Yanga 1-1 Geita Gold (Pen:7-6) | Magoli na mikwaju ya penati | Robo Fainali ASFC 10/04/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • YANGA vs GEITA GOLD - Yanga SC imetinga nusu fainali ya #AzamSportsFederationCup kwa mikwaju ya penati 7-6 baada ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika dakika 90 za mchezo.
    Geita walitangulia kupata bao kupitia kwa Offen Chikola dakika ya 88 na Yanga kuchomoa kwa penati dakika ya 90+4 kupitia kwa Djuma Shaban... Laki mikwaju ya penati ikaamua, Yanga wakipata penati saba na kukosa moja huku Geita wakipata penati 6 na kukosa mbili.
    Waliofunga penati za Yanga ni Yanick Bangala, Jesus Moloko, Fiston Mayele, Saidi Ntibazonkiza, Djuma Shaban, Bakari Mwamnyeto na Dickson Job huku penati ya golikipa Djigui Diarra ikitoka nje.
    Upande wa Geita waliofunga ni David kameta Duchu, George Mpole, Yusuph Kagoma, Adeyum Ahmed, Offen Chikola na Kelvin Yondan huku Juma Mahadhi na Maka Edward wakikosa penati zao.

ความคิดเห็น • 424

  • @asfiwemkumbwa5520
    @asfiwemkumbwa5520 2 ปีที่แล้ว +10

    Yaan narudia mara mbilimbili kuangalia penati ya juma mahadhi ikivyopanguliwa na diarra na amsha amsha ya mashabik nafurahiiiiii💚💚💚💚💚💚💚

  • @joshuanyonyi3313
    @joshuanyonyi3313 2 ปีที่แล้ว +9

    Yanga Africa yenyewweeee
    Tuko vzur sana... Amen

  • @dunstannyange7509
    @dunstannyange7509 2 ปีที่แล้ว +27

    Faida ya kutoa sadaka kwa watoto wanaoish kweny mazngra magumu leo ndo imeonekana, ahsante Mungu maana neno linasema "sitawaacha muaibike adui zenu wakapata nafac" ahsante kwa Mungu, ahsante kwa wachezaj, ahsante kwa bench la ufundi, ahsante kwa viongoz, ahsante kwa mashabik wote wa Yanga. Wananchiiiiiiii

    • @latifakasimu7847
      @latifakasimu7847 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaaa nduguuu nashukuru kwa ushindi wa leo nilikuwa na hali si hali daaaah

    • @OmarOmar-xy6fy
      @OmarOmar-xy6fy 2 ปีที่แล้ว +1

      Jitihada na uwezo wayanga Leo ulikwama iliopita nirehma tuu ya mungu mana ule mkono mhhhhh

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว

      Umewaza vizuri sana brother! Yalikua ni maombi na dua za waliopatiwa sadaka! Akili kubwa

    • @sallymaweso
      @sallymaweso ปีที่แล้ว

      @@muddymuzungu4357
      ......

  • @gracegofrey4677
    @gracegofrey4677 2 ปีที่แล้ว +13

    Hii naangalia hadi machozi😢😢😢 naipenda yanga jamani

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 ปีที่แล้ว +7

    Asante MUNGU kwa ushindi🤗

  • @nobertfanuel2299
    @nobertfanuel2299 2 ปีที่แล้ว +11

    Hayo ndiyo matatizo yakukamia timu kubwa na kutumia nguvu kubwa bila akiri, Wakati wakikutana na Kagera sugar inawatoa jasho,Yanga oyeee💛💛💚💚💛💚

  • @baenimuhimafabrice
    @baenimuhimafabrice 2 ปีที่แล้ว +6

    Hata kusaidiwa kote kwa geita na refa hikutuma tusitimize ndoto zetu sisi kama Yanga africain 💪💪💪💪💪la force rendez-vous à ne pas rater

