PENATI ZOTE HIZI HAPA| WYDAD CASABLANCA 4-3 SIMBA SC | ROBO FAINALI | CAF CHAMPIONS LEAGUE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 248

  • @MichaelNzira
    @MichaelNzira ปีที่แล้ว +8

    Asanteni na hongereni kwa kupambana mimi shabiki wa yanga ila tuzipende timu zetu zote kwa hatu zilipo fika

  • @africaendlesscruising
    @africaendlesscruising ปีที่แล้ว +25

    Pamoja na Simba kutolewa katika hatua hii waarabu hawatawasahau maishani mwao. Hongera sana Mtani!

    • @seravickdavid1484
      @seravickdavid1484 ปีที่แล้ว +6

      Shida sio kuwasahau.....wao ndo hawatasahau walivyo tolewa

    • @africaendlesscruising
      @africaendlesscruising ปีที่แล้ว +1

      @@seravickdavid1484 hayo ni mawazo yako sasa!

    • @taifaramadhan8684
      @taifaramadhan8684 ปีที่แล้ว

      Wewe utakua huwajui vizuri hawa waarabu wanatuzidi kila kitu. Achilia mbali Mpira hata uchumi wao tu ni mkubwa mno. na Hawa ni Waydad sikwambii wakubwa wao akina Al Ahliy, Zamalekh, Al hilal n.k.

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab ปีที่แล้ว +1

      Wasisahau kwa lipi 😂😂😂😂😂😂Ndio maneno yaliyobakia hayo

    • @husseinmassawa7186
      @husseinmassawa7186 ปีที่แล้ว

      Wasingewasahau kama mngewatoa, asa wamevuka afu wawakumbukeje sasa

  • @rachidrachid19496
    @rachidrachid19496 ปีที่แล้ว +23

    Congratulations to Wydad, I salute the Simba players for their sportsmanship Dima Wydad

  • @rahmalutengwe2901
    @rahmalutengwe2901 ปีที่แล้ว +11

    I would like congratulate simba for the quality soccer that shown in Morocco. It has been proved that Tanzania league is among the best leagues in Africa.Simba team always represents Kenya,Tanzania, Zambia,Malawi, Burundi, Rwanda,and many counties. The cub officials should struggle to get one strong defender like Inonga.

  • @manuelsaramba2138
    @manuelsaramba2138 ปีที่แล้ว +11

    Kiukweli Simba wamepambana sana tena sana❤👏👏👏👏

    • @MandrivaShinnyFirstMedia
      @MandrivaShinnyFirstMedia ปีที่แล้ว

      Kocha ana share yake kwenye kupoteza hii game,anashindwa hata kufanya sub ,Kuna WACHEZAJI Wana uwezo tu walikuwa nje,nilitegemea hata kwenye penalty angalau angefikilia kumuingiza BENO lakini wapi,SIMBA ingeweza kabsa kupita hii HATUA kama kocha angejiongeza kidogo tu

  • @hamzakarimi
    @hamzakarimi ปีที่แล้ว +7

    From a Wydad fan .you are a great team . Good Luck Simba

  • @SalahSalah-lo8ry
    @SalahSalah-lo8ry ปีที่แล้ว +13

    انا كمغربي اشهد ان فريق سيمبا فريق جيد و ممتاز رغم الهزيمة بضربات الحظ ، حافظوا على فريقكم وشجعوه في القادم ، بالتوفيق ان شاء الله

    • @gracegofrey4677
      @gracegofrey4677 ปีที่แล้ว +1

      Ishaaaalah

    • @Beloved-hc3dq
      @Beloved-hc3dq ปีที่แล้ว +1

      Simba is one of the club with Trash-talking and disrespectful fans ever. Thanks waydad 😂

    • @wilsongeorge1353
      @wilsongeorge1353 ปีที่แล้ว

      Mshabiki kindakindaki.wa yanga lakimi tusibeze simba wamepambana sna japo haikua bahati kabisa mungun awajaze nguvu ndugu zangu

