Mkasa wa Ferry Mombasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Gari lilitumbukia kwenye bahari kivuko cha Likoni. Watu watatu wanaaminika kufariki kwenye ajali hiyo ya jana
    #SemaNaCitizen

ความคิดเห็น • 654

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni kweli Mungu wa Amani na awasaidie na kuwawesesha kwa kila jambo kwa jina la yesu kristo aliye Bwana na mwokozi wetu amen

  • @salmamatola4255
    @salmamatola4255 5 ปีที่แล้ว

    Poleni ndugu zetu wakenya, Mungu awatie nguvu.. Huku kwetu upande wa uokoaji serekali yetu iko vizuri Sana uncle Magu hataki mchezo, Ikitokea ajali za majini serekali huacha kazi zote na kushuhulikia waliozama.. Poleni Sana RIP from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @dhahirmaxammad2644
    @dhahirmaxammad2644 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama ningekwa hiyo area nione kuweli gari inazama ningefanya kitendo Hata Kama nitaokoa moja ukuweli hii imeniauma Sana... Poleni Sana familia

  • @keyronvacationsltd
    @keyronvacationsltd 5 ปีที่แล้ว +96

    I have worked with Kenya ferry for 3yrs and for sure it’s always a disaster awaiting every single second as there is no safety measure yet the big fish eat the money for taking their staffs for diving skill. For sure I will call this a negligence as the coxswain should have close the winch doors at least. Someone should take them to court and maybe they will learn a lesson for the safety measures

    • @debbiedebz5670
      @debbiedebz5670 5 ปีที่แล้ว

      k

    • @marykinuthia5780
      @marykinuthia5780 5 ปีที่แล้ว

      You should have informed the authorities!

    • @keyronvacationsltd
      @keyronvacationsltd 5 ปีที่แล้ว +3

      I no longer work with them. Sorry Kenyans

    • @jo-mp4kx
      @jo-mp4kx 5 ปีที่แล้ว +2

      @@marykinuthia5780 Are you Kenyan by any chance? If so, this is a very naive statement. Did you read the bit that says "Big fish eat the money............."

    • @marykinuthia5780
      @marykinuthia5780 5 ปีที่แล้ว

      @@jo-mp4kx in such a society, you just watch and wonder!

  • @jacklynebutichi1340
    @jacklynebutichi1340 5 ปีที่แล้ว

    Pole saana Kwa waliopatwa na msiba,,Jibu NI OKOKA,MPE YESU MAISHA YAKO,HATA UKITUMBUKIA KWA BAHARI,,UTAISHI NA YESU MILELE ahera, Amen

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว

    Daaa jamani nimeumia kweli! Poleni sana ndg zetu mliowapoteza ndg zenu ktk ajali hiyo Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

  • @joabowiti999
    @joabowiti999 5 ปีที่แล้ว

    I truly appreciate your services,due to lack of energy we can watch and have to know on what we never knew thank you very much.

  • @adilmohamed5208
    @adilmohamed5208 5 ปีที่แล้ว +73

    Inna lillahi wa inna ileyhi rajiun,kifo haina kinga na Allah ameandika wafe hapo.Allah awape subra na imani kwa familia.

  • @seemanishekiao
    @seemanishekiao 5 ปีที่แล้ว +41

    My condolences to all Kenyans.
    Allah gives you patience in this hard time.
    From Tz.

  • @qassimmuhammad9634
    @qassimmuhammad9634 5 ปีที่แล้ว +160

    Polen ndugu zetu wakenya, your brother from Tz

  • @mwanakendra
    @mwanakendra 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana kwa familia zilizopatwa na msiba.Dha!

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana nduguzetu wakenya inauma sana Mwenyezimungu awarehemu Mama na watoto wake

  • @rashidbilal1150
    @rashidbilal1150 5 ปีที่แล้ว +3

    INNAH LILAH WA INALILAH RAJIUN....ALLAH awalaze pahali pema peponi....na family iliyofikwa na msiba poleni ALLAH awape subra kwa yote yaliyotokea .....hii Kenya ama hii serikali ye2 sioni kama wanajali maisha ya wananchi..... Kwani hawa Kenya Navy wangoja kazi gani nyengine kama si yakuokoa maisha ya wananchi ......huu ni upuzi mtupu aky ...ferry zenyewe Kwanza ni mbovu milango haifungi hizi ajali zitaisha kwly....!!!!!!

