Bony Mwaitege - Acha Nizaliwe (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2023
  • In this video, we take a look at the new official music video for Bony Mwaitege - ''Acha Nizaliwe''. Shot in Mbeya Tanzania , this song tells the story of a young girl who struggles against poverty and dictatorship. Watch the video to see what we think of it!
    Acha nizaliwe Acha nizaliwe hii hapa ...
    Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    acha nizaliwe #achanizaliwe
    MUNGU AKUBARIKI SANA.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 1.4K

  • @dennismaina6202
    @dennismaina6202 ปีที่แล้ว +39

    Nimeishi kucoment huku kwa bony mwaitege ,sijai pata likes nipeeni ,nijiskie niko

  • @wagrandykez4570
    @wagrandykez4570 9 หลายเดือนก่อน +2

    BONNY LOVE MOTHERS..BIG UP BRO...MUNGU AKUZIDISHIE...KARIBU NYUMBANI

  • @lucianachappa1213
    @lucianachappa1213 9 หลายเดือนก่อน +18

    MUNGU mbariki mama yangu, tuliokataliwa kipindi cha mimba tuko wengi sana😢😢 cha kushangaza waliotukataa Ndiyo tumefanana nao mpaka kucha😢😢

    • @erastoantony9306
      @erastoantony9306 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa

    • @user-hs1bu1mv2r
      @user-hs1bu1mv2r 12 วันที่ผ่านมา

      Umenifanya nilie sister yangu 😢😢😢 tupo wengi akika ila tulipo toka tumboni tu cha kushangaza copy right inauma sana 😭 wengine tunaishi bila ata kujuwa makabila yetu naivi tunataka hanza zaa na sisi duh 🙄😭

  • @priscilahkuvali1280
    @priscilahkuvali1280 ปีที่แล้ว +21

    Kaka mungu akutumie zaidi kwa mahubiri ya nyimbo zako wapi likes za wakenya❤❤❤❤

  • @KilelJazzKillerBoyofficial
    @KilelJazzKillerBoyofficial ปีที่แล้ว +16

    Tunakupenda hapa Kenya 🇰🇪

  • @bupeisaya9063
    @bupeisaya9063 ปีที่แล้ว +78

    Wimbo hauchoshi kuusikiliza,,kama nawewe umerudia kuiangalia hii Ngoma zaidi ya mara mbili gonga like hapa twende sawa.
    Heshima Kwa mama🙏,nawewe uliyempoteza Mama, Mungu afanyike faraja kwako.

    • @ElizabethKemmy-yv2ty
      @ElizabethKemmy-yv2ty 3 หลายเดือนก่อน

      Aki bony nikaa unampenda mamako Sana Sana juu umemimba Sana hyo n song yako yapili nmesikia ukiimba mamako. Kaa mama ako ako hai namuombea Mungu ampe maisha marefu

    • @jean-innocentmuteba4746
      @jean-innocentmuteba4746 2 หลายเดือนก่อน +1

    • @KimeuAntony
      @KimeuAntony 26 วันที่ผ่านมา +1

      Blessed man,We need messages like this in the music industry not parapanda za maneno!... Pastor Kimeu, Kenya

    • @maria-qv3hw
      @maria-qv3hw 22 วันที่ผ่านมา

      Ed​@@ElizabethKemmy-yv2ty

  • @nuruhmangoli1232
    @nuruhmangoli1232 ปีที่แล้ว +5

    Nautafuta kwa yinga media siupati huu wimbo jameni.
    Kenya nasupport huu wimbo .kama waupenda nipe likes za mtumishi

  • @abasmarco4525
    @abasmarco4525 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe sana kazi ni nzuri sana hakika unatujenga moyo sana.