  • @PascalSokolo
    @PascalSokolo ปีที่แล้ว +7

    Robertinho apewe uwanja mpana wa kusajili na kukisuka kukosi for the next season.
    Nadhani ndio utakuwa mwisho wa uteja kwenye robo na tutairudisha heshima ya nyumbani pia.
    SIMBA, NGUVU MOJA 💪

    • @MandrivaShinnyFirstMedia
      @MandrivaShinnyFirstMedia ปีที่แล้ว

      Kocha ana share yake kwenye kupoteza hii game,anashindwa hata kufanya sub ,Kuna WACHEZAJI Wana uwezo tu walikuwa nje,nilitegemea hata kwenye penalty angalau angefikilia kumuingiza BENO lakini wapi,SIMBA ingeweza kabsa kupita hii HATUA kama kocha angejiongeza kidogo tu

  • @mablesakala5695
    @mablesakala5695 ปีที่แล้ว +2

    I respect Tanzania football because of simba🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 moses phiri nd triple ccc i see you

  • @castoriarogatus3675
    @castoriarogatus3675 ปีที่แล้ว +17

    Simba nguvu moja tumetoka lkn kiuwanaume sana hongeren wachezaji wetu❣️❣️

    • @acramrich8192
      @acramrich8192 ปีที่แล้ว +1

      Kifo ni kifo hakuna kifo cha kiume

    • @Zilizopendwa_60s
      @Zilizopendwa_60s ปีที่แล้ว

      @@acramrich8192 muandikie kwa herufi kubwa tafadhali

    • @Dullah_tz
      @Dullah_tz ปีที่แล้ว +1

      hahaha kubakwa ni kubakwa tu.

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 ปีที่แล้ว

      Mnajifariji eti kiume hiyo kiume vipi? Kufa ni kufa tu hakuna Cha kufa kiume hapo

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 ปีที่แล้ว +4

    Simba mmejitaidi sana hongera sana

  • @MohammedMdelleh
    @MohammedMdelleh ปีที่แล้ว +1

    Hongereni Sana wachezaji wetu wote mmepambana Sana penati hazina mwenyewe so tujipange mwakani

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c ปีที่แล้ว +5

    Very Good Performance Simba
    I see you very far Next season

  • @noru9028
    @noru9028 ปีที่แล้ว +12

    Mumepambana Sana wachezaji wetu ❤️ atuwadai kitu

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 ปีที่แล้ว +2

    Siyo mbaya wanaume wamepambana haikuwa Tu ridhiki kiukwel mubarikiwe Sana Wachezaji wetu mpepambana vya kutosha

  • @Peternyaganya-uz3zm
    @Peternyaganya-uz3zm ปีที่แล้ว

    hongera sana wanasimba mmeonyesha ukomavu mkubwa najua safari ijayo mtafika mbali sana, Mungu nimwema atawasaidia mmeonyesha ukomavu mkubwa sana

  • @emilevenantndihokubwayo3267
    @emilevenantndihokubwayo3267 ปีที่แล้ว +4

    Nafurahia sana kupigwa kwa Simba
    Wakati Saido anakwepa kuicezea inchi yake eti anaandaa micuwano hio
    Asante sana Widad

  • @ramadhaniamri3465
    @ramadhaniamri3465 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Simba sc pamoja na wenzewetu mmepambana sana na MUNGU awajalie uzima penalty hazina mwenyewe.

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 ปีที่แล้ว

    Ongerenii haikuwa bahati kwetu Tz.

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 ปีที่แล้ว

    Yesu ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini YESU na Uokoke na Ulithi uzima WA MILELE.(Yohana14:6, Warumi 10:9-10).

  • @elirehemakimaroni7130
    @elirehemakimaroni7130 ปีที่แล้ว

    Hongera sana sana chamalangu mefanya African ijuekuwa kuna timu Tanzani

    • @rehemamkalawa3801
      @rehemamkalawa3801 ปีที่แล้ว

      Hata mpangilio wa maneno/sentence hujui! Ndiyo maana mnaishia robo fainali kila mwaka.

    • @elirehemakimaroni7130
      @elirehemakimaroni7130 ปีที่แล้ว

      Povu la nini tena!!!!

