"WANANCHI WA KIGOMA KUITWA WACONGO/WARUNDI" MBUNGE AWASHA MOTO BUNGENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • "Wananchi wa Kigoma tunaitwa Wacongo/Warundi inauma sana"- Mbunge wa Kigoma, Kusini Hasna Mwilima akizungumzia changamoto za utambuzi wa uraia linalowakumba wananchi wa mkoa wa Kigoma.
    #KUTOKABUNGENI

ความคิดเห็น • 25

  • @saidkipara3296
    @saidkipara3296 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama hongera cana kwa point kubwa bungen kiufup tumechoka

  • @twayigizejeanpierre8106
    @twayigizejeanpierre8106 ปีที่แล้ว

    Meananchi wa kigoma pole sana.Mama Asante sana Kwa sauti Yako kubwa❤❤❤

  • @gabrielmeshack7876
    @gabrielmeshack7876 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni kwel sana wanatusahau xana

  • @aishasalvator5031
    @aishasalvator5031 6 ปีที่แล้ว +7

    aiseee au watuache kigoma tuwe nchi

    • @mohamedkashindi8403
      @mohamedkashindi8403 4 ปีที่แล้ว

      Yaani wewe ni mmbunge kweli umesema ukweli kabisa hata furaha ya safari uwa karaha hasa ukiwa unasafiri na wageni uwaga wanatucheka kweli

  • @mangapmanga1539
    @mangapmanga1539 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up mbunge

  • @jedonnthadeowellspringafri8560
    @jedonnthadeowellspringafri8560 5 หลายเดือนก่อน

    Sema mama

  • @مريممريم-ف5ق6ي
    @مريممريم-ف5ق6ي 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana wametusaau

  • @lodriquelazaro5925
    @lodriquelazaro5925 5 ปีที่แล้ว +1

    sema mama tumeonea sana

  • @jumaigoti8638
    @jumaigoti8638 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mama

  • @bernakajoro4083
    @bernakajoro4083 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwananchi wa kigoma akienda mikoa mingine anaitwa mrundi,kwani warundi sio watu Kama sisi jamaniii,nao ni watu wanapumua Kama sisi siku ya kufa ikifika kila mtu anakufa,mi nikiitwa mrundi nawajibu kwani warundi wanakasoro ganii,ninawashangaa tu kwa dharau zao hao watu wanaowadharau warundi,jamaniiiii tuishi kwa kupendana dunia tunapita tu,hakuna atakae salia juu ya dunia hii zaid ya ardhi

    • @hadijalukas5959
      @hadijalukas5959 3 ปีที่แล้ว +1

      hongera sana mrundi mwenzangu good 👍🏼👍🏼👍🏼 comment

  • @andrewkalihose3261
    @andrewkalihose3261 4 ปีที่แล้ว +2

    Hali hii nikelo Kwa wakazi mkoa wa kigoma kwani operations zisizo na maana zimekithiri

  • @jedonnthadeowellspringafri8560
    @jedonnthadeowellspringafri8560 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani sisi ndio tulio iambi a seriekali iweke kambi ya wakimbizi kigoma tumechoka

  • @deniswilson9069
    @deniswilson9069 4 ปีที่แล้ว +2

    Yeyote anaeajiriwa kuwa uhamiaji akipangiwa kigoma anakuja akiamini wanakigoma niwalundi watengue hizi hisia.

  • @erickkapalata965
    @erickkapalata965 4 ปีที่แล้ว +2

    Wambie wanatuonea

  • @elpidiuskabyemela4026
    @elpidiuskabyemela4026 5 ปีที่แล้ว

    soma sheria ya uraja

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza siku mtu akiniita mkongo au mrundi kumamake nampiga jiwe la kichwa kubabake

  • @zaidyswalehe2922
    @zaidyswalehe2922 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakiaka xx waha tumekua kama wakimbizi katika nchi hii ya tanzania

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 2 ปีที่แล้ว

    Watuache tu tuwe taifa huru kam vp afu waone maendleo yatkavomiminika tuna ziwa mito mbuga za wanyama, wasitutishe

    • @SylvesterSimion
      @SylvesterSimion หลายเดือนก่อน

      Mama Hongera sana kwa point ya maan sana.%100 umeongea point.Yaani hawa afisa uhamiaji sio wazuri na Hawana mahusiano mema na Sisi wazawa wa KIGOMA wanatuita Warundi Sisi sio Warundi.Mimi ninaishi TARIME nilienda kujiandikiasha Nida Waliponiuliza mkoa nilikozaliwa nikawaambia Kigoma likawa kosa nikaitwa MURUNDI nikaambiwa nisubili kwenye benchi.kweli nilisubili yaani walinipotezea MDA baada yakua nekasilika nilibadili sura nikawaulizabona mumenipaki mnahudumia wengine Mimi nilietangulia hamunioni?Walinijibu eti tulia kwanza wewe MURUNDI.nikawajibu kwamba niondoke au mnanikamata muniweke ndani?Wakaanza mara ooo tuone chanjo,Chanjo yangu hainekani vizuri ila kwa kutizama inaonekana,lakini walitaka kukataa,kwamba sina chanjo,na mkono wa kushoto Nina kovu ambayo nilipata baada ya kuangushwa chini na pikipiki,kovu hiyo wakataka kugeuza kwamba ni chanjo ya KENYA yaani nimewaambia kua Mimi ni MUHA,lakini wakataka wanigeuzie kibao kua Mimi ni raia wa nchi ya KENYA.Nilicheka kwa ndarau nikawaamgalia kwa dharau mwishoooo,niliuliza wanachokihitaji hasa ili waamini kua Mimi ni raia.pale walikuwepo asikali WAHA Wakaanza kuniongelesha KIHA baada yakua wameona nimechukia wakanigongea muhuri kwenye form.Kiufupi hawa watu hawatupendi Sisi waha sijui tuliwafanya nini.Mimi ipo siku nitapiga mtu kama ni jela nipelekwe MAANA wanakera.Unatoka mwanza saa 11 alfajiri kwenda kigoma,Kigoma unafika saa mbili usiku kisa wao.Serikali utusaidie🙏

  • @bigboys016
    @bigboys016 3 ปีที่แล้ว +1

    Saivi wanakuvua na shati unakaguliwa kama unavinyweleo na ndui