Bony Mwaitege - Usijitetee (Official Music Video) SMS SKIZA 9840975 TO 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1K

  • @bonimwaitege4073
    @bonimwaitege4073 3 ปีที่แล้ว +365

    Asanteni Sana wote mliosikiliza wimbo huu mkabarikiwa nisaidie kusambaza ujumbe huu kwa wote mlio karibu nao Ili nao wahudumiwe by ..Bony Mwaitege. Nawapenda sana

    • @malimabuliro647
      @malimabuliro647 3 ปีที่แล้ว +9

      nimebarikiwa sana mtumishi plz naomba niufanye cover huu wimbo nimeupenda sana ni msanii wa comedy kutoka joti TV naitwa malima

    • @marymyonga3808
      @marymyonga3808 3 ปีที่แล้ว +3

      Hongera sana Kaka hilo base me hoi na ndo limenogesha wimbo Ubarikiwe

    • @deborahassan6409
      @deborahassan6409 3 ปีที่แล้ว +2

      Barikiwa kaka nyimbo zr sana

    • @rachealvutsigwa2863
      @rachealvutsigwa2863 3 ปีที่แล้ว +2

      Be blessed keep the fire burning ♨♨♨

    • @syesinyoafubima2038
      @syesinyoafubima2038 3 ปีที่แล้ว +3

      Imeaambazwa mkuu hongera kwakurud kutupatia chakulA cha masikio na kiroho

  • @editherkigabo9541
    @editherkigabo9541 3 ปีที่แล้ว +124

    Wale ambao huwa tunatetewa na mungu tujuane hapa🙏🙏🙏 kazi nzuri bony

  • @doricesamwel7785
    @doricesamwel7785 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahahaaaa mimi wa kwanza hadi majiona kama last born wa Mungu kwa jinsi ambavvyo Mungu ananitetea.ningeshasahaulika duniani

  • @frankmark853
    @frankmark853 3 ปีที่แล้ว +13

    Usijiteteee waaaaa nipe like za boniiii

  • @fundieddy9164
    @fundieddy9164 3 ปีที่แล้ว +30

    "...wameruhusiwa kushindana na wewe lakini kukushinda hawawezi..."
    Amen.

  • @aswancarolyne3056
    @aswancarolyne3056 ปีที่แล้ว +2

    Baba ni mtetezi wangu

  • @amanisalim7939
    @amanisalim7939 3 ปีที่แล้ว +13

    Oyoooooo!! Hii ni kizaz zaidi bony mungu akujalie maisha marefu huku ukiendelea kutoa huduma za kimaadil mema jaman ''like'' kwa huu wimbo walao ataa.10

  • @bonifacekikombo1182
    @bonifacekikombo1182 ปีที่แล้ว +1

    Somo kazi iko sawa,, nakuombea sana kwa Mungu uzindi kubariki wengi

  • @frboncoeurmwanza1670
    @frboncoeurmwanza1670 5 หลายเดือนก่อน +3

    I'm boncoeur mwanza in DRC ilove the song is good ❤❤❤❤❤❤father mungu asifiwe dunia zima wa mtabuwe kuwa papa siku zote

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤ amen mtumish keep up 🇰🇪🇰🇪

  • @fikirinitausi799
    @fikirinitausi799 3 ปีที่แล้ว +21

    Mungu ndiye mtetezi wangu!! Asante kwa wimbo mzuri !!!

  • @victorsylvester7191
    @victorsylvester7191 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana Amen🙏

  • @salmabintiamina177
    @salmabintiamina177 3 ปีที่แล้ว +37

    Nitetee eeh mungu wangu 🤲am Muslim but to this song lee god bless me through this song 🤲baba bony love you napenda kuskia nyimbo zako sana be blessed 🙏

  • @IrakozeEdgar
    @IrakozeEdgar หลายเดือนก่อน

    Wimbo hii inaniweka kuwa believe in GOD❤🙏🙌lakini tunatamani kukuona huuku S.A 🇿🇦

  • @unclenico9738
    @unclenico9738 3 ปีที่แล้ว +5

    Wow wapi likes za 🇰🇪🇰🇪 🇰🇪 wakenya

  • @floriannkwita4672
    @floriannkwita4672 ปีที่แล้ว +1

    Baba yangu tupo pamoja ninasikiliza wimbo nikiwa inchini Congo Mjini Kalemii by mwl Florian Nkwita Mjasiriamali

  • @haysanhassan2685
    @haysanhassan2685 3 ปีที่แล้ว +8

    Bony Mwaitege una kazi kubwa sana ya kufanya huku digital watu wakutambue, sababu mtaani tayari unatambulika na album zako zinaunguruma kila leo.

