SIMBA WAKIWASHA TFF YATOA TAMKO KWA REFA KAYOKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @HajiHija-od2db
    @HajiHija-od2db 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Acha kulalamika , haman timu tim mbovu mbele ya yanga , na mtafungwa sana

    • @VeryMnyakiwele-j1p
      @VeryMnyakiwele-j1p 29 นาทีที่ผ่านมา +1

      Wapuuzi nyie timu mbovu kwa kubebwa ngoja tuone club bingwa kama atachezesha kayoko

  • @IddyMawenge
    @IddyMawenge 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Alikua Ellly Sasii

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TFF eleweni kauli za wana Simba wanaposema REFA. afungiwe kabisa. TFF. Msishupaze shingo kauli hizi. ,Kama mna upendo na huyu Refa. muokoeni katika jambo Hila. HUENDA kijana wa watu hajitambui. Nimazungumza kwa mfano

  • @wililochristopher
    @wililochristopher 35 นาทีที่ผ่านมา

    😂wewe hakuna kitu kichwa I kwako

  • @HusseinOsujack
    @HusseinOsujack 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ongelea bas nadube alivoshikwa sialikuwa anaenda kufunga pale ilikuwa nyekundu

  • @LehemaAlly
    @LehemaAlly 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Semeni jamn maana wanaonewa sana

  • @SebastianSabatho
    @SebastianSabatho ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu tunamjua hata pale kipenga Xtra. Anaongeaga Pumba.

  • @charlessomeke8992
    @charlessomeke8992 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi mnakumbuka siku ya Azam na Simba Simba alipewa penat ya bule

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchungaji umejichanganya sana maombi yamejichanganya na washirikina aliye azisha hiyo timu alianza vibaya hiyo ni laana.

  • @PalJames-x7p
    @PalJames-x7p 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yn offside kumbe huwa ni gor shenz nn

  • @LeonardCharles-g8c
    @LeonardCharles-g8c ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aragije na yeye hamna kitu

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona hamwusemi washika kibendera? Na wao mara ingine ndo refa anawafuata wao

  • @salumsasua9906
    @salumsasua9906 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kashika miguu katoa mpira

  • @CosmaMwale
    @CosmaMwale 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Namusonda alifanyaje

  • @KaungaDory
    @KaungaDory ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hv Simba jmn mbona Yanga pia walinyimwa penalty mbili kwahiyo ubao ungesoma mbili kwa tatu bado tungebaki kuwa washindi2 kubalianen na matokeo

  • @Isackhamka
    @Isackhamka 44 นาทีที่ผ่านมา

    huyo kayoko mfungieni katika lingi ya Dabi nainawezekana hata mechi zahapa tzd wamtoe 😂😂nalia sana kwamaana ubingwa ulikuwa na Simba

  • @mwitawakimara3649
    @mwitawakimara3649 42 นาทีที่ผ่านมา

    Dododma vp ilikuwaje

  • @chalemofaraji8797
    @chalemofaraji8797 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na bado Simba mtalalamika Sana 😂😂😂

  • @MuhammedAbdallah-h2t
    @MuhammedAbdallah-h2t 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukosawa Mchungaji TFF Wako pamoja na Yanga

  • @DiwaanOnline
    @DiwaanOnline 53 นาทีที่ผ่านมา

    Sasa penati ni goli 🤣🤣🤣🤣 timu bovu hilo acheni kutafuta kichaka cha kujifichia.

  • @matiti_chacha
    @matiti_chacha 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi nilichukizwa na goal

  • @NyatunzeJongo
    @NyatunzeJongo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aka mmeshakata tamaa mapema wangu.

  • @johnkamuhabwa5142
    @johnkamuhabwa5142 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawezi kufungwa anacheza na wadhamini wa wake

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ifike mahala simba tuamue tusicheze na yanga mechi zote hadi tff itakapo ona umuhimu wa kuleta waamuzi wa maana na makini ktk kuutendea haki mchezo wa mpira.

  • @SirajiGau
    @SirajiGau 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Unaongea utopol ww diala kamshik nan mguu penalty gan huk mtu alikua njeyachak ndomaan ukapew faul ww nimtu wakuwekwatu na yang

  • @KaungaDory
    @KaungaDory ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Heeeeeeh kumbe mlikuja na matokeo yenu ndiomaana mnalalama. Hata 5,2,1 zote mlilalamika jengen tim

  • @PalJames-x7p
    @PalJames-x7p 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila kwel mashabiki wa simba ni mbumbumbu kabx yn

  • @ferezaisaack9836
    @ferezaisaack9836 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona huongelei penat ya Dube

  • @kadangahilary9361
    @kadangahilary9361 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huna poins ya kuongea

  • @SirajiGau
    @SirajiGau 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vip ongea yadub pia ongea yamsond tumuia akil haulalamik unabwabwaj

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 39 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu chizi pua kama nyangumi mshenzi mkubwa pumbavu sana

  • @salumsaid7301
    @salumsaid7301 51 นาทีที่ผ่านมา

    Mkipigwa kubalini tuu

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe unajuaje kama penalty ingelifungwa hujui kuna kukosa?

