WACHAWI WAJARIBU KUMUUA MTOTO YUNIS MARA 2, APONYA WAGONJWA KUTOKA ULAYA, APEWA ZAWADI YA VATICAN..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 มิ.ย. 2022
  • WACHAWI WAJARIBU KUMUUA MTOTO YUNIS MARA 2, APONYA WAGONJWA KUTOKA ULAYA, APEWA ZAWADI YA VATICAN..
    Mtoto YUNIS au EUNICE OGOT wa Wilayani Rorya, mkoani Mara nchini Tanzania, ameendelea kufanya maajabu katika uponyaji wake wa kutumia maji na maombi, ambapo anatibu watu wa ndani na nje ya nchi…
    Mapya ya hivi karibuni ni tukio la kutibu kundi la watu waliopooza, wapatao saba kutoka nchini Djibouti, ambao walifika kwa mtoto huyo wakiwa katika hali mbaya, mwingine akiwa anasukumwa kwenye kiti cha kusukuma (Wheel Chair), lakini baada ya kuombewa na kumwagiwa maji na Yunis alipona na kuanza kutembea mwenyewe…wengine wamekuwa wakitibiwa kutoka Ulaya ambao wamepona na kumpa zawadi ya sanamu kubwa ya Bikiria Maria, yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni nane…
    Maajabu ni mengi…fuatilia muendelezo huu pamoja na ushuhuda wa watu wengine….
    NAMBA ZA SIMU ZA BABA YUNIS: +255 783 426 393 au +255 686 967 279
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 537

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 ปีที่แล้ว +20

    na ibilisi awezi kufikia sister Eunice mungu azidi kuinua na mwanawe yesu Christo na mama yetu maria ubarikiwe zaidi mungu akupe nguvu nami pia niweze kufikia ubarikiwe sana sister Eunice 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺

  • @winfridadavid4173
    @winfridadavid4173 2 ปีที่แล้ว +59

    Baba angu alikuwa anaumwa mwaka jana akaenda, akachukua maji na yalimponesha
    Glory to God

  • @siriyamwanamkemkakamavu
    @siriyamwanamkemkakamavu ปีที่แล้ว +9

    Kwa nini Mimi naamini kila kitu, kwa sababu Mama Bikira Maria ananguvu ya ajabu ya kutumia Maji, Kwokwote kule alikowahi kuwatokea watu, amekuwa anaonyesha jinsi ya kutubu, kusali, kusamehe na kutumia Maji . Na sikuzote huwa anawatojea watoto kwenye pori, ambapo kuna mawe, miti, sehem iliyotulia na iliyojificha, I love her unconditionally ❤, This is so beautiful, Nampenda sana Mama Bikira Maria hasa jinsi anayotugombania sisi Wanawake na Familia zetu. Kanisa letu wakati mwingine linachukua muda mrefu sana kutangaza mambo kama haya, she’s blessed, Mama Bikira Maria endelea kumtumia Mtoto huyu, kupitie yeye utufundishe mengi.

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mh😢😢

    • @kambalesenzo5290
      @kambalesenzo5290 หลายเดือนก่อน

      free masoni huyo

    • @kambalesenzo5290
      @kambalesenzo5290 หลายเดือนก่อน

      bikira maria amefariki miaka kadhaa iliyo pita Hana lolote la kufanya hiyo ni imani ya kishirikina

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 2 ปีที่แล้ว +21

    Mama Bikira Maria ni suluhisho Kweli ya dhiki zetu!
    Kanisa Katoliki ni Dini ya kweli yenye Neema kuu🙏🏽
    Mimi ni Shahidi🙏🏽

    • @severinmagwaya6453
      @severinmagwaya6453 ปีที่แล้ว

      siyo dini bali kanisa la kweli. Makanisa yapo mengi, mf. Filipi, thethalonike! Aidha, kuna madhehebu mfano Roman katoliki, Anglican, Lutheran, Arthodox Catholic, Marian Catholic nk.

