BEST FRIEND ❤️ | 2 |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Follow Me On Instagram
    / clamcris_
    Tiktok:
    / clam_cris
    Facebook:
    www.facebook.c...
    #clamvevo #comedy

ความคิดเห็น • 2.6K

  • @Missed_Call2004
    @Missed_Call2004 ปีที่แล้ว +132

    Wale wakuu tumeongozana toka Penzi la Mzimu tukaenda Big Boss na sasa tupo hapa Best Friend, weka tick tukisonga 💥❤🚀♨️

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf ปีที่แล้ว +827

    Jamani wale tulio kuwepo kwenye big boss na sasa tupo best friend piga like twende sawa 🔥🤞🚀👆

  • @akimbashirwa9371
    @akimbashirwa9371 ปีที่แล้ว +129

    Wakwanza mimi Leo nipeni like zangu❤❤❤ love from Norway 🇳🇴 🔥🔥🔥🔥

    • @alexmaganda7081
      @alexmaganda7081 ปีที่แล้ว +1

      Acha Tamaa wewe like umefanya kazi gani

    • @akimbashirwa9371
      @akimbashirwa9371 ปีที่แล้ว

      ​@@alexmaganda7081acaungese wewe😂😂

  • @simonchari
    @simonchari ปีที่แล้ว +9

    Tuko sambamba kabisa tokea big boss.... Hadi best friend .. kazi Safi @clam natazama kutoka mombasa Kenya 🇰🇪 one love

  • @HermenegildeNdizeye
    @HermenegildeNdizeye ปีที่แล้ว +13

    Hongera clam vevo, ebu niseme kwamba wewe ndio wakwanza kucheza movies in all african continent❤❤❤❤

  • @ministerdelanzo_ke
    @ministerdelanzo_ke ปีที่แล้ว +42

    ❤Heko kutoka Kenya 254🇰🇪🇰🇪 kwa kweli unafanya kazi nzuri kaka big boss season 2 tumeingoja bro zidi kusonga kaka Mungu akuchunge tuzidi kukutazama♥️

  • @blessedsuma8471
    @blessedsuma8471 ปีที่แล้ว +113

    CLAM, mim ni mmoja kati ya wanaokufatilia sana kwa mema lakini, napenda kaz zako na kilakitu chema kukuhusu, Mungu azidi kukupa kipawa na uzidi kufanya vizuri, naomba tu hii series isiwe inachelewa kwasababu nimoja ya series kati ya zakp nyingi niliyovutiwa nayo, Keep up the good work brother.

    • @kidomawe
      @kidomawe 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ok❤❤❤

  • @Bradleycarlostawai
    @Bradleycarlostawai ปีที่แล้ว +28

    Kenya unapendwa kaka, kwanza hii series mpya twaifwatilia mnoo❤❤❤, long live clam vevo❤

  • @ivokombamtumishiiec3263
    @ivokombamtumishiiec3263 ปีที่แล้ว +7

    Best actor in tanzania clam vevo like kwangu japo 10

  • @hari_meshi
    @hari_meshi ปีที่แล้ว +16

    Most talented actor that's your definition much love from Canada 🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @annaki318
    @annaki318 ปีที่แล้ว +32

    Mambo mazuriii mzigo pambe ... CLAM VEVO forever and Ever ❤❤❤❤ tunaompenda clam tulike hapana.