  • @monikaxenia5629
    @monikaxenia5629 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wakenya wetu watching from Riyadh

  • @josephwanjala1932
    @josephwanjala1932 5 ปีที่แล้ว +1

    Maze poleni Sana watu wa kaunti 001 kwa huo msiba,MAKIWA na Maulana alaza roho zao mahalo palipo na wema❤️

  • @fatmakhalid4784
    @fatmakhalid4784 5 ปีที่แล้ว +6

    Inalilah waina ilahi rajiuni.ntakukumbuka daima Mariam na mwanayo.kama nakuona tukiwa Tudor primary tunasoma, kazi ya mungu haina makosa

  • @richardsitienei7251
    @richardsitienei7251 5 ปีที่แล้ว

    Watching from Kenya. Good work.

  • @ahmedmohammed5312
    @ahmedmohammed5312 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni ndugu inasikitisha sana wanaookowa hawasaidiwi wala hawandikwi kazi wanandika jamaa zao ukabila serkalini imezidi

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 5 ปีที่แล้ว +53

    Hii ni aibu kubwa yaani Kenya ferry shirika la serikali halina emagency responses hii ni dharau kubwa sana what is the responsibilities for the government for their people.

    • @ririmungai2110
      @ririmungai2110 5 ปีที่แล้ว +1

      Aki wat a shame.cant believe kenya ferry haina emergency responce 4 sure.yani wat the....oh My oh my oh my

    • @jumajay8496
      @jumajay8496 5 ปีที่แล้ว +1

      In Kenya development is only fever politicians enjoy Kenyans taxes, big allowance, increase of salary every year, driven big free cars free petrol free body guards and free security to their houses and they families all pay by the Kenyans taxes and the citizens straggling in every sector hospitals poor, transportation poor , enagy poor , roads poor, institutions poor and now they have started to campaign for 2022 elections.

    • @monicamagoslo8957
      @monicamagoslo8957 5 ปีที่แล้ว

      Wondering Too

    • @saidajongoshangaazisaidcho9692
      @saidajongoshangaazisaidcho9692 5 ปีที่แล้ว

      Kazi ya mungu

  • @d.o.4226
    @d.o.4226 5 ปีที่แล้ว +87

    Swimming should be made compulsory for Kenyans in schools, and an added bonus for some jobs. More lives can be saved.

  • @RadicalKenya
    @RadicalKenya 5 ปีที่แล้ว +8

    Inauma kwa sana. Tunawaombea familia. Subscribe my channel kwa support

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 5 ปีที่แล้ว

    polen sana wakenya,kaz mungu haina makosa

  • @sir_felix.
    @sir_felix. 5 ปีที่แล้ว +4

    Wamelala kazini.wafutwe kazi,hawana maana.maisha yamepotea kwa sababu ya utepetevu wao kazini

  • @omarkomwa5718
    @omarkomwa5718 5 ปีที่แล้ว +14

    Kenya navy wote niwakikuyu wanaojua kuogelea Kwa swimming pools lkn wenyeji wanaojua bahari kazi wanabaguliwa Yani MTU anatokauko kiambu anaajiriwa Kenya ferry lakini mzaliwa wa Mombasa kupatakazi Kwa k ferry sirahisi

    • @amourbundrez3731
      @amourbundrez3731 5 ปีที่แล้ว

      Ndo apo...daily watu wakizama baharini ni wavuvi na watu wa coast ndo ujitosa kwa maji kuwasaidia...bahari io twaijua wenyewe...Wenda letwa wagerenge awana wajualo,kazi kula mishahara ya bure

