ANAYEDAIWA Kuwa MSUKULE AZUNGUMZA - "MAMA Hua ANAFUNGA MLANGO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • ANAYEDAIWA Kuwa MSUKULE AZUNGUMZA - "MAMA Hua ANAFUNGA MLANGO"
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 1K

  • @hassaniissa9444
    @hassaniissa9444 3 ปีที่แล้ว +220

    Kiukweli ningekuwa na uwezo ningemjengea nyumba ya kujistili na mwanae ila namuombea kwa mwenyezi mungu atokee mwenye uwezo amjengee nyumba ya kumsitili inshaalla

    • @sein.208
      @sein.208 3 ปีที่แล้ว +13

      Allah atakulipa kwa nia yako🤲🏻

    • @fatemaligalawa1918
      @fatemaligalawa1918 3 ปีที่แล้ว +3

      Kwwkuwa huyu dada mtangazaji wnqhusika nahiyoidara InshaAllah tutajikongojq kwamchango 🤲🤲

    • @ahmedkailu4970
      @ahmedkailu4970 3 ปีที่แล้ว +5

      Nimeumizwa na bibi

    • @ashurahaji9115
      @ashurahaji9115 3 ปีที่แล้ว +7

      Yaani Bibi ameona afe na mwanae kuliko kumuacha atangetange

    • @idayamataifakey7813
      @idayamataifakey7813 3 ปีที่แล้ว

      Ishallah 🙏

  • @salimswedy6114
    @salimswedy6114 3 ปีที่แล้ว +104

    Hao wanaosema ni msukule wachukuliwe hatua Kali Sana, tatizo uswahili mwingi kazi kufuatilia maisha ya watu mwisho wa siku kuropoka vitu sivyo

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +2

      Masikini huyu bibi ana wakati mgumu kweli . kwa nini wanawe hawamsaidii ? basi huyo aliyepo UK anashindwa kushirikiana na wenzake kwa kumsaidia mamaake huyu bibi si wakuishi nyumba za kupanga , jamani tunajisahau duniani ni pakupita tu . mtu utasaidia marafiki umuache mamaako ahangaike hivi ama kweli kuzaa si kupata , wewe unakula nakushiba hujui mamaako kala nini ? Mungu awarudishe nyoyo zao kabla ya mama kufa km sio hivyo watakuja kupata taabu ktk maisha yao .

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      @@ullujaffariyohani1186 ni kweli hata wenyeww wanaweza kusearch kwenye face book na mambo mengine . lakini documents zote anazo kwa nini wasende ubalozini ? wangemfanyia application tu huyu ubalozi wangemcontact babaake kwa interview . lakini kwa kumleta nchi km hizo ni jikoni huko hizo drugs ndiko zipikwako , huyu wamtafutiye mke tu apate mwenzake basi . kubwa wamtafute huyo baba amsaidiye tu

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kiri5807 Hata mimi nimeumia sana aisee

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +1

      @@saloomidd1084 Ndio maisha .

    • @winnieroba4128
      @winnieroba4128 2 ปีที่แล้ว

      Huku Kenya Sheria ni tyte hao wenye walimsemea manenoz ya Bure huyu bibi wangeku kotini tayari

  • @LEO-uq6el
    @LEO-uq6el 3 ปีที่แล้ว +133

    Dawa za ukichaa lazima ulale ni (sleeping drugs) za usingizi ili akili itulie so yuko right bi mkubwa

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 3 ปีที่แล้ว +3

      Ni wapuuzi tu mm mtt wamama angu mdogo anakula izo dawa akila a alla mnamsahau kbs

    • @mawaidhaduaquran7702
      @mawaidhaduaquran7702 3 ปีที่แล้ว +3

      Kabisa hata mie ndg yang aliwah kuvuta na kulala alikua analala sana na anakua mpole hatar kwahy huy sio msukule jmn

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 3 ปีที่แล้ว +4

      Wabongo ni vichwa maji sana na wakurupukaji hawajui kutafakari jambo,mimi mwenyewe mdogo wangu anatumia hizo dawa muda mwingi analala ndani huwa anaamka muda wa kula tu.

    • @sakinaabdallah7713
      @sakinaabdallah7713 3 ปีที่แล้ว +3

      Hiyo ni kweli kabisa

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 3 ปีที่แล้ว +1

      Upo sahihi

  • @nuuringoogle4104
    @nuuringoogle4104 3 ปีที่แล้ว +43

    Iam from germany
    Rohoyangu yaumia sana watanzania wacheni tabia mbaya,Mimi wazazi Wange wamefaliki so naona Huyu Bibi kama Mama Yangu,nitamsaidia😢😢🙏🏽🙏🏽

    • @vijayprashar8507
      @vijayprashar8507 3 ปีที่แล้ว +3

      mungu atakuzidishia rizk

    • @michaelakibira9005
      @michaelakibira9005 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akupe wepesi kakangu❣️

    • @mauajuma3762
      @mauajuma3762 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akujalie umsaidie huyu Mama,mie Roho inaniuma uwezo tu Ni mdogo

    • @daimavlog
      @daimavlog 3 ปีที่แล้ว +4

      Pole Kwa kufiwa na wazazi, na Mimi pia sina wazazi. Tushirikiane kumsaidia

    • @filomenabarongo693
      @filomenabarongo693 3 ปีที่แล้ว +1

      Wow!safi sana

  • @zinilaally2248
    @zinilaally2248 3 ปีที่แล้ว +33

    Amakweli uchungu wamwa ajuae mzazi muombeni bibi msamaha mumemkosea sana

  • @meddycr3422
    @meddycr3422 3 ปีที่แล้ว +62

    Mama anaumia uyuuu daah... Mamazetu Allah hawatunze,, mnapitia mengi

    • @sharonanyango2057
      @sharonanyango2057 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @sein.208
      @sein.208 3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin

    • @saidhamad533
      @saidhamad533 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa mama anajikaza u ila anaonekn anamaumivu sana moyoni

    • @hajiramohamed1928
      @hajiramohamed1928 3 ปีที่แล้ว +1

      Aamiyn

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว +1

      Zahir njooo utoe msaada kwa uyu bibi jamaan zair uko wap?!!

