WAZEE UJIJI ''Hatutaki Guest wala bar, zilikuwepo zikabomoka kama Uarabuni"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Ujiji ni kati ya Miji ya kale zaidi Tanzania, Leo AyoTV na millardayo.com imetembelea katika Mji huo ulioko Mkoani Kigoma baada ya kusikia sifa zake mbalimbali mojawapo ni kutokuwepo kwa nyumba za kulala wageni.

ความคิดเห็น • 210

  • @barakamoya430
    @barakamoya430 6 ปีที่แล้ว +6

    kama umemuelewa sana mzee wa mwisho kama mimi gonga like

  • @mkongomanidrc849
    @mkongomanidrc849 2 ปีที่แล้ว +1

    Mash'Allah Allah awaongoze mwisho mwema na msimamo wenu Insha'Allah

  • @ashleykipuge1246
    @ashleykipuge1246 6 ปีที่แล้ว +16

    Huyo mzee wa mwisho kaongea point sana 👍

    • @fransiskahaule3343
      @fransiskahaule3343 6 ปีที่แล้ว

      Wazeee hawa wanauelewa kushinda vijana..kwani vijana wa ujiji mnanini lakini hahahaaa adi wazeee wanawashinda mitazamo daaah..vijana wanawaza guest kwa ngono kumbe guest inamatumizi mengi zaidi ya mtazamo wao awa vijana ndio waharibifu wa ujiji

    • @ashleykipuge1246
      @ashleykipuge1246 6 ปีที่แล้ว

      Hahaaa yan wanamawazo mgando sana

    • @f.a6043
      @f.a6043 6 ปีที่แล้ว

      @@fransiskahaule3343 kweli kabisa

    • @f.a6043
      @f.a6043 6 ปีที่แล้ว

      @@ashleykipuge1246 🤣🤣🤣

  • @jasminomary2225
    @jasminomary2225 6 ปีที่แล้ว +11

    Uyu mzee wa mwisho kaongea point sana wengine wameongea pumbaaa

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 6 ปีที่แล้ว +5

    Uyo Mzee wamwisho nimemuelewa vzuli sana ao wengine wanabwabwaja tu,,

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 ปีที่แล้ว

    Mzee nendeleeni nahao kwasababu mabaa.namagesti yinaharimu vijana sana wanakunywa pombe nauvutaji wambange kwahio msikubali hongereni wazee kwa kuihifadhi dini nayusilamu inchallah mbarikiwe

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 6 ปีที่แล้ว +5

    Hongerenii sanaaaaaaa

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 ปีที่แล้ว +11

    Nawatoto wa ujiji ndio wanaongoza kwa umalaya na midomo mixer umbea sasa kuzuia guest kuna maana gani subirin miaka mitano mbele mtaona uchawi sio dili

  • @erastomazela8962
    @erastomazela8962 6 ปีที่แล้ว +3

    Guest ni kwaajili ya wageni wanaokuja kutalii au safari za kikazi sasa ninyi mnawaza kuwa guest watu wakienda ni ngono tu. Mbona hamkatazi watu waache uchawi

    • @vivianlenard3618
      @vivianlenard3618 6 ปีที่แล้ว

      Si watalii kisha waludi kulala sehemu zenye ma guest kulala.

    • @erastomazela8962
      @erastomazela8962 6 ปีที่แล้ว

      @@vivianlenard3618 try to be logical

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 6 ปีที่แล้ว +3

    Hawa wazee walijua kitakacho wakuta vijana wa sasa 😪😪😪🤗👍🏽

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 6 ปีที่แล้ว +4

    Jamani Guest Na dini wapi na wapi guest kama lilivyo neno lake ni nyumba ya wageni

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 6 ปีที่แล้ว +5

    ukiwa mgeni unalala wapi? mbona mtihani sana

    • @vedastusnestory6060
      @vedastusnestory6060 3 ปีที่แล้ว

      Kigoma mjini zipo .Maana Manispaa imeundwa na miji ya Kigoma na Ujiji.

  • @moyolameck555
    @moyolameck555 6 ปีที่แล้ว +2

    Mtaishi kwa shida sana maendeleo mtayasikia kwenye redio maana gesti sio tu kwa ngono bali hata wageni wanaotoka sehemu mbali mbali wanafikia shubaaaamitttiiiii

    • @moyolameck555
      @moyolameck555 6 ปีที่แล้ว

      Nyie ndio mkija dar mnapata ukimwi mapema sana

    • @man.lule.585
      @man.lule.585 6 ปีที่แล้ว

      Maendeleo ni Peponi Firdaus sio Duniani, hapa Duniani kila Nafasi itaonja Umaut.