  • @faithmungai6107
    @faithmungai6107 5 ปีที่แล้ว +28

    Peter Kenneth wanted to build a bridge across but, he didn't get the chance. 😢

  • @kibaopipa3474
    @kibaopipa3474 5 ปีที่แล้ว +69

    HALAFU WANASEMA VIJANA HAWAFANYI KAZI NI MADAWA TU.
    WAKATI KAZI ZIKO HAWAPATII VIJANA HUO NI UJINGA SANA WA SERIKALI NA UPUUZI

    • @juliusgambo7623
      @juliusgambo7623 5 ปีที่แล้ว

      Vtu vngi hvihta elimu niu wezo wkunya ktu

    • @jamesmayunga5802
      @jamesmayunga5802 5 ปีที่แล้ว

      kibao pipa kweli kabisa kaka

  • @ayubngure5112
    @ayubngure5112 5 ปีที่แล้ว

    Inauma sana mombasa mambo ni polepole ilikuwa rahisi kuokoa hao watu....viongozi wetu wako kibra ni matusi tu

  • @khadijamatanoali69
    @khadijamatanoali69 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana Khadija kutoka Kenya nimeona news nikiwa Qatar

  • @ulimacoxwagichohi
    @ulimacoxwagichohi 5 ปีที่แล้ว +32

    Yani navy Mombasa hawawezi kuokoa hizo mili, aki kenya yetu mungu tusaidie

    • @cleophasisoe7469
      @cleophasisoe7469 5 ปีที่แล้ว

      Labda wemelala

    • @alimwatajiri4083
      @alimwatajiri4083 5 ปีที่แล้ว +6

      My dear hawawezi sababu wote waliopewa hajira ni watu hawana ujuzi wowote na maji

    • @cleophasisoe7469
      @cleophasisoe7469 5 ปีที่แล้ว

      Let us wait tuone watafanya nn, madam you look so btfl to me

    • @khadijanjama9016
      @khadijanjama9016 5 ปีที่แล้ว +1

      Dcox Action bure kabisa

    • @ulimacoxwagichohi
      @ulimacoxwagichohi 5 ปีที่แล้ว +1

      @@cleophasisoe7469 😁😁thax

  • @Africanvillageactivities
    @Africanvillageactivities 5 ปีที่แล้ว +5

    I story Ni painful sana sana, kwanza that car was floating for some time they would have been saved if the rescue team was alert, accidents do happen but something could have been done.

    • @nazasha5584
      @nazasha5584 5 ปีที่แล้ว +1

      Extremely True and nobody diver,swimmer jumped, screams and cries of pain,Imagine the Ferry
      Has no safety....staff......yaani nothing cars plus humans in another disaster waiting to happen in December HOD FORBID

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 5 ปีที่แล้ว +1

    Polen sana 001 huo ni uzembe wa kikosi cha uwokoaji inamana basi abiria wanasafiri bila kuwa na kikosi maalumu cha dharura zitakazokea ndani ya feri.. 🤔🤔🤔 likitokea ndio munaunda kamati polen sana wafiwa

  • @sayrahussein9024
    @sayrahussein9024 5 ปีที่แล้ว

    Poleni Sanaa wafiwa kweli inaumaa sana,,Magufuli wetu haya mambo yauzembe ndo hayataki kabisa.

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 ปีที่แล้ว

    Maskiin nyii gari inaelea juu hakuna msaada... Subhanallah...

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah awasameh makosa yao lkn hii ilikua kun fayakuun lkn na serikali nayo ijipange sana khususan seriakli zetu za Africa zipo kiuzembe sana kabisaa masoud from zanzibar

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว +3

    Inalillah wayna illahi rajuun inasikitisha sana kenya ferry wamezembea sana iyo ajali ingezuilika na wangeokolewa utakuta watu wanalipwa mshahara mzur na akuna kaz anafanya ajali ikitokea mpka watu watafutane kenya navy awajulikani wako wapi masaa yote mpka gari limeingia ndani hakuna wakuwaokoa ni uzembe wa kaz na hakuna mpangilio mzuri.

  • @jilokizito1705
    @jilokizito1705 5 ปีที่แล้ว

    Speed ya ferry ni gani? How many kilometres per hour?