  • @francismillo702
    @francismillo702 ปีที่แล้ว +1

    Simba Amna team apoooooo wasindikizaji tuuuu

    • @maulidkondo7067
      @maulidkondo7067 ปีที่แล้ว

      Weunaesema simba mbovu weumeendawap au alipofikasimba weumefika kwel we maandaz

    • @emnanuelimtui1805
      @emnanuelimtui1805 ปีที่แล้ว

      Umelowa

    • @rayannasibu8621
      @rayannasibu8621 ปีที่แล้ว

      @@emnanuelimtui1805 katombwe uto

  • @BERMITECHS
    @BERMITECHS ปีที่แล้ว

    niceeeeeeee🤩🤩🤩🤩🤩🤩

  • @ZarinaTv255
    @ZarinaTv255 ปีที่แล้ว +7

    Utopolo tulieni maana nyie mlitolewa mapema sana tena na timu ya kawaida bora sisi tumepambana hadi hapa, I love you Simba🦁❤️❤️🔥🔥🔥

    • @emnanuelimtui1805
      @emnanuelimtui1805 ปีที่แล้ว +2

      We jifaliji tyu ndo mshatoka hivyo

    • @freedomfreedom7031
      @freedomfreedom7031 ปีที่แล้ว

      صراحة فريق سمبا كان قوي دفاعيا لم يترك لنا اي فرصة برافو اسود👍🏻.ديما وداد الامة 🙌💪🏽

    • @hildaelkana7132
      @hildaelkana7132 ปีที่แล้ว +3

      😂😂kutolewa Ni kutolewa

    • @ELIPHAZAMON-ex9zc
      @ELIPHAZAMON-ex9zc ปีที่แล้ว

      Cafu WEW ni mtu wa marobo tu ndo mwisho

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 ปีที่แล้ว

      Tuache siyo shida zetu

  • @ussijuma7213
    @ussijuma7213 ปีที่แล้ว +1

    hizi team zetu haziwezi ku gain consistency on there strategies. mwakani ndio utakuta mabwambwa wanatolewa ata raundi ya kwanza. ilikua muda ni huu huu tu kuonesha maajabu lkn ndio bahati haikua yao. ninasema bahati kwa maana ya bahati hasa maana kwa mwakani ata apo hawafiki tena.

  • @KulwaMsulyu
    @KulwaMsulyu 4 หลายเดือนก่อน

    Hatari simba

  • @freedomfreedom7031
    @freedomfreedom7031 ปีที่แล้ว +2

    Dima wydad 💪🏽🙌🇲🇦🇲🇦🇲🇦

    • @MandrivaShinnyFirstMedia
      @MandrivaShinnyFirstMedia ปีที่แล้ว

      Kocha ana share yake kwenye kupoteza hii game,anashindwa hata kufanya sub ,Kuna WACHEZAJI Wana uwezo tu walikuwa nje,nilitegemea hata kwenye penalty angalau angefikilia kumuingiza BENO lakini wapi,SIMBA ingeweza kabsa kupita hii HATUA kama kocha angejiongeza kidogo tu

  • @fatahcasablancablv1762
    @fatahcasablancablv1762 ปีที่แล้ว +3

    ⭐⭐⭐ wydad GJW9

  • @MikaSoingei
    @MikaSoingei ปีที่แล้ว

    Hongereni sana

  • @salehabood7140
    @salehabood7140 ปีที่แล้ว +3

    Daah Hawa Simba wanapigaje penalty mbona hawako serious

  • @irenejosephm0fficial843
    @irenejosephm0fficial843 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana mmepambana wapendwa

  • @hassaninemoha-ic6qc
    @hassaninemoha-ic6qc ปีที่แล้ว

    Simba good team.....Dima widdad casablanca

  • @angelokihwili
    @angelokihwili ปีที่แล้ว +23

    Mungu awabariki hatua mliyofikia,penalt ni ngumu hazina mpigaji anayepataga anaweza kukosa na anayekosaga anaweza kupata