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 ปีที่แล้ว +77

    Unae soma comments huku unautizama wimbo huu nakua hatujuani ila naomba mwenyezi Mungu akuzidishie maishani ❤❤

  • @jackiekingdouta215
    @jackiekingdouta215 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mama lala pepo still missing you 😢😢 hii wimbo imenikimbusha last year I lost my mum😢😢

  • @manmaster536
    @manmaster536 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda pastor boni

  • @innocentlegos4530
    @innocentlegos4530 ปีที่แล้ว +48

    Mamaaaaaaaaaa😢 endelea kupumzika kwa Amani,, salute kwa wamama wote mliobakia hai❤

    • @happykoteihappy-vd7ce
      @happykoteihappy-vd7ce ปีที่แล้ว +2

      Duh mama yangu aliniacha nikiwa darasa la 6 naumia sana

    • @fredyyohana
      @fredyyohana 11 หลายเดือนก่อน +2

      Nakukumbuka Sana mama yangu Sina Cha kukulipa zaidi ya Asante🙏🙏🙏

    • @isackqaymo3922
      @isackqaymo3922 11 หลายเดือนก่อน

      Namkubali sana bon

    • @isackqaymo3922
      @isackqaymo3922 11 หลายเดือนก่อน

      Kaka bon ubarikiwe na mngiu kwa wimbo huu mm

    • @user-hr7ui9bq9s
      @user-hr7ui9bq9s 3 หลายเดือนก่อน

      Unaskitisha sana

  • @vivinenibitanga8529
    @vivinenibitanga8529 ปีที่แล้ว +13

    Nalia kwa uchungu mno 😭😭😭nakumbuka mdogo wangu kipindi alipata ujauzito nilikua wakwanza kusisitiza atoe 😢😢😢kwa sababu yamasomo😭😭chakushangazi Sisi tulisoma naona maisha yetu nikama yake😢Eeee Mwenyezi Mungu tusamehe😭😭😭👏🤲

    • @mariethagodwin2273
      @mariethagodwin2273 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu akupe kibari tena cha kumrudia 😢

    • @musapaul6199
      @musapaul6199 2 หลายเดือนก่อน +2

      From the loving Almighty God will forgive you all❤

    • @AlexMuganda-wt7gn
      @AlexMuganda-wt7gn 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa

    • @mwalimukingunge8512
      @mwalimukingunge8512 หลายเดือนก่อน +1

      Ukitubu na kuomba msamaha Mungu ataisikia sauti yako na atakusamehe ....

  • @jeanmariemuco1132
    @jeanmariemuco1132 ปีที่แล้ว +32

    Wakwanza kuitazama nikiwa Lusaka zambia nipe like tuone niwangapi wamebarikiwa

  • @arbanuskioko1923
    @arbanuskioko1923 ปีที่แล้ว +12

    Wow ...go go go mtumishi❤❤❤❤❤ nimebarikiwa Toka nchi jirani Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @blessedfavour1687
    @blessedfavour1687 ปีที่แล้ว +7

    😭😭😭the revelation is deeper beyond just physical birth, kuna ujumbe zaidi ya mambo yanayopaswa kuzalishwa ndani yetu
    Ewe Mungu acha nizaliwe

  • @ruthkhasoa1916
    @ruthkhasoa1916 ปีที่แล้ว +29

    Wimbo mtamu na mafunzo, mama waheshimiwe . Mtumishi wa Mungu uinuliwe juu zaidi. Kazi nzuri sana

  • @tumainlession411
    @tumainlession411 ปีที่แล้ว +12

    Mama jamni,Mungu atusaidie wamama wote na tuwe strong juu ya huu wimbo wenye kujaa faraja.

  • @AmisaMoma
    @AmisaMoma 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    DRC / Butembo nimefata nyimbo ina fundisho nyingi sana . Ubarikiwe Mkubwa Bonny. Twakupenda sanaaaaaa apa Congo

  • @enockmbwiloofficialy7865
    @enockmbwiloofficialy7865 ปีที่แล้ว +1

    Siku nimeusikia radioni kwa mala ya kwanza sikuuelewaa,,,huuu wimbo kiukweli unatungo la shairi lililotulia sana MUNGU azidi kukufunulia zaidi maarifa kaka etu.