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +21

    Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun, Ajali haina kinga, Kweli Waeke Wanamaji sijui Wapiga Mbizi.Cha Kuokoleka kitaokolewa,Mungu Tuuuu

    • @khadijanjama9016
      @khadijanjama9016 5 ปีที่แล้ว +1

      MWANAHALIMA MWACHILI nikweli

    • @adamzdamz6592
      @adamzdamz6592 5 ปีที่แล้ว +1

      Habari yasikitisha Sana, hiyo hakika

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +1

      @@adamzdamz6592 😭😭😭😭😭😭😭😭.

    • @adamzdamz6592
      @adamzdamz6592 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mwanahalimamwachili9679 mbn wafurai Sana. Nipe na mimi mazuri basi za mombasani... 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄 🙄

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +1

      @@adamzdamz6592 Sijafurahi Mimi nina Huzuni,Ajali haina kinga,

  • @kibajr9767
    @kibajr9767 5 ปีที่แล้ว

    Poleni saana ndugu zetu wa Kenya,ila fanyeni kama TZ watu walioko kwa gari wanashuka anabaki dereva pekee

  • @joelnandukule9964
    @joelnandukule9964 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana mungu mbele

  • @mercymusyoki7380
    @mercymusyoki7380 5 ปีที่แล้ว +21

    I was just wondering
    If it was an influential person or dignitary who drowned
    The rescue operations which would be going on would be immeasurable... But because its a normal mwananchi with the daughter,nothing is going on😪😏

    • @ririmungai2110
      @ririmungai2110 5 ปีที่แล้ว

      Am with you .thts true kabisa

    • @octavian3636
      @octavian3636 5 ปีที่แล้ว

      Nice thought but ferry falls under national govt jurisdiction county and kenya maritime county has no say

  • @saadkhamis6894
    @saadkhamis6894 5 ปีที่แล้ว

    Yote ilikua ni mola ameandika kila MTU at asema yake just tushukuru mungu na pia wakazi wa ferry kiweni makini na kazi yenu

  • @winniemacharia8069
    @winniemacharia8069 5 ปีที่แล้ว +24

    There many jobless youths out there wt good life skills such as diving and many more, y shud the gvt consider our youths fr atleast b taken in fr further training and given such opportunities?plz kenyan gvt wake up don't wait fr disasters to strike.

    • @jef996
      @jef996 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli aki

    • @mohamedabdullahi5974
      @mohamedabdullahi5974 5 ปีที่แล้ว

      winnie macharia I couldn't agree more. If only the government could think this way 😔

    • @xtremxtremz3226
      @xtremxtremz3226 5 ปีที่แล้ว

      Woie wakule wapi

  • @miriamwaradi2855
    @miriamwaradi2855 5 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana kwa family yakuyo dada

  • @rehemamwakio7377
    @rehemamwakio7377 5 ปีที่แล้ว +1

    Sai wanaweza sema lolote juu ule mama tayari ashaenda mungu tu ndio anajua kwakweli 😭😭😭😭inauma juu leo ni mmi kesho ni mwengine😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @hemedigonga7139
    @hemedigonga7139 5 ปีที่แล้ว

    Simple kenya ferry twawaomba wa hajiri wapiga mbizi kisha watenganishe ferry ya magari na watu ferry ya magari milango yke iwe ya kufungwa kabla kuondoka

  • @jaffarmguwa5566
    @jaffarmguwa5566 5 ปีที่แล้ว

    Poleni ndugu tz guy

  • @mashauzclassic7504
    @mashauzclassic7504 5 ปีที่แล้ว

    Ajali haina kinga mungu kashapanga lake mungu awalaze pema popeni wao mbele sisi nyuma

  • @nancywangui6186
    @nancywangui6186 5 ปีที่แล้ว +34

    Mungu wangu jameni tuokoe hatuna mwingine wa kutuokoa😭😭😭😭

  • @sheryskay5536
    @sheryskay5536 5 ปีที่แล้ว +35

    If only @Mikesonko was the governor of mombasa. This family would have been removed under water ASAP

    • @JoyJoy-xs1vx
      @JoyJoy-xs1vx 5 ปีที่แล้ว

      I thought soo too

    • @Mr.Stingy
      @Mr.Stingy 5 ปีที่แล้ว

      How? Explain in few words please.