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 6 ปีที่แล้ว +3

    ndo maana hamuendelei gesti ni nyumba ya wageni so wageni walale kwenye vbanda vyenu?

  • @NiniOman-lx5lg
    @NiniOman-lx5lg 9 หลายเดือนก่อน

    Masha Allh

  • @khadijaally5233
    @khadijaally5233 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @francismadoshi8529
    @francismadoshi8529 ปีที่แล้ว

    Wafanye Kimarekani, hapa Maarekani ukitaka kutumia guests, lazima ulipe karo ya 24 hours! Hakuna kulipa saa chache maana hiyo ni kama unataka kufanya dhambi ya ngono tu!

  • @february2866
    @february2866 6 ปีที่แล้ว +2

    Niliwahi kufika hapo,eneo la kumbukumbu hilo Ujiji!Ila mnatakiwa kuadilika!Gest siyo kwaajili ya ngono tu!

  • @amananassor524
    @amananassor524 6 ปีที่แล้ว

    Sawa sawa mzee mungu awa baliki

  • @ukhtyashurasakinamnyoti1786
    @ukhtyashurasakinamnyoti1786 6 ปีที่แล้ว +3

    Geust house maana yake nyumba ya wageni sasa wageni wakifika hapo watalala wapi watu ndio hutumia kwa kufanya mambo machafu wanaenda wenyeji wa humohumo kufanya zinaa neno nyumba ya wageni inageuka kuwa nyumba ya wenyeji

  • @zeanamohamed4072
    @zeanamohamed4072 4 ปีที่แล้ว

    Mashaalla mwenyezi mungu. Awabarki

    • @allyanyingisemalabeja6551
      @allyanyingisemalabeja6551 4 ปีที่แล้ว

      Nivizuli lakini tatizo kwa wAgeni ambao hawana ndugu mnazani watafikia wapi.nawatalala wapi mfano wakija

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana nimepapenda Allah azidi kuwalinden

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 ปีที่แล้ว

    Mji wa kiarabu hup husiokuwa na gest uku wapo ma hotel kila kona na watu wanafanya hufusuka zaman ndio kurikua hakuna lkn sasaiv we usipime kunasitare wara huwamin kama upo huwarabun

  • @esterkarine5780
    @esterkarine5780 6 ปีที่แล้ว

    Wow mila azitupwi kweli 🙌🙌

  • @halimaramadhanimwevi2472
    @halimaramadhanimwevi2472 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyo wa mwisho ndio kaongea ukweli pamoja na Kintu Buhoro.

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว

    Mzee umeongea vizuri kwa ufafanuzi zaidi

  • @uwimanaraoul6824
    @uwimanaraoul6824 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana kabisa

  • @hamzamwilaphy2902
    @hamzamwilaphy2902 4 ปีที่แล้ว

    Daaah mbadilike! Guest ni kwaajili ya wageni sijui kwanini mnatafsiri vinginevyo

  • @masoudzanzibarali9994
    @masoudzanzibarali9994 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana 👍🏿👍🏿

  • @gemkachar
    @gemkachar 6 ปีที่แล้ว +4

    Mimi mtalii wa ndani. Sasa Kigoma ujiji siji. Hasara kwenu

  • @tewenjohn5343
    @tewenjohn5343 4 ปีที่แล้ว +1

    Dini ya kieslamu ndo itaki maendeleo ya Kigoma Ujiji. Tume kuwa paskistan sisi?

  • @kibilawazebanga7455
    @kibilawazebanga7455 6 ปีที่แล้ว +3

    Sasa hamtaki guest ila uchawi/ushirikina mnaukubali ndoo kitu gani ?

  • @mohamedkazema6381
    @mohamedkazema6381 6 ปีที่แล้ว +2

    Swadaqta kaka Abdallah Muhuza, umeongea vyema.
    Vilabu vya pombe msikubali kabisa viwepo katika mji wetu, lakini nyumba za wageni sio haramu kuwepo, sababu sio wageni wote ni waovu.