    • @user-td5oe6gl4r
      @user-td5oe6gl4r ปีที่แล้ว

      ikobomba

    • @user-pi3fz9zz2k
      @user-pi3fz9zz2k ปีที่แล้ว

      Jani kale kangoma kaimba nani ambako cramu aliimba pale kati

  • @aminaseti8544
    @aminaseti8544 ปีที่แล้ว +28

    👏👏👏👏 wa kwanza ku trop comment, excellent sana clam vevo 🎉🎉🎉

  • @kiplimo411
    @kiplimo411 ปีที่แล้ว +269

    Tangu niwe fan wa clam sjawahi pata like zaidi ya mbili...😢

    • @NasserShayo-tn6vo
      @NasserShayo-tn6vo ปีที่แล้ว +3

      Mhhhhhh hahahahahahahaha pole YAKO😂😂😂😂😂

    • @kiplimo411
      @kiplimo411 ปีที่แล้ว +2

      @@NasserShayo-tn6vo wueeh 😂🙌

    • @AminaMlungula
      @AminaMlungula ปีที่แล้ว +1

      @@NasserShayo-tn6vo in

    • @mamasb8154
      @mamasb8154 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ZuleikhaKassim-tu4zt
      @ZuleikhaKassim-tu4zt 11 หลายเดือนก่อน +1

      Nimeipenda clam

  • @bestkingofpoetry9882
    @bestkingofpoetry9882 11 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani iyi nikali kbs bro clam piga like yako hapa😂😂😂

  • @wailesmsongole1914
    @wailesmsongole1914 ปีที่แล้ว +18

    Mwamba upewe maua yako upo good sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 tunataka part 3 clam usicheleweshe

  • @ZackyFlavour-po3os
    @ZackyFlavour-po3os ปีที่แล้ว +107

    Kama unakiri kuwa clam amekuja kuifufua bongo movie mpe maua yake hapa❤❤

  • @damianmhagama4398
    @damianmhagama4398 ปีที่แล้ว +224

    Clam ni msanii wa daraja la juu sana hakika kazi yako ni Bora sana. Series nzuri sana yaani pale ulipokuwa unawaimbia wenzako mpaka machozi yalinitoka, maana nilipata hisia ya uhusika halisi. Imeonyesha kuwa mapenzi sio pesa tu. Sasha kasema anahitaji mtu mwenye Nidhamu Akili na Unyenyekevu.
    Hakika hii ni kazi nzuri kazi Bora stori nzuri yaani kila kitu kizuri hata makofi aliyopigwa mwakatobe nayo mazuri yalikuwa na yamepakwa poda

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว

      Fryb th-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/w-d-xo.htmlsi=pP4mrmaTiOQsCwwz

    • @geofreydanny1037
      @geofreydanny1037 ปีที่แล้ว +4

      Eti makofi mazuri 😅😅😂😂

    • @issahayoub7666
      @issahayoub7666 ปีที่แล้ว +3

      Mnafiki mkubwaa wewe

    • @user-do8ze4ot5q
      @user-do8ze4ot5q ปีที่แล้ว +3

      adi makofi mzur duh😂😂😂😂

    • @user-do8ze4ot5q
      @user-do8ze4ot5q ปีที่แล้ว +4

      sijapenda

  • @givenrichard8094
    @givenrichard8094 ปีที่แล้ว +10

    Mwamba huyu apa .... Asante Studio...Asant Rizwan..... You are the best....🎉🎉🎉 Chapat Maharage 😅 @clam vevo

  • @chrismabwenga4723
    @chrismabwenga4723 ปีที่แล้ว +18

    Sasha has fallen to Clam... I enjoy watching it...never disappoint someone 💣

  • @user-xf1by9je1f
    @user-xf1by9je1f 10 หลายเดือนก่อน +3

    Clam Vevo nkupenda sana n hyo misemo yko😂😂mwambie huy mwenzio true love is never forced😅I love also Sasha bcz is seriously forcused to studies en strong girl😮😊

  • @marydavinembeki9482
    @marydavinembeki9482 ปีที่แล้ว +158

    This episode has really made me to shade my tear alot. our parents they can do anything for us to stay well.