    • @felisterandrew8741
      @felisterandrew8741 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu mwenyewe akiamua kumtumia mtu haijalishi ni dini gan

    • @user-gj9yw1nj2h
      @user-gj9yw1nj2h 5 หลายเดือนก่อน

      Through jesusu Christ everything is possible

    • @user-hp2rd2md3g
      @user-hp2rd2md3g หลายเดือนก่อน

      Mungu anaeza tumia hata mtu hajawahi India kanisa kuonyesha mkono wake..husikii akisema KANISA LAO CATH..hawasemi chochote

  • @fatherghetto4720
    @fatherghetto4720 2 ปีที่แล้ว +15

    Mungu azidi kumuinuwa mtoto huyu🙏🏽🤲🏼

  • @oseendayi5046
    @oseendayi5046 2 ปีที่แล้ว +12

    Yesu alise acheni watoto waje kwangu 🙏🙏🙏

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 2 ปีที่แล้ว +6

    Kweli Ni Karama ya kipekee🙏🏽ambayo Mariamu Mama wa Mungu huwateuwa mwenyewe
    Mimi ni Shahidi pia🙏🏽

  • @violetrapando3946
    @violetrapando3946 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu yu naye Eunice na atazidi kukutunza pamoja na familia yako

  • @roselyneachieng7638
    @roselyneachieng7638 2 ปีที่แล้ว +18

    God bless this little angel Eunice I know one day I will go their

    • @emekaarinze3693
      @emekaarinze3693 ปีที่แล้ว

      Thank you jesus for the life of the little girl , Amen

    • @marryfelician1426
      @marryfelician1426 ปีที่แล้ว

      Aje na dar. Jamani

    • @martinatusaye8267
      @martinatusaye8267 3 หลายเดือนก่อน

      Anapatikana mkuwa gani jani please u help me

  • @euniceulomi6135
    @euniceulomi6135 2 ปีที่แล้ว +7

    Barikiwa sana wajina..nami napokea kwa Jina la Yesu

  • @mensahyalley6338
    @mensahyalley6338 2 ปีที่แล้ว +22

    I heal myself,my woman Nana Adwoa Erica and my family from every deadly deseases and illness through this beautiful girl in Jesus Christ name ... Amen

    • @medrinemelissa
      @medrinemelissa ปีที่แล้ว

      Ntaweza kufika uko aje ..:,

    • @lilianchepkemoi2417
      @lilianchepkemoi2417 ปีที่แล้ว

      Hi friend an from Jericho how can I get Tunis no.

    • @lilianchepkemoi2417
      @lilianchepkemoi2417 ปีที่แล้ว +2

      Plus help me to get Tunis no

    • @lilianchepkemoi2417
      @lilianchepkemoi2417 ปีที่แล้ว

      Please help me to get Tunis no.

    • @herbertchapaguta3733
      @herbertchapaguta3733 ปีที่แล้ว

      Hi everyone I'm very grateful l thank God .......I'm here to ask l wanna go there but l don't know the directions pliz help 🙏🙏🙏🙏 I'm zim pliz help

  • @greatgiftgenge7547
    @greatgiftgenge7547 ปีที่แล้ว +6

    I claim and receive my healings through Yunis in the Mighty Name of Jesus Christ of Nazareth, AMEEEEEEEN

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 2 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akuepushe na na roho za maadui hakika mungu nikila kitu katika maisha yetu

  • @mudywaya328
    @mudywaya328 2 ปีที่แล้ว +6

    Amakwahakika munguanaipenda Tanzania munguibaliki alziyatanzania nawatuwake mbaliki mtotohuyu iliatuponye kwakupitiayeye

  • @user-fu6gz2tp3h
    @user-fu6gz2tp3h หลายเดือนก่อน

    Mimi ni evangiliste imani Bujumbura muombaji aniombea mimi na jamah langu kwa magonjwa hatuna nauli tungefika Amen

  • @margaretoyugi7137
    @margaretoyugi7137 2 ปีที่แล้ว +6

    Wazazi hawa ni kielelezo kwetu sisi wazazi wa leo tunao asi uzazi hatutaki kuzaa,Tunakufuru,
    Mungu wetu
    Baba tusamehe🙏🏽🙏🏽🙏🏽
    Utuponye kupitia mtoto huyu mteule wako🙏🏽

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 2 ปีที่แล้ว +8

    Mmmmmh Mungu bariki kazi ya mikono yako yunisi

  • @mwalongobaraka255
    @mwalongobaraka255 2 ปีที่แล้ว +9

    mwenyez Mungu aendelee kumtumia mtoto katika uponyaji wetu na magonjwa na changamoto mbalimbali tulizo nazo...

