Serikali ya kaunti ya Mombasa, Kenya Navy walaumiwa kwa kutowajibikia mkasa wa feri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Shughuli ya kuopoa miili ya mama na mwanawe ambao walizama baharini katika kivukio cha feri cha Likoni zinaendelea kwa siku ya pili hii leo. Inatarajiwa kuwa usimamizi wa shirika la ferry utasitisha safari za ferry kwa saa mbili ili msako wa gari lililotumbukia baharini ufanikishwe.

ความคิดเห็น • 453

  • @ulimacoxwagichohi
    @ulimacoxwagichohi 5 ปีที่แล้ว +28

    From Sunday ferry ilikuwa hawana idea enyewe bora watoke Lakin mm naona kama navy Ingeingia hiyo Sunday huyo mama angetoka Hai.

    • @simonmdune9066
      @simonmdune9066 5 ปีที่แล้ว

      Akii tena daddy angepatika bado yuhai😭😭😭

    • @reginandiga5840
      @reginandiga5840 5 ปีที่แล้ว

      Kumbuka ilikua 6 jioni bahati baya Sana iyo Ali coz ilikua usiku

    • @jamestemu1589
      @jamestemu1589 5 ปีที่แล้ว +1

      they were not ready for no kitu kidogo was offered to save the lifes. I WONDER what the speech will be on mashujaa day in the coming two weeks time. Tunajifunia nini na macheshi wetu since independence. Better we escape the day's lies from the president.

  • @hawamussah2370
    @hawamussah2370 5 ปีที่แล้ว +49

    I AS A DAUGHTER OF A KENYAN NAVY LIEUTENANT MAN AM SO ASHAMED AM SO DISAPPOINTED AT MY DAD...ATA SITAKI KUMUONA KWA MACHO

    • @earlybird5647
      @earlybird5647 5 ปีที่แล้ว +2

      They're a disgrace and a big disappointment in this Nation

    • @kanyaugatiejagwo
      @kanyaugatiejagwo 4 ปีที่แล้ว

      a beach boy not a man.

  • @mombasanews3024
    @mombasanews3024 5 ปีที่แล้ว +42

    I would like to invite Magufuli to rule Kenya because Uhuru Kenyatta has failed completely !!!!

  • @iammarwa
    @iammarwa 5 ปีที่แล้ว +3

    hii kenya inafaa revolution !!!

  • @veraskitchen8122
    @veraskitchen8122 5 ปีที่แล้ว +26

    Good don't blame only Kenya navy, start from the top! Big shame to Kenya gavament...tena haibu coz likoni fry is next to Kenya navy! Kwani kazi yao ni nini? jinga gavament

    • @jamestemu1589
      @jamestemu1589 5 ปีที่แล้ว

      They are there for state fanction shows to show how qualified they r to save Kenyans in camera

    • @veraskitchen8122
      @veraskitchen8122 5 ปีที่แล้ว +2

      @@jamestemu1589 good brother, they are there to show off combackt but inthere actions are like mulevi wa chan'gaaaa....I'm proud to call them idiots. Kenya's this is the time to fight this idiot gavament.

  • @samuelotura5883
    @samuelotura5883 5 ปีที่แล้ว +70

    It's very very shameful for the Kenya Navy to be smart only in uniform but NOT IN ACTION!!!!!

  • @johniemarsha8790
    @johniemarsha8790 5 ปีที่แล้ว +21

    Joho hata sijamsikia akiongea igekua ni huku Nairobi sonko agekua hapo kila wakati ....na KAZI ya diving ipewe wenyeji wa Mombasa ...