  • @lucaskashimwita6386
    @lucaskashimwita6386 2 ปีที่แล้ว +12

    Moja ya siku hatari sana kwangu siku hiyooo nililia na kucheka

  • @isakagabriel3049
    @isakagabriel3049 2 ปีที่แล้ว +5

    mungu ibariki young african

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 2 ปีที่แล้ว +10

    Kma imekuuma kunywa sumu ufe hii ni yangasc 💛💚🏆✊

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 2 ปีที่แล้ว +7

    Shughuli ilikuwa ngumu hi mwee Asante Yanga Asante juma💛💛💛💛💛💚💚💚💚

  • @mbokimlangala616
    @mbokimlangala616 2 ปีที่แล้ว +5

    Unforgetable match jamaniiiiii acheniiii tuuu🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @ramadhanihazard5459
    @ramadhanihazard5459 2 ปีที่แล้ว +4

    moloko mara ya pili namuona kwa tukio kama hili alilolifanya kwa djuma shaban wachezaji wetu wajifunze🙌🙌🙌

  • @patrickchibona3582
    @patrickchibona3582 2 ปีที่แล้ว +6

    I love Yanga

  • @ezabethenock3564
    @ezabethenock3564 2 ปีที่แล้ว +3

    Yanga yang nakupenda snaaaaa

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +13

    Jifunze quran kwa hukmu kuswali kwa vitendo gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojl

  • @khadijaabdala6876
    @khadijaabdala6876 2 ปีที่แล้ว +5

    Alhamdullillah 💚💛💚💛💞

  • @miskyabdi3869
    @miskyabdi3869 2 ปีที่แล้ว +6

    I love yanga

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 2 ปีที่แล้ว +6

    This is Yanga💚💛💛

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +9

    Yani leo nilivurugwa mpaka mchuzi wangu wakuku nikazidisha chumvi lakini gafla nilifarijika😂😂🙏🙏🙏🙏asante mungu

    • @beatriceminja2148
      @beatriceminja2148 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂wengine tulienda choon mar3

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว

      @@beatriceminja2148 Wewe nilinunua gafla jikoni nikazima feni yani nilikuwa hovyo sanaa

    • @dorissimfukwe4857
      @dorissimfukwe4857 2 ปีที่แล้ว +1

      Wengine choo ilikuwa inabana ukifika chooni hakitoki kitu yani leo kweli ni faida ya kuwasaidia watoto kwa sadaka

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว

      @@dorissimfukwe4857 😁😁😁😁😁😁sisemi nilinunua bifu😃😃

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว

      Haaaaa zai umetisha!

  • @isakagabriel3049
    @isakagabriel3049 2 ปีที่แล้ว +4

    naipenda yangaaa

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 2 ปีที่แล้ว +8

    Hiii inawauma sanaaaaa UPANDE wa pili baada ya sare Kule moshiii 😛

  • @josephcheyo4379
    @josephcheyo4379 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongeren sana wanna chi.

  • @firdausrajabu6822
    @firdausrajabu6822 2 ปีที่แล้ว +5

    I love you yangaaaa❤️

  • @geofreybahema5118
    @geofreybahema5118 2 ปีที่แล้ว +7

    Big team is big team

  • @sabahiali6021
    @sabahiali6021 2 ปีที่แล้ว +3

    Naipenda yanga

  • @michellesorin6849
    @michellesorin6849 2 ปีที่แล้ว +7

    Dah iyi match !!!!

  • @justinefrank2892
    @justinefrank2892 2 ปีที่แล้ว +4

    Yanga wanajua

  • @verosteve3612
    @verosteve3612 2 ปีที่แล้ว +11

    Big lesson I learned is that never give up 👏 never never even though the time left is half second , God can surprise 💚🙌

  • @mustaphahassan8236
    @mustaphahassan8236 2 ปีที่แล้ว +3

    Yanga tunaweza

  • @mosesjohn8922
    @mosesjohn8922 2 ปีที่แล้ว +7

    Ila Juma shaban ni hatar kwa penart jaman

  • @Kelvinonesix
    @Kelvinonesix ปีที่แล้ว +3

    Asantee mungu yanga yetu

  • @elarifmohamed5681
    @elarifmohamed5681 2 ปีที่แล้ว +5

    Bravo yanga Africa de pus Marseille france

  • @happinessandrea2118
    @happinessandrea2118 2 ปีที่แล้ว +4

    Jamn Tz tunamambo ya ajabu Sana Sasa mbn iko waz kabisa kashika na inaonekan

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      Dada yangu mpira wa bongo Una Mambo usikute aliyeshika kafanya makusudi ili mradi Tu Yanga inusurike

