TAZAMA NYUMBA YA DAUDI YANGA | MAISHA YA FAMILIA YAKE | MTOTO WAKE AMPA JINA LA YANGA........

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Tafadhali Subscribe Shutikali Tv ili kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali za Michezo
    #sokatanzania #simba #yanga #azam #mpira #football #tanzania #chama #feitoto# #mayele#azizki#mosesPhiri#mashabikisimbayanga#ahmedyally#allykamwe#

ความคิดเห็น • 145

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 12 วันที่ผ่านมา +31

    Hongera bro safi sana wewe ukweli ni mwananchi 💚💛💚💛💚💛💚💛💚 huyu mtoto wetu kabisa mungu amlinde

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 11 วันที่ผ่านมา +15

    asante sanaaa nilimisi sana daudi yanga fun number 1

  • @hallachibu2611
    @hallachibu2611 2 วันที่ผ่านมา +2

    Yanga Madrid

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 12 วันที่ผ่านมา +17

    Hongera sana mwananchi mwenzetu,utafika mbali🎉🎉🎉

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 5 วันที่ผ่านมา +3

    Napajua apo hongera broo

    • @simonsangu6040
      @simonsangu6040 4 วันที่ผ่านมา

      Kama maeneo ya wazo kiwandan hv

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 12 วันที่ผ่านมา +19

    Hongera sana Daud.. usisahau kusali Rosary ya B.M kwa mwezi October

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 12 วันที่ผ่านมา +8

    Masha'allah

  • @ADELADamus
    @ADELADamus 12 วันที่ผ่านมา +8

    Wawoooo nc🎉🎉🎉💚💛💚💛

  • @vincentkatonga6985
    @vincentkatonga6985 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ndg yng daud mwananch mwenzangu nakupenda mno

  • @thomaslima921
    @thomaslima921 8 วันที่ผ่านมา +2

    Aaah home boy huna baya japo ni mtani ila nimeipenda sana hii interview yaan umeongea maisha zaidi,angekuwa mwingine hapo ungesikia ni yanga,yanga yangaa ila maelezo yako ni somo tosha hongera bro safi sana endelea kutuelimisha kaka

  • @MatswelopeleMphela
    @MatswelopeleMphela 2 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉wao YANGA ww ni jina kubwa ukue na kumpendeza mungu.

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 10 วันที่ผ่านมา +1

    Umetisha sanaa shabiki letu Mungu amlinde mwanetu 🙌📖🙌📖🎂💕👍

  • @mohammedomary9476
    @mohammedomary9476 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana mwanachi,its good kuona kumbe unaweza kushabikia mpira sana na bado ukawa unawajibika na familia yako na maendeleo yako❤❤

  • @Najima-r6r
    @Najima-r6r วันที่ผ่านมา

    Mi naipenda yanga lakini siwezi muita mtoto wangu yanga daaaah😂😂😂

  • @michaelmasalago8068
    @michaelmasalago8068 12 วันที่ผ่านมา +7

    DUU HONGERA SANA MR YANGA, KWELI BIASHARA ASUBUHI.

  • @DevothaKilanzi
    @DevothaKilanzi วันที่ผ่านมา

    Yanga boy

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 11 วันที่ผ่านมา +2

    Nimependa sana broo 👍💚💛💚💛💚

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 11 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera sana

  • @MdimaleMdimale-x3b
    @MdimaleMdimale-x3b 10 วันที่ผ่านมา +1

    aaaaiseee blo p1 sana nami mwanangu atakua wajina wake uyo

  • @ireneferge9142
    @ireneferge9142 9 วันที่ผ่านมา +1

    Familia nzuri

  • @mohamedyshaibu3549
    @mohamedyshaibu3549 9 วันที่ผ่านมา +1

    Dunia inatulagai San. Tumesahau Sababu za kuja Duniani duh Aya. Mungu atuongoze maan hii hatar sana