  • @unleloo7616
    @unleloo7616 ปีที่แล้ว +23

    Good series Kwa haraka haraka tuki analysis. Dhamira tulizoona Mapenzi , matumizi mazuri ya uongozi tumemuona Mzee dude , anastahili kupewa ubunge hata hawamu ijayo, ingawa mtoto anamuaribia , pia matumizi mabaaya yahela , hii series n zuri sana na Wala haichagui umri nice nice nice wahusika wooote wanajua sanaaaa nasubiria ya 3 pigen kazi kikubwa n afya na uzima

  • @yohanandiga3389
    @yohanandiga3389 ปีที่แล้ว +18

    Nimeipenda kamati ya roho mbaya, nimeipenda stail ya Clam, then nimempenda huyo mdada tabasau lake kw Clam 🔥

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 ปีที่แล้ว

      wahuni wamecheza kweli

  • @LinusMligoh
    @LinusMligoh ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana vevo wee ni mwamba kak🎉🎉🎉😂😂😂❤😊😊😅😅

  • @user-qo3cr6lt3j
    @user-qo3cr6lt3j ปีที่แล้ว +4

    Sawa kaka clam nakubali sana 💐🌹🌼🌷chukua mauwa yako))))

    • @ZuhuraMajaliwa
      @ZuhuraMajaliwa 4 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉 ayoooo ya kwako

    • @NelsonLewa
      @NelsonLewa 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@ZuhuraMajaliwa😂😂😂😂❤

  • @drsniper1126
    @drsniper1126 ปีที่แล้ว +50

    wa kwnza Kuwatch Kama Unamkubali Clam vevo gonga likes hapa🎉🎉🎉

  • @alladincartoon254
    @alladincartoon254 ปีที่แล้ว +33

    Clam is an International Actor the Best African male actor you deserve the 👑 crown

  • @jindwasam
    @jindwasam ปีที่แล้ว +70

    sincerely speaking, clam is more of an artist in this continent.. God bless you big brother.. you're bringing a great change in this industry.. Tanzania is so much blessed..🔥🔥

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว

      Huu th-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/w-d-xo.htmlsi=pP4mrmaTiOQsCwwz

    • @bakarihamisi5712
      @bakarihamisi5712 ปีที่แล้ว +3

      Big up Sana Clam Yuko juu

    • @user-ic4di2vm7h
      @user-ic4di2vm7h ปีที่แล้ว

      ​@@bakarihamisi5712 san

  • @vicenteanastaciomarcelino3808
    @vicenteanastaciomarcelino3808 ปีที่แล้ว +11

    Nakupa tuzo ya mwigisaji bora Clam 🔥🔥🔥, from Mozambique 🇲🇿🇲🇿

  • @Yvesmsafiri
    @Yvesmsafiri ปีที่แล้ว +1

    Yaani kweli mwakatobe uwaga ananiuwa😂 sana, maisha yanaban kuliko chupi , yaani kila sériés ambayo clam atacheza mwakatobe asikosekani

  • @Abdallah-pi6nv
    @Abdallah-pi6nv ปีที่แล้ว +14

    Nilipitia hali hii nikiwa shule wakati ambao sikuwa na amani ni mwingi kuliko niliofurahi watu walikua wakifurahi nikilia 😌😌😌big up clam 💝💝

  • @ibrahimuselemani4076
    @ibrahimuselemani4076 ปีที่แล้ว +284

    Tuko hapa mzgo tumeunasa BOSS,Likes kwako mkuu tunaenjoy kaz zako ubarikiwe…Gonga likes za upendo kwa CLAM 😊❤

    • @Amede-dd6ij
      @Amede-dd6ij ปีที่แล้ว +4

      Kwakweli wanastahili pongezi mbarikiwe sana tena sana

    • @ElikanaGelad-gc2ll
      @ElikanaGelad-gc2ll ปีที่แล้ว +5

      Kali hii asee big boss sjui nisemeje

    • @neemmlingo729
      @neemmlingo729 ปีที่แล้ว +2

      ❤❤❤

    • @ElikanaGelad-gc2ll
      @ElikanaGelad-gc2ll ปีที่แล้ว +2

      Hatuchoki tupo pamoja nasemaj nasemaje

    • @innocentyohana9283
      @innocentyohana9283 ปีที่แล้ว +3

      Dah kwer Bila kasol na kinyongo hongala sanaa clam umeuwa

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 ปีที่แล้ว +8

    Safi sana clqm hii ngoma imeenda shule kama ilivyo kazi Safi

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว

      Hyi th-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/w-d-xo.htmlsi=pP4mrmaTiOQsCwwz