  • @robertjoseph8968
    @robertjoseph8968 หลายเดือนก่อน

    Jamaani huu wimbo unafariji mimi sana na unafariji sana watu wengine hasa pale mtu unaposingiziwa kesi yoyote ukimuachia mungu atakushindia na pia atakutetea dhidi ya kusingiziwa kesi mimi nilishasingiziwa kesi na hapakuwa na mtu wa kunitetea niliumia na niliadhibiwa bila makosa yoyote. Iliniuma sana moyoni mwangu lakini ninaposikiliza huu wimbo ninafarijika sana maana najua MUNGU atanitetea MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU BONY MWAITEGE

  • @salomelisence316
    @salomelisence316 3 ปีที่แล้ว +24

    Namwacha mungu anitetee..God bless you.more love from kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @zawadivumilia1752
    @zawadivumilia1752 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana dungu katika kristo

  • @masekete
    @masekete 3 ปีที่แล้ว +4

    Sitajitetea kutoka leo....Mungu ajidhihirishe sasa

  • @beckamp7665
    @beckamp7665 3 ปีที่แล้ว +1

    mwenyez mungu azidi ibaliki kazi ya saut yako kaka

  • @jameskilonzo2322
    @jameskilonzo2322 3 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa Sana mwimbaji mwenzangu, natizama nikiwa kenya

  • @Emeldah-k
    @Emeldah-k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nani bado yuko 2024

  • @bishoppetermugendi5546
    @bishoppetermugendi5546 3 ปีที่แล้ว +6

    BWANA YESU ASIFIWE Napenda Nyimbo Zako Zote NAOMBA Kufanya Corable Na Wewe Tafathari GOD BLESS YOU

  • @brillianmbone4605
    @brillianmbone4605 28 วันที่ผ่านมา +1

    My favorite song 🙏🙏

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 3 ปีที่แล้ว +7

    Asante kwa kufungua Chaneli yako. Sasa kila siku sibanduki hapa🔥🔥🔥🇰🇪🇹🇿

  • @josephtukopammojabrotherya8406
    @josephtukopammojabrotherya8406 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur Sana mutumishi tuko pammoja

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 3 ปีที่แล้ว +7

    HEEE😳😳Nyimbo hii imenigusa na kuniondolea hofu ya moyo wangu!!!!Mungu ukienileta katka dunia hii atakua mtetezi wangu mpaka siku ya mwsho!!!kweli muachie mungu wataondoka kwa njia saba ila wanakujaga njia moja 🙏🙏🙏🙏.....BARIKIWA MTUMISHI

  • @adelambilinyi3625
    @adelambilinyi3625 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Mutumishi wa Mungu

  • @SuperRomain49
    @SuperRomain49 2 ปีที่แล้ว +5

    My GOD IS ABL TO SAVE ME IN JESUS NAME 🙇🏽‍♀️🙇🏽‍♀️🙌🏽🙌🏽🙏

  • @MaleloSabuni
    @MaleloSabuni 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana ndugu yangu , Tena SHEMEJI YANGU, KEa wanya kyusa

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 3 ปีที่แล้ว +4

    Welcome Bro 👏👏👏from Kenya currently Diaspora watching mtetezi wangu ni Mungu

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekumbuka tena nikaona nije nitetewe na nyimbo nzuri

  • @bagazakind
    @bagazakind 3 ปีที่แล้ว +6

    Nitanyamaza Mungu aniteteye Barikiwa mtu wa Mungu

  • @godwinchristian5252
    @godwinchristian5252 3 ปีที่แล้ว +1

    Imekubalika

  • @talliakamum9138
    @talliakamum9138 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwa kila Jambo mungu die mtetezi wangu ata kama SA ivi naapitia hali ngumu mungu nishike mkono nko karibu kukufa