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 3 ปีที่แล้ว +2

    Hili inaonyesha ni kwa jinsi gani watu wenye matatizo ya akili wananyanyasika na familiar zao nchini. Hii sio hadithi pekee. Sasa Watanzania tuelimishane. Hii hadithi inatupa furusa ya kuangalia serikali yetu imejipanga vipi kusaidia jamii kama hii. Na no jinsi gani wanapata muongozo na msaada serikalini ili kukabiliana na changamoto hizo. Serikali ipo kwa ajili ya kuwatunza wananchi wake .Vipao mbele viwekwe kuelimisha jamii.
    Mama hongera sana kwa kukubali kuweka habari hii hadharani. Kwa upande mmoja hapo umezalilishwa na jamii inayokuzunguka lakini pia imeweka wazi matatizo yanayo wakumba familia nyingi zenye watu wenye matatizo mbalimbali ya ulemavu wa mwili na matatizo ya akili na kadhalika.
    WSWALI
    SASA JE NI KWA JINSI GANI TUWASAIDIE WATU WETU NA FAMILIA ZAO WENYE CHANGAMOTO HIZI. Mwenyekiti wa kiji anasemaje?
    MBUNGE WAKO ANASEMAJE???

  • @hairounamour5811
    @hairounamour5811 3 ปีที่แล้ว +16

    Dah imeniuma mama anateseka namtoto mgonjwa watu wanaleta Iman potofu mungu amtie nguvu azidi kumlea mwanae

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 3 ปีที่แล้ว +50

    Hii family ukiachia mbali umaskini lakini pia kuna shida ya msongo wa mawazo ambao sijui tz tunatibuje,tuwaheshimu sana wazazi ,huyu mama ameniliza kwa hakika,

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa hii familia inafaa kusaidiwa hasa ki psychological kwa watoto then kuwasupport

    • @naimamunishi1241
      @naimamunishi1241 3 ปีที่แล้ว

      Hata mimi😭😭😭

    • @magrethopundo9460
      @magrethopundo9460 3 ปีที่แล้ว +1

      Sure😥

  • @agnesserasmi1893
    @agnesserasmi1893 3 ปีที่แล้ว +38

    😭😭😭Maximum TV walione hili tumchangie huyu mama. Mama anaongea kwa uchungu sana.

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 3 ปีที่แล้ว

      Mpigie kaka zahir ili tumchangie kabisaa mie napenda sana zahir anavyojituma

    • @missmrs829
      @missmrs829 3 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa

    • @kingsuleiman7201
      @kingsuleiman7201 3 ปีที่แล้ว +2

      Maximum tv ndo wanatoa msada

    • @henriettenimubona181
      @henriettenimubona181 3 ปีที่แล้ว

      Kuna wangonjwa wa kansa na wanaitaji msada kwa kaka zahir

    • @mariamethod4537
      @mariamethod4537 3 ปีที่แล้ว

      Kwel kbsa

  • @marysiom6321
    @marysiom6321 3 ปีที่แล้ว +94

    Msaidieni HUYU bibi aonane za ZAHIRI wa maximum tv,aweze kupata support.

  • @judytabby2777
    @judytabby2777 3 ปีที่แล้ว +10

    Nyanya alikuwa na bahati ya wazungu mashallah kisha ameishia maisha y tabu mskin watu wamsaidie

  • @mwanajinacayemite2336
    @mwanajinacayemite2336 3 ปีที่แล้ว +14

    Kitu kibaya ni kwamba, mtu akiwa mzee hufikiriwa kuwa ni mchawi. Nani kasema vijana hawawi wachawi?

    • @lucymacha1902
      @lucymacha1902 3 ปีที่แล้ว

      Labda wao hawatafikia uzeen huwez jua

  • @benadethafrancis5223
    @benadethafrancis5223 3 ปีที่แล้ว +12

    Washahili shikamoo! Nawajua wanaweza kukuzulia neno kubwa ushindwe kujua lilipotokea. Niliambiwaga nimeita watu mbwa mtaa mzima wakaandamana, wakaziba njia ya gari hadi leo. Nashukuru Mungu alinipa kusamehe nikaishi nao, na alienifungia njia akiumwa dreva anampeleka hospital usiku anamshusha kwake anaenda kupaki gari anarudi kwa miguu. Ni kuwasamehe tu, watakutia dhambi ufe na kinyongo. Wasameheni tu. Nilijaziwa watu km ninyi na vyombo vya habari nikatolewa. Mwananchi mkorofi. Sameheni ili muwe na amani! Sameheni msamehewe. Mungu aliyewapa jaribu hili atawavusha.

