KISA ZIWA TANGANYIKA, MBUNGE KIGOMA MJINI AWAKA - "KILA KITU MWANZA, UPENDELEO TU"...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ค. 2023
  • KISA ZIWA TANGANYIKA, MBUNGE KIGOMA MJINI AWAKA - "KILA KITU MWANZA, UPENDELEO TU"...
    Ni mkutano wa 11 kikao cha kumi na saba cha Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 15

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @user-yt6tv7wv6m
    @user-yt6tv7wv6m หลายเดือนก่อน

    Sisi kigoma hatuna kiwanda chochote haruna tunachogitegemea inje na ziwa

  • @ashura8246
    @ashura8246 ปีที่แล้ว

    Jamani wasifunge

  • @SALIMINIMNYAKA
    @SALIMINIMNYAKA หลายเดือนก่อน

    pointi mheshimiwa

  • @user-yt6tv7wv6m
    @user-yt6tv7wv6m หลายเดือนก่อน

    Sisi wazariwa wa kigoma hatujakubaliana na hilo kwasababu wanafunga ziwa na wakati hawajatuwezesha k2 chochote wakifunga ziwa tunawnda wapi alafu wanafunga ziwa bila kufikiria wanainchi wa kigoma tunaishije alafu kusema kufunga ni jambo jema nalikata na kulipinga kwasababu hatuna msingi wowote

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 ปีที่แล้ว

    Tangu dunia kuumbwa,
    Ndiyo kusikia ziwa kufungwa

  • @YasiniHasani-og4hc
    @YasiniHasani-og4hc ปีที่แล้ว

    Hiro limpango jamani mbona haongei yeye

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 ปีที่แล้ว

    Wasifunge

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 ปีที่แล้ว

    Shigongo umechemsha

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 ปีที่แล้ว

    Yaani mnataka serkali iache kuwekeza Mwanza ihangaike na kigoma?

    • @kilungahamis1270
      @kilungahamis1270 ปีที่แล้ว

      Mwehu

    • @ommymp9058
      @ommymp9058 ปีที่แล้ว

      We mpumbavu kweli umesikia ziwa Tanganyika ni ya kigoma tuu??

    • @sambulugu9988
      @sambulugu9988 ปีที่แล้ว

      @@ommymp9058 Nyie warundi wa tanzania na wakongo wa ukanda huo wote vichwa maji tu na umasikini wa kutosha!

    • @alfredkabalinge3089
      @alfredkabalinge3089 ปีที่แล้ว

      Ata meli tupate katika ziwa Tanganyika mbungu huyu yupo sahihi Hana maana Kama serika iache kufanya maendeleo mwanza hujamuelewa tu