  • @niccur9758
    @niccur9758 5 ปีที่แล้ว +43

    Raundi hii hatutaki navy kwa occasion yoyote ya serikali ni heri tuite watoto wa nusery watuimbie❎❎✖✖

    • @shiphrahblessing284
      @shiphrahblessing284 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤜🏼

    • @willaehaishwarya4022
      @willaehaishwarya4022 5 ปีที่แล้ว

      💯💯💯

    • @kadalaful
      @kadalaful 5 ปีที่แล้ว

      Haki, wasikuje

    • @earlybird5647
      @earlybird5647 5 ปีที่แล้ว +1

      Mi sijui ata kazi yao Nini Vita hawaendi Wala ata kuonekana wakisaidia popote kazi Ni kulewa na kulala na Bibi za watu

    • @kungukimani9260
      @kungukimani9260 5 ปีที่แล้ว +1

      Usha nena

  • @judykandie1452
    @judykandie1452 5 ปีที่แล้ว +5

    Hussen Ali ,you have said the truth.

  • @dianasimiyu8853
    @dianasimiyu8853 5 ปีที่แล้ว +31

    As a mother i feel so sad to for this and shameless to our leaders 😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @rastafariangal5546
      @rastafariangal5546 5 ปีที่แล้ว +1

      Me too

    • @veraskitchen8122
      @veraskitchen8122 5 ปีที่แล้ว +1

      Diana simiyu, I'm watching this issue of our fellow mother who's now rooting in the water while K Nevy is next to likoni ferry, if now Ohuru was there they can show how professional divers they're! 3 days mtu yuko. Ndani ya maji tena salt water? and the Kenya chiefs are home f**cking there' wife? iiiiiiiinauma saaaaana. I wish to meet one of the terrorist attacker boys.....I'm a mother, I've sister's just assume if was my blood sister?

    • @pmk8877
      @pmk8877 5 ปีที่แล้ว +1

      Am too disgusted with the operations I our country. Ushuru Lipa but when it comes to government services, you are on your own. This is very painful, someone tell me again why do we pay taxes? For what purpose? Ile Ushuru huyu mama alilipa haikutosha kumuokoa?

    • @christineosomechristine3853
      @christineosomechristine3853 5 ปีที่แล้ว

      Am sorry

  • @twinzmulambes4914
    @twinzmulambes4914 5 ปีที่แล้ว +21

    Wot if wapatikane wakiwa haii😭😭😭.. God I trust in you..

    • @christinemathenge2131
      @christinemathenge2131 5 ปีที่แล้ว +1

      Mi too aky 🙆😭😭

    • @earlybird5647
      @earlybird5647 5 ปีที่แล้ว +2

      There's no air penetration they must have suffocated but I'm praying for them wherever they are

    • @roselin571
      @roselin571 5 ปีที่แล้ว +1

      Oxygen itatoka wapi chini ya maji

    • @twinzmulambes4914
      @twinzmulambes4914 5 ปีที่แล้ว +1

      @@roselin571 my God is God of wonders

    • @twinzmulambes4914
      @twinzmulambes4914 5 ปีที่แล้ว

      @@christinemathenge2131 Ameeen

  • @alhandroraj8009
    @alhandroraj8009 5 ปีที่แล้ว +24

    Mungu tangulia jamani. Joho atalaumiwa tuu maana ni mkubwa lakini shirika ndio inge bidiika miili zipatikane. Kwa yote tuungane kwa maombi mola alete wepesi zipatikane na wanao fanya hiyo kazi nao mungu awalinde wasizame wasije wakapatwa na kifo ingine. Bahari ni mahali hatari

    • @marymwangi8753
      @marymwangi8753 5 ปีที่แล้ว

      Joho atalaumiwa juu ni mtetezi wa hawa watu anapokosa kuwatetea ni makosa makubwa angalau angejitokeza tuu hata kama hatakuwa na uwezo wa kutoa hawa watu kwa maji.

    • @bijumakassim3697
      @bijumakassim3697 5 ปีที่แล้ว

      @@marymwangi8753 kweli kbsa umesema point

  • @jobjobhazard2
    @jobjobhazard2 5 ปีที่แล้ว +2

    Wooiii Mungu asaidie hii miili ipatikane InshaAllah. God bless our nation. God also help n bless these divers to operate through God's strength

  • @gidionkipruto3540
    @gidionkipruto3540 5 ปีที่แล้ว +33

    God help those helping in the search 🙏 and comfort the families affected and the whole nation

  • @peterone2882
    @peterone2882 5 ปีที่แล้ว +8

    I pray God you make it possible for this process Amen

  • @joyann985
    @joyann985 5 ปีที่แล้ว +12

    So 😭😭😭may God be your guider in everything you are doing now .
    .