  • @erasmuskwayu5643
    @erasmuskwayu5643 12 วันที่ผ่านมา +4

    Safii

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 12 วันที่ผ่านมา +6

    Kweli wewe Yanga Damu hongera sana Kaka 😂😂

    • @jamessamwel9456
      @jamessamwel9456 11 วันที่ผ่านมา

      Yanga njano sio damu😊

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 8 วันที่ผ่านมา

    Safi San mwananchiiiiii nimeipenda iyo 💛💛💛💛💚💚💚💚

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 11 วันที่ผ่านมา +3

    Kaka umenifurahisha

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 12 วันที่ผ่านมา +5

    Jaman sasaitakuwaje😂😂

  • @zackofficial9840
    @zackofficial9840 8 วันที่ผ่านมา +1

    Brother Kuna kipindi ulipoa sana nilikuwa naumia sana
    But Leo nimefurahi kukuona
    Pia umenifurahisha kwa jina la mtoto wetu Yanga daudi lwena🎉

  • @KassimLibihi-e2e
    @KassimLibihi-e2e 3 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wa simba acheni wivu

  • @saidkasonta3174
    @saidkasonta3174 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera saana Kwa Hilo! Lakini ushabiki wa kiwango hicho ni hatari Kwa familia!! Vipi kama mtoto asipokuwa shabiki wa yanga? Vipi wageni wa Simba wanaruhusiwa kuja na kujisikia nyumbani wakiwa kwako???

  • @nobertjuma7960
    @nobertjuma7960 10 วันที่ผ่านมา

    DAUD NIMEKUBALI SANA , WEWE NI YANGA DAM DAM KWEL BIG UP BRO

  • @kuruthumngayonga
    @kuruthumngayonga 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Said utasababisha upande wapili watoto wao wawaite majina ya wanyama sasa😂

  • @Rahima-kv6mn
    @Rahima-kv6mn 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi Tim yangu pendwa Ni Tim ya Mbao so nikija kuzaa mwanangu nitamuita Mbao ..... 😂😂😂😂 Mana nilikuwa sijui km inawezekana kumuita mtt jina utakalo yaani awe wakike mbao awe wakiume mbao tu

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 11 วันที่ผ่านมา +3

    Mmmmmh million nne🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @GraceMarine-vo9hu
      @GraceMarine-vo9hu 9 วันที่ผ่านมา

      Ndio hizo gari zinauzwa hivyo, anaziagiza China faiza mazazi mwenzie na Sugu

    • @Haji-yr9db
      @Haji-yr9db 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 9 วันที่ผ่านมา

    duh sawa

  • @jitihadaharuna9448
    @jitihadaharuna9448 8 วันที่ผ่านมา

    Hongera mtani ila hizo rangi hatari sana utafikiria jangwani ingekua hivi tz nzima nyumba zote zingekua njano na kijani na nyekundu na njano tu duh!

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc 7 วันที่ผ่านมา

    Heeeeeee mpk mtoto anaitwa yanga ten😂😂😂😂😂

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 6 วันที่ผ่านมา

    Hata kama naipenda tim siwez mpa mwanangu

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 11 วันที่ผ่านมา +3

    Chukua Maua yako 🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @Masengo-su3mf
    @Masengo-su3mf 11 วันที่ผ่านมา +5

    Ubari kiwe sana2 . Ila utahenda 19 kusherekeya ushindi ?

  • @Masengo-su3mf
    @Masengo-su3mf 11 วันที่ผ่านมา +2

    Mbanga mawe twende ushindi lazima rofa kuna rofakule ushindi lazima daima mbele nyuma mwiko tutashinda

  • @nobertjuma7960
    @nobertjuma7960 10 วันที่ผ่านมา +1

    NAKUOMBEA WEW NA FAMILIA YAKO MUWE SALAMA SALIMINI, YANGA TEAM KUBWA KWEL NA MWAKA HUU TUNAFIKA MBALI SANA KIMATAIFA NA LIGI KUU TUTABEBA TENA MWAKANI.

  • @MtashobyaJosia-wt9jq
    @MtashobyaJosia-wt9jq 11 วันที่ผ่านมา +2

    mtashobya josia nikiwa Kenya nawapata kwauzuri kweri nimekubari niatari sana akuna ubishi

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 7 วันที่ผ่านมา +2

    Rangi ni Tiba ya ubongo (mental therapy) nje siombaya sana kupaka rangi kali ila ndani kupaka rangi kali siopoa yote kwa yote hapangiwi mtu chakufanya 😂😂