  • @wakembetajaphary3648
    @wakembetajaphary3648 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmengangana kumuuliza Msukule huyo kijana mnaujua Msukule? Unaoneka Msukule???? Mnaboa

  • @lujekomtawa328
    @lujekomtawa328 3 ปีที่แล้ว +24

    Mungu fanya njia pasipo na njia stori inaumiza myoyo😭😭

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 3 ปีที่แล้ว +17

    Mshaambiwa sio msukule ila bado mnaandika kichwa cha habari kilekile ni mtihani nawaandishi nao mmh

    • @lilianalmas5911
      @lilianalmas5911 3 ปีที่แล้ว

      Hahaaa😂😂😂

    • @elicegeorge9991
      @elicegeorge9991 3 ปีที่แล้ว

      Waandishi wengine 🤐🤐🤐🤐🤯🤯🕵️🕵️

  • @amanielielieza9317
    @amanielielieza9317 3 ปีที่แล้ว +40

    Kwa sheria zetu huwezi kumwambia mtu ana misukule tena mtoto wake aliesema aonyeshe (evidence)uthibitiho hawezi sheria ichukue mkondo wake

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 ปีที่แล้ว +9

    Jaman ndg zangu mchangieni huyu bibi ajengewe japo vyumba viwili huyu bibi atateseka sana na mtoto wake ukiangalia ni mgonjwa

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 ปีที่แล้ว +1

      Unavyosema mchangieni wewe je? Sema tumchangir

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭mmh

  • @sumisumi8181
    @sumisumi8181 3 ปีที่แล้ว +35

    Wewe mtangazaji kuwa professional sometime unauliza swali moja lisilo natija kila mara msukule , msukule

    • @neemakilomoni4258
      @neemakilomoni4258 3 ปีที่แล้ว +3

      Umeona eeeh tatizo la cause ya miezi 3

    • @doramkolo1745
      @doramkolo1745 3 ปีที่แล้ว +2

      Yani mwenye huwa namshangaa huyu mtangazaji c mara moja interview zake nyingi ni zero kabisa

    • @yagwishaheke2524
      @yagwishaheke2524 3 ปีที่แล้ว +2

      Yeah mtangazaji mjinga mjinga mama ni mzee ila anamzidi saana

    • @stevenmwakivega4726
      @stevenmwakivega4726 3 ปีที่แล้ว

      Mtangazaj ni zero huyu

    • @yunyun799
      @yunyun799 3 ปีที่แล้ว

      😂😂msukule😂😂

  • @veilamoshi9302
    @veilamoshi9302 3 ปีที่แล้ว +15

    Kwnza wamuombe mama msamaha My.ngu hujibu kwa haki Hujibu kwa Moto Mama pole Sana

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 ปีที่แล้ว +12

    Pole mama Kuna tatizo linakuja ukaona ni tatizo lkn ikawa baraka Ukiwa mtu mzima huna nyumba ni shida
    Mungu akafanye njia
    Pasipo na njia

  • @prislamakumbuli3311
    @prislamakumbuli3311 3 ปีที่แล้ว +9

    Haloperido is strong drug and one of the side effect ni kulala.Hao watu waache uzushi hawajuwi kutu

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 3 ปีที่แล้ว +16

    Pole sana mama yangu kama ulivosema Mungu atakulipia kikubwa ni subra tu

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu bibi adanganyi uyu kijana ni mtoto wake kabisa sio msukule alipata shida alipoanza kuvuta bangi, yaani acheni tu watu tusipende kuhukum

  • @elizabethjackson3865
    @elizabethjackson3865 3 ปีที่แล้ว +47

    Nimeumia sana kama mzazi lakin huwezi jua kwa nini Mungu ameruhusu hili litokee lazima ipo sababu huyu mama atapata msaada maana ana maisha magumu sana

    • @mouwanahamisi8216
      @mouwanahamisi8216 3 ปีที่แล้ว +2

      Ht me nakubal mung anamakusudio yake hakika watapat msaada Kwa uwezo wake

    • @tumainikomba9008
      @tumainikomba9008 3 ปีที่แล้ว +2

      Wakat mwngne Mungu anahubiri kwa njia ya machozi🙄🙄

    • @ummimohammed9359
      @ummimohammed9359 3 ปีที่แล้ว

      ukosawa eliza。kila kitu kinakheri yake Allah amjaalie wepes huyu mama ikiwa yuko sawa iman yake。ameen

    • @aishaomari944
      @aishaomari944 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabsa

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 3 ปีที่แล้ว +10

    Ila hicho kibatari kimesogelea sana godoro. Bibi awe anakiweka mbali na godoro

  • @stellakatega2033
    @stellakatega2033 3 ปีที่แล้ว +10

    Sio kumhoji tuu mama anahitaji msaada kimaisha kwakweli cheki mazingira magumu

  • @simongalahenga6858
    @simongalahenga6858 3 ปีที่แล้ว +34

    Huyu mgonjwa apelekwe kwenye maombi.atapona kabisa

    • @kakajoss2464
      @kakajoss2464 3 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli kabisa haya ni Maroani tu na hata nahisi nyota yake ilionekana na ikachukuliwa kitambo na wachawi ndio akapandikizwa jini la madawa ya kulevya.