  • @josephinajoram5355
    @josephinajoram5355 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki baba nimda sana nilikuwa nimemis nyimbo zako aise

  • @marthaanton6967
    @marthaanton6967 3 ปีที่แล้ว +3

    Waoooo Hongera kaka hakika wimbo unamfuta sn

  • @LucyDaudi-zv2ox
    @LucyDaudi-zv2ox 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kupitia wimbo huu MUNGU naomba unitete Kila magumu yote nayopitia mim pamoja mwenza wangu tuweze kuelewana

  • @barakambogera1667
    @barakambogera1667 3 ปีที่แล้ว +7

    Hongera Sana BRO. HAKIKA UMEONGEA UKWELI MTUPU HONGERA SANA

  • @MarcusKomba-m4y
    @MarcusKomba-m4y หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie Imani tumafarijika na kuponywa wimbo huu usiku

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 3 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa Sana Mwimbaji wangu wa nyimbo za injili Bora kuwahi kutokea Tanzania MUNGU akupe maisha marefu uzidi kufundisha kupitia nyimbo zako.

  • @kelvinecheloti6881
    @kelvinecheloti6881 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakuombea ufundi zaidi mungu akulinde sana

  • @amaniellysamwel5638
    @amaniellysamwel5638 3 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo umebeba ujumbe mzuri Sana, MUNGU akuinue kaka.

  • @kennytv8111
    @kennytv8111 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo nzuri saana mtumishi bonny

  • @amisaa5910
    @amisaa5910 3 ปีที่แล้ว +6

    Amen natetewa namungu nabalikia mno From🇧🇮

  • @jacksonkabubi4612
    @jacksonkabubi4612 3 ปีที่แล้ว

    Napenda sana nyimbo zako zote nakufuatilia sana Nikiwa kigoma pia nilikuona bandarini kigoma nikatamani nikusalimie, 🙏🙏

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow....Kaka yanguuu na Mwimbaji wangu ninayekupenda...Barikiwa sanaaa Mtumishi wa Mungu....Mungu azidi kupanua na kutanua mipaka yako kaka. Falme na wakuu na wainame waseme Yesu ni Bwana kupitia huduma yako

    • @bonimwaitege4073
      @bonimwaitege4073 3 ปีที่แล้ว +1

      Asante ndugu yangu naiwe hivyo kwako pia.

    • @duncanmulu2450
      @duncanmulu2450 3 ปีที่แล้ว +1

      @@bonimwaitege4073 Aminaaa Mwimbaji Wanguuu...

    • @bonimwaitege4073
      @bonimwaitege4073 3 ปีที่แล้ว +1

      Asante ndugu yangu

  • @mbeguborazaparachichi8933
    @mbeguborazaparachichi8933 3 ปีที่แล้ว +1

    Saaafi Sana mchungaji naitwa mloji mbata jilani yako hapa

  • @RandyMwanaKin
    @RandyMwanaKin 3 ปีที่แล้ว +53

    Lingala: Nzembo Kitoko
    French: belle musique
    Swahili: wimbo Mzuri
    English: good music
    Spanish:buena música
    Portuguese: boã musica
    🔥❤️🎶🤗
    #randykinamber

  • @agnesskasansa9959
    @agnesskasansa9959 3 ปีที่แล้ว

    Nimebarkiwa sn umenitia moyo mungu akubariki mtumishi

  • @mrkibali6075
    @mrkibali6075 3 ปีที่แล้ว +3

    Kaz nzur sana

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

    Nilijua saida kalori ase Hilo biti Sasa ase

  • @lumamichombochayesu1838
    @lumamichombochayesu1838 3 ปีที่แล้ว +3

    Aisee ujumbe umejaa nguvu ya Mungu, amen #Usijitetee wewe mwache Mungu akutetee

  • @elizabethkibona724
    @elizabethkibona724 3 ปีที่แล้ว

    Amina,,Amina,,Amina nabarikiwa sana mtumishi wa Mungu...Sitajitetea tena namwacha Mungu anitetee.