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 ปีที่แล้ว +1

    Naipongeza sana Simba ametolewa kwa taabu mwaarabu jasho ilimtoka
    Ushindi wa Penalt hautishi

    • @MandrivaShinnyFirstMedia
      @MandrivaShinnyFirstMedia ปีที่แล้ว

      Kocha ana share yake kwenye kupoteza hii game,anashindwa hata kufanya sub ,Kuna WACHEZAJI Wana uwezo tu walikuwa nje,nilitegemea hata kwenye penalty angalau angefikilia kumuingiza BENO lakini wapi,SIMBA ingeweza kabsa kupita hii HATUA kama kocha angejiongeza kidogo tu

  • @drvaxminja2133
    @drvaxminja2133 ปีที่แล้ว +15

    Bora Simba wamefungwa nchi isingekalika, wana mdomo sana. Kipa wa Simba bado sana anapewa sifa ambazo hastahili

    • @dulahstar5875
      @dulahstar5875 ปีที่แล้ว +1

      Ww Kuma kweli sasa Kama tumefungwa umepata nn acha usimba na uyanga

    • @emnanuelimtui1805
      @emnanuelimtui1805 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @ramadhaniamri3465
      @ramadhaniamri3465 ปีที่แล้ว

      Choko kweli wewe kubali kataa Simba baba lao na penalty hazina mwenyewe.

    • @drvaxminja2133
      @drvaxminja2133 ปีที่แล้ว

      @@ramadhaniamri3465
      Penalties hazina wenyewe je hao walioshinda siyo wenyewe, achani kujitoa ufahamu

    • @drvaxminja2133
      @drvaxminja2133 ปีที่แล้ว

      @@dulahstar5875
      Ukitukana ndio mtarudisha nusu fainali? Bora mmefungwa mna mdomo sana

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 ปีที่แล้ว +6

    Simba wamepambana sana kiume

    • @officialbizou7649
      @officialbizou7649 ปีที่แล้ว +2

      Kiume kivipi wewe mumelowa mumelowa

    • @onetwoem1808
      @onetwoem1808 ปีที่แล้ว

      @@officialbizou7649 Atutegemei wew ukaelewa kilichotokea hapo hizo level huzielewi hujawai fika huko wao wenyewe wametukubali, CAF wataikubali unadhani tunajali unachowaza wew....Level unazoelewa wew tulisha kulowesha mbili bila mambo ya wakubwa waachie wakubwa.

    • @abdulswamadukasim
      @abdulswamadukasim ปีที่แล้ว +1

      Rudi Tz mje mkandwe na Azam

    • @emnanuelimtui1805
      @emnanuelimtui1805 ปีที่แล้ว

      Level za robo au sio

  • @SchoolsAKFTZ
    @SchoolsAKFTZ ปีที่แล้ว +1

    Mitangazaji mingine bwana, aaaaa! Afadhari asingetangaza. Hatangazi kwa uzalendo

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Wengi wao ni watangazaji makanjanja

    • @seravickdavid1484
      @seravickdavid1484 ปีที่แล้ว

      Ikifungwa kila mtangazaji utamuona m'baya😂😂😂

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@seravickdavid1484 inawezekana ukawa na wewe kanjanja

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 ปีที่แล้ว

    Asanteee Mungu😂

  • @DengaAlly-x5b
    @DengaAlly-x5b ปีที่แล้ว

    More respect my team

  • @merickshadrack4509
    @merickshadrack4509 ปีที่แล้ว +4

    Kipaa wa simba bado sana Manura angedaka hata moja

    • @onetwoem1808
      @onetwoem1808 ปีที่แล้ว

      kweli kabisa ni mzuri ndio lakini hana ujuzi na penalties

    • @abdallahomary1423
      @abdallahomary1423 ปีที่แล้ว

      Dogo mwepesi sana kwenye penati.