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว

      Bibi mungu akuongezee miaka amina halafu mjengeen bb uyo jaman

    • @الوردالورد-ز4غ
      @الوردالورد-ز4غ 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kakajoss2464 wachawi ndio maana walilaniwa na Mungu

    • @deogratiusgwaltu7200
      @deogratiusgwaltu7200 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa hakuna kinachoshindikana kwa Mungu

  • @abigaelmabuga1315
    @abigaelmabuga1315 3 ปีที่แล้ว +27

    Huyu mama amepitia changamoto nyingi,me ushauri wangu apate sehemu nzuri ya kukaa ambayo itakuwa na choo safi ikiwezekana cha ndani.Pia asimfungie sana ndani,muda mwingine amtoe nje hii itamsaidia kurejea ktk hali yake.

    • @upendoabraham2942
      @upendoabraham2942 3 ปีที่แล้ว +1

      Waweke namba zake tumchalngie chochote

    • @maryamamour7121
      @maryamamour7121 3 ปีที่แล้ว

      Ni roho chafuuuuuuuuu tu

    • @tameemothman8192
      @tameemothman8192 3 ปีที่แล้ว

      Upo sahihi! Bibi asaidiwe! Ili aweze kumtunza mwanae!. Amezeeka ameshindwa kumuacha mwanae! She is a real MAMA!. KAMA UNGEPENDA SUCH A KIND OF LOVE FROM YOUR MOM, TUFANYE CHOCHOTE KUMTUNGUZA MUNGU KWA ALICHO TUJAALIA,

  • @lucymacha1902
    @lucymacha1902 3 ปีที่แล้ว +1

    Kilichomfanya huyu Kaka awe chiz n..akijiangalia n mzungu,alafu anahisi angekuwa na baba take asingekuwa maskin ndo maana alitaman ku.mtafuta baba yake..pili mama Anahasira hataki kumwacha mtoto aende kwa babayake kwa sababu aliachwa ma mtoto mdogo!!! Mungu Amsaidie jaman Kijana huyu

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 3 ปีที่แล้ว +7

    Nani kama mama jamani inshaLLAH ALLAH KAREEM Akujalie kheli daima mama

  • @oldavidasemu2420
    @oldavidasemu2420 3 ปีที่แล้ว +7

    Hao wanaomsema vibaya huyu mama Mungu anawaona hivi kuna mtu anayependa dume kama huyu asijitegemee tuacheni kufatiliana jamani tufanye kazi

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 3 ปีที่แล้ว +72

    Hawa global hawanaga ushu wao Ni kuhoji halafu wanaishia zao ovyo kabisa,Zahir wa maximum ndo hbr ya mjini anahoji na anatoa hitimisho

    • @KIDADAKIDADA
      @KIDADAKIDADA 3 ปีที่แล้ว +2

      Umeongea hee maximum ndio inaweza kuchangisha tu

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 3 ปีที่แล้ว

      Sanaaaa

    • @tiffahenlly8871
      @tiffahenlly8871 3 ปีที่แล้ว +1

      Hawa ni wambea wanafiki wanampeleleza mtyu kisha hawamsaidii kwa chochote

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 3 ปีที่แล้ว

      Kweri kabisa Hawa hawana lolote nikuhoji tu,mpaka wanachosha

    • @momobakari1225
      @momobakari1225 3 ปีที่แล้ว +1

      Maximum ndio Kila kitu aki, am from Kenya but naipenda sana maximum

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 3 ปีที่แล้ว +11

    Mama kazaa watoto wazuri!🙏🏽👌

  • @leahgeorge9402
    @leahgeorge9402 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu bibi anastrees sana ndo maana anahasira sana, maisha aliyopitia inaelekea amenyanyaswa sana

  • @emmanueldottofimbo9422
    @emmanueldottofimbo9422 3 ปีที่แล้ว +10

    Pole Sana Bibi watu anasema siyo kila changamoto inakuja kwa ubaya nyingine zinakuja kwa neema mshukuru mungu kwa kila Jambo. Kikubwa mungu akusaidie Robart apone

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm hua naamin katika maneno ya watu sababu ni kwa nn atuhumiwe huyo na sio mwingine ? Hata kama hajamuweka yeye bas ni ndugu mbona masud kipanya mtoto wake kaumwa miaka 10+ ila hatujapata skendo hiyo??? NASEMA TU

  • @gililwise
    @gililwise 3 ปีที่แล้ว +30

    Watanzania acheni kushabikia mambo yasiyowahusu.mama usihofu Mungu atakupigania

    • @clementhiddi1486
      @clementhiddi1486 3 ปีที่แล้ว

      Well said, na hawa ignorant and primitive presenters ni tatizo kubwa

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว

      Msajil ndo sababu pumbavu ww puuh

    • @neemaelisha5104
      @neemaelisha5104 3 ปีที่แล้ว +1

      NIMEJISIKIA VIBAYA MATATIZO YA AKILI YASIKIE TU KWA MTU

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว

      @@neemaelisha5104 mungu atusaidie kwakwel

    • @neemaelisha5104
      @neemaelisha5104 3 ปีที่แล้ว

      @@lucyhusein4043 MAMA YANGU MZAZI ALIPATWA NA HIYO HALI HADI AMEFARIKI HAJITAMBUI ILIMTESA MIAKA MITATU ALITESEKA SANA NASISI WATOTO WAKE TULIKUWA TUNAJISIKIA VIBAYA MNO TUMEHANGAIKA NAYE WAPI MUNGU NDO ANAJUA BWANA ACHANA NA UGONJWA WA AKILI NI MBAYA SANA KM HAYAJAKUKUTA HUWEZI ELEWA