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo ni shirki thambi isio samehewa milele muobe mola wako moja kwa moja anakusikia

  • @saasamaf7188
    @saasamaf7188 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante mungu kwa hii zawadi ya uponyaji endelea kuonekania na kumfunika huyu mtoto kwa damu yako takatifu

  • @emillyzeeh1173
    @emillyzeeh1173 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akubariki wewe mutoto Eunice Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🇩🇪🇪🇺

    • @emillyzeeh1173
      @emillyzeeh1173 2 ปีที่แล้ว +1

      Be blessed Eunice, kusaidiea wagonjwa Amen

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 ปีที่แล้ว +17

    Mungu akubark sana Sister Eunice uendelee kuwasaidia wagonjwa na wenye shida mbalimbali.

    • @ibrahimsongo8440
      @ibrahimsongo8440 2 ปีที่แล้ว

      Serikali usisahau kiipa hifamiliya ulinzi

    • @tumainimanga9233
      @tumainimanga9233 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu Aliyampa kibar huyu mtoto tumtukuze sana

    • @edinahmoraa2096
      @edinahmoraa2096 2 ปีที่แล้ว

      Duuh maajabu haya

    • @emekaarinze3693
      @emekaarinze3693 ปีที่แล้ว +1

      I Ekeoma I received my miracle baby in jesus name Amen

  • @benjaminjoseph1747
    @benjaminjoseph1747 2 ปีที่แล้ว +13

    Mtangazaji uko vizuri.
    Ila haiitwi goroko.
    Inaitwa grotto ya Bikira Maria. Ni nyumba ya mama yetu Bikira Maria mama wa mkombozi wetu Yesu Kristu

  • @SofiaMoshiro
    @SofiaMoshiro 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu ambariki mtoto yunis na mm anitende amina 🎉🎉🎉l

  • @user-tg4nx7kd1f
    @user-tg4nx7kd1f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ninaamini nguvu za mungu zilipo ndani mwako, nimefunguliwa na mwanangu .mungu akutie nguvu

  • @mariawangari2670
    @mariawangari2670 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki mtoto Eunice

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 2 ปีที่แล้ว +9

    MUNGU Akuepushe na nguvu za movu shetani.AMEN🙏

    • @linaruth8982
      @linaruth8982 2 ปีที่แล้ว

      Mungu aonekane juu ya huyu mtoto.waovu watoweke katika jina la yesu.

  • @marthangigi6459
    @marthangigi6459 2 ปีที่แล้ว +9

    With God everything are possible 🙏

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 2 ปีที่แล้ว +2

    Mama bikira maria utuguse mahari popote panamaumivu na ugonjwa usiotibika utuponye mama yetu mama wamungu tusikue🙏🙏🙏🙏.

  • @winnieachieng3662
    @winnieachieng3662 ปีที่แล้ว +2

    Mungu habarki uyo mtoto ahendele kuponya watu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @RuthLutenyi-du7gt
    @RuthLutenyi-du7gt 6 วันที่ผ่านมา

    Yunis please pray for my family, my children, and I🙏

  • @Thomas-iy1rk
    @Thomas-iy1rk 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera mtoto bikra kwa kazi unayo fanya mungu akulinde

  • @nicedavid8536
    @nicedavid8536 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akulinde mtoto mzuri,

  • @Rosemary-rz6cl
    @Rosemary-rz6cl ปีที่แล้ว +1

    Mungu bariki Mtoto Eunice aendelee kuombea watu na ku wachawi wote

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakika Mungu anaweza anatumia watoto wadogo.hekima ya Mungu sio ya mwanadamu.kila jicho litamuona

    • @joylinejoy7989
      @joylinejoy7989 ปีที่แล้ว

      Hakika Mungu anatenda but nauliza swali naeza pataje Uyu dada Eunice nkona magojwa yenye hospital wameshindwa

  • @danielrobert730
    @danielrobert730 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akulinde mtoto yunic

  • @elizabethmkarafu2138
    @elizabethmkarafu2138 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde sana mtoto unice kwa kazi unayoifanya...