    • @sheryskay5536
      @sheryskay5536 5 ปีที่แล้ว +3

      He's quicker in helping others in times of need than others.

    • @rizmarahmed1196
      @rizmarahmed1196 5 ปีที่แล้ว

      Nkt

    • @rizmarahmed1196
      @rizmarahmed1196 5 ปีที่แล้ว +3

      Siasa kando hawezi saidia mpk awe governor nkt akae na usaidizi wake hiyo ndio knya ubinafsi mumeweka mbele anatakiwa wazingatia uhai na km basis haikujaliwa hats family ya wafiwa ni uchungu mnaleta siasa Kenya hatuendelei nachukia kuzaliwa mkenya sijawahi ona nchi km hii nkt

  • @KimbaloEt-Ohms
    @KimbaloEt-Ohms 5 ปีที่แล้ว +30

    wokozi vitambi fisadi kupindukia..musioandika kazi wenye ujuzi munapatia kazi ndugu zenu wasojua kuogelea

    • @ioveyourself6913
      @ioveyourself6913 5 ปีที่แล้ว +1

      Alafu wanaajiri kwa kujuana hata kama wewe ni professional na haujui mtu utaoza nayo nyumbani

  • @marykui3879
    @marykui3879 5 ปีที่แล้ว

    Pole kwa familia mungu awape nguvu

  • @tracywaithesh5642
    @tracywaithesh5642 5 ปีที่แล้ว +2

    Negligence of the highest level nkt

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 ปีที่แล้ว

    Inna ilah waina ilehi rajiuni, mungu awape subra na imani katika Jambo hili,

  • @augustinethotho8484
    @augustinethotho8484 5 ปีที่แล้ว +4

    Nauliza hii gear ya reverse iliingiaje na hali gari lilikuwa laenda mbele?

    • @daisyodanga1777
      @daisyodanga1777 5 ปีที่แล้ว

      Duuuh,so far hakuna kitu jamani

    • @barbaramasinde8843
      @barbaramasinde8843 5 ปีที่แล้ว

      Daa i think hakueka hand break

    • @lucasmwaura7865
      @lucasmwaura7865 5 ปีที่แล้ว

      Ati arijaribu ku reverse kiasi tu to create space akashtukia imeenda zaidi

  • @haifatymohar
    @haifatymohar 5 ปีที่แล้ว

    Wakielezwa kuwa watu watengeze bridge hawataki ilhali hawana hata wapiga mbizi, ukosefu wa uwajibikaji, nawatakia ukiwa kwa jamaa na marafiki waliopatwa na msiba, Allah awape subra wakati huu wa huzuni

  • @amilahally2438
    @amilahally2438 5 ปีที่แล้ว +1

    Kenya ferry kabisa sana haswa GOVERNMENT OF KENYA mnaajiri wajaluo wakikuyu na hawajui kuogelea mwawacha wavulana wetu wa mombasa mkisema wanavuta bangi . 001 u have 2 au 3yr peana job kwa vijana na insuarance

    • @zuu9007
      @zuu9007 5 ปีที่แล้ว

      Exactly 😥

  • @rashidimpigachai7987
    @rashidimpigachai7987 5 ปีที่แล้ว

    Inasikitisha Sana kwa hali hii.wabeneni wote wahusika wa meli,ili watoe majibu yanayoridhisha.

  • @TabithaLydia084
    @TabithaLydia084 5 ปีที่แล้ว +33

    Ile mambo iko kenya aki inasubua..very disturbing things and poor management everywhere

    • @chaisemuringe7143
      @chaisemuringe7143 5 ปีที่แล้ว +1

      Very true @Eunice wambui we need to pray more than ever..