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab ปีที่แล้ว +1

      Etyeeee 😂😂😂😂😂Nategemea kuziona kwa wingi comment kama hizi

  • @Abdellah33
    @Abdellah33 ปีที่แล้ว

    سيمبا الأسد الافريقي تنزاني القادم

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 ปีที่แล้ว +1

    Nawapongeza sana simba

  • @goodluckmmarysautitfl4425
    @goodluckmmarysautitfl4425 ปีที่แล้ว +1

    Good Simba next year

  • @RosemaryLema-qp2df
    @RosemaryLema-qp2df ปีที่แล้ว +1

    Mmekufa kiume,hongeren simba

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 ปีที่แล้ว

      Tumewatetesha uto jana haijawahi kutokea walijua wazi kuwa kama Simba angeenda nusu fainali klabu bingwa basi uto nusu fainali yao ya looser ingesingekuwa na maana yoyote hata hivyo bado tumeonesha kuwa This is Simba ..!

    • @emnanuelimtui1805
      @emnanuelimtui1805 ปีที่แล้ว

      Mnge tuvimbia sana watu wa robo tu nyie

    • @mloganzilahardware4789
      @mloganzilahardware4789 ปีที่แล้ว

      Kufa ni kufa tu hakuna kiume Wala kike

  • @GodfreyChuma-s1n
    @GodfreyChuma-s1n ปีที่แล้ว

    Simba nguvu moja

  • @dansonobakengobakeng7746
    @dansonobakengobakeng7746 ปีที่แล้ว +1

    Last time if i remember Simba supporters keep saying Simba v Sundowns. You cant win 1_0 and expect to win in Arabic countrie 😅please Tanzania 🇹🇿 make your mind

  • @ALPHONSO-lb9ht
    @ALPHONSO-lb9ht ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @annastaziaandrea9789
    @annastaziaandrea9789 ปีที่แล้ว

    Asante mungu kwa yote

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 ปีที่แล้ว +5

    Simba jike hili tuna lijua Zamani,likiona wanaume Lina lala tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @andreashayo6266
    @andreashayo6266 ปีที่แล้ว

    Vipi kocha aendelee na chama Au 😂😂😂

  • @kinyasionlinetv
    @kinyasionlinetv ปีที่แล้ว

    Chama Tawala Anakosaje Penati😂😂

  • @Alislamre
    @Alislamre ปีที่แล้ว +1

    Wanashangiria kabla ya kushinda

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 ปีที่แล้ว +1

    Pole shoma

  • @dengermen252
    @dengermen252 ปีที่แล้ว

    شكراً جزيلاً لكم وآمل أن نؤدي العام المقبل بشكل أفضل

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 ปีที่แล้ว

    Wazeeee tatizoo ,Onyango

  • @FatumaJuma-jh6yi
    @FatumaJuma-jh6yi ปีที่แล้ว +1

    Simba kubaya kubaya wamepiga kubaya kubaya kubaya 😂😂😂😂

  • @hasanrupasa6890
    @hasanrupasa6890 ปีที่แล้ว +2

    Simba wamejitahidi japo wameamburia kichapo kwani walichezea bahati uwanja wa mkapa. Warudi tu Tanzania haooooooo, na tuzidi kuwaombea waje wafanye vizuri kipindi kingine,

  • @henryrueben7622
    @henryrueben7622 ปีที่แล้ว +1

    Jamani pole yaoo makolo

  • @DiwaanOnline
    @DiwaanOnline ปีที่แล้ว +5

    Acha wenge ndugu mtangazaji..unachanganyikiwa kama unapiga wew hizo penati😂😅😂

  • @YahyaWydadi-xk4lq
    @YahyaWydadi-xk4lq ปีที่แล้ว

    Dima Wydad 😅😅

  • @josephatmgeni7067
    @josephatmgeni7067 ปีที่แล้ว +3

    Safar bado Sasa tuungane na yanga kuombea kula lakher young African Americans

    • @MandrivaShinnyFirstMedia
      @MandrivaShinnyFirstMedia ปีที่แล้ว

      Kocha ana share yake kwenye kupoteza hii game,anashindwa hata kufanya sub ,Kuna WACHEZAJI Wana uwezo tu walikuwa nje,nilitegemea hata kwenye penalty angalau angefikilia kumuingiza BENO lakini wapi,SIMBA ingeweza kabsa kupita hii HATUA kama kocha angejiongeza kidogo tu