  • @ElishachegeraMoise
    @ElishachegeraMoise ปีที่แล้ว +3

    Clam Vevo ni mmoja kati ya Wana comedy wanaona fanya vizuri ichini Tanzania Mimi nafatiliya vidéo zako toka ichini Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Bongomtaanitv
    @Bongomtaanitv ปีที่แล้ว +5

    Pokeà Congratulations kutoka NAIROBI,Naona unapita hyo level ya Kanumba #Clamvevo ni moto

  • @Hajizaidin
    @Hajizaidin ปีที่แล้ว +6

    kazi zuri Sana clam muendelezo usichelewe bas❤❤

  • @nsengumuremyisylvester4950
    @nsengumuremyisylvester4950 ปีที่แล้ว +4

    shemeji kwa kwli mutanisamehe siwezi nikarudisha pesa🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaani kama kunawaigizaji wanawo nifulahisha huu dada ni mmoja wao.nampenda sana nafulahia anavyo cheza anavyo igiza👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌

  • @immaculatekutto2121
    @immaculatekutto2121 ปีที่แล้ว +19

    Hakika hii mafunzo inatafunza hivi tusiwai dharau Masikini kwa sababu kuna siku mwenyezi Mungu 🙏atamfungulia mlango wazi! Mwenyezi mungu akusaidie clam 🙏🙏

  • @user-up3ij8jx5i
    @user-up3ij8jx5i ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana cram vevo pengo la kanumba nahakika utaliziba mungu yupo

  • @chrismabwenga4723
    @chrismabwenga4723 ปีที่แล้ว +15

    Tears rolled down my cheeks 😥😥😥😥

  • @cleophasmutembei
    @cleophasmutembei ปีที่แล้ว +14

    Iyo moment ya kuokota pesa imebamba sana
    Anyway wapi likes za clam Vevo wadauu

  • @JOHAREHfilms2023
    @JOHAREHfilms2023 ปีที่แล้ว +10

    Sio Kwa mbio hizi Ili nimewahi bhanaa💃♥️♥️🔥ila sijapentaaa uyo zumbwe anavyomfanya baba clam daaah maskini wanateseka sana😥😥 Kuna watu wanaishi ivo maskini😥🙌

  • @irakozeeveline3919
    @irakozeeveline3919 ปีที่แล้ว +15

    Number one love you from Australia nipeni like zangu jamana 🥰🥰

  • @dianachebe8193
    @dianachebe8193 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda sana clam na ningependa japo siku Moja ni act na wewe ❤❤❤ much love from kenya

  • @mariamshamte7403
    @mariamshamte7403 ปีที่แล้ว +8

    Vevooooooo,,,,sema yeyoooo
    Niko interested na series zako❤❤❤ kama unamkubal gonga likeeee

  • @mugo5075
    @mugo5075 ปีที่แล้ว +8

    Pure talent. Asante CLAM VEVO kwa comedy zako . Big fan from KENYA 🇰🇪

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 ปีที่แล้ว +5

    Clam vevo comedian wa dunia❤❤❤❤❤ utafika mbaliiiiii sana

  • @Fes_org
    @Fes_org ปีที่แล้ว +40

    This guy is very talented 🙌🏿🙌🏿

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว

      T8 th-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/w-d-xo.htmlsi=pP4mrmaTiOQsCwwz

  • @official_harmsmunga
    @official_harmsmunga ปีที่แล้ว +12

    I just love the scene mheshimiwa akirudisha hela, kama TZ kupo hivi Kenya tuna changamoto kubwa sana