  • @papatomaso4874
    @papatomaso4874 3 ปีที่แล้ว +4

    Nawashukuru twendele kushea kazi na kumsapoti mtumishi wa mungu Bonny mwaitege mungu awabariki kwa kusikia ujumbe God bless you all

  • @gracekayandakayanda3428
    @gracekayandakayanda3428 ปีที่แล้ว

    Asante Kaká yangu 🤝🤝🤝 Kweli nimetete wa na Mungu aiseee 🙏🙏🙏

  • @johnouma8134
    @johnouma8134 3 ปีที่แล้ว +23

    This song has really blessed and touched me in equal measure, nabarikiwa nikiwa Uarabuni. Bonny Mwaitege and Sifaeli has been anointed by God,.🇰🇪🇹🇿

    • @mariannegaly4171
      @mariannegaly4171 3 ปีที่แล้ว

      Eethuis het geld naar jou ING Stuur aders en

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kazi yako ni njema sana

  • @ekalesimon6476
    @ekalesimon6476 3 ปีที่แล้ว +6

    MUNGU mutetezi wangu,

  • @etonyemyaesau1433
    @etonyemyaesau1433 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nikiona wimbo huu naona tatizolangu alishi limekuwa sugu maombi yako nimsaada kubwa

  • @jacksonnnonjela348
    @jacksonnnonjela348 3 ปีที่แล้ว +9

    Amen pastor ubarikiwe sana
    Namwachia Mungu anitetee.

  • @nebartsanga7890
    @nebartsanga7890 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur sana Mtumishi

  • @happinessshirima3279
    @happinessshirima3279 3 ปีที่แล้ว +4

    Congrats broooh bonny mwaitege

  • @selinambeho6443
    @selinambeho6443 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen marufuku kujitetea tetea hovyo yupo mtetexi anaishi mbinguni na anatawala mbinguni na duniani kikubwa ni kumwamini na kuyaishi mapenzi take Amina

  • @dennischakwe4893
    @dennischakwe4893 3 ปีที่แล้ว +5

    Nilitarajia video moja simple sana... Simple in a way hakuna parts nyingi.. But the content still remains
    Yeye ndie Alpha na Omega.... Nice work

  • @degealomanus4240
    @degealomanus4240 3 ปีที่แล้ว +1

    Cngrts

  • @papatomaso4874
    @papatomaso4874 3 ปีที่แล้ว +5

    Nzuri sana

  • @iweningogoofficial3733
    @iweningogoofficial3733 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera baba uko vizuru kila SKU najivunia uwepo wako Mungu akutunze nilifika kanisani kwako Mwakajana wakarimu sana Hongera

  • @شانسيكينيا
    @شانسيكينيا 3 ปีที่แล้ว +4

    Kutoka nikuwa mdogo nilipenda sana nyimbo zako Bonny, be blessed my brother, Mungu ataniletea kwa kweli🙏🙏🙏am a new subscriber be blessed🙏🙏🙏

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi ni Mungu tu ndiye anayetosha yuhai mtetezi wetu

  • @josephnyaga6223
    @josephnyaga6223 3 ปีที่แล้ว +6

    The King is Back Jameni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @tv.harmonize527
    @tv.harmonize527 3 ปีที่แล้ว

    Kweli umeimba nimebalikiwa

  • @fetamusictz3690
    @fetamusictz3690 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye mavazi yake karudi sasa

  • @hamstonemalika489
    @hamstonemalika489 3 ปีที่แล้ว +2

    Lakini my brother Bonny umepotea Sana good song

  • @PrincessOm3285
    @PrincessOm3285 3 ปีที่แล้ว +5

    Amen amen Mtetezi wangu yupo waku nitetea katika maicha yangu hata watesi wangu wakuje kwanjia moja watarudi kwanjia saba sababu ninae Mtetezi wangu. be blessed man of God💖🙌

  • @rebeccabecky3732
    @rebeccabecky3732 3 ปีที่แล้ว +1

    Bonny nakupenda bure.. kazi nzuri.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @alcottlouisamay7177
    @alcottlouisamay7177 3 ปีที่แล้ว +8

    Amen ...because I dont have parents ,,God will fight for me and my sis

    • @massbass6090
      @massbass6090 3 ปีที่แล้ว

      Usijali jipe moyo Mungu n baba na nimama yetu anatuteteya kila wakati

  • @evafabian6363
    @evafabian6363 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akutie nguvu kwa kazi ya bwana na akukumbuke mbinguni🙏🙏