  • @shujaamollel3796
    @shujaamollel3796 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wewe pokea pesa za wenye media ,uchambuzi ujui

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mechi ya marudiano msije uwanjani ili tujue kweli nyie mmekasirika sanaaaa.

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WEWE ACHENI UCHIZI RUDIA MECHI VIZURI MSIPENDI USHINDI WAKUPEWA JUHUDI ZENU MMEZOWEA

  • @alexrumo5545
    @alexrumo5545 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wew ni pimbi2

  • @abubakarkassimmwinyimwinyi6382
    @abubakarkassimmwinyimwinyi6382 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtu mzima wa ovyoo

  • @ZephaniaNdaki-vq1ti
    @ZephaniaNdaki-vq1ti 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    msemaji unasema mmenyimwa penalti mbili= magoli 2, na unasema matokeo yangekuwa 2 kwa 1; je, kama ni hivyo ukubaliane na upande wa Yanga kuwa Dube na Msonda nao waliyofanyiwa tuyahesabu kuwa goli 2! Na hivyo matokeo yangesomeka 2 kwa3! Bado mlikuwa washindwa.

  • @MuhammedAbdallah-h2t
    @MuhammedAbdallah-h2t 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe Muandishi kua na maarifa GSM Amedhamini timu Ngapi?

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii ni album kwa mashabiki wa simba hawaoni mapungufu gori la kibu ni offside halafu wanasahau FA kule tanga magoli halali ya yanga mwamuzi alikataa mwisho wakashinda kwa penat yanga hawakulalamika

  • @GodloveLauwo
    @GodloveLauwo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pumba

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 22 นาทีที่ผ่านมา

    Hii inanikumbusha tulipokuwa tunatembeza bakuli, tulikuwa tunalalamika saana. Red card huzungumzii ya kuvutwa dube, na ile ya kamara kucheza miguu ya msonda huoni, mnaona zenu tuu.

  • @CosmaMwale
    @CosmaMwale 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ulizio na zakwakotu uyondailagija siwakwenu

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Muwe mnahoji watu wenye Akili Timamu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 36 นาทีที่ผ่านมา +1

      AHOJIWE MAMAKO AU

  • @ADELADamus
    @ADELADamus 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂

  • @ferezaisaack9836
    @ferezaisaack9836 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ya musonda mliiona

  • @DaudiEmmanuel-hf4yb
    @DaudiEmmanuel-hf4yb 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siyo Lefa uwezo wenu mdogo hata ungekuwa ww lawama ziko palepale jiongeze ww mzee

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na Hao mashabiki wa yanga wanajifanya hawaelewi kinachozungumzwa nakukoment utumbo basi endeleeni mwisho wake utajulikana tu

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Umetangaza umeshinda uwanjani ukiwaombea washinde kwani lile kanisa (mwanga wee)

  • @DaudiEmmanuel-hf4yb
    @DaudiEmmanuel-hf4yb 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ww unatoka usingizini au unaota

  • @CosmaMwale
    @CosmaMwale 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yamusonda mbona husemi

    • @flova7022
      @flova7022 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jingaaa jifunze Mpira

  • @OsmanSiame
    @OsmanSiame 28 นาทีที่ผ่านมา

    Wabovu nyie nalitimu laki msajiri wachezaji wenye uwezo

  • @adamsonmwaisumo6791
    @adamsonmwaisumo6791 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na ya Musonda
    Na Dube

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ww kenge acha upuuzi kama umeonewa nenda mahakamani ya msonda ujaiona na ya dube ujaiona ushafeli Lia bac tujue kama mmeonewa kwel

    • @petermhonzwa7091
      @petermhonzwa7091 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nikweli mbona lefa alikuwa fare makolo wakumbuke mkuki mchungu kote penalty ya mazmilu alivomkamata mdathili ilikuwa penat ila tulinyamaza waache utoto

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 33 นาทีที่ผ่านมา +1

      NYIE MMENYAMAZA SI MMESHAPATA USHINDI FEKI

  • @amosdaudi9793
    @amosdaudi9793 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    YANGA RAMADAN KAYOKO...

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwa timu yenu mtasema sana na bado na bos wenu si amerudi hakujua kama kuna Gsm?

  • @JosephSamweli-c8k
    @JosephSamweli-c8k 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kila Lefa mbaya wachezeshwe wao ata mpira wadosi ajacheza

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wachezaji wa simba walifanya fauro za hatari kayoko hakuwazibu kwa kadi ilivyo staili ila watu wamezoea kuharisha maneno

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani wewe si ulisema utauzunguka uwanja kuutia upako kwa Simba? Kiko wapi sasa, mtengeneze timu simba mbovu

  • @JothamuPardon
    @JothamuPardon ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hunajipya wewe mchezaji WA Simba alibembea kwa dube akamvuta kidogo amvute Hadi kiungo Cha mbele Hilo hukuliona!! Timu lako bovu

  • @Mjapancompanylimited
    @Mjapancompanylimited ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Winung'a sana ungayashahulonga umubofu sii

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwendeni huko refa hafungiwi kwa matakwa yenu dodoma mlipewa penat mkashinda 1hamkulalamika na barefaced ni hawahawa