  • @millicentogonda9804
    @millicentogonda9804 ปีที่แล้ว +2

    Am a living testimony may God bless BMG TV and sister Eunice I got instant healing, may God's name be glorified.

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 3 หลายเดือนก่อน

    Bikira Maria ndiye aliteuliwa kumleta Mkombozi wetu Yesu Kristo atufie Msalabani. Hallelujah thank you Jesus Christ of Nazareth.

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah...ningelikuwa karib tyungefika from kenya

  • @rosemarymoraa3275
    @rosemarymoraa3275 ปีที่แล้ว

    Mungu awe nawe wakati wowote,
    Nina fistula kutoka Kenya, Mimi Pia nimgogwa, kisukari, Artheratis. Naomba Mtoto Unice hanikumbuke kwamaombi. Mungu hakupe nguvu na maono saidi, Amen

  • @VolcarMalubi-ys3cg
    @VolcarMalubi-ys3cg หลายเดือนก่อน

    Hello naomba mungu akubariki sana kwa huduma zako nami nko na shida ile ambayo inahitaji tutuonane tu ili huweze kunisaidia ,tafadhali mniambie hii ni inch gani ili niweze kuabiri ndenge nikuje❤❤❤❤

  • @JerrywiseHarry
    @JerrywiseHarry 2 ปีที่แล้ว +8

    Blessing child may God continue to protect her for healing power from Almighty God IJN🙏

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana Mungu atukuzwe sanaa. Asante mama Maria.

  • @Susan-Namu
    @Susan-Namu 2 ปีที่แล้ว +2

    AMEN 🙏

  • @hellenchari1498
    @hellenchari1498 ปีที่แล้ว

    Mungu akamuongoze huyu mtoto,,akamhifadhi aweze kufanya kazi ya mungu,,ila swali ni mali siyo mbaya,but isiwe kama wazazi wata take advantage kwa huyu mtoto ndiyo waweze kupata mali.Juu mwenye hana cha kuwalipa,nikuonyesha hataweza kuupokea uponyaji.

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 2 ปีที่แล้ว +3

    Alichakiandaa mungu mwanadamu hawezi kukiharibu wala kuingilia amemleta mungu kwa maana

  • @danielwekesa1326
    @danielwekesa1326 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Sana Sana... Kwa kazi unayofanya.

  • @gracegesare5313
    @gracegesare5313 2 ปีที่แล้ว +1

    Thank you angel yunis.

  • @juliemetanoia1650
    @juliemetanoia1650 2 ปีที่แล้ว +3

    God the Father, Son and the Holy Spirit I receive my Healing and that of my Family Right Now in Jesus Name Amen.

  • @ronahcherononyaribo7417
    @ronahcherononyaribo7417 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde zs uponyaji dió tunaitaji Kwa Jina la yesu

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss 23 วันที่ผ่านมา

    Any angle of heaven on earth tat is here now to deliparate all siners to folllow Gods work bora uwe na imani i trust this girl mungu azidi kumwinua

  • @dennyosoko8075
    @dennyosoko8075 ปีที่แล้ว +2

    Amen God gives you more strength

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l ปีที่แล้ว

    MUNGU am.bariki huyu mtoto Ampe power zaidi

  • @ndayisengavalens3673
    @ndayisengavalens3673 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 mungu amubariki form Uganda 🇺🇬

  • @annalivini3940
    @annalivini3940 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbinguni tunakushukuru kwa zawadi ya watoto,maana neno lako linasema kwakuwa mambo hayo uliwaficha wenye hekima na akili akawafunulia watoto wachanga, Mungu wa mbinguni akutunze vema mtoto yunic,akuepushe na hila za movu shetani, karama yake yendelee kukua,asante Yesu kwa uponyaji.

