni wa ajabu sana,wanataka waivuruge Chadema kwa kuwatumia hawa wapumbavu na wajinga akina Zitto na ajabu nyingine ya hawa wajinga ni kwa nini hawaisemi CCM imeitawala nchi hii saa ni miaka 63,hawasemi waachie nchi kwa Chama kingine,wao hilo hawalioni,wanaona ya Mbowe na Chadema tu,Mbowe ni Kamanda na ataendelea kuwa Mwenyekiti wetu.Mteseke tu na hao mamluki wenu.

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 9 หลายเดือนก่อน

      @@piusjoachim5843 Tunawashangaa hawa wapumbavu,wanamshupalia Mbowe tu,CCM inaendelea kututawala bila ridhaa yetu,miaka na miaka

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 9 หลายเดือนก่อน +1

    Salaam nyingi reporter

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wenzake walitudanganya wanavuana magamba walishindwa

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 9 หลายเดือนก่อน

      Wenzake ni akinani

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki chama siku kule Zanzibar wakitoka ACT na kuunda chama chao ndio kitakuwa kimekufa rasmi.

    • @HafidhKhamis-ph8qg
      @HafidhKhamis-ph8qg 8 หลายเดือนก่อน

      Waweza kufa wewe lkn iki chama kitaendelea km vile ccm wanavokufa viongoz wake chama kpo

  • @Kisaboleonards
    @Kisaboleonards 9 หลายเดือนก่อน

    Hata kwenye ubunge kuwe na ukomo wa awam 2

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 8 หลายเดือนก่อน

    Acheni kumuingilia wakati anafafanua mliyomuuliza

  • @glassamo3847
    @glassamo3847 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona maswali ya waandishi n ya kawaida sana

  • @ChadeLukanyanga
    @ChadeLukanyanga 9 หลายเดือนก่อน

    Zito anafaa kuongoza mfano mnzuri, wengine je?

  • @sadhamis5463
    @sadhamis5463 9 หลายเดือนก่อน

    ACT WAZALENDO mtuambie cheo cha ZITTO kilikuwa ni kipi maana hapo anasema ni KIONGOZI WA CHAMA je akiwa na maana gani wakati viongozi wengine pale ACT WAZALENDO wanavyeo vyao kuna mwenyekiti makamu mwenyekiti katibu mkuu na naibu katibu unashuka hadi chini hadi wajumbe wapo sasa atuambie CHEO CHAKE KILIKUWA KIPI PALE ACT WAZALENDO

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 9 หลายเดือนก่อน

      Ukielewa hiyo dhana utaona kuwa mfumo huo ni wa kisasa na ni bora kabisa. Kwa sababu hicho cheo ni taasisi inayowamulika viongozi wa Serikali yao chama kikiwa Madarakani. Kwenye CCM na vyama vingine Rais hutaweza kumgusa.

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 9 หลายเดือนก่อน

    Kibaraka huyuuu

  • @kibbysaidi7813
    @kibbysaidi7813 9 หลายเดือนก่อน

    Haya yote ya kiongozi wa chama na mwenyekiti wa chama zilikuwa mbinu za Zitto asipate upinzani ndani ya chama...awe kama Mao wa China enzi zake au awe kama Nyerere wakati wa Zidumu Fikira za Mwenyekiti!!

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 9 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nasubiria nani atakuwa mshindi kati ya Babu Duni na Othman Masoud 😅😅😅

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 9 หลายเดือนก่อน

    Kan'gatuka au kabaguliwa sasa hv ni wao kwa wao Duni vs Omo mwingine aliachiwa wosia na Seif kuhusu chama mwingine ni msomi wanadai ndo hitajio la siasa za sasa hv uzuri hapo hakuna cha Tanganyika ni wao kwa wao

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna mtu mmoja alikuwa chawa wa ccm. Waznz hawakopeshi hawadanganyiki

    • @Kwazulu1
      @Kwazulu1 8 หลายเดือนก่อน

      Zito ulimupoza Maalimu Seif we loved him so much. Shame on you Zito

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 8 หลายเดือนก่อน

    Mbowe hangatuki ngooo

  • @chemstry409
    @chemstry409 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona kule Mwenyekiti wao wakudumu?? 😂😂😂

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 9 หลายเดือนก่อน +2

    ACT hakuna chama hapo

  • @StadiusJustus-ck8xi
    @StadiusJustus-ck8xi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mh zitto nikiongozi harafu msomi na masuala ya uongozi amebobea na nimwana siasa mzuri mnoo

  • @clarencelazaro9600
    @clarencelazaro9600 9 หลายเดือนก่อน

    ACT kwa hawa maswaiba wa ccm kwani ni chama cha upinzani no hapana Zanzibar kule wanagawana yule ng'ombe wa dhuruma au wanakula pamoja maswaiba hawaaa