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 วันที่ผ่านมา +1

    😅😅😅😅

  • @JoseKelvin-y5t
    @JoseKelvin-y5t 4 วันที่ผ่านมา

    Sawa kaka daudi wote wakunyumba

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 10 วันที่ผ่านมา

    Shemeji huna bayaaa😂😂😂💓🤝🎁🎁🎁🎁😘

  • @BestFabrics
    @BestFabrics 11 วันที่ผ่านมา +1

    💚💚💛💛

  • @Generosembaule-zb5en
    @Generosembaule-zb5en 10 วันที่ผ่านมา +2

    Mwanayanga wa ukweli lakini pia baba anayejitamb

  • @rosemaira6690
    @rosemaira6690 9 วันที่ผ่านมา

    💚💚

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 6 วันที่ผ่านมา

    Uyu njo yanga damu damu kbx

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc 12 วันที่ผ่านมา +2

  • @JoyceSamwel-f2s
    @JoyceSamwel-f2s 11 วันที่ผ่านมา +2

    Dada ana furaha kutoka moyoni mda wote

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 11 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi ni Simba ila huyu jamaa ni muungwana Sanaa niliwahi kupanda basi anayoiendesha huyu jamaa muungwana sanaa

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 11 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu ndo shabiki sasa💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛

  • @FrumenceBoniphaceMasero
    @FrumenceBoniphaceMasero 5 วันที่ผ่านมา

    💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hayo ni mapenz au upungufu wa akili had nyumba ukapige rang ya yanga😂

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 11 วันที่ผ่านมา +5

    Mimi nina watoto 8 na wote nimewalithisha simba kudadadek

  • @AtupeleFesto
    @AtupeleFesto 9 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @hassanyassin-ny3qh
    @hassanyassin-ny3qh 9 วันที่ผ่านมา +1

    We daudi uyomtoto unataka kumzeesha. Nailo timuyako mbovu. Na akizeekauyo km c kuwa m.mpili. bx atakuwa fundi baiskeli tuu.

  • @MohamedSomeko
    @MohamedSomeko 9 วันที่ผ่านมา +1

    Sio intervew tu .. ila unetoa naelimu pia yamaisha umetoa kaka,

  • @AsmaAmeir-c6r
    @AsmaAmeir-c6r 7 วันที่ผ่านมา

    Gari hiyo milion 4 😂😂😂

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekuerewa mtani mchome Huwa kunakitu anakosea kawaida ya simba nayanga niwatani kusemana kutaniana nisawa kabisa anapokosea nikuvaa jezi ya simba na kuiponda simba hakuna sikuameiongerea vizuli simba iriawe sawa anatakiwa avae jezi yayanga ndio aitanie simba kwahiyo mpeni elimu aerewe tusije mfanya kitu kibaya

  • @josephmakonga3201
    @josephmakonga3201 9 วันที่ผ่านมา +2

    Brother kuna kitu nimejifunza kutoka kwako naamini nitakifanyia kazi.

  • @Ancy-kq6qi
    @Ancy-kq6qi 12 วันที่ผ่านมา +3

    ww kaka ni akili zako au utakuwa unamapungufu

    • @bestforever-q2w
      @bestforever-q2w 12 วันที่ผ่านมา +3

      Tafuta pesa acha makasiriko

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 9 วันที่ผ่านมา

    Hongera kijana lkn usibague watoto laiti ungejua watoto wa kike ni keki usingefanya hivyo,eti mtoto wangu wa kiume wa kwanza wewe chunga sana

  • @KassimallyKassim
    @KassimallyKassim 8 วันที่ผ่านมา

    Bg up sn mwmb

  • @Ancy-kq6qi
    @Ancy-kq6qi 12 วันที่ผ่านมา +2

    huyo mtt akiwa simba baadae utamtupa au utamkataa sasa ww muambukize huyo mtt ila huyo ni SIMBA UBAYA UBWELA

  • @MbeshiPaulo-b5o
    @MbeshiPaulo-b5o 10 วันที่ผ่านมา

    Zaa na simba yanga kitu gani

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 8 วันที่ผ่านมา

    🇹🇿🇹🇿

  • @KatotooKavishe-bw6tq
    @KatotooKavishe-bw6tq 11 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu dada ni mteja wangu eti

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 12 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu ni mkweli Yanga original, hongera sana

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 11 วันที่ผ่านมา +1

    Badara watto muwape majina ya mitume uko na mngeipenda din km mnavyopenda timu za dunian ingekuwa powa sana