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 2 ปีที่แล้ว +1

    Daarh nimesikiliza miujiza machozi yananitoka mungu yupo kwa watoto wadogo

  • @muyangeshapola4797
    @muyangeshapola4797 ปีที่แล้ว +1

    I claim my healing from Yunice in Jesus name amen, distance is not a buria 🙏🙏🙏

  • @BienvenueBikorimana
    @BienvenueBikorimana หลายเดือนก่อน

    Yule mutoto mungu amubariki Sana na sisi tunaomba afike kwetu Burundi amwangiye watu maji wapone

  • @juliemetanoia1650
    @juliemetanoia1650 2 ปีที่แล้ว +3

    God bless u Yunis parents

  • @MadamTinah-eg2xe
    @MadamTinah-eg2xe 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu ana makusudi yake kweli mtoto Wacha akauponye ulimwengu🙏🙏

  • @sazanahussen6715
    @sazanahussen6715 2 ปีที่แล้ว +8

    Inavyoonesha huko musoma watu wengi hupenda uchawi mungu atamlinda huyu mtoto 🙏🙏

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 2 ปีที่แล้ว +1

      Uchawi upo sehemu yoyote duniani

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว +1

      Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo ni shirki thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni ukitaka kumomba muobe mungu moja kwa moja

  • @mellenarasa8497
    @mellenarasa8497 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu Baba Ni asante kubwa kwako maana wanao wengi wameponywa kupitia mtoto Yunis mbarikiwa na mteule wako. Nasi tulip mbali tuponywe kwa Imani, am in a🛐🛐🙏🙏💯

  • @emmanuellkfightforjusticea2474
    @emmanuellkfightforjusticea2474 ปีที่แล้ว +2

    I receive healing through her in the name of jesus christ . Amen

  • @AnastaziaStephano-ro1pw
    @AnastaziaStephano-ro1pw 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu akukinge na wanaya hao🙏🙏🙏

  • @violetyakukuh
    @violetyakukuh ปีที่แล้ว

    Amina mama Maria mama wa yesu utuombe sisi wakosefu ,jisi ulivyo katika mtoto Eunice,Amina

  • @neemalaurent6824
    @neemalaurent6824 ปีที่แล้ว

    Asante mungu kwa miujiza yako

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 2 ปีที่แล้ว +8

    Be blessed Eunice

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema

  • @janetoneka9528
    @janetoneka9528 ปีที่แล้ว

    Huyu Mtoto anatoka wapi niende jameni..Eunice uniombe katika jima la Yesu Amen.

  • @user-nc2xx9ul2m
    @user-nc2xx9ul2m 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde na kukuongezea imani ili utusaidie waafrika wenzako chini ya maombez ya mama bikra maria

  • @teresawanjiru3171
    @teresawanjiru3171 ปีที่แล้ว +1

    Pray for me baby Eunice through the almighty name of Jesus Christ.

  • @jeniphermyingajeniphermyin8029
    @jeniphermyingajeniphermyin8029 2 หลายเดือนก่อน

    Aliyetumwa na MUNGU hauliwi kizembe,SABABU MUNGU humjulisha taarifa zijazo kabla hazijafika.Mungu anaweza kumtumia MTU atakavyo,

  • @rozamere
    @rozamere 3 หลายเดือนก่อน

    Amen even Jesus started preaching when he is young so God has power heal any diseas

  • @juliemetanoia1650
    @juliemetanoia1650 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu

  • @Rosemary-rz6cl
    @Rosemary-rz6cl ปีที่แล้ว

    Mungu bariki Mtoto Eunice na maombi zake zitufikia tukiwa hapa kenya

  • @vickystellah3194
    @vickystellah3194 ปีที่แล้ว

    Yesu Kristo akutunze Mtoto wa Bikira Maria. Ubarikiwe sana.