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 3 ปีที่แล้ว +6

    Dawa izo nimbaya sana yani alafu mtu anachoka sana analala2 zinanyongonyesha tulikuwa na mgonjwa wa ivyo

  • @latifahkarim9774
    @latifahkarim9774 3 ปีที่แล้ว +8

    Maskin daaa nimeumia kiukwel mwenyewe anaongea vizur msukule tang lin mkaongea

  • @haikha-vn8sb
    @haikha-vn8sb 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanamsingizia mm nina kakang pia akil hulala 2day..so wanamsingizia huyu mama

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 3 ปีที่แล้ว +6

    Maximum tv pekee angemhoji na kumsaidia huyu mama @ZAHIR njoo usaidie mama huyu

    • @victoriamwasenga1750
      @victoriamwasenga1750 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa dah

    • @nataliadominique8047
      @nataliadominique8047 3 ปีที่แล้ว

      Ila Bibi hakujipanga Kazaa na wazungu cha mana Hakuna daaah 😒😒 ao wazungu sijui wazungu njaa mzung haach mtoto wake kiraisi

    • @madamhero2047
      @madamhero2047 3 ปีที่แล้ว

      @maximumtv

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 3 ปีที่แล้ว +2

    WALLAL WABILLAH HUYU MAMA KANITOA MACHOZI YAN😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Eh mwenyez mungu mpe huyu mama nguvu yarabbi ,serikali ya tz imsaidie basi ahengewe nyumba nzur akae na mwanae .....magufuli angekuwepo mweeeh sooo painful
    Mama anatumia nyie

  • @mariamsteven7628
    @mariamsteven7628 3 ปีที่แล้ว +23

    Kila kitu kina sababu hata hili pia lina sababu mungu mwema🙏

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

      kabisa

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kwani huenda akapata misaada ya kutosha inshaallah 🙌

    • @pendael02
      @pendael02 3 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @pendojoyce3962
      @pendojoyce3962 3 ปีที่แล้ว

      Mimi pia naamini hili Lina sababu watanzania wameliona naamini watajitoa kwa chochote ili huyu mama apate hifadhi...

  • @mashujaatv8023
    @mashujaatv8023 3 ปีที่แล้ว +1

    Namimi nataka kwenda sweeden na uraya niwazalie niwaachie .lazima nilipize staki ujinga mmi🙇🙇🙇🙇🙇

  • @lighnessmrisho1525
    @lighnessmrisho1525 3 ปีที่แล้ว +4

    Uyu mama amepitia magumu Sana. Lkn hajakata tamaa hakuna kitu kinauma kwa mzazi km kumuona mtoto wake anapitia magumu mama anaumia zaidi yaani walimwengu km wangejua mama ni nani ktk Dunia.

  • @sakinamsangi3077
    @sakinamsangi3077 3 ปีที่แล้ว +19

    Kulea mtoto wa hivi ni shida watu wasiongee tu bibi mungu amtetee

    • @Emmanuela_pius
      @Emmanuela_pius 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa mama anajitoa sana

    • @eliaikammary7525
      @eliaikammary7525 3 ปีที่แล้ว +1

      Tengenezeni choo acheni umbea si mngeuliza kabla ya kumdhslilisha

    • @simontamba1285
      @simontamba1285 3 ปีที่แล้ว

      Hakika ndugu yangu ni Kazi Sana tena washukuru huyo ni mpole ss tunae WA hivi akikasirika kila jirani hapo hadi polisi huwa wanachukua kichapoo hadi sisi wenyewe nadhani angekuwa Kama wetu nadhani hao majirani wangeipata fleshi

    • @stephaniabenjamini2848
      @stephaniabenjamini2848 2 ปีที่แล้ว

      Jamani mama wanamuonea tu majirani zake kisa wameona mzungu na wana wk 3 wamehamia.ndo maana wanaona Wivu.Tumsadieni ili apate makaazi bora,na wampeleke ubarozini Baba yake ni Mswiden amwijie.hayo yootee ni mawazo ya kukosa baba mzazi.Mama nae ndio hali hiyo,Lazima achanganyikiwe.Hata km aliwahi kutumia masigara machafu ni Mawazo.

  • @hidayamotto7210
    @hidayamotto7210 3 ปีที่แล้ว +8

    Maskin mama anaongea kwa uchungu mnooo, inaumaa jmn kwanini binadam wmafki hivi,dah nataman ningekua na uwezo nimjengee uyu Mama.

  • @kungurukingunge2761
    @kungurukingunge2761 3 ปีที่แล้ว +10

    Alafu bi mkubwa yupo vizuri kakumbuka mpaka chanjo anajali sana afya ee mungu msimamie Hutu mama aondokane na shida hizi

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 3 ปีที่แล้ว +57

    Don't judge people if you don't know their story, i feel sorry for that grany, tuned 🇰🇪

  • @queenlynne4157
    @queenlynne4157 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu nakuomba Kwa ajili ya huyu Mama.. please God mpatie sabato Kwa Maisha anayoyapitia..