  • @twinzmulambes4914
    @twinzmulambes4914 5 ปีที่แล้ว +12

    Only to realize that the mother attended my dad's burial in May😭😭😭😭 may your dota rest in perfect peace..plus yo sister

  • @saumuabdi5954
    @saumuabdi5954 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka huseni maumivu yako yanaonekana dhahiri mungu akupe ujasiri akulinde ubaki na sisi wanyonge

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah ajalie wapatikane Inshaallah..wallah mm sina lakusema kbsa.Tumtangulize Allah kwa kila jambo.inauma Sana wallah.

  • @reaganodhiambo3284
    @reaganodhiambo3284 5 ปีที่แล้ว +21

    Kenya Navy niwa oga patieni vijana was kidigo

  • @shikushee8952
    @shikushee8952 5 ปีที่แล้ว +5

    Leo nimeamini wakenya tuko solo kivyetu wah ...mungu saidia kenya

  • @sekinanoor1891
    @sekinanoor1891 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Asaidie kila kitu ikuwe nyepesi Insha Allah Amiin

  • @stylinconceptkenya1160
    @stylinconceptkenya1160 5 ปีที่แล้ว +16

    Kusema ukweli kazi ya bahari ipatiwe vijana wa coast coz wa nairobi ni waoga kwa maji hatuja zoea majo kubwa

  • @silviajeruto6832
    @silviajeruto6832 5 ปีที่แล้ว +14

    Kenyans Don't vote 2022 boycott period.Till they fulfil their manifesto

  • @JefreyKings
    @JefreyKings 5 ปีที่แล้ว +10

    Yani wanafikiria kuhusu uchumi instead of Maisha ya watu

  • @animakhatib8347
    @animakhatib8347 5 ปีที่แล้ว +5

    Am saying chinese wth the robot.why are they taking time...whose going to pay them..ama deni inaongezeka na ile ya SGR..Mungu Saidiaa sisi.

  • @jajje3352
    @jajje3352 5 ปีที่แล้ว +10

    😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢😢sina lakusema nkulia tu namapenzi ya mungu ya timie inauma sana 😢😢

    • @hamzahalimahalimahamza4446
      @hamzahalimahalimahamza4446 5 ปีที่แล้ว +1

      Pamoja mwenzangu 😭😭😭😭😭😭😭

    • @simonmdune9066
      @simonmdune9066 5 ปีที่แล้ว

      Polee hiii inauma sanaa akii,wana familia wawe pole mungu awarehemu😭😭😭😭

  • @fatumahussein8045
    @fatumahussein8045 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu joho nimtu waaina gani asojali wananchi wake duuh ila yote kwa yote tuzidisheni maombi mungu awafanyie wepesi

  • @annenelly627
    @annenelly627 5 ปีที่แล้ว +11

    Where the Kenya Navy. We thought they have all the equipment for diving?

  • @sarahscates1020
    @sarahscates1020 5 ปีที่แล้ว +4

    Joho is busy slaying

  • @kennedylumumba7522
    @kennedylumumba7522 4 ปีที่แล้ว +1

    My the soul rest in peace ,,,I wish ningekua kwa ilo ferri,,coz I no how to swimm,,ningefanya kitu,,but serikali naomba ipate kuweka madivars pale,,ili kuzuia Mambo Kama hayo,,rest in peace mum an her beautiful daughter

  • @nancynjoki5267
    @nancynjoki5267 5 ปีที่แล้ว +3

    Aki hii jambo inahudthi sana mama,mtoto kwa maji ,hata hawa mama viongozi wanasema wanatetea wamama WAKO WAPI 😏

  • @alisalafiyun-kenya3988
    @alisalafiyun-kenya3988 5 ปีที่แล้ว +1

    so sad to lose our beloved people of mombasa we really are mourning but ourprayers are with you may da Almighty protect you ..lkn majanga haya hayakuanza leo ni miaka mingi tu mikasa hutokea kwani hawa wanaferry hawajifunzi kesi ni mingi lkn hakuna mabadiliko yyte inachukuliwa ..huu ni usaliti wa hali ya juu. .