    • @TwahaAliMtumbi
      @TwahaAliMtumbi 9 วันที่ผ่านมา

      Angaika na maisha yako achana na maisha ya mwenzako. Kila MTU amepewa maisha yake. Pambana na yako

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 12 วันที่ผ่านมา

    Yanga ni jina lyanga

  • @hafia.056
    @hafia.056 11 วันที่ผ่านมา +1

    Namimi vile vile huku niko Yanga Africans naWatoto soote wananchi i meaning yanga supporters yanga Africans oyeee oyeee hayaa wananchi

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 8 วันที่ผ่านมา

    mwanamke kwake nyumbani bro,,,kama uwezo unao na mmependana kweli,akae akusubiri akulelee familia yako,hayo unayoyataka ww matatizo,,,,ukiona umeshindwa sana,,jenga frem nyumbani kwa nje ajishughulishe hapo...

  • @ايتيتووينويو
    @ايتيتووينويو 10 วันที่ผ่านมา

    Anatafuta ela kijanja huyooooo

  • @PineTree-n9y
    @PineTree-n9y 11 วันที่ผ่านมา +2

    Nmeipenda hyo inatakiwa dogo aende nayo had kwa bibi na Babu yake songea asipande superfeo

  • @hafia.056
    @hafia.056 11 วันที่ผ่านมา

    Sisi watu yanga Africans sote tunasema yanga Africans oyeee let's saying all oyeee hayaa Twendeee kazi wananchi eee

  • @MagangaJuma-w9d
    @MagangaJuma-w9d 11 วันที่ผ่านมา

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @Masengo-su3mf
    @Masengo-su3mf 11 วันที่ผ่านมา

    Dahudi yanga lazima wakusapoti kindoki godi makame yupo congo leo nakisugu ninyindiyo mashabiki wayanga kindaki ndaki ilatutadhinda tar 19 ndogo 2 nahuko

  • @HalimaMichael-x6x
    @HalimaMichael-x6x 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli utaira ni mzigo kwa kichwa fyuuu

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 12 วันที่ผ่านมา +1

      Tahira mwenye nyumba yake

    • @selemansaid5642
      @selemansaid5642 11 วันที่ผ่านมา

      www unayo

    • @HalimaMichael-x6x
      @HalimaMichael-x6x 11 วันที่ผ่านมา

      @@selemansaid5642 ulitaka nikupostie Au wewe nyuma mwiko

    • @zuberhamza7852
      @zuberhamza7852 8 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo Hadi cheti kimeandikwa Yanga?

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kwel ww yanga hatar😂

  • @edgarjoseph5573
    @edgarjoseph5573 11 วันที่ผ่านมา

    Atakama unaipenda YANGA Tatizo hiyo rangi haiendani na rangi za pkpk nyingi

  • @suleimanh1826
    @suleimanh1826 11 วันที่ผ่านมา

    Upuuzi tu

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 11 วันที่ผ่านมา +1

    Rangi Haipigwi Inapakwa😱😱😱😜

  • @SylvesterPhilipo-dv8vs
    @SylvesterPhilipo-dv8vs 11 วันที่ผ่านมา +1

    Daudi hapo kwenye milion 4 umetupiga

    • @ObeyClement
      @ObeyClement 11 วันที่ผ่านมา

      Kam huna hera lazima upigwe

    • @GraceMarine-vo9hu
      @GraceMarine-vo9hu 9 วันที่ผ่านมา

      Hiyo ndo bei ya hizo gari, hata wewe unaweza kuitumia kwenda sokoni, zinauzwa na zinaagizwa sana Faiza Ally kutoka China

    • @didadisminder5559
      @didadisminder5559 9 วันที่ผ่านมา

      Ila wabongo hpana bila hata kuhuliza kwa faidha aina ya hilo gari aujaona

    • @didadisminder5559
      @didadisminder5559 9 วันที่ผ่านมา

      Hayo sio yale ya laki tano

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nyumba haipendezi kwa rangi za hivyo

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 11 วันที่ผ่านมา

      Jenga yakwako uipendezeshe kwa langi upendayo

    • @gabrielnjiapanda3710
      @gabrielnjiapanda3710 10 วันที่ผ่านมา

      Wivu tu

    • @SuzanIkwabe
      @SuzanIkwabe 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@enockabumba7513jibu konk kabisa watu wanafanya masihara ktk maisha ya watu wengine

