Watu wawili waokolewa baada ya gari kuanguka baharini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Kizaazaa kilishuhudiwa katika kivukio cha feri eneo la Likoni kaunti ya Mombasa, baada ya dereva na kondakta wake kunusurika kifo baada ya gari walimokuwa kuingia kwenye bahari hindi. Gari hilo la kusafirisha watalii lilikuwa likitoka maeneo ya pwani kusini kuelekea kisiwani lilipoingia baharini. Na kama Francis Mtalaki anavyoarifu, visa vya aina hii vimeendelea kushuhudiwa katika kivukio cha Feri

ความคิดเห็น • 34

  • @amourbundrez3731
    @amourbundrez3731 3 ปีที่แล้ว +5

    It's high time hawa vijana wapewe izi kazi aki...they're do more n better than the so called navy "professionals"

  • @dayonkathas5374
    @dayonkathas5374 3 ปีที่แล้ว +8

    Did I hear the kenya navy were waiting for command???? Sooo sad 😥😥😥😥😥

  • @askaojika5278
    @askaojika5278 3 ปีที่แล้ว +6

    God almighty is still God, He is still on His throne, let's praise and glorify His mighty name

  • @gracemuisyo5839
    @gracemuisyo5839 3 ปีที่แล้ว +7

    Hao watu watuzwe jameni ata huyo amepoteza phone yake kwa kuokoa life ili hali wauzika wanagojea ety wapewe mwelekeo huko bus ikizidi kuzama
    Thank you GOD for saving our Kenyans

    • @tatujaphet163
      @tatujaphet163 3 ปีที่แล้ว

      Et wanakaa wasubiri muelekeo ni kama tu wanakaa wasubiri wakufe kwa maji ndi watafute miili ,bure kabisa

    • @gracemuisyo5839
      @gracemuisyo5839 3 ปีที่แล้ว

      @@tatujaphet163 unfair
      Wanastahili kukaa macho anything ikiendelea wanawajibika mara moja bila kugojea

  • @brightkalan346
    @brightkalan346 3 ปีที่แล้ว +2

    God of another chance glory to Almighty, dereva na makanga wamwombe Mungu kwa kuwajalia uhai

  • @totodavis1949
    @totodavis1949 3 ปีที่แล้ว +7

    Shirika LA feri bure labisa wapatie vijana hawa kazi walipwe wanao ujizi mwingi askari wamejaa matumbo hawaezi ogelea

  • @liliannasengo7369
    @liliannasengo7369 3 ปีที่แล้ว +4

    Thank God for protecting u keep praying guys

  • @rgouz2056
    @rgouz2056 3 ปีที่แล้ว +3

    This Ferry cartels they should agree for a Brigde at this Crossing place Thank God they have been saved.

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema thanks God...

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 3 ปีที่แล้ว

    Masikini mzee wawatu mungu azidi kukulinda

  • @quinncordelia4902
    @quinncordelia4902 3 ปีที่แล้ว +1

    May goodness that navy wa waiting for the order watu wakixama yawa how heartless it's!!! May the good Lord,merciful God,a miracle working God to reward the gentlemen who took a risk to rescue the souls may God enlarge your territories....live long our heroes 🙏

  • @beckykhavyi3226
    @beckykhavyi3226 3 ปีที่แล้ว +3

    Pollmans those civilia needs to be given a token for saving lives, risking theres and as you look at one of them just struggling to earn

  • @melsaotieno1234
    @melsaotieno1234 3 ปีที่แล้ว +2

    Why can't they do something on this Ferry why are they taking for granted!!!!

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo1401 3 ปีที่แล้ว +3

    glory to God wameponea

  • @daniells71
    @daniells71 3 ปีที่แล้ว

    Very poor coordination from the ferry landing operation, no safety railings, people mixed in with cars... what do you expect?

  • @trizawayesu8540
    @trizawayesu8540 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana mungu na baba yetu 🙏🙏🙏

  • @willismwamba1703
    @willismwamba1703 3 ปีที่แล้ว

    Mungu n mwema

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 3 ปีที่แล้ว

    Na wasiseme ni serekali hawa ni watu nevy wana dharau sana wasaidie watu....

  • @Mohamed-un4bj
    @Mohamed-un4bj 3 ปีที่แล้ว

    So sad

  • @janekagunda2034
    @janekagunda2034 3 ปีที่แล้ว

    Deleva na conduct muishie Hugo mungu

  • @hannahkinuthia7464
    @hannahkinuthia7464 3 ปีที่แล้ว

    iii mwaka Ni kifo tu shetani ashindwe

  • @cynthianjoki6285
    @cynthianjoki6285 3 ปีที่แล้ว +3

    Citizen tv i dont like your headlines

  • @chavohflo6674
    @chavohflo6674 3 ปีที่แล้ว +2

    Nowdays hata kwenye ajali all people around will just be taking videos nkt!

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 3 ปีที่แล้ว

      Who saved them? Government or you?

    • @chavohflo6674
      @chavohflo6674 3 ปีที่แล้ว

      @@thevineyard7149 have you seen government mentioned anywhere? Reality of things nowdays in any scenario most people will be recording videos.

  • @dorisk3863
    @dorisk3863 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani ni ngumu sana kwa serikali kujengea hapo pahali, hali kwamba ferry ikisimama, hakuna vile kitu kitaeza kosa kuingia kwa ferry bila tatizo lolote? same thing with kibarani.. gari zapita tu hapo ikipita njia baharini... ni nini ngumu hivo lakini? Mungu awape hekima kama ndio imekosekana....

    • @honnesthonnest5013
      @honnesthonnest5013 3 ปีที่แล้ว +1

      I always ask my questions same questions

    • @dorisk3863
      @dorisk3863 3 ปีที่แล้ว

      @@honnesthonnest5013 its sad, shamefull, and confusing at the same time.... Very shamefull indeed. Just shows how dangerous ignorance can be. And if people in position can portray such ignorance still, since 1963, then our ignorance is realy sickening . If we could only change, African would be fine.

  • @badifamwenyewe8301
    @badifamwenyewe8301 3 ปีที่แล้ว

    Gai ata bado tuja sahau ya last year

  • @Ladypeace12312
    @Ladypeace12312 3 ปีที่แล้ว

    This shouldn't be happening in 2021