Penati zote Yanga ikiifumua Simba na kubeba Mapinduzi Cup - 13/01/2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Tazama mikwaju ya penati wakati Yanga ikiichapa Simba kwa mikwaju ya penati 4-3 na kubeba taji la Kombe la Mapinduzi 2021.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 441

  • @angelavelin729
    @angelavelin729 3 ปีที่แล้ว +8

    Leo azm mmenikomesha lkn ninafurah sanaaaa

  • @angelpaul6224
    @angelpaul6224 3 ปีที่แล้ว +15

    Mnatupa rahaaa nyie barikiwa tsana

  • @jackilinekasendamila6270
    @jackilinekasendamila6270 3 ปีที่แล้ว +18

    Yangaaaaaaaaaaa💚💛

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 3 ปีที่แล้ว +8

    Yanga oyyyyyyy piga keleleeeeeee yangaaaaaaaaa ♥️♥️❤️♥️♥️💯💯

  • @yussufkhatib2958
    @yussufkhatib2958 3 ปีที่แล้ว +35

    Kama unaikubali yangaaa gonga like

  • @theodorbisoro1341
    @theodorbisoro1341 3 ปีที่แล้ว +8

    Big up sana Saido Ntibazonkiza

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 3 ปีที่แล้ว +4

    Yanga mmejua kunifurahisha😍😍

  • @siyeyetv
    @siyeyetv 3 ปีที่แล้ว +26

    Kama unaipenda yanga weka like hapa

  • @zeituniismail2946
    @zeituniismail2946 3 ปีที่แล้ว +17

    Woyoooooo hapo mwanzo tu mazuri zaid yanakuja mbeleni kila la kheri yanga daima.

  • @corneliacheleo7269
    @corneliacheleo7269 3 ปีที่แล้ว +11

    Mwali hajala nauli ya muhuni😂😂
    Asante Yanga💚💛

  • @jackilinekasendamila6270
    @jackilinekasendamila6270 3 ปีที่แล้ว +14

    Nakupenda chama languuu

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante zaidi ya sana gifted Mauya

  • @nehemiakiswaga1819
    @nehemiakiswaga1819 3 ปีที่แล้ว +8

    Ahsanteni namungo kwa kutuachia pisi kali yetu

  • @samwelirobert2576
    @samwelirobert2576 3 ปีที่แล้ว +7

    Jangwani 💪

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimeskia.raha mieeee💚💛💛💛💛💛💛💛💛

  • @navanjkiba2439
    @navanjkiba2439 3 ปีที่แล้ว +6

    Yanga4lifeee

  • @panchovalentino5922
    @panchovalentino5922 3 ปีที่แล้ว +3

    Viva Yanga ushindi ndio jad yetu imeixha iyoo 🔥🔥🔥🔥💤🔥🔥🔥

  • @benedictiq7094
    @benedictiq7094 3 ปีที่แล้ว +26

    Wananchi gonga apa

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 3 ปีที่แล้ว +4

    Yanga daima 👍💚💛

  • @estherirambona3460
    @estherirambona3460 3 ปีที่แล้ว +5

    🇧🇮🇧🇮bro saido 💪💪 👌👌

  • @mauchungurepublic6884
    @mauchungurepublic6884 3 ปีที่แล้ว +11

    Ingawa siyoo shabik kivil ila nawasikiy wana yanga wanaimba mchumba mbon hutokey mamiloo
    Alf kwa mbal nawaona wana simba wanakuja mdogo mdogo🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🤣

  • @ericksimango9965
    @ericksimango9965 3 ปีที่แล้ว +5

    Tunawashukuru Namungo kwa kutuachia my wetu❤️😀😀

  • @yussufkhatib2958
    @yussufkhatib2958 3 ปีที่แล้ว +6

    Yangaaa oyeeeeee

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 3 ปีที่แล้ว +10

    Kwanza m naona Simba had kufka ktk mikwaju ya penat ilkuwa kama bahat 2 kwao, waltakiwa kufa mapema sana tena sana, maana hawakupga on taggt hata moja Full game, kwann usiwaxhukuru wachezaj wenu kaz ya kuzuia dakka zote 90+4, watakiwa kufa mapema sana

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 ปีที่แล้ว

      Mashindano yote tumepata magoli 2 so uwe na uhakika hata kuwafunga hapo simba ndani ya DKK 90 sio rahisi