  • @Saniamunguatujaliyemwishomwema
    @Saniamunguatujaliyemwishomwema 6 ปีที่แล้ว +1

    Allah awajarie muzipige vita vikari zipotee kabisaa

  • @emanuelmoshama1747
    @emanuelmoshama1747 6 ปีที่แล้ว +4

    uchawi tuu mmmekalia na hakuna maendeleo ukooo

  • @zwinsalhabsu264
    @zwinsalhabsu264 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @ramadhanzmlay1331
    @ramadhanzmlay1331 6 ปีที่แล้ว +5

    we jamaa tunaomba hii makala iendelee,,,

  • @ludwickernest3588
    @ludwickernest3588 6 ปีที่แล้ว +3

    huyu mzee wa mwisho anajielewa na naamini amewahi kaa sehemu nje na ujiji au kigoma

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto 6 ปีที่แล้ว

    Asa tour za ujiji kumbe ni ufala ulale wapi sasa kama hamna guest

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 6 ปีที่แล้ว

    Kigoma yetu naipenda sana

  • @michaelmika3844
    @michaelmika3844 6 ปีที่แล้ว +4

    Dada zangu wamezalia nyumbani nipo ujji comment

  • @fredjoel1350
    @fredjoel1350 2 ปีที่แล้ว

    Mbona uchawi umetamalaki au nao ni utamaduni wa kiislamu?

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 6 ปีที่แล้ว

    Maamuz sahihi 💯

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 6 ปีที่แล้ว +1

    Munafunga guest kwenu lakini maasi munaenda kufanyia Mwanga kweli Mungu anachezewa kweli kweli.

  • @jumafandey707
    @jumafandey707 6 ปีที่แล้ว +5

    Tukalale wapi Wageni!

    • @munamuna414
      @munamuna414 6 ปีที่แล้ว

      Kwa mjumbe ha ha ha

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว

      Muna muna daadeki..

    • @hatibuahmadi7237
      @hatibuahmadi7237 4 ปีที่แล้ว

      Sio kwamba kigoma nzima hakuna gest hapana Bali Kuna sehem maalum ambayo ukienda unapata huduma zote kuanzia gest avingi nevyo yaani mjini hapo Pana itwa mwanga nakuendelea

  • @hadija846
    @hadija846 6 ปีที่แล้ว

    Wageni watafikia wapi?

  • @smaihsmaih2815
    @smaihsmaih2815 6 ปีที่แล้ว

    busara nzuri

  • @kassimuramadhani6615
    @kassimuramadhani6615 5 ปีที่แล้ว +1

    hata bangi kali inasemekana inaptikana ujiji

  • @mahsenabbasss4079
    @mahsenabbasss4079 6 ปีที่แล้ว

    Ni shidaaa

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 ปีที่แล้ว

    Ndio maana pamedumaa mnamambo ya kizamani sana inaonekana hata mzunguko wa pesa apo hakuna...kazi ya kuiga warabu wakati wenzenu huko uarabuni kwenyewe gest zipo. nyie mnajifanya kuiga warabu wakati wenzenu wanaishi kwa kutegemea mafuta?!... mimi hapo siwezi kuishi pana maisha ya kikoloni sana

  • @galayagalaya48
    @galayagalaya48 6 ปีที่แล้ว +1

    Mzee uko vzr

  • @allykhatibu2359
    @allykhatibu2359 4 ปีที่แล้ว

    Sasa wageni wanalala wapi.

  • @kbmhd
    @kbmhd 6 ปีที่แล้ว +1

    Daah hawa ma babu kamwaga point ila yule kijana bwege wa kwanza anaongea shudu.......

  • @hervemani9600
    @hervemani9600 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyo jamaa wa kwanza Anaongea kama Baba Level

  • @christmasmachele5589
    @christmasmachele5589 6 ปีที่แล้ว +4

    Uarabuni hakuna guest house na mnavuoendaga kuhiji hua mnashukia kwa ndugu zenu huko Uarabuni? Akili kama tikiti

    • @motherland2279
      @motherland2279 6 ปีที่แล้ว +1

      makha kunaoteli na sio gesti mnazo zini kila siku

    • @christmasmachele5589
      @christmasmachele5589 6 ปีที่แล้ว +2

      Mother Land mmh peleka ulimbukeni huko na kama hujui English sema ufundishwe, guest house na hotel hakuna tofauti yoyote kwani huko Uarabuni mwanamke na mwanaume hawaruhusiwi kuingia kwenye hizi guest rooms? Na wakiingia huwa mnawakagua wanafanya kitu gani? Mnawakagua kama ni wana ndoa? Dubai kuna mpaka madanguro na malaya wanajiuza kabisa