  • @Africanvillageactivities
    @Africanvillageactivities 5 ปีที่แล้ว +1

    Why blame the government? Makosa ni ya ferry but accidents do happen the rescue team took too long, Mayb they rest in peace. 🙏🙏

  • @pablojnr339
    @pablojnr339 5 ปีที่แล้ว +1

    Kenyans we need to change our system lets stop ethnic politicking and lets save our lives

  • @mulinzinga9981
    @mulinzinga9981 5 ปีที่แล้ว +2

    I cannot believe after 50 yrs of independence we cannot have abridge at likoni.

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 5 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wainnaillah rajioun.....msiba mkubwa yaani 12 hrs hakujapatikana deiver niaibu sana Kwa viongozi ...hawa watu kama wangesaidiwa same time naamini wangekuwa hai japo kifo chake kulikuwa kimeshatimia siku yk

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 5 ปีที่แล้ว +7

    Poleni sana kwa family mungu akutafutie nguvu

    • @shadrackkithome685
      @shadrackkithome685 5 ปีที่แล้ว +1

      Ngai nabak kushangaa mie my God

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 ปีที่แล้ว

      @@shadrackkithome685 hiyo ndo hali

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 5 ปีที่แล้ว

      @@shadrackkithome685 usishangae hiyo ndo hali

  • @josephinemayodi2518
    @josephinemayodi2518 5 ปีที่แล้ว

    My condolences to family members. Kenya ferry earns alot of cash every day but their ferry are in very poor conditions.

  • @fabiowrebornmkenya9251
    @fabiowrebornmkenya9251 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awalaze mahali pema peponi na family 👪 zao azipe ujasiri kwa wakati huu mgumu.

  • @naomipallangyo6701
    @naomipallangyo6701 5 ปีที่แล้ว +2

    People are blaming the government! What about all the people who were there? Watching!

    • @stacywanjiru4757
      @stacywanjiru4757 5 ปีที่แล้ว

      Exactly hao watu walikuwa wanarecord wangesaidia bana

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 5 ปีที่แล้ว

    Why ferry gate was open???

  • @modizoro
    @modizoro 5 ปีที่แล้ว

    Niliwahi kupanda hii ferry lakini hakuna utaratibu kabisa wa watu na magari wala hakuna safety people to control the crowd. it's not even safe kuvuka unaweza kugonga mtu kwasabu watu wanachaganyikana na magari time ya kuvuka...tafadhalini kenya ferry fast thing is safety.

  • @josephmogoi3626
    @josephmogoi3626 5 ปีที่แล้ว

    kuna camera za usalama na kawaida nimeona watu wakijirusha baharini na haichukui hata dakika tano kuokoa mtu huyo, iweje kwa hawa ama si wakenya?

  • @vincentgitiva8849
    @vincentgitiva8849 5 ปีที่แล้ว

    Aibu kwa serekali na zaidi county government ambayo hadi sasa hawana ata nia ya kuokoa. Viongozi wa mombasa mungu anawaona.

  • @calowamaye4009
    @calowamaye4009 5 ปีที่แล้ว +28

    Big big shame 001 shame on the kenya 🇰🇪 poor management you mean likoni ferry ⛴ we dont have security guards server 👀🤭⛴🤦🏽‍♀️🤷‍♀️🇰🇪 and the way we have good divers Mombasa man but no one ☝🏽 to notice them or give them that part of job likoni ferry it must be the most we’ll security those lives of people’s my god when Africa’s will wake up☝🏽🤦🏽‍♀️😭😭

    • @hawamussah2370
      @hawamussah2370 5 ปีที่แล้ว

      Wenye wako ni baunsa wajinga tu wenye wanajaza ferry for NOTHING

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 5 ปีที่แล้ว

      Calo Wamaye my dear Kenyans their always after money without loving their work

    • @emmanuelmgosimgosi3598
      @emmanuelmgosimgosi3598 5 ปีที่แล้ว +2

      Divers wako bt wenye kuandikwa hiyo kazi hata hawajui ku dive shem to the national government

  • @amourbundrez3731
    @amourbundrez3731 5 ปีที่แล้ว

    Yaani iweje Kenya ferry mzima akuna life guards n divers...soo many times we have seen in such cases,the fishermen n local people ndo ujitosa kwa maji kuokoa watu...kwanini msiwape kazi watu kama hao,instead kazi mwapeana kwa kujuana ....it's soo sad

  • @mohammedrajab6514
    @mohammedrajab6514 5 ปีที่แล้ว +73

    The governor has to go big mouth for nothing very useless county leader.