  • @shellybig1617
    @shellybig1617 3 ปีที่แล้ว +19

    Pisi zote Kali tupo yanga....daima mbele

  • @imanimkwizu2723
    @imanimkwizu2723 3 ปีที่แล้ว +3

    Big up shikalo

  • @omariamiri5556
    @omariamiri5556 3 ปีที่แล้ว +3

    Yanga Safi 👌📯

  • @danygifty4939
    @danygifty4939 3 ปีที่แล้ว +6

    Poleni Simba

  • @deborahenock3091
    @deborahenock3091 3 ปีที่แล้ว +9

    daima mbeleee nyumàa mwikooo

  • @aureliangonyani135
    @aureliangonyani135 2 ปีที่แล้ว +3

    Yanga raha sana

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 3 ปีที่แล้ว +10

    Nilisema mwaka huuu ni yangaaaaaa tu Nina furahaa kubwa sanaaa

  • @rafikimyala9322
    @rafikimyala9322 3 ปีที่แล้ว +5

    Yanga juu

  • @happyshayo372
    @happyshayo372 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante yanga. Asante GSM. 👏👏

  • @queenjjmoney3713
    @queenjjmoney3713 3 ปีที่แล้ว +4

    Young men African

  • @ashaathuman1472
    @ashaathuman1472 3 ปีที่แล้ว +5

    Yanga safi

  • @jaely6674
    @jaely6674 3 ปีที่แล้ว +13

    Pia Mimi nipo sijasahaulika napenda Sana yanga

    • @aboumatogwa1521
      @aboumatogwa1521 3 ปีที่แล้ว +1

      Nampendaa Sana mwanamkee anaee ipenda yanga

    • @jezuzluvanda5604
      @jezuzluvanda5604 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwaaaaaaaaa yanga damu dada etu

    • @jaely6674
      @jaely6674 3 ปีที่แล้ว +1

      Nitim kubwa Sana nainajua kucheza mpra Sana⛹️🤾🏃🚶

    • @aboumatogwa1521
      @aboumatogwa1521 3 ปีที่แล้ว

      Sawaa mom ake

  • @shalijason5189
    @shalijason5189 3 ปีที่แล้ว +10

    Yanga daima mbele

  • @officialbekajoh3986
    @officialbekajoh3986 3 ปีที่แล้ว +6

    Simba inapewa heshima ambayo haistahili kiukweli yanga wanapambana Sana wanacheza teamwork lakin simba akikosekana chama amn team 💚💚💚💚daima mbele nyuma mwiko

  • @martinanappa9406
    @martinanappa9406 3 ปีที่แล้ว +5

    Yanga mnafurahisha mpaka mnakera...

  • @ibraah7679
    @ibraah7679 3 ปีที่แล้ว +6

    Yanga daima🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mnyama kakaaaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @asaaomar4315
    @asaaomar4315 3 ปีที่แล้ว +2

    Ilove yangaaaa

  • @henrickaidan8371
    @henrickaidan8371 3 ปีที่แล้ว +11

    Tuna jambo letu, kombe ni kombe tuu Hata liwe la mbuzi.

  • @andreashayo6266
    @andreashayo6266 2 ปีที่แล้ว +2

    Yanga yangu👏👏👏👏

  • @blessthegreat6210
    @blessthegreat6210 3 ปีที่แล้ว +1

    Still unbeaten..💪💪

  • @wastambuli8039
    @wastambuli8039 3 ปีที่แล้ว +5

    SAPE SALAAM

  • @lovvy854
    @lovvy854 3 ปีที่แล้ว +4

    Kagera kapata husda ya kumkataaa babaake maskini radhii za Baba muhimu Yanga hoyeeeeeeeew🔥🔥🔥🔥🔥

    • @daudpassian3005
      @daudpassian3005 3 ปีที่แล้ว

      Love yanga nakupenda miaka kuku sikuachi

  • @yunusimchala9306
    @yunusimchala9306 3 ปีที่แล้ว +3

    MWANA FA JIUZULU UBUNGE KWA HESHIMA MAANA ULISHASEMA

  • @sebastiankamara3280
    @sebastiankamara3280 3 ปีที่แล้ว +2

    Unbiten inaendekea!!!!
    #wape salamuu
    #Nyau Weusi fc

  • @professor_micky
    @professor_micky 3 ปีที่แล้ว +18

    Mmefel wap simba kumpa mzee apige penalty 😂😂😂😂

    • @lewismpangala927
      @lewismpangala927 3 ปีที่แล้ว

      Kipara makulega

    • @sniperbogo6210
      @sniperbogo6210 3 ปีที่แล้ว +1

      Kagere ndio kazingua hapo goli lote lile anagonga mwamba????