  • @paulkiyenze2607
    @paulkiyenze2607 2 ปีที่แล้ว +2

    Ilove you so much yanga fc mayele

  • @dunstangeorge3263
    @dunstangeorge3263 2 ปีที่แล้ว +7

    Yanga imejifunza kitu, kila chance watakayopata next game kamba,, wamejua presha waliyopata na challenge waliokutana nayo,,, hakuna kurudia kosa tena,,, ndani ya dk 90 watatupia

  • @mohamedchambuli2886
    @mohamedchambuli2886 2 ปีที่แล้ว +10

    Walivua na shati lakini wapi

  • @ochuclassic4163
    @ochuclassic4163 2 ปีที่แล้ว +3

    Daima mbele 💪💛

  • @chb5367
    @chb5367 2 ปีที่แล้ว +6

    Hata final alianza kupiga penat bangala na mambo yalikuwa byee kwa wanainji.🤸

  • @happyshayo372
    @happyshayo372 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani NYIE sijui ingekuwaje!

  • @shannelyshazzy1461
    @shannelyshazzy1461 2 ปีที่แล้ว +5

    Aisee game was hot kuna mambo ambayo refa hawez kushadadia kila kitu kitakachofanywa na mchezaji saido amefanyiwa makosa /madhambi yanga akaadabishwa vilevile beki wa geita amefanya madhambi geita ikaadhibiwa hivyo bas wanaodis mpira msipende kuweka ushabiki katika kila mpira ukipenda kutizama mpira penda kutizama kila mchezaji na sio upande unaoushabikia one mistake one goal mwisho wa siku diarra amefanya makosa na akayarekebisha akaletea team ushindi hongeren wana @yanga african you deseive it😍

  • @diakitedaouda6951
    @diakitedaouda6951 2 ปีที่แล้ว +3

    Bravo Djugi 👏👏👍👍👍🇲🇱🇲🇱🇲🇱🇲🇱🇲🇱🇲🇱🇲🇱💯💯💯💯

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy 2 ปีที่แล้ว +15

    Uwongo zambi usijisifu una mbio msifu na anaekukimbiza geita leo walitak kutulaza bila ga daku wallah 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Salhiya-hr7dy
      @Salhiya-hr7dy 2 ปีที่แล้ว

      @Ally Nzwallah Aiseeeee maaaan huwa siftar nikita tende na maji au kit chengn had saa 5 ndo nile haaah naona hali ilibadilik sio mchezo 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi kwanza kila alikuwa akiniita NA msonya😂

    • @Salhiya-hr7dy
      @Salhiya-hr7dy 2 ปีที่แล้ว

      @@user-po8hz7xw9j 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haaaaaah ushabiki huuuuu atakuja kufa mtu ipo cku na swaum hizi

  • @husseingwanone7825
    @husseingwanone7825 2 ปีที่แล้ว +5

    Yanga

  • @mesuitozil1527
    @mesuitozil1527 2 ปีที่แล้ว +10

    Daaah Ama kweli Mwaka ukiwa wa kwenu mambo hua yana jiendea endea tu, bahati mtindo mmoja, ukishindwa kufunga Tim unayocheza nayo mara inajifunga yenyewe, mara mpinzani wako anakutaftia penalt yaan ilmrad mambo yaende, TETEMA MWANANCHI MWAKA WETU HUU

  • @merinachalinze6455
    @merinachalinze6455 2 ปีที่แล้ว +7

    Mbona ofsid iyo

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 2 ปีที่แล้ว +6

    Sitosahau hii siku maishani mwangu dah

  • @kundaelpissa5591
    @kundaelpissa5591 2 ปีที่แล้ว +4

    Geita n shida sana hawa wakikutana na makolo watajuta kama walivyozibitiwa na polisi leo hi tm ina kiwango.