  • @doreenkikuyu7330
    @doreenkikuyu7330 ปีที่แล้ว +7

    Wimbo huu umesimulia maisha yangu 😢😢😢Barikiwa sana Mutumishi wa Mungu. 🙏🙏🙏🎶

  • @corneilleababa729
    @corneilleababa729 ปีที่แล้ว +7

    Ongera baba bony. Corneille ababa kutoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nyimbo iyi inani Bariki sana. Tena sana kabisa. Munguatembee nawewe.

  • @user-ei9oe4vc8c
    @user-ei9oe4vc8c ปีที่แล้ว +21

    Wimbo huu unanikumbusha magumu anayopitia mama yangu jaman❤ I love you mama

  • @user-fc9vg3xl6s
    @user-fc9vg3xl6s 3 หลายเดือนก่อน +2

    Akisati kabisa dukuyangu tutakutana binguni mungu hakubari pamoja namimi

  • @quinterawuor6198
    @quinterawuor6198 ปีที่แล้ว +15

    Huu Wimbo unatia uruma 😢😢 inafanya nimwaze mwanangu tumboni🤰🤰

  • @bethmuya9019
    @bethmuya9019 ปีที่แล้ว +5

    Uuui baba wimbo mzuri wakutuelimiasha sisi wamam na wale wanakusudia kutoavya mimba. Mungu tusaidie kama Wana wako tusiwahi fikiria destiny ya watoto wetu

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  ปีที่แล้ว

      ASANTE SANA Mwanangu

    • @peninainzera9721
      @peninainzera9721 ปีที่แล้ว

      Kabisa I wish all ladies can hear this song aki iko n mafunzo sana nice song.special dedication to all mother's

  • @johnkambere1333
    @johnkambere1333 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sanaaa baba
    Mimi na mke wangu tunaupenda sana, toka Kinshasa Drc

  • @annmurithi4876
    @annmurithi4876 11 หลายเดือนก่อน +5

    Have gone through all this,, exactly but encouraged myself to keep the baby,,😭😭😭😭, ,,may our heavenly father bless all mother's .Amen

  • @christinematoke2795
    @christinematoke2795 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri mtumishi nimebarikiwa na ujumbe huu na ungana na wewe.

  • @GraceBenedicto-ui9mc
    @GraceBenedicto-ui9mc 11 หลายเดือนก่อน +6

    Barikiwa sana wimbo unajumbe mzuri mungu atufanyie wepes sisi wakinamama kwamapito tunayoyapitia

    • @habiyaremyeoscar8438
      @habiyaremyeoscar8438 11 หลายเดือนก่อน

      God bless 🙏 for this song am from Rwanda

  • @MonicahAnyanzwa-cz5fk
    @MonicahAnyanzwa-cz5fk ปีที่แล้ว +1

    Waaaauhh!!! Congratulations,,, Amen! Amen! Amen!! And.Amen nice song my dear may god bless you,,,, mungu akuongeze miaka na mikaka ,,,,, na mola.awalinde mama wetu

  • @user-xm2lj5qb8n
    @user-xm2lj5qb8n 10 หลายเดือนก่อน +8

    My name is bayaga from zambia, to be honest, this song is teaching and healing ..no doubt 😂

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 ปีที่แล้ว +39

    Amen Amen Amen 🙏 😢 wimbo umenitoa chozi wimbo bora wa mwaka wow ! Ubarikiwe kwa kazi nzuri Mtumishi ❤

  • @yohanaraphaely420
    @yohanaraphaely420 ปีที่แล้ว +10

    Nyimbo hii imeniliza . Bonny MUNGU akutie Nguvu, ujumbe mzuri saaana. Unatia moyo kwa kizazi hiki .