  • @alysonmukobwa7412
    @alysonmukobwa7412 2 หลายเดือนก่อน

    Nime ziuganiza na uduma wake naoba kupona maganja na babagu pia aponne Amen

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r 2 หลายเดือนก่อน

    Amina 🙏

  • @norahbosibori5752
    @norahbosibori5752 ปีที่แล้ว

    Mungu akubari sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JenetAlinda
    @JenetAlinda หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki sana

  • @joframmbinga5587
    @joframmbinga5587 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu anatupenda watoto wake huwa anatupa msaada siku zote.

  • @user-fb2rt3ru6z
    @user-fb2rt3ru6z 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu pamoja na mama wetu Maria wasidi kumlinda huyo mtoto Amina ❤

  • @siliviamaneno2905
    @siliviamaneno2905 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @GasekereSilas-mv8po
    @GasekereSilas-mv8po 4 วันที่ผ่านมา

    Niwo mbe na Mimi nipate mutoto 🤰🤰🤰🤰🙏🙏🙏🙏

  • @mariawanjiru1275
    @mariawanjiru1275 2 ปีที่แล้ว +2

    Thank you Jesus Christ for baby unice may you protect her Mary mother of God pray for us

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akulinde mpaka atakapo kuita mwenyewe ila sio binadamu akuue ashinde kwa nguvu ya Mungu na YESU na Mama yetu Bikila Maria

  • @charitymwangi-sy7jh
    @charitymwangi-sy7jh 2 หลายเดือนก่อน

    Pray for me baby Eunice and God will bless you

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akulinde akukinge na watu walio kinyume na mapenzi ya Mungu 🙏

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana Mungu anspenda watu wake na njia za Mungu hazichunguziki

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu alikua na sababu kuhusu mtoto mdogo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @DwishaMentor
    @DwishaMentor 2 ปีที่แล้ว +7

    Ku balance simulizi hii inapaswa Mfanye na Mahojiano na Askofu wa Jimbo husika

    • @fortunataangelo5575
      @fortunataangelo5575 2 ปีที่แล้ว

      Ukifuatilia vizuri watoto wa Fatima,, walipitia changamoto kubwa Sana Hadi kuaminiwa,, yaan hao lazima wawe very challenged na Kanisa, ili kuwa na hakika Kama ni bikira maria kweli,, ndiye anae watokea, c unajua kanisa katoliki sio wakukurupuka, so it takes time hata miaka,,

    • @fortunataangelo5575
      @fortunataangelo5575 2 ปีที่แล้ว

      Uzuri hawaja wazuia,

  • @christinamdoe446
    @christinamdoe446 2 ปีที่แล้ว

    Asante MUNGU kwa zawadi hii kubwa.

  • @Eunicejuma-gg8dw
    @Eunicejuma-gg8dw 2 หลายเดือนก่อน

    Ongera mtoto bikria nampenda xana Mambo ya lisari 🎉🎉

  • @annwambua6690
    @annwambua6690 2 ปีที่แล้ว +2

    Glory to almighty father,..for giving us angle yunis 4 da healing....mungu bariki huyu mtoto zaidi.

  • @KWIZERAFrancoise
    @KWIZERAFrancoise หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukubariki na kukutia nguvu katika huduma yako ,munapo ishi niwapi jamani

  • @annahmueni-rf1bh
    @annahmueni-rf1bh ปีที่แล้ว

    Mtoto yunis abarikiwe sana aendelee kuponya watu kwa jina la yesu

  • @frankkaijage9726
    @frankkaijage9726 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

    • @kilianidanda1609
      @kilianidanda1609 ปีที่แล้ว

      Mungu wa mbinguni kwa Imani niliyonayo naamini nakwenda kupona na roho ya umaskini na naamini nitakuwa tajiri kwa uwezo wa mungu

  • @voietmercy3221
    @voietmercy3221 ปีที่แล้ว

    thanks God for wanderfuil work is doing 🙏

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 ปีที่แล้ว +2

    Wachawi waganga na wenye wako na roho ya nyoka wakufe kwa Jina la yesu

  • @maggyomundi5158
    @maggyomundi5158 ปีที่แล้ว

    I believe I can receive healing of the pain am in right now through angel baby Yunis.I pray that i may get finances to vist her soon for a miracle