  • @cindypaul5254
    @cindypaul5254 3 ปีที่แล้ว +18

    Mungu atawaadhibu wote walomzushia huyu mama..... Nimeumia 😔

  • @taliyagogo1481
    @taliyagogo1481 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni nani kijana huyu mzuri aliyeonekana dakika ya 35? Nani ataniambia juu yake na nambar yake ya simu nitampa zawadi 🌺🌺

  • @neemaathumani6373
    @neemaathumani6373 3 ปีที่แล้ว +6

    tumuchagiye huyu Bibi apate yubu kutoani moyo tuta barikiwa

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 3 ปีที่แล้ว +13

    Mtu atamfanyaje mwanae msukule watu wanamawazo ya hovyo sana

  • @gospelvibestv3914
    @gospelvibestv3914 3 ปีที่แล้ว +8

    Robert inabidi asaidiwe apone haraka ili aanze kumsaidia mama yakee asee maana Grand hapo umri umeenda sana

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 ปีที่แล้ว +4

    Bibi pole usichukie mshukuru mungu kwa kila jambo
    Huenda masimango yao na kejelizikawa sababu ya wewe kupata msaada wa hayo yanayokusibu..sio jukumu letu kuhukumu ni jukumu la Allah

  • @sadickshabankiloya4622
    @sadickshabankiloya4622 3 ปีที่แล้ว +10

    Atafutwe aliesema hayo maneno ya mama huyo kuwa anamiliki msukule akamatwe

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli nasapoti hili wazo ili iwe fundisho kwa wapumbavu wengine wanaowapa watu maumivu yasiyokuwa na msingi

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa aliyesema akamatwe

  • @neemasalema1546
    @neemasalema1546 3 ปีที่แล้ว +11

    Kiukweli Mama ni Mama tu hakuna kama Mama

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 ปีที่แล้ว +14

    Hii inshu angeishika zahiri wa maximum tv,tungeifurahia wote

    • @salamanauthartanzania6301
      @salamanauthartanzania6301 3 ปีที่แล้ว

      Uneona eee

    • @salamanauthartanzania6301
      @salamanauthartanzania6301 3 ปีที่แล้ว

      Umeona eeee

    • @mamaaliya8050
      @mamaaliya8050 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mama anaongea kwa hasera

    • @mamaaliya8050
      @mamaaliya8050 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mama anaongea kwa hasera sana ,,anaonekana anachuki sana za watu katika kifua,,amefanyiwa roho mbaya muda mrefu ndio mana anaongea kwa uchungu hivi

  • @lilianurio9781
    @lilianurio9781 3 ปีที่แล้ว +4

    Nime notice kuna watu bado wana ubaguzi wa rangi, Mungu tuepushie roho mbaya

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 3 ปีที่แล้ว +9

    Bib yuko sawa kabisa bora ujenge ukoooooo mbali maporin pasina msongamano kimyaa mwenyewe huko mashamba

  • @EmmildaJoseph-vy9xj
    @EmmildaJoseph-vy9xj 5 หลายเดือนก่อน +1

    Usilolijua n usik wa Giza

  • @mohammedbakhresa3823
    @mohammedbakhresa3823 3 ปีที่แล้ว +8

    NAIYOMBA SEREKALI KUU IMSAIDIE HUYU MAMA

    • @filomenabarongo693
      @filomenabarongo693 3 ปีที่แล้ว

      Hili suala litafika kwa mama Samia we ngoja kidogo

  • @kasindejonathan978
    @kasindejonathan978 3 ปีที่แล้ว +7

    Mnaona Sasa wauzaji dawa za kulevya mmemharibu mzungu wa watu Hadi huruma nguvukazi imepotea miaka arobaini Robati maskini oIna mama anavyohangaika mzungu alisepa kwao wadada msipapalikie wazungu sio watu ni rangi tu roho zao mbaya . .

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +2

      Huyo kapagawa kwasababu ya stress pia anataka kwenda kwa Baba yake jua la bongo linamuumiza so hizo bange ni nyiongeza tu

    • @Siasia209
      @Siasia209 3 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme inaweza kua nyongeza ndio lakini ndio vimeshamtibua

    • @merryvaleria864
      @merryvaleria864 3 ปีที่แล้ว

      @zahir tunajua kazi zako unahoji na kusaidia tutakuunga mkono

    • @nataliadominique8047
      @nataliadominique8047 3 ปีที่แล้ว

      Mtihani voooh wazungu roho zao dhaifu ila sisi waswahil tunapenda kuchachawa looooh tujifunze kitu hapa jamani

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 3 ปีที่แล้ว +12

    Pengine hata huyo wa uingereza hana maisha mazuri..Mungu atunusuru na hizi tabia zetu za ujanani.Tuombe huruma ya Mungu

    • @sharonanyango2057
      @sharonanyango2057 3 ปีที่แล้ว +1

      Jameni😢😢

    • @aceofspades3728
      @aceofspades3728 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu amtetee lakin lifestyle ya ujanan zina majibu tofauti uzeeni...mkiambiwa mtulie hamsikii Sasa watoto SITA lakin baba watatu tofauti Bado anakwambia aliolewa familia mbaya ya kichawi..ila yeye simchawi azungumze ukwel japo habari za msukule ni Uongo that's life stresses!

    • @pichunakichuna2111
      @pichunakichuna2111 3 ปีที่แล้ว +1

      True najua watanzania wengi uku ulaya wengine wanasema awajai Rundi TZ juu ya madawa

    • @happyurassa3174
      @happyurassa3174 3 ปีที่แล้ว

      @@aceofspades3728 kwanza kabisa hayupo vzr saikolojia

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 5 หลายเดือนก่อน

      Niliwahi kumuona huyu wa kike😢

  • @nasrafadhili8941
    @nasrafadhili8941 3 ปีที่แล้ว +7

    Bibi mkali maskini anahasira pole mama mzr

    • @fridageorge2809
      @fridageorge2809 3 ปีที่แล้ว +1

      Mama anahitaji kupozwa sana anahasira na mambo mengi aliyopitia. Yesu akawe msaada kwako, kwenye dunia hii mifupa itaendelea kuvunjika, mioyo itaendelea kuvunjika tegemeo ni Mwenyezi Mungu!