  • @niyonkurumanasse3003
    @niyonkurumanasse3003 ปีที่แล้ว +14

    Very talented Clam. Much love from Burundi

  • @Biddady276
    @Biddady276 ปีที่แล้ว +8

    Napenda kaz zako na nzur hongera mno ila tuwahishie episode 3 jaman

  • @abelrobert5061
    @abelrobert5061 ปีที่แล้ว +22

    One of the best series from you 👏👏👏 Ina Elimisha pia Ina burudisha ✌️

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว

      Vyy th-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/w-d-xo.htmlsi=pP4mrmaTiOQsCwwz

  • @EzraOsiemo
    @EzraOsiemo ปีที่แล้ว +54

    Namba one kutoka 🇰🇪 kutazama [ BEST FRIEND 2 ],,nipeeni likes kama wampenda CLAM na team yake

    • @Monissa1132
      @Monissa1132 ปีที่แล้ว

      Season 1 ilifanyika lini

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว

      Hyu th-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/w-d-xo.htmlsi=pP4mrmaTiOQsCwwz

  • @MUMOJAMES-er8cu
    @MUMOJAMES-er8cu ปีที่แล้ว +8

    You are doing a great job my friend, big up from Kenya

  • @mutembojean9789
    @mutembojean9789 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli na enjoy sana na my best friend ongera sana clam ila ntenzi penda nami niingize

  • @timothypengejoshua8692
    @timothypengejoshua8692 ปีที่แล้ว +4

    Kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 wakwanza kabisa Clam embu like basi comment ya drcongo

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. ปีที่แล้ว +10

    Ningali fatilia shughuli zako Clam Cris... Nakubali sana na najua sipo pekee yangu wenzangu mko wapi heba acha juane kwenye comment ❤❤❤

  • @baylatmoz06
    @baylatmoz06 ปีที่แล้ว +178

    ❤❤Sijawai kuwona comedian kama brother Clam vevo ❤ is very talented❤🎉 much love from Mozambique🇲🇿

  • @abasihimidi6935
    @abasihimidi6935 ปีที่แล้ว +4

    Kwa mara ya kwanza kufuatilia kazi za @Clamvevo... Na Best Friend hakika imefana.
    Ningependa kuona ikiendelea maana maudhui haya yanatupa mtazamo mpya na mafunzo ya kila siku..
    KAZI NZURI ❤❤

  • @user-id1cr7kl8g
    @user-id1cr7kl8g ปีที่แล้ว +1

    oyawee 50CENTwatz yassa the great anakupa hongela uko guda semama nn hii comedy iko guda masimen🤩😍😇

  • @malambaeliah23
    @malambaeliah23 ปีที่แล้ว +51

    The best serie in Tanzania at the moment 🇿🇲🇿🇲🇿🇲

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว

      Gtu th-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/w-d-xo.htmlsi=pP4mrmaTiOQsCwwz

  • @josephswana7286
    @josephswana7286 ปีที่แล้ว +5

    Best Friend IKO vizuri sana clam Vevo, nakupenda❤ sana bro kutoka Congo 🇨🇩

  • @mugambiandrew9997
    @mugambiandrew9997 ปีที่แล้ว +7

    Clam kindly we need behind the seen pia. This looks 🔥🔥🔥 uuuuuuuuu😅😅

  • @xyloodaemperor
    @xyloodaemperor ปีที่แล้ว +7

    Big up clam vevo you never disappoint and if iwas to rate this in % i would give it 101% and am really waiting for part 3 and the new season of big boss yani sema motoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥# best friend ❤

  • @faithatieno2026
    @faithatieno2026 ปีที่แล้ว +1

    Napenda clip jamani clam kazi nzuri alafu isitoshe nasubiria kuona kilichotokea baadaye