  • @paskalnakiru
    @paskalnakiru 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu kubuka Mama yangu bariki.Asante sana my brother barikiwa sana.. paskal Nakiru kutoka Uganda ❤️❤️❤️

  • @ErickMahese-wm4yp
    @ErickMahese-wm4yp หลายเดือนก่อน

    Kweli baba nyimbo imenitowa machozi nimekumbuka mengi kuusu muzaziwangu mungu akupe siku mingi baba bonny umeim bavizuri kabisa

  • @joanjay6938
    @joanjay6938 ปีที่แล้ว +9

    A strong and emotional 😢😢 message Asante sana kwa wimbo wa hekma Mungu akubariki❤,,,,Maana asingekua mama yangu kukataa kunibeba baada ya babangu kunikataa singekua duniani 😢😢😢😢😢 wimbo huu umenigusa

  • @carolineouma8660
    @carolineouma8660 ปีที่แล้ว +9

    Sauti mzuri, ujumbe mzuri kwa vijana wetu mungu aendelee kukupa maarifa zaidi mtumishi.

  • @paulinemwaka
    @paulinemwaka ปีที่แล้ว +5

    Asante mungu ulinipa nguvu nikamueka mwanangu sikuskiza mtu yoyote ❤

  • @jonathankyalo2853
    @jonathankyalo2853 ปีที่แล้ว +1

    Ooo God i bless you forgiving me a good mother

  • @user-iy1bq8vm6w
    @user-iy1bq8vm6w ปีที่แล้ว +5

    Kwa kweli wimbo mzuri mungu aliye mbingun akubarik Sana mtumishi mungu akuzidishie zaid na zaid❤

  • @james008BOND7
    @james008BOND7 ปีที่แล้ว +237

    Wimbo huu umenifanya nimkumbuke mama yangu nikatokwa na machozi😭😭Neema ikubebe na ivunje sheria mtumishi wa mungu@Bony mwaitege🙏🙏🙏hii imeweza🙏🙏SHALOM

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  ปีที่แล้ว +40

      ASANTE SANA NDUGU YANGU

    • @james008BOND7
      @james008BOND7 ปีที่แล้ว +14

      ​@@BonyMwaitegeOfficial kwa uwezo MWENYEZI MUNGU mtumishi wa MUNGU@BONY MWAITEGE utafika mbali kwa huduma yako njema🙏🙏🙏Barikiwa sana Balozi wa YESU🙏🙏🙏SHALOM🙏

    • @martinngowa9071
      @martinngowa9071 ปีที่แล้ว +7

      Bonny ukosawa hii nyimbo iko sawa

    • @martinngowa9071
      @martinngowa9071 ปีที่แล้ว +5

      Wimbo iko poa

    • @josephndambuki3570
      @josephndambuki3570 ปีที่แล้ว +5

      ​@@james008BOND7qi😊a a 7

  • @user-el9wt2ye5b
    @user-el9wt2ye5b ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana fundi wa gospel hakika hii imewagusa wengisana

  • @ThomasAvelin-xl3np
    @ThomasAvelin-xl3np ปีที่แล้ว +1

    Nikipita bila kusema kitu nitakuwa nakosea sana Mungu akubariki sana Mpendwa

  • @FrankPatrickOfficial
    @FrankPatrickOfficial ปีที่แล้ว +4

    Asante kwa ujumbe mzuri sana baba mungu aendelee kuku tunza 🙏🏻🙏🏻

  • @yvonnejoyce
    @yvonnejoyce ปีที่แล้ว +45

    Amen Amen and Amen what a nice song 🙏 may God bless our mothers 🙏🙏 much love to you from Kenya 🇰🇪

  • @CalvinTale-os8ut
    @CalvinTale-os8ut 11 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭ubarikiwe mtumishi wa mungu huu wimbo naskiza mara kadhaa kwa siku...nahurumia wanaoavya mimba

  • @user-tx1zr3kb1j
    @user-tx1zr3kb1j หลายเดือนก่อน

    Cristopha mhangila na boney mwaitege wanafanana apart from sauti but ubarikiwe sana boney mungu akubariki sana🎉🎉🎉h

  • @ministerboaznyabogaunachez8553
    @ministerboaznyabogaunachez8553 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzurii sana napenda nyimbo zaako when i grow up i want to be like you

  • @user-mn8uc4rl2z
    @user-mn8uc4rl2z ปีที่แล้ว +2

    Namimi nakymbuka mama yangu music uyu nimzurisana unajuwa kuwimba mungu akuleteki paji owengine kama nyazamani ❤❤❤