  • @maidamwaipopo9603
    @maidamwaipopo9603 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamani wenye mioyo ya huruma tumchangie apate hata chumba kimoja

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpeni ushaur Bibi ampeleke kwenye Maombi Uyo atafunguliwa kabsa Yesu anaweza Yote ajawai shindwa Jambo

  • @mohamedkhamis2924
    @mohamedkhamis2924 3 ปีที่แล้ว +9

    Anatia hurum Bibi wekeni no achangiwe kiasi

    • @theafricaiknow6615
      @theafricaiknow6615 3 ปีที่แล้ว

      Anglia mpaka mwisho kuna namba zinapita kwenye screen

    • @liobampore5149
      @liobampore5149 3 ปีที่แล้ว +1

      Mtangazaji unarudia rudia maswali hadi bibi anajisikia vibaya. Watangazaji heshimuni watu. Mtangazji hufai kabisa. Maswali yako ya pvyo

    • @agnessjohn1222
      @agnessjohn1222 3 ปีที่แล้ว

      Pole Mungu akuponye nenda Kwa mwanposa utafunguliwa

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 ปีที่แล้ว +12

    Majirani vishambenga wameshika na viuno kabisa hawataki kupitwa😂

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 3 ปีที่แล้ว +9

    😰bibi anapambn sana mumuachee jmni..Hamn hata huruma kwelii

    • @mbenageshoni4231
      @mbenageshoni4231 3 ปีที่แล้ว

      MO mhurumie mama huyu hata ukampangishia chuma kimoja lakini kiwe na umeme angalia maisha anayoishi msaidie mheshimiwa MO mungu atakulipa daaah sisi tuna moyo wa kufanya hivo lakini uchumi hatuna

    • @mbenageshoni4231
      @mbenageshoni4231 3 ปีที่แล้ว

      Jamani mliobarikiwa kupewa Hera na mungu msaidieni huyo mama au huyo bibi

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 3 ปีที่แล้ว +6

    Bora hata wamemuona huyo Bibi wanaweza kumsaidia ZAHIR UKO WAPI MTAFUTIE DINGI YAKEEEE

    • @aminamohammed5373
      @aminamohammed5373 3 ปีที่แล้ว

      Zair njoo baba umsaidie uyu bibi na watotowake allaha atakulipa inshaallah

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 ปีที่แล้ว +17

    Lkn mungu ni waajabu sana. Bibi anaweza kuona kama kaonewa lkn amesaidiwa pia,hapo lazima apatiwe cho chote cha kumsogeza siku maana inaonekana anamaisha magumu mno.

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 3 ปีที่แล้ว +1

    Global Jifunzeni kuhoji Wahitaji na kusadia Mnahoji na kusepa nn maana yke.. Uwezo sina zahiri maximum tafadhali uje kumuhoji huyu BB tuchange buku zetu BB apate hata pa kujistri..

  • @sofyaabdulla8595
    @sofyaabdulla8595 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ata kulipia mama. Iyo ni neema inakusogelea

  • @abdulazizmohamed2805
    @abdulazizmohamed2805 2 ปีที่แล้ว

    Mzungu. Kamuhacha. Mwenye.. Mtaa, Wa. Tz mkatafute. Kazi. Ya kufanya, muhache majungu,

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 3 ปีที่แล้ว +3

    Nyie mnahoji hoji tu kiumbea umbea nakuondoka bila msaada bora zahir ndio angefuata huyo bibi familia ingesaidiwa

  • @JlmwinukaOnlineTv
    @JlmwinukaOnlineTv 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jl mwinuka online tv, pole mama munguanakuona,atakujalia

  • @awdhatanwar1816
    @awdhatanwar1816 3 ปีที่แล้ว +6

    Mama anaweza Lea watoto9 pk wakakuwa lkn watoto9 wanaweza shindwa kumlea Mama yao1 Salute Wamama wote Mungu awajalie Kila la kheer Dunia na ksho Akhera

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 ปีที่แล้ว +1

      kweli kabisaa

    • @kungurukingunge2761
      @kungurukingunge2761 3 ปีที่แล้ว +1

      Mama hawezi kuua watoto wake lakini watoto wana nafasi kubwa ya kuua mama yao mungu awalinde wamama zetu nawapaenda wamama wote

    • @stephaniabenjamini2848
      @stephaniabenjamini2848 2 ปีที่แล้ว

      Maskini Robert anaitwa msukule kweli!!kisa mweupe?mbona kataja jina lake na ubini wa BK.Ila akina Rweikiza tuungane tumsadie bibi.

