Usalama umeendelea kuyumbishwa na vijana mjini Mombasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2019
  • Licha ya mageuzi katika idara ya Usalama mjini Mombasa, magenge yameendelea kuzuka hasa katika maeneo ya Kisauni na Nyali. Vijana wenye umri kati ya miaka 13 Hadi 18 ndio wanaodaiwa kushiriki uvamizi huku makundi hayo yakibadili mbinu. Je nini kinachochangia kuzuka tena Kwa makundi haya.

ความคิดเห็น • 42

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 4 ปีที่แล้ว +8

    Msa inahitaji wale polisi wa Eastleigh mhalifu akipatikana kanyaga kichwa piga risasi mpaka akufded.

  • @mnyalumykt1980
    @mnyalumykt1980 4 ปีที่แล้ว +4

    Hawa watoto wanajificha sehemu ya utange.... police washirikiane na wakazi wa utange wawape information ya hawa watoto.....mtaa wa maweni utange ndo waliko jificha

  • @briandeflugel9055
    @briandeflugel9055 2 ปีที่แล้ว

    Mzee Najib umeongea point kabisa

  • @nancynyagaka4432
    @nancynyagaka4432 4 ปีที่แล้ว +2

    Hawa watoto ni watu tunawajua wengine ni vile mtu uwesi msema hila msa akuna rahaa ikifika saa moja rohoo mkononi yaani ni mungu 2

  • @topadeng8222
    @topadeng8222 4 ปีที่แล้ว

    Anayeshikwa aauliwe .....

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 4 ปีที่แล้ว +1

    Brings marua back
    Brings marua back
    Brings marua back

  • @mbithepauline3686
    @mbithepauline3686 4 ปีที่แล้ว +1

    Msa imegeuka na kuwa kama Nairobi,,, khee,, jameni Mola tulinde

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 4 ปีที่แล้ว +5

    Upuuzi mkubwa baada ya kuua munapata faida gani

  • @charlesrachier5444
    @charlesrachier5444 4 ปีที่แล้ว +2

    Wapigwe risasi

    • @gaddafijnrmuammar
      @gaddafijnrmuammar 4 ปีที่แล้ว

      Wakiuliwa wazazi utawaskia wakilaumu idhara ya usalama

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 ปีที่แล้ว +1

    CC TV NGAPI WATU HUVUNJA

  • @elizabethbusche2572
    @elizabethbusche2572 4 ปีที่แล้ว +1

    Joho.! Is a joke. Next time mombasa vote wisely.

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 4 ปีที่แล้ว

    Uwa wote Hao

  • @achkobekudevela9563
    @achkobekudevela9563 4 ปีที่แล้ว

    Ukosefu Waa ajira unachangia vijana hawana kazi...

  • @officialifruit_x7549
    @officialifruit_x7549 4 ปีที่แล้ว

    Joho ndio anaongoza haya magengi ya mauwaji hakuna mwengine uhakika uwazi

  • @uncensoredbluehawk6335
    @uncensoredbluehawk6335 4 ปีที่แล้ว

    Haki Africa mnangoja nini?safisheni area

  • @technician139
    @technician139 4 ปีที่แล้ว

    Na venye nsis wako wengi mombasa kazi yao ni gani

  • @francismay1620
    @francismay1620 4 ปีที่แล้ว

    Awa wanaitaji risasi ya kichwa akuna la mwanangu, mwanangu c muhuni kitu gani

  • @davyndila1241
    @davyndila1241 4 ปีที่แล้ว

    DCI mwaga CID coast & all this kind of criminals give an authorization "shot on the spot". It will give good lesson to many. No need court cases.

  • @Purity493
    @Purity493 4 ปีที่แล้ว +1

    Omg!!!!

  • @SophhhiaOnono
    @SophhhiaOnono 4 ปีที่แล้ว

    Hapa lazima wakazi waungani ndio hili tatizo litapunguwa

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 ปีที่แล้ว

    Mm naona kuna watu wakubwa ndio wanawaongoza tena inaonyesha nipolisi maana mtu wakawaida hakuna

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 ปีที่แล้ว

    Hawa polisi wasipokee misgahara tuu waekwe kila mahali huko mombasa wasilale pilisi tena pia inawezekana kuna polisi pia wamo kwahio nawanajuwa kama mangenge watavamia

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 ปีที่แล้ว

    Wachakufunguliwa saa kumi na mbili tuu wangefunguwa saa moja kweupee

  • @charlesrachier5444
    @charlesrachier5444 4 ปีที่แล้ว

    Piga risasi

  • @danielmacharia5945
    @danielmacharia5945 4 ปีที่แล้ว

    Magenge haya yanafadhiliwa na nani,tuna walinda usalama,jee mkono wa sheria uko wpi? mlipa kodi analipa ushuru,vikosi vya usalama viko wapi,Kenya is a peaceful country,pls don't fool us.

  • @gaddafijnrmuammar
    @gaddafijnrmuammar 4 ปีที่แล้ว

    Hahaaa.... Mtachinjwa sana....

    • @gaddafijnrmuammar
      @gaddafijnrmuammar 4 ปีที่แล้ว

      @Mansoor Nandlal askari wakifanya kazi yao mwalalama.... Ona sasa ukiskia imekuuma tafta humans right

  • @asmaabugalala1856
    @asmaabugalala1856 4 ปีที่แล้ว

    Joho kazi yake nini

  • @tureali7061
    @tureali7061 4 ปีที่แล้ว +3

    Magenge yakiua ama kujeruhi, lawama 'polisi wanalala'. Mwanagenge akipigwa risasi na polisi, MUHURI, KNCHR,IPOA wanapiga nduru eti polisi kaua 'vijana wetu' kiholela.

    • @wandisha6097
      @wandisha6097 4 ปีที่แล้ว

      Kweli sijui wakenya Wanataka nini

    • @anthonyodeba4137
      @anthonyodeba4137 4 ปีที่แล้ว

      Double standards on the sides of human rights groups.

  • @AhmedAli-jm5yu
    @AhmedAli-jm5yu 4 ปีที่แล้ว

    Ni magenge kutoka bara especially central ndio wanavuruga coast

  • @awkamau8797
    @awkamau8797 4 ปีที่แล้ว

    NA JOHO NI BBI USIKU NA MCHANA

    • @fauzishma8033
      @fauzishma8033 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwani Joho ni police atae kuja mitaani kuatafuta hao majambazi wacha chuki zako