  • @joashandhoga4019
    @joashandhoga4019 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana

  • @tacktv5328
    @tacktv5328 2 ปีที่แล้ว +16

    Ukitaka kujua kila mmoja ana pressure....sintosahau hii siku

    • @rehemajuma9733
      @rehemajuma9733 2 ปีที่แล้ว +4

      Wallah karibu nife hyo siku ni kama finale ya juziii alooo mpira ulevi mwingine alooo

    • @jayelias1654
      @jayelias1654 2 ปีที่แล้ว +1

      😅😅😅

  • @ramadhanikhalfani2300
    @ramadhanikhalfani2300 2 ปีที่แล้ว +3

    Yanga oyeeeee

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 2 ปีที่แล้ว +2

    💛💚Yanga Daima

  • @dripcornersports4272
    @dripcornersports4272 ปีที่แล้ว +5

    2023... Na Tunaenjoy

  • @mudsaid6519
    @mudsaid6519 2 ปีที่แล้ว +4

    dah Saido anazingua San. anapoteza sana mipila arafu anapotezea seem mbayasana daah Saido wakumtafakhali San uy jaa samtaim anazingua san

  • @mwanaidihussein6887
    @mwanaidihussein6887 ปีที่แล้ว +8

    Yani hii siku sitawahi kuisahau mpaka Diara akalia jamn

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 2 ปีที่แล้ว +2

    Yanga tamuuuu

  • @nadymhamad2655
    @nadymhamad2655 2 ปีที่แล้ว +7

    yan hii mechi sitoisahau jaman

  • @braysonpatrick1669
    @braysonpatrick1669 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu wetu sote

  • @smarttv3272
    @smarttv3272 2 ปีที่แล้ว +6

    Hivi vitoto vilituwini sana 😢 hii geita cyo timu ya mchongo

  • @geofreyalexander1382
    @geofreyalexander1382 2 ปีที่แล้ว +4

    Yanga bhana. Raha tu

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 2 ปีที่แล้ว +5

    Mtoto atumwi dukani wala alali na hela, Bali mtoto analala na mavi, This is Yanga 🔰

  • @harodphilipo8228
    @harodphilipo8228 2 ปีที่แล้ว +3

    Kipa nimempenda bureeee kajua kutupa raha wana yanga

  • @richimboya9836
    @richimboya9836 2 ปีที่แล้ว +4

    Amazing

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 2 ปีที่แล้ว +3

    OFFSIDE LAKINI GOLI LA GEITA GOLD

  • @hancevalence4936
    @hancevalence4936 2 ปีที่แล้ว +2

    game ilikuwa inaisha ndan ya dk 90,yanga umakin uongezeke,hongera kwa geita,game plan yao ilikubali,Mungu amewafavor waliostahil

  • @nikodemmsomba2644
    @nikodemmsomba2644 2 ปีที่แล้ว +3

    Nice job

  • @sabrajuma9937
    @sabrajuma9937 ปีที่แล้ว +5

    Hakun mechi ninayo penda kuangalia Kam hii maan Geita walipokosa pernart wanafurahisha sana

  • @josefukatoto1004
    @josefukatoto1004 2 ปีที่แล้ว +6

    Wata wezakweli kushindana nasi

  • @rashjackson8329
    @rashjackson8329 2 ปีที่แล้ว +4

    geita polen

  • @joysoka3575
    @joysoka3575 2 ปีที่แล้ว +1

    Love you yanga

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 ปีที่แล้ว +7

    Sitasahau hii mechi, dah

  • @faustinlubunge6760
    @faustinlubunge6760 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks verymuch that's us

  • @chizashungu1236
    @chizashungu1236 2 ปีที่แล้ว +11

    SAIDO amechezewa foul....refa kapeta.

  • @babadofficial6832
    @babadofficial6832 2 ปีที่แล้ว +2

    Yanga tamu

  • @frankevaristo6918
    @frankevaristo6918 2 ปีที่แล้ว +1

    Yanga nomaa

  • @dottohasmani1706
    @dottohasmani1706 2 ปีที่แล้ว +8

    Gori la geita ni ofside mbn hamsemeii

    • @alexkiria1901
      @alexkiria1901 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli aisee mm mwana simba dam ila lile gali la geita mfungaji alishazidi