    • @saulwafula5178
      @saulwafula5178 5 ปีที่แล้ว +4

      Mohammed Rajab , Kenya Ferry services is a national government function

    • @KimbaloEt-Ohms
      @KimbaloEt-Ohms 5 ปีที่แล้ว +7

      kesho akitoka kwenye kiti utalaumu nani?

    • @saulwafula5178
      @saulwafula5178 5 ปีที่แล้ว +7

      What will the governor do on a National function? Acha sababu zisokua na msingi

    • @mohammedrajab6514
      @mohammedrajab6514 5 ปีที่แล้ว +6

      I will keep on blaming the next one till we get the Wright person for the job

    • @annahephy
      @annahephy 5 ปีที่แล้ว +11

      @@saulwafula5178 ati what will the governor do?? Seriously ur reasoning is just lame 🙄🙄🙄what if it's the same governors daughter or family inside those Waters 🤔🤔am sure hawangelala apo,,,but coz it's an ordinary Kenyan no one cares 😪😪😪😯fuck this leaders 🖕🖕🖕fuck the Kenyan government 🖕🖕🖕🖕

  • @mombasanews3024
    @mombasanews3024 5 ปีที่แล้ว +1

    Mr. President Uhuru Kenyatta we do want to see kenya Navy in Mashujaa day in Mombasa because their Useless kabisa they don't help us where we need help !!!! bure kabisa

  • @tracyluba3418
    @tracyluba3418 5 ปีที่แล้ว +1

    My heartfelt condolences to all Kenyans,it's so sad.A sister from South Sudan.

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 ปีที่แล้ว +1

    Wanaojiita viongozi wakobizi kupiga siasa na sio kuangalia matatizo ya wananchi, siasi kuanzia January to December, Monday to Sunday, wakitoka kuapishwa tu wanaingia mjini kusaka kura za miaka mitano ijayo,ya Allah walaani viongozi hawa uwape adhabu inayo wastahili

  • @nusurati5810
    @nusurati5810 5 ปีที่แล้ว +1

    Dooh Inaskitisha Sana

  • @alhandroraj8009
    @alhandroraj8009 5 ปีที่แล้ว

    Mengine hufanyika kama nguvu za kishweitani. Ukitoka kwa nyumba swali ambia mungu akufunike na damu yake

  • @liliangathiru340
    @liliangathiru340 5 ปีที่แล้ว +2

    Am ashamed of my country😥....12hrs and there is still no effort to find the people inside the drowned car 😥😥😥I am ashamed of my country.... Its not fair 😥😥😥

  • @manbanshaban9253
    @manbanshaban9253 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mi naona mwacomplain bure, ukweli uliopo ni mombasa haichukuliwi kama part of kenya yani tupo tupo tu..

  • @mildredjael1338
    @mildredjael1338 5 ปีที่แล้ว

    So sad but likoni ferry should be organized because V.I.P. .. Very Very important peaple their boat are organized with divers,, likoni ferry should not carry excess passengers and vehicle,,

  • @rahmatumam357
    @rahmatumam357 5 ปีที่แล้ว

    Kenya hatuna viongozi mm mkenya kweli lakini najiskitikia sana bad leadership kutoa watu kafara ovyo tuu Allah atawashinda na atawashindilia vijana thelee wajua maji simuajiri at least ajali kma izi zituondokee kooma Kenya mm ni kwetu lakini sikupendi

  • @dansdaddie4589
    @dansdaddie4589 5 ปีที่แล้ว

    Am a coast guard by professional but Kenya hakuna vacancy n they dont care,outside Kenya we getting paid very good n recognised,Mombasa must have coast guard 24hrs round the clock...so sad my condolences..