  • @tinasanta4080
    @tinasanta4080 5 ปีที่แล้ว +23

    Haki Joho hapa hukufanya vizuri,ungekuja angaa kwa dakika,na Mishi Mboko yuko wapi?sihuku nikwako?

    • @hawamussah2370
      @hawamussah2370 5 ปีที่แล้ว +1

      Mishi Mboko amezimia law siku kadhaa situation ikishaisha atafufuka dear...

    • @mariambenjira9734
      @mariambenjira9734 5 ปีที่แล้ว +2

      @@hawamussah2370 angekua ali kiba angekua mstari wambele😭😢

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 5 ปีที่แล้ว +1

      Mishi mboko alikuwa hapo jana

    • @tinasanta4080
      @tinasanta4080 5 ปีที่แล้ว

      @@hassanalhussein3982 afahali...naleo ndio namuona Joho baada ya sikuzote hizo

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 5 ปีที่แล้ว +1

      @@tinasanta4080 Amechelewa jamvini karamu imeshaliwa.Yeye angelikuwa wa kwanza kuwa hapo kwa sababu ajali imetokea kwenye jimbo lake.

  • @beatricendegwa6813
    @beatricendegwa6813 5 ปีที่แล้ว +7

    So sad watching this,coz why did they not help this innocent soul at that moment b4 sinking really here there is a big problem......

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 ปีที่แล้ว +8

    Watu watoke Africa kusini!!wallahi Kenya yetu hawa wanaojiita viongozi wameimaliza kabisa

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว +19

    Dua Zetu tumwekee Mola mbele in sha Allah

  • @paulbett7149
    @paulbett7149 5 ปีที่แล้ว +2

    Can the government please give someone tender to build a bridge between the two parts and let him charge Levy's to pay back. Am ready to build the perfect bridge.

  • @mamakeissah1391
    @mamakeissah1391 5 ปีที่แล้ว +6

    Joho pia mm nakulaumu.....take a good example na mike Sonko. 3days hujatuma hata gateman wako?

  • @saumumresh1198
    @saumumresh1198 5 ปีที่แล้ว +30

    Joho kazi yake ni kula bata tu na wasani hana lolote mxiieeeuw

    • @bolingomwana5963
      @bolingomwana5963 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa na kucheza jukwaani na kina mama usembe tu huyo

  • @salimbabz3070
    @salimbabz3070 5 ปีที่แล้ว +6

    Naona boat za zunguka tu sioni uokozi wowote

  • @SSs-tb9yo
    @SSs-tb9yo 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa Allah akuna lisilowezekana inshaaAllah ataleta rahama zake watapatikani japo twaumia

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 5 ปีที่แล้ว +2

    Hizo boat yafaa ziwe patrol hapo ferry always day and night but cjui shida n nn aky😭😭😭😭😭

  • @aishaswab3942
    @aishaswab3942 5 ปีที่แล้ว +9

    Joho anaslay na bwanake kiba .

    • @pendosammy5984
      @pendosammy5984 5 ปีที่แล้ว

      hahah

    • @mapenzikatana9990
      @mapenzikatana9990 5 ปีที่แล้ว

      @@pendosammy5984 anakupa Bata na bwanake kiba 😂😂😂

    • @pendosammy5984
      @pendosammy5984 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mapenzikatana9990 hahha mungu anakuona aki

  • @crowncomputers1216
    @crowncomputers1216 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ahusike jaman sisi wote hatuwezi ala mungu atende maajabu yake

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 5 ปีที่แล้ว +6

    All I can say...God be in control miili zipatikane leo

  • @stylinconceptkenya1160
    @stylinconceptkenya1160 5 ปีที่แล้ว +4

    Vijana wa coast ndiyo wakuwe navvy ya maji sisi wa nairobi tuwe wa uchumi na uwizi na tutowe ufisadi kwanza