  • @ConsolathaEnos
    @ConsolathaEnos หลายเดือนก่อน

    Jamni huu Wimbo kama umeusikia ukiwa na mpago wa kutoa mimba huwez fanya Nicholas kitedo nimeumia sana❤❤

  • @ignasswai7445
    @ignasswai7445 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka bony mwaitege kwa kuukumbusha uma umuhimu wa mama imenigusa sasa nyimbo mungu azidi kukubariki kaka nipo apa jirani yako buza

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 ปีที่แล้ว +3

    Ndugu Bony nakuaminia hasa yaani wimbo huu unipelekea kumbukumbu mbali🤦🤦🤦💔💔Neema ya mungu imulinde mamangu kwa vile alivyojisatiti kuubeba ujauzito wangu na kunitoa duniani hadi sasa ningali mzima🙏🙏🙏💓

  • @blackberryservices4586
    @blackberryservices4586 ปีที่แล้ว +4

    Aki mama yangu ❤❤❤❤❤🙏

  • @user-gf3lu1yp2g
    @user-gf3lu1yp2g ปีที่แล้ว +1

    Mungu 🎉akuinue viwango vingine brather❤❤❤❤❤❤🎉

  • @MagamboBundala
    @MagamboBundala 3 วันที่ผ่านมา

    Wimbo sichoki kuusikiliza Tena na Tena ubarikiwe San mtumishi bony mwaitege

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Sanaa mtumishi wa Mungu hii nyimbo ni best kwa kila anae penda huduma yako mwaka huu itakuwa ya kwanza ubarikiwe Sanaa Bishop mwaitege by Benson Mgaya

  • @fatmaraisha1107
    @fatmaraisha1107 ปีที่แล้ว +16

    The humble gospel artist i most love ❤may lord bless you more 🙏

  • @kykykyky2709
    @kykykyky2709 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe san mutumishi wa mungu 🎉🎉❤❤❤

  • @lugarboy9483
    @lugarboy9483 ปีที่แล้ว +1

    Its on big inspiration.....God blees you Bony Mwaitege

  • @abrahammochache3558
    @abrahammochache3558 ปีที่แล้ว +16

    I always enjoy listening to your songs,be blessed mwaitege, Kenya we love you

  • @salifyanjinakawala1814
    @salifyanjinakawala1814 ปีที่แล้ว +6

    I always pray to God that for the sake of my mother you have to bless me 🙏🏻🙏🏻 all the way from Zambia ❤ you're the best Bonny

  • @MulababazOG
    @MulababazOG 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli Bony Mwaitege nakuombea sana uendelee kutulea ujumbe wa kuelimisha na kumtukuza Mungu kama huu 🙏🙏🙏🙏

  • @silvesterryaga7365
    @silvesterryaga7365 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana kwa kaz nzur binafsi nimebarikiwa sana

  • @esthersamba3290
    @esthersamba3290 ปีที่แล้ว +16

    Well arranged idea, perfectly presented. ❤. Touchy and educative masterpiece.

  • @sarahnambuva3153
    @sarahnambuva3153 ปีที่แล้ว +3

    May mum soul continue RIP death is so cruel😢😢😢huu wimbo umeniguza na kunikumbusha mamangu

  • @user-gl5hc9wl7e
    @user-gl5hc9wl7e 2 หลายเดือนก่อน

    Each and everytime i watch this song lazima nitokwe na machozi nikimkumbuka mama yanguu😭😭😭😭😭

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele ปีที่แล้ว +6

    WIMBO MUKUBWA ƙwakweli MTUMISHI wa MUNGU❤

  • @johnmshan4017
    @johnmshan4017 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubaliki sana wimbo huu umenigusa sana ❤❤🎉

  • @MagdalenaMagaga
    @MagdalenaMagaga 13 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda sana mama yangu ee MUNGU nguvu ambao hawana mama wanapo kuwa wanausikiliza wimbo huu