  • @vailetlaurent1408
    @vailetlaurent1408 3 ปีที่แล้ว

    Uyu Bibi wamemzalilisha watu tuachege kukurupuka jamani

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 ปีที่แล้ว +6

    Yani dawa za akili na za wagonjwa kifafa ni Lazima Walalee

  • @matyam4988
    @matyam4988 2 ปีที่แล้ว

    nimekuinea huruma mama yangu MUNGU AWE MSAADA WAKO

  • @isacknongo1872
    @isacknongo1872 3 ปีที่แล้ว +3

    Nani kama mama .japo na uzee alionao lakini bado anapambania wanae .Allah ampe nguvu katka kipindi hiki kigumu.!!++

  • @fatmamoki5269
    @fatmamoki5269 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole mamaa munguuu akubarikiiii ...unapambana mno....kukaa na mgonjwa wai iviiii ni kaziiii......nani kama mamaaaa ya christian helaaaa ikufarijiiiii mamaaaa

  • @ramlamasika9664
    @ramlamasika9664 3 ปีที่แล้ว +4

    Hii myaka kupanga siyo powa tufanye nabidi kujega maisha yambele

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa nawajua zamani walikuwa Jirani zetu pale kinondoni mkwajuni huyo Robert mzungu alikuwa rafiki yangu sana hiyo ilikuwa mwaka 1984/85 huyo July namfaham huyo Winnie karikuwa kadogo kazungu kakike duh maisha haya.

  • @chanziopenschool9456
    @chanziopenschool9456 3 ปีที่แล้ว +36

    Zahir anafnya kazi nzuri sana...anahoji na anasaidia

    • @awadhially3753
      @awadhially3753 3 ปีที่แล้ว +5

      Kweri kabisa hawa wengine wanaishia kuhoji tu

    • @hadija846
      @hadija846 3 ปีที่แล้ว +3

      kweli kabisa Zahiri yupo wapi jamani

    • @rostalameck6640
      @rostalameck6640 3 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kak zahir yuko vizur sana

    • @nyamwinukankwera3749
      @nyamwinukankwera3749 3 ปีที่แล้ว

      Kazi nzuri

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 3 ปีที่แล้ว +2

    Uswailin watu wanapenda kuongea sana, haswa wanashinda Nyumban niwambea sana, cjui kwanini wanapenda kuongea vitu avielewek , wapo ata mtoni kwa azizi all wambea kuzusha

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 ปีที่แล้ว +9

    Mama à nawapenda watoto wake kweli heshima kwa mama juu siyo rahisi kbsa kujilelea mwanao mzima afu ukubwani aje aruke kichwa kwa kweli nihuzuni MUNGU akufanyie wepesi mama

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 ปีที่แล้ว +2

      ndio nashangaa wengine wanavyo sema eti mama anaficha siri hawaelewi huyu mama anapenda mtoto wake anaona atapatwa na matatizo akauawa au akazingiziwa kubaka akafungwa aki

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 3 ปีที่แล้ว

    Wazungu wanatudharirisha jamani wanatutelekezea watoto wanatunyanya tuwataabishe...serikali iwachukulie mkazo Hawa wazungu wahudumie damu zao

  • @abdalladawali8969
    @abdalladawali8969 3 ปีที่แล้ว +3

    Pole mwanangu Mwenyezi yuko na wewe najua umeptia mazito pole 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @irenemellau8174
    @irenemellau8174 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Bibi ciyo mchawi bwan people stop judge watu vibaya

  • @caslidajosephat8912
    @caslidajosephat8912 3 ปีที่แล้ว +21

    Ila robati mzuri handsome kweli, namuomba Mungu ampe mke mwema apate watoto wazuri kama yeye.

    • @matukiosafaris6508
      @matukiosafaris6508 3 ปีที่แล้ว

      Umeshaambiwa anamatatizo ya akili ataoaje sasa

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 3 ปีที่แล้ว +2

      @@matukiosafaris6508 tuta mtibu tu shida mengi tu ....maana uyo jamaa ni bangi na madawa tu yalio mzofisha

    • @umukulthumu1419
      @umukulthumu1419 3 ปีที่แล้ว +2

      @@matukiosafaris6508 huyo matatizo yaakili yamekuja baada ya kutumia madawa akitibiwa anapona sio kwamba nikichaa hajielewi Nimzima huyu kaka jaman akatibiwa anapona na familia atamiliki inshaallah

    • @matukiosafaris6508
      @matukiosafaris6508 3 ปีที่แล้ว

      @@umukulthumu1419 well noted

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว

      Nakwel robat muzur kwel

  • @stellamwakatulile3202
    @stellamwakatulile3202 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkioji watu Toeni na misada uyu mama anatakiwa apewa msada

  • @simba_de_leo5042
    @simba_de_leo5042 3 ปีที่แล้ว +3

    Entarview nzuriii maswaliii mazuriii yenye content sema dada maswaliii ya kumuudhi au kuwaudhi hiyooo yamezid msukule anytmee Acha bwanaa

  • @happymariki4757
    @happymariki4757 2 ปีที่แล้ว

    Mama ana upendo uliopitiliza kwa mwanae. Anafanya juu chini kumlinda kwa gharama zozote zile. Leo hii vinyamkela visivyojua hata kulala, kunywa, kula na kuvaa kwao wanamuanika kwa ubaya.
    Msukule anachomwa chanjo ya korona????????
    Tujifunze kupitia hili, tuwe na akiba ya maneno.

  • @biommy6700
    @biommy6700 3 ปีที่แล้ว +3

    Binadamu wabaya sanaa, msukule anakaa ivi, mwenyewe msafi afu anakili pia kiasi si kajibu vzr hapo, kusema tu vbya na hakuna msaada wwt

    • @tumainikomba9008
      @tumainikomba9008 3 ปีที่แล้ว

      Kwakwel wamuombe M'mungu msamaha na huyu bibi wa watu...so sad

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 3 ปีที่แล้ว +2

    Msukule anataja Jina kamili ebu mwacheni bibi wwt