    • @maryamashmrei9999
      @maryamashmrei9999 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @dollydolly1317
    @dollydolly1317 5 ปีที่แล้ว +21

    Heartless people, practicing was important than saving people's lifes

    • @earlybird5647
      @earlybird5647 5 ปีที่แล้ว

      Exactly , Safety always comes first mbona beach life savers hukua wengi na mahali Kama ferry kukose kuwa nao , government should employ them

  • @nsoita17
    @nsoita17 5 ปีที่แล้ว +5

    Kenya navy mtaambia nn watu siku ya mashujaaa.shame shame shame

    • @mwaringasalim7851
      @mwaringasalim7851 4 ปีที่แล้ว

      Serekali ivunjilie mbali body ya kenya ferry kwa kukosa kuwajibika .

  • @ceciliawairimu4727
    @ceciliawairimu4727 5 ปีที่แล้ว +2

    With God all things are possible. We trust you God

  • @Clahjkmtaeyoongi
    @Clahjkmtaeyoongi 5 ปีที่แล้ว +4

    Jamani Kenya Gov cant buy advance equipment

  • @monikaxenia5629
    @monikaxenia5629 5 ปีที่แล้ว +2

    Joho wewe umelala sana,watching from Riyadh

  • @billybilly-online
    @billybilly-online 5 ปีที่แล้ว

    Love this channel so much they give details deeply

  • @mapenzikatana9990
    @mapenzikatana9990 5 ปีที่แล้ว +14

    Joho hapa amefanya makosa joho utangaliya wapi poleni Sana Wana familia 😭😭

    • @abdulahihassankadir9770
      @abdulahihassankadir9770 5 ปีที่แล้ว +1

      Ferry service na sgr ipo kwa sirakali kuu wala haipo chini ya county so ni vigumu joho kuongea hana uwezo that's why yupo kimia hawzi ningilia kitu hakimuhusu

    • @stevenwere2655
      @stevenwere2655 5 ปีที่แล้ว

      Sasa joho ni diver?

    • @ashleypetertv5894
      @ashleypetertv5894 5 ปีที่แล้ว

      Hana makosa there are some persons appointed for things like that, but they chose to sleep on their jobs..tunamlaumu bure!!

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 5 ปีที่แล้ว +2

      @@abdulahihassankadir9770 hiki kisa kimetokea kwenye county yake kwa hivyo ina muhusu yeye kama governor.

  • @mamaboys2558
    @mamaboys2558 5 ปีที่แล้ว +3

    😭Nakazi ya joho ni kudance nakuongea uchuzi badala ashugulikie wanachi wake.

  • @anthonymwathi6277
    @anthonymwathi6277 5 ปีที่แล้ว

    Sonko...Ruto...fly in....experienced divers...I trust you....hawa watu wengine hawajiwezi...mdomo....at I ohh Coast divers..etc...60 yrs tumekua na independence..lini tuliona Gold medal hata ya Olympics...wacha mdomo..iko tofauti na starehe na serious business...to dive requires Science...mtu amesoma....amekua trained...understand nini chaendelea kule chini...Mombasa yetu mdomo mwingi...anza kushinda Gold medal mwanzo...ndio mtu atajua faida ya Bahari...mbona Kisumu hakuna pia swimmers professional..????Mdomo pia...siasa.....Asante kwa wa Rift Valley...nyinyi at least mnafanya mambo yenyu...Central mdomo...Eastern mdomo..North Eastern...hata usiseme...Western..sima Sana'a...Kenya yataka ifufuliwe...

  • @suleimankatana8067
    @suleimankatana8067 5 ปีที่แล้ว +4

    Huseen ali be blest umeongoa sawa kwa vile sisi n walala hoi do tunafanyiwa hiz lkn angekua mkbwa flan angekua alitolewa hio siku

  • @veraskitchen8122
    @veraskitchen8122 5 ปีที่แล้ว +22

    Njee my fellow Kenyans, ingelikuwa huyo mama na mtoto, angelikuwa ni NGiNA kenyatta including grand daughter Kenyatta uhuru, (?) hizo mili zingekuwa ndani ya maji till leo???...