  • @beautymwaka3625
    @beautymwaka3625 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu abariki wamama wote, Kwa Yale tunapitia kulea watoto, Asante mama Kwa ulezi wako, barikiwa mtumishi wa mungu

  • @bienvenuwilondja9030
    @bienvenuwilondja9030 ปีที่แล้ว +6

    Hiyi Kali sana. Sifa kwa Mungu wetu wa Mbiguni. Hongera sana baba. toka Congo Tunakupenda sana. Congratulations to give us this new song✌

  • @user-xm2lj5qb8n
    @user-xm2lj5qb8n 10 หลายเดือนก่อน +6

    My name is bayaga from zambia this song makes my eyes get crying coz i remember when i was young very young, many people told me that my father rejected me when i was in my mother's womb and my grand ma adopted me so god blesse her so much❤❤❤❤❤❤

    • @shadialaylon3674
      @shadialaylon3674 9 หลายเดือนก่อน

      I used to think I'm the only person in this world who goes through this 😢

    • @millicentakinyi5504
      @millicentakinyi5504 8 หลายเดือนก่อน

      😭😭😭❌❌😴uuuuiiiiii

  • @benjarappergm3962
    @benjarappergm3962 11 หลายเดือนก่อน

    Song za This man of God surely zimenipea hope Sana ya life....nliskiza nyimbo zake mbili nkaokoka Hadi waleo.....long life man of God ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @EssauGabriel-hr6xg
    @EssauGabriel-hr6xg 11 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli bony wewe senior kwenye wimbo wa gospel, Mungu akuinue zaidi na zaidi,, utuimbie na wimbo wa baba.

  • @prayerwarrior1
    @prayerwarrior1 9 หลายเดือนก่อน +9

    This reminds me of how my baby daddy rejected my pregnancy at two weeks after breaking the news to him...ill always be there for my son and be the very best friend and mommy for him...with God we are making it with my prince...this song strengthens me Bony...much blessings...

  • @user-cr8yg8lr6e
    @user-cr8yg8lr6e ปีที่แล้ว +4

    Amen Barikiwa sana🇹🇿

  • @rosemalombe2924
    @rosemalombe2924 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭🙏🙏Hakika mtumishi acha tuuu mng akubrki snaaa tuuui tena snaaa nime kumbuka mbli snaa hata mm piha nisinge ijua hiii dunia bila huyu mama piha mng ndy mwuze wayote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @beatricewendo9153
    @beatricewendo9153 ปีที่แล้ว +1

    A plea against abortion. Asante mtumishi wa Mungu, hali ngumu ila tuwape watoto wasio na hatia nafasi ya kuishi

  • @sarahnafulanafula5537
    @sarahnafulanafula5537 ปีที่แล้ว +5

    Huu wimbo umenikubusha Mbali sana 😭🙏, mungu akupariki katika maisha yako yote mtumishi wa mungu ❤❤❤

  • @Evarista-xt7gv
    @Evarista-xt7gv ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤ Ilove you mom

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 11 หลายเดือนก่อน +1

    good job Mtumishi bony 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-tv6wi9ou4i
    @user-tv6wi9ou4i 11 หลายเดือนก่อน

    I real lover this song keep on my brother wimboo huuu umenikumbuxha Mwikaa mutatu iliyo pita nkiwa Mimba ya mtoi wangu mama ya ki jana aliyenipa mimba kuniambia nitoe mimba yangu walaiii uchungu waaa mwana aujuwao n mama mamas we need big respect am listening you nkiwa apa Saudi Arabia mkenya kutoka kakamega count be ashamed wenye kutoa mimba ❤

  • @VICTORMUTHENYA
    @VICTORMUTHENYA ปีที่แล้ว +8

    I love this song ❤️

  • @heartwoodfilmsproductionco4954
    @heartwoodfilmsproductionco4954 ปีที่แล้ว +3

    what a powerful message,,,GOD BLESS YOU

  • @user-xf4rk2pi4v
    @user-xf4rk2pi4v 11 หลายเดือนก่อน

    Shalom mtumishi wa MUNGU
    Nyimbo hii kweli inaujumbe mzito ila kwa kila mwenye imani atautafakari sana maana mimba zimesemwa sana
    MUNGU AKUSAIDIE SANA