  • @maestro_keysdcloopsbrand8372
    @maestro_keysdcloopsbrand8372 2 ปีที่แล้ว +3

    What a day daaaah

  • @OmarOmar-xy6fy
    @OmarOmar-xy6fy 2 ปีที่แล้ว +8

    Hili goli LA geita kwanza mchezaji wa Yanga alichezewa foul refa kafumba macho

  • @abdulwaheed3389
    @abdulwaheed3389 2 ปีที่แล้ว +6

    Bingwa lazima kuna muda uwe na bahati

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 2 ปีที่แล้ว +2

    Yani yanga ni raha na chenchi inarudiiiiiii.kweli yanga tamuuuu

  • @rehemaponera8160
    @rehemaponera8160 2 ปีที่แล้ว +5

    Mie Djuma Shaaban akiwepo ni raha tu

  • @jojosstar8930
    @jojosstar8930 2 ปีที่แล้ว +5

    Apo ndo nikaamin kwamba yanga hawazuiliki wanaweza kubadili matokeo mda wowote

  • @pacifique_pk2272
    @pacifique_pk2272 2 ปีที่แล้ว +2

    Let’s go🥇🥇🏆🏆

  • @suleimanomar5956
    @suleimanomar5956 2 ปีที่แล้ว +2

    Refa WA Yanga

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 ปีที่แล้ว

      kosa la refa lakini hata goal walilofunga Geita ni offside, mtoaji wa pasi alikuwa ameotea, angalia vizuri

  • @irenejames3213
    @irenejames3213 2 ปีที่แล้ว +2

    Ayiiii mm ni yanga

  • @wajifurumwamba2747
    @wajifurumwamba2747 2 ปีที่แล้ว +4

    Yanga ninomaa

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 2 ปีที่แล้ว +1

    Thnkss uuu jesus

  • @hasanimkamba1448
    @hasanimkamba1448 2 ปีที่แล้ว +5

    Makoro wanatesaka sana

  • @noeledward2899
    @noeledward2899 2 ปีที่แล้ว +9

    Huyu mwamba alivua had shat akijua shuhur imeisha

  • @thejhaikals5921
    @thejhaikals5921 2 ปีที่แล้ว +9

    Kama ni mwaka wako ni mwaka wako tuuu MUNGU NI WETU SOTE INSHALLAH TUNARUDISHA FURAHA JANGWANI

  • @ngassa1tv331
    @ngassa1tv331 2 ปีที่แล้ว +10

    Hii mechi ilikuwaa ngumu sana kuliko tunayo enda kukutana nayo zaid ya watani

  • @emanwerysindokila235
    @emanwerysindokila235 2 ปีที่แล้ว +2

    Good job

  • @josephmkwawa2125
    @josephmkwawa2125 2 ปีที่แล้ว +5

    Everything is fine in this channrl

  • @uwesushabani2181
    @uwesushabani2181 2 ปีที่แล้ว +12

    Riziki ya mtu hainyang'anyiki

    • @doriceemmanuel1398
      @doriceemmanuel1398 2 ปีที่แล้ว +1

      Yan iko ivo ona yanga tulivopita ni mungu tuu ukikataa penalt ya mwanzo umeona zilizofata? Mungu aliamuaa iwe ivo

  • @makarangajose1182
    @makarangajose1182 2 ปีที่แล้ว +3

    Yes

  • @young_ching9820
    @young_ching9820 2 ปีที่แล้ว +18

    Geita kongole kwenu mmejua kutupa presha

    • @ourcouple6666
      @ourcouple6666 2 ปีที่แล้ว +1

      Nakwambia vijana wamejua kunilipua moyo nlikua nawaza tu simba nitawaambia nini mtaani😂😂

    • @mickkiyoya5239
      @mickkiyoya5239 2 ปีที่แล้ว +6

      Na leoo wamedroo walisubiliaa tufungwee watuchekee

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ourcouple6666 😄😄😂😂😝😝😝

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +3

      @@mickkiyoya5239 wameumbuka

    • @mickkiyoya5239
      @mickkiyoya5239 2 ปีที่แล้ว +2

      @@user-po8hz7xw9j kabisaaa

  • @sabasumbella4116
    @sabasumbella4116 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha Juma mahadhi kijana wetu yule💚💛

  • @barakaandrea9697
    @barakaandrea9697 2 ปีที่แล้ว +3

    💛💛💛💚💚💚

  • @euverusjohn539
    @euverusjohn539 2 ปีที่แล้ว +1

    Geita Piga haooooooo YANGA 🪚🪚🪚🪚🐶🐶🐶🐶

  • @yusuphali3157
    @yusuphali3157 2 ปีที่แล้ว +1

    Yanga na azamu