    • @sanjafarmmachinerystractor4205
      @sanjafarmmachinerystractor4205 5 ปีที่แล้ว +1

      No no no no

    • @stevenmutumbo5477
      @stevenmutumbo5477 5 ปีที่แล้ว +4

      This people take us for a ride we are statstic

    • @gracewambui1805
      @gracewambui1805 5 ปีที่แล้ว +3

      Na nje ingekuwa ni mtoto wa Raila ama kalonzo ama mudavandi ama Wetangula ama joho je bado wangekua kwa maji ama wangekua washatolewa

    • @jamessitati7396
      @jamessitati7396 5 ปีที่แล้ว

      kenya ni nchi ya wadosi na maskini akuna cha middle class, kama hii ingelikuwa family ya kenyatta navy kutoka israel na USA wangelikuwa wamaitwa na serikali kusaidia kutafuta mwili zakina marehemu, lakini wakenya lazima tujue tuna changua nani, Joho naye ni bure kabisa.

    • @elengichanga7127
      @elengichanga7127 5 ปีที่แล้ว

      Nop

  • @naimamohammed3243
    @naimamohammed3243 5 ปีที่แล้ว +2

    Tunaomba wakenya kwa jumla tuwe na subra na kuomba mapanikio mema kwa wenye watafanya aparesheni huu. Naima from saudi arabia

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 5 ปีที่แล้ว

    Allaah Atawasaidiyaaa na kuwatowaa maitii na wazee waoo wawapateee ..Allaah Awapeni moyoo mkubwa wasubiriraa kwenu nyote na watuu wenu kwa pamoja. Tunawapeni mkono wa polee ,.poleeni sana. Imeshaandikwa ,Amriey ya mwenyezimngu haizuulikii.

  • @chizimndalu8537
    @chizimndalu8537 5 ปีที่แล้ว +10

    Huyu joho mm simpendi hata coz nmbinafsi Sana,Kama angekuwa familia yake asingekuja?😏😏😏

    • @lizynyeze7521
      @lizynyeze7521 5 ปีที่แล้ว

      Wee usimpende ila watu watampenda

    • @chizimndalu8537
      @chizimndalu8537 5 ปีที่แล้ว

      Mpende tu hata ukitaka olewa nae msyuuuuu

    • @abdulahihassankadir9770
      @abdulahihassankadir9770 5 ปีที่แล้ว

      Bro ferry service agr haipo under county u must know that ipo under sirikali kuu

    • @chizimndalu8537
      @chizimndalu8537 5 ปีที่แล้ว +2

      Najuwa Hilo Ila kufika tu jamani japo hata kuwapa pole wanafamilia

    • @annegathecha3535
      @annegathecha3535 5 ปีที่แล้ว +2

      @@abdulahihassankadir9770 it doesn't matter.....lamhimu it's still under county 001

  • @niccur9758
    @niccur9758 5 ปีที่แล้ว +4

    Hio pilot boat iko na karobot ndani ndo wanataka kukasend first ndo wajue gari liko wapi

  • @enockngala9572
    @enockngala9572 5 ปีที่แล้ว +1

    Best of luck to the divers and i would like to pass my condolences to the family and friends

  • @nahime9907
    @nahime9907 5 ปีที่แล้ว

    I feel very pity...ope president magufuli was one to rule kenya...l think all navy wangefutwa job...hamna masihara...president magufuli hongera for Tz...

  • @kingkeamohakhamis19
    @kingkeamohakhamis19 5 ปีที่แล้ว +1

    katika kenya nevy amna usaidizi wwte coz kwanza wainge weza kuja mpaka wapewe amri hata ngekua ni mzazi wake yu wafa asinge weza kuja ..na pia iyo siku ile gari ndio ilipo anguka ndio siku wange okolewa ila amna waoko waji wote ambao wana fanya kazi kenya ferry awajui Ku swimm

  • @omerakenyancomedian4931
    @omerakenyancomedian4931 5 ปีที่แล้ว

    its so sad ataa naa faaa ku change jina langu nitoe hio kenyan kwa jina languuu hiii kenyaa navvvy wako wapi jamaaaniii aki ni machungu sana polenii kwa hii familia

  • @kimkimmie3435
    @kimkimmie3435 5 ปีที่แล้ว +18

    AIBU!!! Shame!!! A whole “sovereign” country that can’t have efficient divers ..that people can sink since Sunday to Wed and cannot be rescued..😡 ni kizungu tu na Kiswahili sanifu ambayo haisadii...