  • @JohnKiboy-fn7st
    @JohnKiboy-fn7st 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Mwaitege unanibariki sana. Huduma uliyo nayo ni kubwa mtumishi, Mungu akuinue na akuinulie watu wa kukutegemeza. Wimbo unatoa machozi sana huu umebeba ujumbe mzito. Heshima ziwaendee wamama wote🙏🙏🙏

  • @francisnyahage4576
    @francisnyahage4576 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo wenye ushauri maalumu, ubarikiwe Kaka.

  • @pastorjohnmburu6048
    @pastorjohnmburu6048 ปีที่แล้ว +5

    A very powerful and educative song ..God bless you sir

  • @juniorwilliam6338
    @juniorwilliam6338 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mama 🙏🙏🙏

  • @apostlefanuellukuwi3224
    @apostlefanuellukuwi3224 ปีที่แล้ว

    Katika nyimbo zako mmmmm huu wimbo umenilizaa hakika umetumiwa na Mungu asilimia mia pastor mwaitege

  • @ruthgloriaobonyo
    @ruthgloriaobonyo ปีที่แล้ว +17

    What an Amazing dedication to all our Mummies 🎉🎉🎉
    May God Bless you always mtumishi ❤

  • @pastorpaulmumo.3485
    @pastorpaulmumo.3485 ปีที่แล้ว +3

    Bonny mwaitenge my role model in music...

    • @nurually3301
      @nurually3301 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubariki saana pastor na mwimbaji wetu, nimemkumbuka mama angu ananambiaga aliteseka Sana juu yangu nusu after, daah

  • @LilianLomeyan-iu7lf
    @LilianLomeyan-iu7lf หลายเดือนก่อน

    Enikumbusha mbali sana adi chosi inadondoka kwa kumukumbuka mamangu aki mugu akubariki na hakufunike kwa damu yake god bless you

  • @VickyDanieltango
    @VickyDanieltango 10 หลายเดือนก่อน

    Sijui umewaza nn kakangu najua ni kusud la Mungu kuna mtu ajirekebishe, usiache kuimba naye Mungu akupe miaka mingi ya kuishi kuwa na afya njema ndani y uimbaji BG BRO

  • @mikewadel6259
    @mikewadel6259 ปีที่แล้ว +5

    What a nice song mtumishi,I will dedicate this song to my mum,we Kenyans love your songs

  • @teresaonduko4443
    @teresaonduko4443 ปีที่แล้ว +21

    Beautiful Masterpiece...i dedicate this to my Mama in heaven Continue Resting in peace until that blissful morning ❤❤

    • @charleslinda8320
      @charleslinda8320 11 หลายเดือนก่อน +1

      For sure it's among sweet songs!
      Keep resting in peace my mumy as today we are celebrating 2 years since you left us!

    • @teresaonduko4443
      @teresaonduko4443 11 หลายเดือนก่อน

      @@charleslinda8320 hugs bro

    • @charleslinda8320
      @charleslinda8320 11 หลายเดือนก่อน

      @@teresaonduko4443 thank you Teresa

  • @user-vr6hm4ys4b
    @user-vr6hm4ys4b ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Sana kaka huu wimbo nikweli kabisa yametukuta wengi wa kina mama lakini Kwa uweza wa mungu tumeyashinda ubalikiwe Sana

  • @rachelkondela
    @rachelkondela 7 วันที่ผ่านมา

    bony umenifanya nilie sana kwa sababu mwanagu anayapitia hayo na bado ana mwezi sita tumboni mwanagu Ina niuma sana sijui nifanyaje

  • @vanessa-vavandikumwenayo2757
    @vanessa-vavandikumwenayo2757 ปีที่แล้ว +4

    Iyi nyimbo imenigusa moyoni kbs🥰🥰 inamafunzo mazuli👌👌
    Asante sana kakaanga Bony mwaitege balikiwa sana
    Love❤️ from Burundi🇧🇮