    • @hassanmirambo5671
      @hassanmirambo5671 6 ปีที่แล้ว +1

      christmas machele wewe kwa namna yeyote ni mtoto uliyepatikana kwa njia ya zinaa na mimba yako ilipatikana guest ndio maana unaathari kubwa na utetezi wa guest endelea kushabikia nyumbani kwenu guest

    • @christmasmachele5589
      @christmasmachele5589 6 ปีที่แล้ว +1

      Hassan Mirambo mimi ni msafiri na ni mfanyabiashara nusu ya maisha yangu naishi lodge zaidi kuliko nyumbani kwetu so nawashangaa sana nyie mapoyoyo of course hata huko kigoma kwenu nshafika tena nilikaa lodge flani karibu na stand mpya na wala sikulala na mtu, tatizo nyie business hamjui mmekalia uzinzi na ushirikina

    • @hassanmirambo5671
      @hassanmirambo5671 6 ปีที่แล้ว

      christmas machele eti nusu ya maisha yangu nalala lodge wewe nusu ya maisha yako unaijua au unaropoka tu

  • @abdulnondo1146
    @abdulnondo1146 6 ปีที่แล้ว

    Mbona mnapashambulia kwetu bhna !

  • @benardmartine244
    @benardmartine244 6 ปีที่แล้ว

    Nyumba Ya Wageni?

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 ปีที่แล้ว

    Ni hatari yani hiyo ndiyo umaskini kwakweli

  • @nkatakulimamkuwa4872
    @nkatakulimamkuwa4872 6 ปีที่แล้ว +1

    Ndio maana hata maendeleo maeneo hayo hakuna mnakaa Kama kijiji

  • @shindanopapaya2084
    @shindanopapaya2084 6 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha hiyo ujiji yenyewe choka mbaya mbadilike ndugu zangu

  • @soudabdulrahman9359
    @soudabdulrahman9359 2 ปีที่แล้ว

    Guest house si danguro kwa kiswahili ni nyumba ya wageni

  • @rutashubanyuma4546
    @rutashubanyuma4546 6 ปีที่แล้ว +2

    Kwani nn maana ya Guest house,, watu wakisikia Guest wanafikiria ujinga! Kwani huko huwa hawapati wageni ? Hamuezi kuwa na maendeleo, tafuta hao wazee wafyekeni!

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 4 ปีที่แล้ว

    Ile gest ipo jirani na posta ..mtaa wa rusimbi ..imekuwa ikihudumu kwa miaka mingi na yenyewe ilifungwa? Msizingizie gest zipo mwanga na ujiji zipo tunazijuwa ..tena za wazawa wa hapo hapo ujiji..ongeeni haki...

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kama hamtaki ivo vitu kwa nn mnaenda uko kwingine sheria na malufuku ifate mkondo wake msiende ata kwingine hapo ndo uislamu uislamu wakwenda kwingine co kabisa

  • @desderyassenga6883
    @desderyassenga6883 2 ปีที่แล้ว

    Hamtaki nyumba za kulala wakifika kwenu walale wapi

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 6 ปีที่แล้ว +4

    kwaiyo uko ujiji wanaishi waislam tu pumbavu zenu piteni kushuto na tabia zenu za udini

  • @denniskiango6901
    @denniskiango6901 6 ปีที่แล้ว +6

    Wapili ila hapo hakuna gesti vijana wanaenda kufanya uchafu kwingine nn mezuia?

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว +1

      Dennis Kiango utawaweza!

    • @denniskiango6901
      @denniskiango6901 6 ปีที่แล้ว

      @@mnzavachris5423 nauliza wamezuia nn kwan vijana waeleza wanaenda kwingine kufanya starehe,hawaoni wananyima maendeleo tu ya eneo lao

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว +1

      Dennis Kiango ndo akwambia twarudishana nyuma kwa sababu zisizokuwa na maufaa

    • @denniskiango6901
      @denniskiango6901 6 ปีที่แล้ว

      @@mnzavachris5423 weachatu

  • @AizackWay
    @AizackWay 6 ปีที่แล้ว

    Nomaa sana

    • @zenomnali5784
      @zenomnali5784 6 ปีที่แล้ว

      Aizack Wa:10:y94

    • @AizackWay
      @AizackWay 6 ปีที่แล้ว

      @@zenomnali5784 napaelewa huko home

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 6 ปีที่แล้ว +2

      Ndiyo maana kumechoka mbaya!