  • @zeinabmohammed6880
    @zeinabmohammed6880 5 ปีที่แล้ว +1

    Xaxa kenya navy kazi yenu gani vita hamuendi kutisaidia hamtusaidii kazi yenu kupractice na wakati ukifika wa kutumia mliyojifunza hamfanyi sasa tuwaelewe vipi?

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 5 ปีที่แล้ว +12

    Only I can see divers are scared and no experience. So Kenyan tax money is wasted.

  • @christopherowino1816
    @christopherowino1816 5 ปีที่แล้ว

    Kwanini sirikali wawezi (attach)watuwachache kutoka Navy yakueskot ilo ferry, ila usuru wanaetowa ndio malipoya wabunge etc.

  • @dorcaswede8154
    @dorcaswede8154 5 ปีที่แล้ว

    Oooh God let your Will b done

  • @annegathecha3535
    @annegathecha3535 5 ปีที่แล้ว +37

    Joho yua dance tu nyimbo za Alikiba 😭

  • @truphosaochuka5223
    @truphosaochuka5223 5 ปีที่แล้ว +3

    is Governor around? has he spoken yet??

  • @orodipheny3104
    @orodipheny3104 5 ปีที่แล้ว

    Shamaless to our leaders ..may God will be done

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 5 ปีที่แล้ว +8

    Hussein sauti yako kama ya hayati Ahmed Darwesh Innallilahi wainnailehi warajiun mishi mboko yuko wapi mdomo mrefu tu,

    • @earlybird5647
      @earlybird5647 5 ปีที่แล้ว +1

      Ata nimeshangaa sana wakiwa kwa jukwaa kazi Ni kutukanana na kukipiga kifua lakini serious matter hawapo kuonekana

    • @mwanamisikibumi42
      @mwanamisikibumi42 5 ปีที่แล้ว +1

      Mishi ala bata na Joho

    • @mariamhassan1723
      @mariamhassan1723 5 ปีที่แล้ว

      @@mwanamisikibumi42 😄mambo mengine ni hiyo basi tu

    • @fatumakadute7959
      @fatumakadute7959 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

  • @tashikiicex6769
    @tashikiicex6769 5 ปีที่แล้ว

    Ooh Mungu saidia hio miri ipatikane it's very painful 😔😪😪😪

  • @karendikitchen8439
    @karendikitchen8439 5 ปีที่แล้ว +1

    Lord so kuna magari mawili🙆🙆🙆🙆🙆.
    Watoe zote mbili juu yaonekana kuna uzembe au biashara imo kule baharini...

    • @joyjjed6613
      @joyjjed6613 5 ปีที่แล้ว +1

      isabella evans ,True
      this is heartbreaking

  • @josephruwa7287
    @josephruwa7287 5 ปีที่แล้ว +6

    Tashazowea, kazi ya Joho ni kupiga domo tu. Hakuna kitu ya maana anafanya mombasa hii.

    • @nassorali4061
      @nassorali4061 5 ปีที่แล้ว

      Kwani joho ni diver?? Laumu kfs na Kenya navy

  • @blessedfavoredkings1314
    @blessedfavoredkings1314 5 ปีที่แล้ว +2

    Wa pwani fungueni macho, wakati wa election elect leaders of Actions walio na utu.

  • @denitto19
    @denitto19 5 ปีที่แล้ว

    Inauma sana ya mombasa mzima aina ma pro wa diving...?? Navy pia we always believe in u pple ....mbona atuoni ....mkifanya lolote????