    • @MuhammadKhamismohammed
      @MuhammadKhamismohammed ปีที่แล้ว

      Ongea na Ali kamwe maana aliongea wazi kua anawaombea Simba wapoteze MOROCCO

  • @jordanbarweta3429
    @jordanbarweta3429 ปีที่แล้ว

    Ila mtangazaji kanichekesha sana et Chama anaipeleka Wydad nusu fainali 😄

  • @Beloved-hc3dq
    @Beloved-hc3dq ปีที่แล้ว +1

    سيمبا هو أحد الأندية التي تتحدث عن القمامة والمشجعين غير المحترمين. اذهب وابكي الآن. العمالقة في طريقهم إلى الدور نصف النهائي

  • @binjafa6362
    @binjafa6362 ปีที่แล้ว

    Poleni sn wajadi w2😢😢

  • @AbdulyDilunga-hv2nl
    @AbdulyDilunga-hv2nl ปีที่แล้ว +2

    Congratulated for simba wamepigania sana wamejitahidi kwa kweli sio siri hatukutegemea

  • @NbaviliMwakyusa
    @NbaviliMwakyusa ปีที่แล้ว +1

    Kipa sio wakumlahumu penatizake zote zlikua ngumu yaan zamoto tofauti na penat wachezaji wa simba

  • @SaleheYeye
    @SaleheYeye 9 วันที่ผ่านมา

    Simba pambaneni jaman maana duuh Aya bwana.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 ปีที่แล้ว

    Nguvu moja Simba taratiiubu tunakomaa kibingwa.. mwakani tunafanya kweli Ongera sana Simba shule tumeipata ya soka

    • @julianashani9408
      @julianashani9408 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆😆 mwakani una KIBU, KAPAMA, MKUDE, BOCCO, SAWADOGO 😆😆😆😆😆

    • @julianashani9408
      @julianashani9408 ปีที่แล้ว

      mwakani n Mamelodi we subr

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 ปีที่แล้ว +1

    Kocha umetufungisha kwann ulipo ona mpira utatoka penanti kwa nn usimtie manulla

  • @benyrashird1130
    @benyrashird1130 ปีที่แล้ว

    Ndugu zetu #Masandawana watatulipia 😏

  • @edsoneliah2802
    @edsoneliah2802 ปีที่แล้ว +1

    Ligi kubwa ,timu kubwa ,ushindani mkubwa

  • @WinfridaKapalia
    @WinfridaKapalia 2 หลายเดือนก่อน

    😮😮

  • @blessedsibanda6132
    @blessedsibanda6132 ปีที่แล้ว

    The continued use of those lasers is so unsportman.When will CAF act?
    Hardluck Simba.

  • @husseinnkuna6401
    @husseinnkuna6401 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ni wazee wa robo robo 😜😜😂😂

  • @josemaro-ei9go
    @josemaro-ei9go ปีที่แล้ว

    Nguvu Moja one day yes

  • @rachidhaimoudi2887
    @rachidhaimoudi2887 ปีที่แล้ว

    Vive le maroc

  • @sabrajuma9937
    @sabrajuma9937 ปีที่แล้ว +3

    Mna midom San nyiny ndiy maan mumelowa🤣🤣🤣

  • @hassanhamad1292
    @hassanhamad1292 ปีที่แล้ว

    Hongeren mtani mmejitahid San

  • @rehemamkalawa3801
    @rehemamkalawa3801 ปีที่แล้ว

    Yaani huo ndiyo uwezo wa Simba,mwisho wenu robo fainali mnarejea nyumbani kujiandaa tena kwa ajili ya,kuishia tena robo fainali! 🤣🤣 Si confederation cup/ championship. Kuishia robo fainali kuko pale pale

  • @hassansaul7098
    @hassansaul7098 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ya 3 goli kipa wa Simba asingetoa, ulkua mshuti

  • @dansonobakengobakeng7746
    @dansonobakengobakeng7746 ปีที่แล้ว

    It will take decades for Tanzanian to win trophy 🏆 s

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว

    Hongren bhana mmepembana mm naamin wakati mwingine ongezeni kupambana mtatoboa tu ipo siku

