Bony Mwaitege -BEST OF BONY MWAITEGE 2022 '' (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
- Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.
BEST OF BONY MWAITEGE 2022 unaweza kupakua audio kupitia link hii
mdundo.com/son...
God bless brother very much I love this song very very much it is ❤❤❤❤
Barikiwa Bonny Mwaitege - sifa tele. Nimekuwa Mbeya, TZ na huwa naulizia sana. Naelezwa ulitoka/mzaliwa wa mbeya
i love this song it's teaches me something i never forget in my life ❤❤❤
Kazi njema kwake bwana Yesu
Amina nimebarikiwa San father of gospel haswa na na huo wimbo wa usijitetee
Mungu akubariki sana Brother BONY MWAITEGE.
Your songs they have messages sanasana wimbo ya mtoto was mwenziwe umwone kama mtoto wako
Ujumbe mwafaka na Bonny Mwaitege
Napenda sana mtumishi Bonny mwaitege wow wimbo zake unitia nguvu sana 🙏 😢 i love you so much Bonny God bless you 🙏 from 254
Nyimbo zako hunifatiji, huniinua na kunibariki kwa namna ya kipekee sana. Mungu Aendelee kubariki kipawa hiki chako cha uimbaji....
Nachukuru kwahuu wimbo
Tuko sawa AMEN Amen nice songs 🎵 🙏 👏
Calvary greetings to our mentor father in this generation that jesus christ entrusted as to be,nmeshukuru sana kwa mziki wa injili zote ni za baraka kwetu haswa hii ya mama❤❤neema itoshe kwa mchungaji bonny mwaitege
Thank you so much
Nabarikiwa sana Petro Zambia
Nice song bony keep the fire,,,,,tumwachie mungu atutee🙏
Isaya nyamba
merci saani sana mungu akubariki kila siku
❤❤mungu abariki mutumishi irituhimbiya nyimbo hiyi tumebarikiwa mungu andereye kumupa kuendereya kumutumikiya amen Amen
🎉🎉Really watu wako n ratios mbaya but mungu n waajabu...❤
We miss you and your songs
pacha wako nipo hapa kaka chapa kazi❤💓
Muimbaji mkuu mtangazaji wa nyimbo za injili Bonny Mwaitege ubarikiwe na Pia Mungu mwenyewe amekupakala mafuta ataendeleya kukubariki kwa iyi kazi zako na mimi nakuombeye Maisha marefu kwako pamoja na kazi zako, I love you foreve 🎉❤🎉❤
A times I wonder how akina Bahati, Willy Paul have won gospel song awards leaving this gentleman, Mwaitege.
I started listening to his songs way back in 2008. "Matendo"
Amen
Amen 🙏🙏🙏 ubarikiwe sana
Bro Bonny God bless you so much because your songs are touching and inspiring the community, through your songs we are encourage with life, morals touching, your songs are not getting old everytime i listen am getting something spiritual and also advisory,ooh good work keep up.
Yesu akuinue nakupenda sana shabiki wako milele mbingu yetu pamoja shalom
Kazi nzuri sana
Aminaa
Kwer father bony tunapendwa na bwana nice gossip 👍👍
Verry good my brother
Umenitowa somewhere else na hi song ni sure kama ni kubadilika through this song let God bless my life and make me change may God bless you so much
True true in Jesus Name Be blessed savant of God
Mungu nitete 😭😭🙏🙏
🎉wimbo huu unanitia moyo sitawai kata tamaa
Very nice all songs
Nataka kuwamchezaji wako nimeenda munavyo heza
Kaz nzur mtumish wa mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤
❤
Good morning mwaitege
Mung akurinde Kaka nyimb zako zote zik vzr zinanibariki amén mung no mtetezi wet
🙏🙏🙏
Mariam❤❤❤❤🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩
TOP GOSPEL MUSIC
Namkubali sana bonymwaitege Mungu akubariki sanaaaa
True Gospel 😊☺️
Much love servant of God.
Bonny rafiki yangu
Nisa mwachia Mungu anitete. Am really touched by this song, May the lord continue to bless you,
Jenpha mugend
Mwachie mungu akutetee
🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi safi we missed your songs.
Nimeipenda❤
Keep going mtumishi big love from kenya ❤️❤️❤️❤️❤️🙌
Your songs really blesses me...much love from Kenya🙏🙏
God blessed you 🙏🙏
Ulitubariki sana ulipokuja Kimilili - Kenya!
Bonny mwaitege never disappoints. Always blessed, hence always blesses
Nice one 👍
Fantastic performance that's great!
Mung akuinue zaid
Much blessings
Napenda síku nami niimbe pamoja nawe nibarikiwa sana
Nakubali sana haina show mbovu Leta vitu tuzidi kubarikiwa
Imeisha hiyo nakubali
Hongera sana unajitahidi kwa kumsifu mungu
Press the power of God
Glória a Deus
Glory be to God,be blessed
Wakwanza
Kyara atufigwege nyimb Zak kwel nikisikiliz mwl unasisimumuka valikiwa
Lovely song
Amen
Amen 💥
❤
🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