  • @joanatemo1858
    @joanatemo1858 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tuhurumie sisi wanao hizi mwili zipatikane huu siwakati wakulaumiana,serekali ya Kenya fanya Jambo haraka .

  • @ericnamaswa2633
    @ericnamaswa2633 5 ปีที่แล้ว

    Nilidhani kazi ya Kenya Navy ni kushughulikia mambo kama haya. Kumbe ni kulipwa tu mishahara kubwa kubwa na kutuburudisha wakati wa sherehe. Shenzi sana.

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 5 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna Kenya Navy niwalevi tu ...wavuvi wanavua usiku Kenya navy washindwe kudive usiku kazi yao ni nn ujinga mtupu No Kenya navy patieni vijana kazi wako mtaani wanapiga mbizi bila gas wala nn

  • @rispahandenyi4562
    @rispahandenyi4562 5 ปีที่แล้ว +2

    IAM very sure that woman voted for Joho, but haya ndiyo malipo,

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu asaidie jaman 😢😢

  • @Clahjkmtaeyoongi
    @Clahjkmtaeyoongi 5 ปีที่แล้ว +5

    Where are the elected pipo of mombasa? nk then Kenyans will still vote for the pipo who ignore them when in the edge of death

  • @Beingme2024
    @Beingme2024 5 ปีที่แล้ว

    From now please kenya ferry should employ rescue team to be on ferry all the time when passengers on board poor woman wave her hand for 20 mins no one was there to rescue her

  • @obadiahchirchir67
    @obadiahchirchir67 5 ปีที่แล้ว

    Pole kwa familia na tunaomba mwili wa mama na mwanawe wapatikane.

  • @vincentotieno9578
    @vincentotieno9578 5 ปีที่แล้ว +1

    So so sad up-to now the copse can't be found and there is modern technology which can easier the work within time. This is not seems to be fare two days?

  • @nancykariuki.7669
    @nancykariuki.7669 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu sana🙏😥

  • @stylinconceptkenya1160
    @stylinconceptkenya1160 5 ปีที่แล้ว +2

    Naona kenye ile siku tutamaliza kutegeza shimo la chooo kwanza ili haja kubwa ipite vizuri ndiyo tutakuwa sawa

  • @aidantembo8517
    @aidantembo8517 5 ปีที่แล้ว

    sijawahi kuona ukatili kama huu aisee,wakenya mujirekebishe. watu wamesimama wanatazama gari mpaka inazama. boats zimepaki tu pale wakitazama. yaani hiyo ferry iko tu kwa pesa na sio uhai wa watu wa Kenya.roho mbaya sana mmeonesha.

  • @patricksmith307
    @patricksmith307 4 ปีที่แล้ว

    right now i do not even know if am proud to be a Kenyan

  • @evansombasanjo6093
    @evansombasanjo6093 5 ปีที่แล้ว +1

    D-hatoshi

  • @feisaldahir3037
    @feisaldahir3037 5 ปีที่แล้ว

    Aibu sana yaani wapiga mbizi wa kigeni wameitwa na kuna kenya navy

  • @joycemwangi9452
    @joycemwangi9452 5 ปีที่แล้ว +2

    This jamhuri we need to see divers diving in waters other than the usual planes

  • @sarahnyambaka5885
    @sarahnyambaka5885 5 ปีที่แล้ว

    God of miracle walinde penye wako .wape pumzi. let it be a miracle. wapatikane wakiwa hai jehovah.

  • @briankhaita3737
    @briankhaita3737 5 ปีที่แล้ว +1

    Walaumiwa mkasa wa feri kiaje fery ni yao ama....mbna hao wenye feri hawengekua wanaweka kibanio baada ya magari kuingia na watu kwa feri kama lingekua gari alingezama majini....licha ya break kukatika....😣😣😣😣😣

  • @aishasalum2963
    @aishasalum2963 5 ปีที่แล้ว

    Inauma sana poleni sana wanafamiliya

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 5 ปีที่แล้ว +1

    Inatakiwa kwenye kivuko chenyewe kikiwa kazini kiwe na kila kitu cha owokozi kikitokea chochote wawe tayari hapo hapo angewahi kutolewa