  • @geraldsanzala8119
    @geraldsanzala8119 ปีที่แล้ว

    Sioni kama Chama alicheza hovyo penalty Ile. Nadhani wengi wetu ni kutafuta tu uchochoro wa lawama.
    Chama alicheza Kwa Nia ya kumpoteza keeper ila keeper Mungu alikuwa kwao no way

  • @asnatimwidin5443
    @asnatimwidin5443 ปีที่แล้ว

    Mimi ni yanga Ila Simba wamepambana,,,,kiukweli. ,

  • @yusuphbenjaminkugaiwa7608
    @yusuphbenjaminkugaiwa7608 ปีที่แล้ว

    Mwanzo huwa unamwisho kuishia hapo ni mwanzo wa kianza upya

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 ปีที่แล้ว

    Nikweli Tumetolewa
    Lakini Wamelowa na Jasho na Kamasi Waarabu Wamejuta na Wamefungiwa Rikodi yao ya Kupiga Penat Ndani ya Uwanja Wao

  • @Mohamed-Aminee
    @Mohamed-Aminee ปีที่แล้ว

    Nini Hiki 😂😂😂😂

  • @latifamchekenje6718
    @latifamchekenje6718 ปีที่แล้ว

    ,😅😅😅😅Eti anaona nyoya

  • @mussalimbe6673
    @mussalimbe6673 ปีที่แล้ว

    Robertinho ni kocha anayeua viwango vya wachezaji vijana Simba akichagua first eleven yake wale wangine hajali siku wakipata majeruhi ndo timu kupoteza point

  • @melitalaunoni4018
    @melitalaunoni4018 ปีที่แล้ว +2

    Simbaaaaaaaaaaaaaaaa midomo imekatwaaaaaaaaaaaaaa

  • @daccordaurevoir5526
    @daccordaurevoir5526 ปีที่แล้ว

    Mara zote tuu Simba amefanya kiume kwenye hatua hizi LAKINI nadhani SUALA hilo la kupambana kiume lisiwe entertained sana.... Mara ZOOTE hatua za Robo fainali kwenye Confederation na Champions league Mnyama alipambana sana hadi kutolewa sasa hilo halisaidii.... Kizuri zaidi ni kushinda na kuendelea... Lingine muhimu ni huyo Afisa habari wa Simba apunguze Ngebe.... Qadar Allah.....

  • @NbaviliMwakyusa
    @NbaviliMwakyusa ปีที่แล้ว

    Kiufup simba kwenyepenat bado wanaplesha saana hawatumii ufundi walionao asilimia kubwa simba kwenyepenat akikutana na timu yoyote ni marachache anshinda .kwaiyo wajiangalie hilo ni tatizo

  • @LatKashmir-ui8qq
    @LatKashmir-ui8qq ปีที่แล้ว

    Kila la heri yanga

  • @chizashungu1236
    @chizashungu1236 ปีที่แล้ว

    Simba hawakujiandaa vya kutosha kwani hawakujua kama zinaweza zikapigwa penati.Maandalizi ya kimpira ni muhimu sana.MSIMU HUU NDIYO ULIKUWA RAHISI SANA KWENDA NUSU FAINALI ZAIDI YA MISIMU MINGINE YOYOTE.

  • @jumahkipingu7339
    @jumahkipingu7339 ปีที่แล้ว +3

    Mmekoma aya rudini nyumbani

  • @nestorykija2517
    @nestorykija2517 ปีที่แล้ว

    Hii channel shida hakuna ktu kwenye utangazaji halijui hli

  • @imatisatv9239
    @imatisatv9239 ปีที่แล้ว

    Wamekutana na Cha moto Leo 😂😂

  • @BadenJuma
    @BadenJuma ปีที่แล้ว

    Sio risiki

  • @sokisigrace6836
    @sokisigrace6836 ปีที่แล้ว

    Haooooooooooo

  • @daudisalaon352
    @daudisalaon352 ปีที่แล้ว

    Humwaka siyo wetu