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 6 ปีที่แล้ว

      Huyu mzee aliyesema dunia inavyokwenda yupo sahihi! acheni uzamani Gest cyo usinzi tuu zina kazi nyingi ikiwemo wapumzike waleta maendeleo!

  • @WJShadrack
    @WJShadrack 6 ปีที่แล้ว

    Ndio maana mji wa ujiji hauendelei kwa sababu watu bado wanawazo ya kizamani sana. Guest House ni nyumba ya wageni. Ujiji is supposed to be a historic town but hata watalii wakifika hapo hawana pa kufikia.

  • @zalfaoman9799
    @zalfaoman9799 3 ปีที่แล้ว

    Omani zipo nyumba za wageni bwana hiyo sijui nyinyi mawazoyenu

  • @uwimanaraoul6824
    @uwimanaraoul6824 6 ปีที่แล้ว +1

    Sasa ao waze mbona wote wana majina ya kirundi?

  • @bwizayasini2153
    @bwizayasini2153 6 ปีที่แล้ว

    Sio kweli matunda gest

  • @fantsonmpango7502
    @fantsonmpango7502 3 ปีที่แล้ว

    Uislam unakuwa rohoni siyo kulazimishana

  • @imanmwakalinga410
    @imanmwakalinga410 5 ปีที่แล้ว

    Kwahio wao wanafikiri ni sifa,hajui wanajikomoa wenyewe mfano wageni katika mji huo watalala kwenye hizohizo nyumba zao.

  • @salehjambo4075
    @salehjambo4075 6 ปีที่แล้ว

    Wanaopenda pombe na uzinzi lazima watawatusi wazee kwa kuwaita wachawi ,lakini lengo la wazee ilikua kulinda maadili ya vijana wao na imaniyao ya kiisimu

  • @sundaystanley5459
    @sundaystanley5459 6 ปีที่แล้ว +8

    lkn wazinzi na walevi wengi wanatoka ujiji,kwendeni zenu na uchawi wenu

    • @ashwajeshi1558
      @ashwajeshi1558 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว

      ss c ni wanakuwa watu waliofichwa hivyo wakija oneshwa mambo pahala yalipo, hulipuka na ndo huitwa malimbukeni

  • @frankfrank2600
    @frankfrank2600 3 ปีที่แล้ว

    Acheni ushamba pia uchawi ndomana amuendelei mimi nakuja naweka tuone sasa kama mtaweza kuiwaingia

  • @hasanshaf2323
    @hasanshaf2323 6 ปีที่แล้ว +1

    nimefurahi kuiona ujiji yetu nisiku nyingi sijaiona

  • @magdalenatunguhole3284
    @magdalenatunguhole3284 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mzee wa koti la Jinse Mkongomani

  • @amospetro8789
    @amospetro8789 2 ปีที่แล้ว

    Nyiee wasengee

  • @raphaelgadau2783
    @raphaelgadau2783 6 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe huko wachawi sana kuliko sumba wanga

  • @ndegeyaernest3101
    @ndegeyaernest3101 6 ปีที่แล้ว

    Hii ni Tanzania endeleeni na yenu

  • @thedeo472
    @thedeo472 6 ปีที่แล้ว +2

    Sababu ya kutokuwa na Guest House Ujiji ni kukosa wateja!!!!!!

  • @paulmkhoi8144
    @paulmkhoi8144 2 ปีที่แล้ว

    Mzee wa mwisho kanena aisee!!! Ninachokiona hao wengine hawajui maana ya GUESTHOUSE wanadhani ni sehemu ya kufanyia maovu.

  • @subiralema
    @subiralema 5 หลายเดือนก่อน

    Washirikina ata maendeleo akuna

  • @rashidabeid172
    @rashidabeid172 4 ปีที่แล้ว

    Duuu! Wageni mnawalaza wapi? Guest sio nyumba za kufanyia umalaza. Vinginevyo wageni waonyeshe vyeti vya ndoa.