  • @dianasimiyu8853
    @dianasimiyu8853 5 ปีที่แล้ว

    Mungu tuhurumie hapa ferry twapoteza wapendwa wetu. Our country has turn in to evil things and people are donating blood from innocent people because of getting rich. Ooh Lord protect our people with a blood of Jesus. My condolences to family who lost their beloved one in incident.😢

  • @acethedj7793
    @acethedj7793 5 ปีที่แล้ว

    Kwa nini wasijenge bridge, why?

  • @inahazan9339
    @inahazan9339 5 ปีที่แล้ว +1

    Kitu moja nataka ku uliza mbona hiyo mlango haikufungwa

  • @leonsthesavage6428
    @leonsthesavage6428 5 ปีที่แล้ว +2

    Joho pliz Angalia ferry hao bouncer Kulala tu divers wangekua apo Joho we love you na hatutakubali hao security waku late down kazi kuangalia nn hata kitambo tulikua twavuka without security Leo wamekua wengi umbea Tupu tu Joho angalia mombasa baba n yetu Leo wamekua wengi hao security apo wa kazi gani watolewe

  • @husseinshahibu1388
    @husseinshahibu1388 5 ปีที่แล้ว +4

    the solution is only brige wajenge daraja kuepuka hio drama za kila mwaka ferry ni old system jamani

  • @marykawira9266
    @marykawira9266 5 ปีที่แล้ว +32

    Makosa Niya dereva wa ferry angekua ameinua mlango juu hio gari haingetumbukia,☹️☹️☹️

    • @amilahally2438
      @amilahally2438 5 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli kabisa

    • @rahmasuweyd1914
      @rahmasuweyd1914 5 ปีที่แล้ว +1

      True kabisa na pia sasa hivi bamba LA ferry liko vilevile he ikitokea ajali nyingine nani alaumiewe

    • @peterkiwagoh6329
      @peterkiwagoh6329 5 ปีที่แล้ว

      Exactly Infact he should be arrested

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ 5 ปีที่แล้ว

      Dereva wa ferry pia hana makosa bado ni management iko na makosa cos hilo bamba la ferry halifanyi ni bovu wangekua wali repair

    • @chefjaji4225
      @chefjaji4225 5 ปีที่แล้ว

      Exactly, kwani ilikua flat tu????!!! Aaah jameni

  • @daviswawire8925
    @daviswawire8925 5 ปีที่แล้ว

    does it mean that no bridge can join the two places

  • @mikemwasambu968
    @mikemwasambu968 5 ปีที่แล้ว

    It's A Bigshame.....Yani Ajali Kama Hii Inatokea Na KFS Hapana divers Ili wajaribu kuokoa when the vehicle was still floating

  • @carlnkipnusu1465
    @carlnkipnusu1465 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awalaze mahali pema peponi

  • @kanayanandwa3153
    @kanayanandwa3153 5 ปีที่แล้ว +1

    Innallilhi wainnallilah rajioon...

  • @samuelamenge8216
    @samuelamenge8216 5 ปีที่แล้ว

    A big port with no navy soldiers...surely .ingekuwa siku ya holiday haki ungewaona DTI jeshi LA maji

  • @petergichua1715
    @petergichua1715 5 ปีที่แล้ว

    This is normal Kenya kujikokota ikifika ni kuokoa maisha ,.......

  • @evalynkemumamagoma9795
    @evalynkemumamagoma9795 3 ปีที่แล้ว +1

    Kila mmoja ambaye ni lazima asafiri Kwa ferry basi,anastahili kuwa na floater take maanake tukitegemea serikali au watu wa shirika la ferry tutaumia wenyewe.

  • @al-habibtwahir4779
    @al-habibtwahir4779 5 ปีที่แล้ว +11

    Wnataka Magufuli hao watu wa ferry

  • @godfreynjoroge9307
    @godfreynjoroge9307 5 ปีที่แล้ว

    waah. No safety barrier, no traffic control or any sort of safety mechanisms. Just build a bridge

  • @masikaninah9078
    @masikaninah9078 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wana family

  • @celestinemungaya5845
    @celestinemungaya5845 5 ปีที่แล้ว

    pole kwa familia, Ican't hold my tears.