Mawaziri waliotemwa na Rais Ruto

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Rais william ruto leo amejaza nafasi za uteuzi wa mawaziri ISIPOKUWA nafasi moja na hivyo kuangusha kabisa shoka lake dhidi ya waliokuwa mawaziri hapo awali. Kumi na wawili waliotemwa hapo awali walikuwa na matumaini ya kurejea kwenye baraza la mawaziri lakini wakaachwa nje na kuzima kabisa matumaini yao. Brenda Wanga anaarifu zaidi kuhusu kuzimwa kwa baadhi ya mawaziri hawa wa zamani

ความคิดเห็น • 39

  • @positivevibes1341
    @positivevibes1341 2 หลายเดือนก่อน +10

    I wish angechukua matiangi for education that man was a beast

  • @mkutanocarolyne
    @mkutanocarolyne 2 หลายเดือนก่อน +15

    😂😂😂😂 Aisha jumwa weeee madharau uliyo sema mbele yetu sasa umeona matukio yake 😂😂😂. Gari zitakua sita kwa sasa siulisema ukona tatu 😂😂😂

  • @CocomartinFerenadez
    @CocomartinFerenadez 2 หลายเดือนก่อน +10

    Moushine sana plz pumizka nyumbani cucu ulipataD_seriously

  • @mamaryammaryam7873
    @mamaryammaryam7873 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kiburi cha mama

  • @KADOGOFOUNDATION
    @KADOGOFOUNDATION 2 หลายเดือนก่อน +3

    Aisha jumwa
    Eti Shanghai wa Taifa
    Nenda salama mama
    Kiuno kitulie

  • @mamaryammaryam7873
    @mamaryammaryam7873 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kiburi kimieisha.

  • @RobertGithinji-m5o
    @RobertGithinji-m5o 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi iendelee

  • @jetrocallison530
    @jetrocallison530 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aisha kiuno unacho 😅😅 sasa kiningue kwaheri dada

  • @kwesule2658
    @kwesule2658 2 หลายเดือนก่อน +1

    The opposition side will perform,not the likes of Kuria the morkomen

  • @lisatasha7405
    @lisatasha7405 2 หลายเดือนก่อน +9

    Peleka kiuno nyumbani

  • @AsuuVideo05
    @AsuuVideo05 2 หลายเดือนก่อน +2

    watawekwa kwa serikali kutabuniwa jobs warudi tu

  • @rihkaa6289
    @rihkaa6289 2 หลายเดือนก่อน

    Ruto strategy for 2027

  • @CocomartinFerenadez
    @CocomartinFerenadez 2 หลายเดือนก่อน +4

    Aisha Enda Malindi people do not like u Enda ukalime shamba Na kupsha vyombo sorry😤😤😤😤😤

  • @sizmaggymaggy5677
    @sizmaggymaggy5677 2 หลายเดือนก่อน

    Mbonafuta kuria

  • @josephwachira3788
    @josephwachira3788 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hapa mwenye nahurumia ni ababu namwaba sijui Ile list ya cheering squad kwa Olympics itakuwa aje na vyenye alikuwa ameweka watu wake kirafiki na kinyumbani😅

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Let's give achance to president Ruto new cabinet to perform in amanner that will serve the best of interest of the country..Genz should know that a government of the day is formed thru political process and in persuant with kenya constitution.Kenyans needs to solve their problems and challenges thru peacefully means in a genuine dialogue and rule of law.Maandamano is good but we should not destroy our country but to strengthen the country in Goo governance and respect to rule of law.

  • @Watt-er8or
    @Watt-er8or 2 หลายเดือนก่อน +7

    Moses Kuria is going nowhere, he is still in government..

    • @mamasally707
      @mamasally707 2 หลายเดือนก่อน +3

      How !!!! Explain to kenyans

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mamasally707😂😂🤝

  • @rizikimwero1767
    @rizikimwero1767 2 หลายเดือนก่อน

    Jumwa kama Aisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sarahruth1718
    @sarahruth1718 2 หลายเดือนก่อน +1

    What about Ichungwa, or he was not mp

    • @Sharon_537
      @Sharon_537 2 หลายเดือนก่อน

      He is an mp not cs

  • @FaithNekesa-f9f
    @FaithNekesa-f9f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kindiki,where are you,ulikua unapigana na watumishi wa mungu sana na kujipiga kifua,and God was watching ,now you see😏😏😏😏

    • @wanjiruciru6237
      @wanjiruciru6237 2 หลายเดือนก่อน +1

      He is in the first list

    • @thoyathoya5904
      @thoyathoya5904 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kindiki ako Kwa top 10 list ya kwanza kwani ukowapi

    • @AliceMurungi-i3k
      @AliceMurungi-i3k 2 หลายเดือนก่อน

      Adui wa kindiki naona pressure ikipanda, kindiki do ametangulia kwa first list na job yake ni Ile Ile join nganga kumeza dawa za pressure.

    • @Kibiro-tt6ch
      @Kibiro-tt6ch 2 หลายเดือนก่อน

      n vizuli kuadika JINA YA MUNGU na jina kubwa

    • @FaithNekesa-f9f
      @FaithNekesa-f9f 2 หลายเดือนก่อน

      @@thoyathoya5904 me na news ni Kama usiku na mchana dear

  • @Dddma455
    @Dddma455 2 หลายเดือนก่อน

    Aisha kiuno😂😂😂😂😂

  • @njambiann7870
    @njambiann7870 2 หลายเดือนก่อน +1

    Taxes imeangushwa

  • @njeshkim5468
    @njeshkim5468 2 หลายเดือนก่อน +2

    I think Raila was promised a Mr. hand shake man role always in every government by his Wagwanas - to be a billionaire. Also, he might have been cursed to never be a president. So follow Raila at your own risk.

  • @ThomasReginaThomaspresident
    @ThomasReginaThomaspresident 2 หลายเดือนก่อน

    24/7/2024 regina Thomas president Ugandan SS PDF omoro🇳🇬 kpitl moments PDM yellow🟡❤😂🎉😢😮😅😊

  • @hassanhawa9954
    @hassanhawa9954 2 หลายเดือนก่อน +1

    Funga bakeries lako

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 2 หลายเดือนก่อน

    " raila is the centifugel keeping ruto in power! The next step, correct direction was to disolve the parliament to pave way of new general elections! raila did the opposite and joined this illegal, oppressive, corrupt regime of tyrant ruto!! Lets asume that raila was born with no hands, angepeana nini nauliza tuu!! How can an opposition leader be so narcissist, egoistic to sacrify his voters for fam?!!

  • @mamakedenique
    @mamakedenique 2 หลายเดือนก่อน

    Peleka kiuno nyumbani

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 2 หลายเดือนก่อน

      Afafute leseni ya Mangwe na auze ngónda kama mchikicho!! Kiuno hakina greese tena aweke mkone!!