  • @genovefakimario4430
    @genovefakimario4430 3 ปีที่แล้ว +7

    This is yanga bwana

    • @tunjacarpetsolution
      @tunjacarpetsolution 2 ปีที่แล้ว

      Good job
      th-cam.com/video/rjWpkMeAwBM/w-d-xo.html

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 3 ปีที่แล้ว +9

    Sichoki Kuutazama Huu Mpira Yanga Habar Ya Mjini.

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunataka Zanzibar mpya

  • @dorcasyusuphdorcasyusuph1533
    @dorcasyusuphdorcasyusuph1533 3 ปีที่แล้ว +4

    Ilove yanga

  • @anthonysimya4244
    @anthonysimya4244 3 ปีที่แล้ว +6

    Yanga tumeinua kombe juu , wao wameinua paka mweusi juu.

    • @thejhaikals5921
      @thejhaikals5921 3 ปีที่แล้ว +1

      Tunakusanya rambirambi baada ya kufiwa na paka wetu ndugu yetu nyau fc

  • @denisstanslaus8839
    @denisstanslaus8839 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wanamsimbazi.. Hata masikini nae mtu...

  • @queenjjmoney3713
    @queenjjmoney3713 3 ปีที่แล้ว +7

    Yanga mumemuvunja mpaka mweus miguu

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +6

    Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl

  • @fridaymwaseba5848
    @fridaymwaseba5848 3 ปีที่แล้ว +4

    Kuna jamaa wa simba kwneye hii clip mwishoni ndevu kaziona nzito Sura muda wote iko chini

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +7

    Mauya ni shida kwenye penalty ata gadiel katisha japo tumewachapa

  • @emaueledward4119
    @emaueledward4119 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @allymngwaya1369
    @allymngwaya1369 3 ปีที่แล้ว +8

    Ivi kelele zote hizi alafu unaniambia eti simba hawakuwa wanalitaka kombe?. Mtawadanganya wengine

  • @ibraah7679
    @ibraah7679 3 ปีที่แล้ว +2

    💚💚💚💚💚💚,wapi mipakaaaàaa😁😁nyaaaaaau!! Mlio wa kupigwa na mwiko jikoni

  • @samwellucas8375
    @samwellucas8375 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanga nomaaaa

  • @robysamwely6966
    @robysamwely6966 2 ปีที่แล้ว +2

    Noma sana

  • @reubenjoseph7070
    @reubenjoseph7070 3 ปีที่แล้ว +1

    Shikalo yupo vizur sana apunguze papala tu

  • @jumgenda9854
    @jumgenda9854 3 ปีที่แล้ว +5

    Safari ya kurudi ni mbali zaidi

  • @shalijason5189
    @shalijason5189 3 ปีที่แล้ว +11

    Hatuogopi paka yeyote ataeshoboka na sisi tutang'oa macho.

  • @ysgtge8114
    @ysgtge8114 3 ปีที่แล้ว +5

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪

  • @florencekabado8931
    @florencekabado8931 3 ปีที่แล้ว +6

    Mtangazaji ww hatariiiiiiiiiiiiiiiii Sana,imefichwa et na nn?

  • @chrismill9495
    @chrismill9495 3 ปีที่แล้ว +2

    Dar Young Africans 🟢🟡✅

  • @abdulrazakihamisi6201
    @abdulrazakihamisi6201 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu zawad anaker kwa kweli

  • @jackobhermani9627
    @jackobhermani9627 3 ปีที่แล้ว +7

    Hahahaha ama kweli mtu mzima hatishiwi nyauuuuu!!!!!!!!!!!!!

  • @morismniko1363
    @morismniko1363 3 ปีที่แล้ว +6

    Kama nawaona mapaka

  • @albertfundi8305
    @albertfundi8305 3 ปีที่แล้ว +1

    This is yanga brother

  • @rajabukidiza7138
    @rajabukidiza7138 3 ปีที่แล้ว +7

    Midomo imekatwa msitegemee uchawi hamtafikambali

  • @awardsaturday9056
    @awardsaturday9056 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndio tunaanza bado sanaa