  • @drtobias_
    @drtobias_ 6 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji anauliza maswali ya kitoto

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 6 ปีที่แล้ว +1

    Mnapinga haramu kwa haramu...ati ukifungua bar usubui unakuta vyungu...ss hapo ni 1-1=0

  • @zainabubakari5963
    @zainabubakari5963 4 ปีที่แล้ว

    Kweli wa so uongo

  • @emmanueltarimo892
    @emmanueltarimo892 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwani gesti ni za watu kuzini tu?je kwa wageni wanaokuja hapo ujiji watalala wapi?..na kuna Sheria ipi ya nchi inayozuia biashara ya gesti?acheni kujitungia kanuni ambazo ni kinyume na sheria za nchi

    • @fransiskahaule3343
      @fransiskahaule3343 6 ปีที่แล้ว

      Ivi mbunge wao ni nani kwani mbona haelimishi watu wake

    • @fredmushendwa357
      @fredmushendwa357 3 ปีที่แล้ว

      Nimecheka sana,Ujinga tu ,ni vituko vitupu.maana kama ni dini haizuii nyumba za wageni ila wao wametafsiri vibaya maana ya guest house au nyumba ya wageni.
      Sasa dini isiopenda wageni sijawai kusikia,uisilamu unapenda wageni.
      Dubai imejegwa ili kuvutia wageni,na ni mji wa kiislam pia.
      Hao wana ajenda nyingine,kwanza elimu pili uchawi lakini wasisingizie dini. Dunia inavyoenda hizo nyumba za wageni zitajengwa tu ila watakuwa wamejichelewesha tu sana.Hawana ubavu wa kuzuia maendeleo,ujinga utawatoka muda sio mrefu. Na wachawi wengi watakua wamekufa.
      Zamani baadhi ya maeneo ya Tanga ukijenga nyumba ya bati unakufa.Sasa hivi watu wameelimika , wazee wa zamani wachawi wamekufa kaone sasa hiyo mijumba ya mabati ya msauz yanavyoshushwa hapo Tanza.
      Ndio maana nimeangalia nikachwka sana maana najua ni ujinga tu umewajaa.

  • @jumannejumanne2258
    @jumannejumanne2258 6 ปีที่แล้ว

    Ujiji ni wachawi na ndio Mana wageni hawakai mgeni akiingia Ana hela wanamuua au anafukuzwa acwazid uwezo kwa gest hawezi kuwepo

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 6 ปีที่แล้ว +5

    Acheni kudanganya vijana wenu wa Kigoma mbona wa aleta ushoga huku Dar tena wana vaa sidiria na kubong’oa makalio na kukatika kwa ushoga kwnyw Jibebe Challenge

  • @toshirohitsugaya6421
    @toshirohitsugaya6421 6 ปีที่แล้ว

    Ila uchawi

  • @lucypeter6662
    @lucypeter6662 6 ปีที่แล้ว

    Aki wa mwisho ameongea point na ako na maono

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 6 ปีที่แล้ว +1

    imuhila nyumban ni nyumban

  • @starvista823
    @starvista823 6 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo watu wa kigoma mmejaa ushamba mtu mnawaza tu ngono KWAN NANI KASEMA GUEST NI KWAAJIRI YA NGONO nyie wawapi

  • @christianmarijani104
    @christianmarijani104 6 ปีที่แล้ว

    Eti uislam...uislam au uchawi..hiyo dini yenu inanitiaga mashaka sana..

    • @brotherjab7773
      @brotherjab7773 6 ปีที่แล้ว

      uislamu upo mbali na uchawi ukiosoma utaelewa na ndio dini pekee yenye maandiko makali kuhusiana na ushirikina lakini cha kusikitisha wanaojinasibisha nayo hawaisomi matokeo yake ndo hayo unayoyasikia Kwa vijana hao

    • @jumaalmasy4336
      @jumaalmasy4336 6 ปีที่แล้ว

      Acha ubwege dini yetu ni dini ya ustarabu huwezi Kuingia mchafu km we.

  • @DIweni
    @DIweni 6 ปีที่แล้ว

    Sasa kama hakuna guest naendaje ujiji kwa mfano! c watanilaza juu ya mti hawa,siendi ujiji mm.

  • @TradingPHD
    @TradingPHD 6 ปีที่แล้ว

    Tukipata nanii au mambo yetu..🤣🤣🤣 mambo gani sasa

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 6 ปีที่แล้ว

    na uchawi plus ushirikina vipi