  • @HalimaHalimaaa
    @HalimaHalimaaa 11 วันที่ผ่านมา

    Chefuuu kizaba 😏😏😏😏😏mafiiakiri

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 11 วันที่ผ่านมา +1

      Wallah yaan majinnun wagin
      Siblisss😅😅😢

  • @godfreylutengano9367
    @godfreylutengano9367 3 วันที่ผ่านมา

    Ona raha ya wanandoa , afu kuna kimwanamke kinaropoka eti mimi sitak kuolewa eti wanaume hawaelewek, pumbafu kabisa wewe ndio hauelewek waoaji tupo

  • @cosmascastory9193
    @cosmascastory9193 8 วันที่ผ่านมา

    Bongo uchawi uhai tuu usikute dogo akishakuwa na jina lake hilo la Yanga akajakuwa mshabiki wa ubaya ubwela

  • @MohamedRugamana
    @MohamedRugamana 11 วันที่ผ่านมา +1

    Utopolo huyu

  • @AbdallahMohd-c5w
    @AbdallahMohd-c5w 12 วันที่ผ่านมา +2

    Hiyo nyumba ni branch ya ccm?

    • @sadih5333
      @sadih5333 12 วันที่ผ่านมา

      😅😅ni maskani ya CCM muembe matarumbeta😅

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 12 วันที่ผ่านมา +1

      Mbona Ccm yenyewe ni Yanga

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 12 วันที่ผ่านมา +1

      Chama tawala

    • @salymkitumbika8644
      @salymkitumbika8644 7 วันที่ผ่านมา

      Rangi ni Tiba ya ubongo nje siombaya ila ndani kupaka rangi kali siopoa yote kwa yote hapangiwi mtu chakufanya 😂😂

  • @sadih5333
    @sadih5333 12 วันที่ผ่านมา +3

    Wazimu sio lazima mpaka uvae nguo kchwani, Kuna mambo tu ukifanya ,,,,,,,,,,,,!

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 12 วันที่ผ่านมา +3

      Huku duniani kila mtu anafuraha yake na mtu Aishi maisha yake

    • @nurdinmahmud9111
      @nurdinmahmud9111 12 วันที่ผ่านมา +1

      Tafuta pesa uache wivu

    • @erasmuskwayu5643
      @erasmuskwayu5643 12 วันที่ผ่านมา +1

      Mbona wewe CCM wanakupa Kofia ya shilingi 1000 Miaka 5 huku huna Maji , Hospital ,Shule ,Barabara na unaridhika na kuwashangilia kama Zuzu

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe 11 วันที่ผ่านมา

    Daudi unabagua watoto hata wa kike wanaendedha gari usiwe hivyo

  • @ebbychipa8010
    @ebbychipa8010 12 วันที่ผ่านมา

    Uyo mtoto anataman kulia maana ata aelew kabisa

  • @BernadElias-k3y
    @BernadElias-k3y 11 วันที่ผ่านมา

    Acha uongo gari ya laki nne unasema milioni nne umetugia kaka

    • @GraceMarine-vo9hu
      @GraceMarine-vo9hu 9 วันที่ผ่านมา

      Hizo gari zinauzwa million Nne agiza China uone bei yake, kama umeuziwa laki nne ni used, mpya inauzwa million nne

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 11 วันที่ผ่านมา

    Kiwanja chenyewe ndio kinahitaji ujenzi wa namna hiyo sio kwamba uliplan kujenga gorofa ukagairi njiani mijengo ya hivo ipo mingi hapa mjini na haijengwi kwenye viwanja vya tambarare.

  • @AmranShafik
    @AmranShafik 11 วันที่ผ่านมา

    Subili siku tumpe sa 7 alfu ndo atapona kichaachake😮

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 11 วันที่ผ่านมา

    Dah nimependa hadi naona nyotanyota machoni yaani ktk mashabiki wote wa Yanga wewe ni namb1 naamini hilo

  • @mussandimbo9920
    @mussandimbo9920 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hao wtt hufafani nao kbs acha kujitapa

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 12 วันที่ผ่านมา +2

      Kufanana ndo nn mkitaka wa kufanana na wewe tujipatie mimba ujizae

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 11 วันที่ผ่านมา

      Acha uchochezi hujui mtoto kafanana na baba na kwa mama pia rangi.