  • @joachimmsilombo3
    @joachimmsilombo3 ปีที่แล้ว +151

    Kama na wewe ni kama mimi uliyekuwa unaisubilia kwa hamu gonga like 👍 hapa 😂😂

  • @usumanezana1775
    @usumanezana1775 ปีที่แล้ว +7

    Clam wewe ni fundi ❤❤❤ nakubali kazi kabisa na Allah aendelee kuwalinda nyinyi wote ❤❤❤

  • @chadracknshimirimana4761
    @chadracknshimirimana4761 ปีที่แล้ว +5

    Huyu wimbo hadi nimesha ukariri tayari naupenda kinoma yani ❤

    • @yumbihussein
      @yumbihussein ปีที่แล้ว +1

      Kwanza nani mwenye aliimba iyo nyimbo jina nisaidieni

    • @chadracknshimirimana4761
      @chadracknshimirimana4761 ปีที่แล้ว +3

      @@yumbihussein niwa Benny Shizzol unaitwa kama ikitokea

    • @fatumasuleiman6989
      @fatumasuleiman6989 ปีที่แล้ว

      ​@@chadracknshimirimana4761umejibu kitendawili.changu❤

  • @user-ez7gm8mp3u
    @user-ez7gm8mp3u ปีที่แล้ว +1

    Big up Clam bro nafurahi sana nkiona kazi zako one day ntakuona tu namimi unipe njia

  • @VeraUlaya-cc9rr
    @VeraUlaya-cc9rr ปีที่แล้ว +3

    Unafanya kazi nzuri sana CLAM,kiukweli tunaenjoy na kujifunza pia,,,💪🙏

  • @owenvevo411
    @owenvevo411 ปีที่แล้ว +11

    Nawakubali sana aiseee, furaha kumuona KIM tena ❤❤❤😅

  • @Rayizohclassic
    @Rayizohclassic ปีที่แล้ว +10

    Jamani wakwanza from kenya lamu like zangu pliiiz❤😢😢

  • @masopmb1860
    @masopmb1860 ปีที่แล้ว +8

    Wakwanza mim nipeni mauwa yangu. Nakukubali sana Clam

  • @niyonizeyeflorencefofo4484
    @niyonizeyeflorencefofo4484 ปีที่แล้ว +1

    Jamani clam nakwambia una wezo❤tuna penda kazi Yako gutoka burundi 🇧🇮

  • @user-fz1mh5fs1g
    @user-fz1mh5fs1g 9 หลายเดือนก่อน +1

    pure talent 🇰🇪

  • @HassanCoyo
    @HassanCoyo ปีที่แล้ว +96

    *Wa KWANZA Mimi kama unaikubali team Clam VEVO gonga like zao na kwangu pia ❤*

    • @AlbatiMadona
      @AlbatiMadona ปีที่แล้ว +2

      Kaka kweli unakosaga Kazi za kufanya ujue video Karibu zote wewe unakuwaga wa kwanza

    • @matombotv1507
      @matombotv1507 ปีที่แล้ว

      kula chuma iko😮😮

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว

      Gdt th-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/w-d-xo.htmlsi=pP4mrmaTiOQsCwwz