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 9 หลายเดือนก่อน

    Siasa bwana

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae ni Chizi tuuu kama wale machizi wa Chadema tuuuu munapandikiza wanachama wa Ccm kuwaongoza nyie wanachama pinzani hamna kitu munaropoka tuu, Membe, Lowasa, Sunaye na Samfarii mutamchukua Makonda😂😂😂

    • @Samuelmanga-r8r
      @Samuelmanga-r8r 8 หลายเดือนก่อน

      Chiz ww na ccm sio chadema

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 8 หลายเดือนก่อน

    Hichi chama kinawatu znz na watu wenyewe ndo wale wqliokuwq cuf

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi 7 หลายเดือนก่อน

      wewe lete ojazamsingi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa mtizameni lipumba yuko wapi respect aliyokuwa nao alipokuwa cuf ile ya malim na sasa ni ziro hata chadema ni bara tuznz act sasa huo mtihani

  • @IsaacEliamini
    @IsaacEliamini 9 หลายเดือนก่อน

    Bila zito hakuna Act zito ndiye mwenye uchungu na hicho chama wengine wanafuata mkumbo hata mambo ya chama yeye ndiye anaweza kuyahubiri

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 9 หลายเดือนก่อน

    Tangu lini muha akawa na msimamo ? Kabouru.akina sanzugwako.Yaperi style

  • @masterhptv4065
    @masterhptv4065 9 หลายเดือนก่อน

    Mhhh, sio changa la macho hilo😂😂😂😂 au anajiandaa kurudi bungeni 2025????

    • @rashidissa5887
      @rashidissa5887 9 หลายเดือนก่อน

      Kwani dhambi?

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 9 หลายเดือนก่อน

      Anaenda kugombea ubunge kigoma

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 9 หลายเดือนก่อน +3

    Umeishiwa wewe maandalizi ya kurudi ccm

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ni uamuzi wake na uhuru wake nani atasema nini

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 9 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo shutuma zako hazina nguvu pia ujue kua huyu sio mtu dhaif uyu ni zito

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 9 หลายเดือนก่อน

    Kuna mtu ana itwa mkuchika muambie ahamie ACT

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo ata kutumika na CCM umeng'atuka?maana wewe nimoja wa wakwamishaji demokrasia pamoja na lipumba

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 9 หลายเดือนก่อน

      Zitto anadhan watanzania ni wajinga tunajua mbinu yake

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mnafiki huyo

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwongo hajang'atuka huyo ila ni tekiniki na mbinu fulani za kfield mashall kwaajiri ya kukilaghai chama kilicho mfunua mpaka amefika hapo ili nawao wa mfuate ili kumwondoa mkongwe wa chama kilicho mfunua ,kwakuwa wakijani wanaumizwa sana na chama kilicho mfunua zito hivyo zito sijui dhamira yake lakini Wafuasi na viongozi wa chama mliye mfunua zito iweni makini maana huo ni mkakati mkubwa sana wa hadaa ya wakigoma huyo

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mjinga peke yake ndo awez kujua kuwa zito sio mpinzan kwa sasa ni mchumia tumbo

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 9 หลายเดือนก่อน

      WEWE HUJIELEWI VYAMA VYOTE VYA SIASA NCHINI NI VYAMA VYA SEREKALI NA SEREKALI NDIYO WANANCHI
      ZITO KABWE KUTOKA KUWA MKUU WA CHAMA SIYO HIYARI YAKE NI KATIBA ALIYO ISAJILIYA HICHO CHAMA KWAMBA KIONGOZI YOYOTE KATIKA ACT MWISHO WA KIKOMO WA UWONGOZI NI MIHULA 2 NA KILA MUHULA KATIKA ACT WAZALENDO NI MIAKA 10 UKITIMIZA MIAKA HIYO UWONDOKE IWAPISHE WENGINE NA UZURI WA KATIBA YA ACT WAZALENDO UKIPEWA UANACHAMA LEO LEO LEO UNAHAKI YA KUGOMBANIA UWONGOZI KWAHIYO ZITO ZUBERI KABWE ANAGATUKA KWA MUJIBU WA KATIBA WALIYO ISAJILI HAKUNA JAMBO JENGINE KAMA UNAVYO FIKIRIA.

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 9 หลายเดือนก่อน

      Usidanganyike, wanasiasa wote ni wachumia tumbo. Huwezi kuendesha siasa ikiwa mtu tumbo lake tupu.
      Nilicheka nilipoona viomngozi wa CHADEMA takriba wote wamevimba matumbo.​@@JohnsonBagambi

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 9 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu muha muongo sana na munafiki

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@JohnsonBagambiwapinzani wote wachumia tumbo