  • @dacruzwamugeyo5682
    @dacruzwamugeyo5682 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante mtumishi wa Mungu,uyu wimbo umenibariki na kuniponya vindonda moyoni 🥰

  • @cottonpamba6718
    @cottonpamba6718 3 ปีที่แล้ว

    nafarijika sana na ujumbe huu ubarikiwe Bony mwaitege

  • @justineniyukuri5120
    @justineniyukuri5120 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ndiye mtetezi wetu ata tutetea GOD bless you we love the song

  • @wilfineonsongo1721
    @wilfineonsongo1721 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ufunuo mkubwa ambao mungu amekufunulia mtumishi wa Mungu ili uufikishe kwa watu wake

  • @momoknight5522
    @momoknight5522 3 ปีที่แล้ว +7

    Ameen 🙏 mungu nitete bwana wa bwana wewe n mwaminifu 🙌🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you so much be blessed Man of God 🙏

  • @shirufavoured5388
    @shirufavoured5388 3 ปีที่แล้ว

    Wale wa Kenya kujeni tutetewe na Mungu

  • @enockbryson8167
    @enockbryson8167 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri mtumishi👏🤝

  • @rachelwilly863
    @rachelwilly863 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimesubiri sana video hiii,, Mungu Akubariki 🙏

  • @justinejohn8425
    @justinejohn8425 3 ปีที่แล้ว +5

    Video haiko kama inavyotakiwa kuwa crear (HD) camera man hakujiandaa vzr ila yote ni kwa UTUKUFU WA MUNGU ujumbe umefika mahali ulipokusudiwa Mungu awabariki washiriki wote wskiongozwa na kaka yangu mtumishi wa Mungu BM

    • @bonimwaitege4073
      @bonimwaitege4073 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen nashukuru Sana ndugu ninamuomba mungu atusaidie kuboresha nyimbo zijazo...

    • @GracieTyno
      @GracieTyno 3 หลายเดือนก่อน

      Crear ndio nini?
      Kazi kukosoa tu mxiu🚮

  • @thomaspatrick2633
    @thomaspatrick2633 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sana boniphace Kwa wimbo mzuri ubarikiwe

  • @rispathequeen
    @rispathequeen 3 ปีที่แล้ว +3

    Nikweli kabisa asante kwa huu umenifalinji sana mungu akutete pia wewe 🙏🇰🇪🇶🇦

  • @drfrankfaustine5469
    @drfrankfaustine5469 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen kk bony ulikuwa wap safi umeludi vzr kwenye gem

  • @KABERENGEONLINE
    @KABERENGEONLINE 3 ปีที่แล้ว +5

    Unaposema wewe Mungu ananyanza!! Ukinyamaza wewe Mungu anashuka 😍 can I get A Big Amen from you guys

  • @kabogeof9597
    @kabogeof9597 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubari sana bro. Ubarikiwe sana kaka mungu akupe afya uzidi kutuletea ujumbe zaid na zaidi

  • @rachealvutsigwa2863
    @rachealvutsigwa2863 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana kaka Bony kwa huu wimbo mzuri. Mungu ndiye mtetezi wetu, nautazama nikiwa uarabuni..ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @somegahera7862
    @somegahera7862 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu wa mbinguni Akuzidishie nguvu uweza na utukufu katika kuifanya kaziyake ubarikiwe mtumshi Wa MUNGU

  • @mrkibali6075
    @mrkibali6075 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana pastor

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 3 หลายเดือนก่อน

    kweli mungu wangu nitetee amen emmba Bonny nice one song amen ❤️♥️♥️ amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ wonderful song ❤️❤️❤️ amen 🙏🙏🙏 amen

  • @lizmass4253
    @lizmass4253 3 ปีที่แล้ว +5

    Mimi personal I miss u big time, welcome back, leave it to GOD

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 3 ปีที่แล้ว

    Nimefrahi huyo kicha alivyo mzoa huyo jamaa akiwa na mwanafunzi hakika nimeipenda ujumbe na sikilipt zake barikiwa Sanaa mtumishi wa Mungu