    • @anesansibert2968
      @anesansibert2968 ปีที่แล้ว

      @@AlbatiMadona 😂😂😂😂

    • @AlbatiMadona
      @AlbatiMadona ปีที่แล้ว

      @@anesansibert2968 Hahahahahaha

  • @neemaandrew2419
    @neemaandrew2419 ปีที่แล้ว +8

    nimekua wakwanza leo.....kama mnampenda clam gonga like

  • @josephjohannes9021
    @josephjohannes9021 ปีที่แล้ว +33

    Dahh,,, clam for real its a touching story line cant wait for ep 3

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 ปีที่แล้ว

      Gyi th-cam.com/video/LaRN3ufFKSY/w-d-xo.htmlsi=pP4mrmaTiOQsCwwz

  • @MatekaFrancis
    @MatekaFrancis 4 หลายเดือนก่อน

    Bambi like this man❤❤ like u❤😮 good continue with that talent my God bless you❤🎉

  • @user-fs7hl6vg2p
    @user-fs7hl6vg2p ปีที่แล้ว +1

    Umetishaass mwamba clammmm veeeeeeeeeevooooo

  • @marymwangi6376
    @marymwangi6376 ปีที่แล้ว +8

    Nimefika leo mapema jamani,,,haloooo 😻😻😻,I really waited for this one

  • @BBBTv-om9qz
    @BBBTv-om9qz ปีที่แล้ว +7

    First to watch from Kenya nipewe likes zangu

  • @OFFICIALDJDZEKOG
    @OFFICIALDJDZEKOG ปีที่แล้ว +15

    Wa kwanza Leo from Texas Dallas nipeni likes zangu ❤

  • @user-fc8tg2oh1s
    @user-fc8tg2oh1s ปีที่แล้ว +6

    Team clam jamn like hapa

  • @user-oh2xw7zb6j
    @user-oh2xw7zb6j ปีที่แล้ว

    Nakubal bro Kaz zako ni hatari kwahivo naamini wewe ni fundi. By Air Kidd

  • @emorutnicholas1893
    @emorutnicholas1893 ปีที่แล้ว +10

    Watching from Kenya, very interesting & Inspiring!!

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 ปีที่แล้ว +5

    😂😂team strong pitieni party 2 Iko read

  • @Jali-et8py
    @Jali-et8py ปีที่แล้ว +10

    I don't know why I'm crying 😢 anyway Clam big up

  • @andrewamoss1852
    @andrewamoss1852 ปีที่แล้ว +1

    Daaah CLAM umeamua bhn sasa umekuwa na akili ya utu uzima unafanya hadi watu wakubwa wanatoa machozi kwa hii co big up mungu aendelee kukutunza et utoe vitu vizuriiii🎉😢

  • @hadijashaban5880
    @hadijashaban5880 11 หลายเดือนก่อน

    Clam vevo ni fayaa fayaaa kazi zako hakuna anayeweza babu hongera sana tuko pamoja sanaa

  • @samiuhassan8153
    @samiuhassan8153 ปีที่แล้ว +4

    Nimekuwa WA kwanza Naomba like jamn napenda sana hii moveee mieee

  • @user-co2dg9te1l
    @user-co2dg9te1l ปีที่แล้ว +6

    Good job from meru county kenya wapi likes

  • @Kingboyjuniorderrick
    @Kingboyjuniorderrick ปีที่แล้ว +16

    Still waiting part 3 tulimaliza big boss na sikurithika hii twende hadi mia more love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🍯🍯🍯

  • @bigstonemcb9171
    @bigstonemcb9171 ปีที่แล้ว +5

    Clan Vevo muito obrigado e continua Deus abençoe

  • @FaithChemutai-m8s
    @FaithChemutai-m8s 2 หลายเดือนก่อน

    I love the way clam vevo act may God bless him and protect him

  • @johnynathan5855
    @johnynathan5855 ปีที่แล้ว +10

    Painful story bro u make me cry 😢 but much love clam gang

  • @vannvannjokes2239
    @vannvannjokes2239 ปีที่แล้ว +8

    Mim ndio Wa Kwanza jmn like zenu Kwa clam vevo ,❤❤❤❤

  • @Saidiebengotv-gf7nu
    @Saidiebengotv-gf7nu ปีที่แล้ว +9

    Leo mimi wa Kwanza from Namibia , nipeni likes zangu

  • @petzoojac8683
    @petzoojac8683 ปีที่แล้ว

    clam chizi si chizi, taila si taila, genious si genious, nimependa ulivyoigiza

  • @user-eg9dx9mi1t
    @user-eg9dx9mi1t ปีที่แล้ว +31

    Amazing ❤