    • @tunjacarpetsolution
      @tunjacarpetsolution 2 ปีที่แล้ว

      Good job
      th-cam.com/video/rjWpkMeAwBM/w-d-xo.html

  • @shamiridanda5279
    @shamiridanda5279 3 ปีที่แล้ว +1

    Nomaa Sanaa😚

  • @mussanjopeka5936
    @mussanjopeka5936 3 ปีที่แล้ว +4

    Kuna kiongoz hapo juu Ni mnafiki wenzie wanapongezana ety yey kanuna

  • @kazijazaidi3753
    @kazijazaidi3753 3 ปีที่แล้ว +6

    Wape salamuuuu zao

  • @jiiwolf2900
    @jiiwolf2900 ปีที่แล้ว +1

    .yanga imeteseka sana

  • @AyoubMatinay
    @AyoubMatinay ปีที่แล้ว +1

    Jamaaaa uyo ni nma

  • @bnztechnologies2676
    @bnztechnologies2676 3 ปีที่แล้ว +5

    kagere alijiamini sana chezea wananchiiiiiiiiiiiii

  • @zawadwillison1322
    @zawadwillison1322 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wana simba

  • @rashidalshaid445
    @rashidalshaid445 3 ปีที่แล้ว +9

    Mwanzo wa kubeba makombe sasa. Simba mtajuta kutujua

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 2 ปีที่แล้ว +2

    #Timuyawananchi🏆✊

    • @tunjacarpetsolution
      @tunjacarpetsolution 2 ปีที่แล้ว

      Good job
      th-cam.com/video/rjWpkMeAwBM/w-d-xo.html

  • @sisawajohari7252
    @sisawajohari7252 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanga oyeee

  • @mycojacksonlaban3799
    @mycojacksonlaban3799 3 ปีที่แล้ว +6

    Jamn yanga niraha mpaka wanatia hsiraaa 🤣🤣🤣🤣 raha sana

    • @sizzafrance3242
      @sizzafrance3242 3 ปีที่แล้ว

      Paka msubilie penat mbwa nyie

    • @victorgunda4048
      @victorgunda4048 3 ปีที่แล้ว

      Sasa manala hana issue akalime matikiti bagamoyo tu

    • @victorgunda4048
      @victorgunda4048 3 ปีที่แล้ว

      Sasa manala hana issue akalime matikiti bagamoyo tu

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 ปีที่แล้ว

      Raha kwa penalty woiiii hicho kitu hata kaze hana raha kabisa ,

  • @rashidmwasing1363
    @rashidmwasing1363 3 ปีที่แล้ว

    Fantastic

  • @alicedavido1330
    @alicedavido1330 3 ปีที่แล้ว +3

    Penati gani tenaaaa

    • @mwanaamasud1989
      @mwanaamasud1989 3 ปีที่แล้ว

      Yenye pattern zilizovurugwarugwa hatarii

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatimae wamekaa

  • @lucypaul9554
    @lucypaul9554 3 ปีที่แล้ว +4

    Wapi manara

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +1

    Wapi mikiaaaaaaaa mapakaaaaaaaaaaaaaa🐯🐯🐯🐯🐯🐯

  • @kudramzee4638
    @kudramzee4638 3 ปีที่แล้ว +6

    Kombe linabaki kuwa kombe tu hata liwe la kuku mbona ligi kuu bingwa anachukua hela ndogo kuliko mchezaji anaesajiliwa kwa timu hizi mbili Simba na Yanga hayo ni maneno ya mkosaji

    • @mariajohn5452
      @mariajohn5452 3 ปีที่แล้ว

      Kweli mzee mana jana huku kuna mtu alikuwa analibeza hadi anakera wangesema basi hatutaki kucheza mana sio hilo kombe halina hadhi na sisi mbona wmeenda

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli lakini ligi kuu unapata faida ya kwenda club bingwa ambako ukifanya vzr ukaingia makundi unapata mpunga wa maana haswaaa

  • @rogathnkya8782
    @rogathnkya8782 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwanaume ni mwanaume2

  • @ashaathuman1472
    @ashaathuman1472 3 ปีที่แล้ว +3

    Yanga sihami

  • @regiuskitosi7101
    @regiuskitosi7101 3 ปีที่แล้ว +6

    Simba ni yakucheza dakika 90 bila on target kweli 🙄😂

    • @erickulomi2711
      @erickulomi2711 3 ปีที่แล้ว +1

      Inategemea inacheza na nani?

  • @joshuangererumiliari5632
    @joshuangererumiliari5632 3 ปีที่แล้ว +1

    Mapinduzi 2020/2021

  • @halimasultan5126
    @halimasultan5126 3 ปีที่แล้ว +2

    Adi laaaa

  • @martineboniphace2210
    @martineboniphace2210 3 ปีที่แล้ว +1

    Simba na yanga yanga bingwa

  • @faifhmsey8015
    @faifhmsey8015 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawapongeza sana wachezaji wa simba wamejitahidi Sana haikuwa bahati yao tu lakini wamejitahidi sana na siku zote penati hazinaga Mwenyewe kwenye mechi hii sioni wa kulaumiwa