Mwanafunzi mmoja wa chuo cha TUM Mombasa ameripotiwa kupotea
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- Mwanafunzi mmoja chuo kikuu cha Tum mombasa ameripotiwa kupotea kwa Zaidi ya siku mbili baada ya purukushani iliyosababisha chuo hicho kufungwa. Mwanafunzi huyo alikuwa mmoja wa wale waliokuwa wanawania wadhifa wa kiongozi wa wanafunzi katika chuo cha TUM.
Marvin mabonga, my friend indeed...we hope Sichei will be safe
When the police fail us comrades ..it breaks me💔
When injustice becomes law , resistance becomes Duty ✊✊✊💯 . The Comrades are right , we need a positive change . # We won't let anyone gumble with our lives .
Comrade is always Right wapi comrade?
May the Lord take care of Sichei
Free sichei
As a finalist it hurts
subhanallah jamani jamani mbona kenya imekua ivi mungu tunusuru na nchi hii viongozi wote hili awalijadili kabisa watu wapotea kila leo kama wanyama alafu watu wajivunia viongozi
May God intervine here, where is the student, may he ge covered with precious wings of our Lord Jesus christ
Principle wa TUM should be fired,this is unfair to students and even to parents
Free Sichei
May our Good lord protect and preserve him in Jesus name
Free Sichei for us😪😖😖
Umoja ni Nguvu. Keep fighting until he is found.
Apatikane akiwa hai, eeh Yesu, it's very painful
This is really painful and sad
i pray he is found
Even the police fails not the first time 💔💔💔where is our president where is the minister of security you are all failing us
Why the institution is not.invoved in the whereabouts of that guy.whe sudden closure of the institute the school seems aware of his where about
May God protect him wherever he is
When a society ignores the law, lawlessness is the result, and chaos ensues. In Kenya today , lawmakers are ignoring Kenya Constitution and Laws.
The Bible connects man’s lawlessness and rebellion against God with his need for God’s forgiveness.
Psalm 32:1 says, “Blessed are those whose lawless deeds are forgiven, and whose sins are covered” .. Many crimes(sins) in Kenya are openly exposed and no justice. Breeding lawlessness in society. A Kenyan is an enemy to a Kenyan..., what a society to live in?
Na kwao nyimbani ushago
Hahahaha
@@richhommiekhalifah2032 unaxheka nini??mchawi.
We want justice
Free our son
Hatuna maoni
A stundent nooo..
Wanafunzi pia wanaiga mambo ya wana siasa wao hii kenya waaaa nimungu tu lkn mwanadamu ni mnyama
FREE DAN SOET SICHEI
Sichei for president 💯
Free this son of Elgon
Hao polisi wamtoe
Free sichei ffs👺👺
Amechukuliwa na watu wasiojulikana. Loh!
Waa. Even in our campus?
And parents paid fees? This is madness, shame on them.
Wanaume wawili wana report news aje pamoja ..
Wameangalia port or airport police? Next time acheni vita, dialogue will lead to consensus.
Ni kubad
Sasa police hapa muhusike vp? Watu wazima na watoto wangu mungemtoa
Kidnapped?
it's just so sad that in TUM the security men are the Insecurity