MJANE MTATA AMKOMALIA WAZIRI SLAA SOMA HAPA UNIAMBIE UNAONAJE, NMEJUA WAZIRI UMEKUJA UTAONGEA MAMB..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • MJANE MTATA AMKOMALIA WAZIRI SLAA SOMA HAPA UNIAMBIE UNAONAJE NMEJUA WAZIRI UMEKUJA UTAONGEAMAMBO YA
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #MJANEMTATA #AMKOMALIAWAZIRISLAA #WAZIRISLAA #BREAKINGNEWS #tikitv #tikitvkiakilizaidi #daressalaam #tanzania #kenyanews #raissamia #makonda #mafuriko #raissamiasuluhuhassan #live

ความคิดเห็น • 51

  • @isihakaabubakari6906
    @isihakaabubakari6906 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mh waziri nenda ukapaone ndio utamuelewa huyo mama

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi 4 หลายเดือนก่อน +2

    ukweli huyu mama compaint yake ni plot ilopewa mtu ambayo ni njia ya maji, baada ya kupewa na kuimiliki walokuwako zamani wameathirika, shida yake sio apokonywe la, bali akubali maji yapite kama zamani

  • @fabienuwimana9559
    @fabienuwimana9559 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ingelikua waziri wengine wa nchii za Africa wapo hivo kama huyo mambo yangelikua safi kabisa

  • @signtv9848
    @signtv9848 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ah uyu mama Atari na waziri nae anahekima Sana na subra

  • @isihakaabubakari6906
    @isihakaabubakari6906 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wallahi sio siri napenda busara za huyu mheshimiwa sana... kwanza anasikiliza mwisho anatoa maamuzi ambayo ndani yake hayana chembe ya dhulma..

  • @SaraJinalangu
    @SaraJinalangu 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂Huyu mama sio m'bishi ni kujiamini tu yani 😅

  • @OpMagu
    @OpMagu 4 หลายเดือนก่อน +3

    Napenda hekma za waziri slaa

  • @harounali9057
    @harounali9057 4 หลายเดือนก่อน +5

    Halmashauri haina pesa muombeni mama akupeni pesa zile anazo nunuwa magoli kwa simba na yanga.

  • @salmakirundu2076
    @salmakirundu2076 3 หลายเดือนก่อน

    Aliyevaa tshirt ya orange Ana roho workshop angekuwa mama ako je

  • @shafiisaidi9640
    @shafiisaidi9640 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa alievaa shati jeupe ni mstarabu sana yy na waziri.lkn huyo fulana nyekundu hamna kitu

    • @user-oq3dd5xj9m
      @user-oq3dd5xj9m 4 หลายเดือนก่อน

      Unajipalilia mwenyewe. Yaani unajisifia mwenyewe eti jamaa mwenye shati jeupe. Fala kweli ww

  • @faridubakana6733
    @faridubakana6733 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania inamhitaji waziri wa aina hii ...nataman saana mh Rais Samia asimhamishe wizara.

  • @zahranabdi8124
    @zahranabdi8124 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sijawahi piga kira ila siku huyu jamaa akigombea uraisi ntapenda sana na ntampigia kura

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hadi nmeshika Kichwa, mama anauliza eti Mkuu wa wilaya siku uliyokuja ulipita wapi?😅😅 Ehh

  • @ahmedburhan5104
    @ahmedburhan5104 4 หลายเดือนก่อน +1

    Km mawazir wote wangekuw wanafanya kaz km huyu. Bc tz ingekuw bora. Wazr upo vzr

    • @ukweli255
      @ukweli255 4 หลายเดือนก่อน

      Hivi unajua jimboni kwake bila JPM asingeshinda

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama kiboko 😂 mpaka kimeeleweka 🤣🤣🤣

  • @salmakirundu2076
    @salmakirundu2076 3 หลายเดือนก่อน

    Aliyevaa t-shirt ya orange mtihani kabla mm hajaongea anabisha

  • @talents7934
    @talents7934 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aliyeshtuka kuwa huyu mama anamrekodi Waziri maongezi yake kupitia simu yake agonge like hapa😂😂😂😂

    • @musamusa6374
      @musamusa6374 4 หลายเดือนก่อน

      Kivip tena

  • @avithykatto5435
    @avithykatto5435 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waziri hapa kashindwa kutekeleza majukumu yake maana wizara kama ilitoa document hata ingepita miaka mingapi makosa ni yakwao mwananchi hapaswi kuwajibishwa kwa uzembe wao

    • @charlesmtitu5606
      @charlesmtitu5606 3 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni waziri wa ardhi na hapo hakuna mgogoro wa ardhi kuna shida ya mtaro kwa ajiri ya kupitisha maji sasa waziri anausikaje kwenye mitaro.

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama anabifu na mama mwenzio cjui wanachangia mume maana haelewi

  • @EdnaMuro-tx8os
    @EdnaMuro-tx8os 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama Yuko vyema

  • @IssaIddi-vb9yi
    @IssaIddi-vb9yi 4 หลายเดือนก่อน

    Wazir wa ardhi tumepata kama ningekuwa mimi uyo mama nimesha mtimua

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama anataka mwenzake ndio wamshugulukie ila wote ndio wajenga mtoni ila anatakamwenzake ndio abomolewe nikabinafsi hata usemeje bila kufuata kanachotaka hakubali nashukulu umezingatia haki za wote

  • @jifunzekuhusuwewe7475
    @jifunzekuhusuwewe7475 4 หลายเดือนก่อน +1

    NIMEPENDA UJASIRI WA MAMA

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 4 หลายเดือนก่อน

    Kifuoi waziri nionavyo hapa na hasa wizara hyo ipanguliwe upya .Imani yangu na viongozi wake haipo anzia huyo kamishna

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 4 หลายเดือนก่อน

    Inahitaji busara sana kuwajibu watu kama hawa la sivyo unaweza mfokea kwa kujifanya mjuaji kumbe hajui.

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama kweli mtata kudadekii.😅😅

  • @arnoldmambali3770
    @arnoldmambali3770 4 หลายเดือนก่อน +1

    so vijana mliokuja mjini juzi hamjui kuna ziwa mwananyamala

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 4 หลายเดือนก่อน

    Waziri hapa kazi unayo.

  • @nurubarakekenwa7557
    @nurubarakekenwa7557 4 หลายเดือนก่อน

    Cha msingi waziri nenda kakione

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda style hiyo,sifa zinafutwa kwa uvumba na ubani.Leo amekutana.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 4 หลายเดือนก่อน

    Anajiona kama yeye ndio mtanzania pekeyake huyu bibi mkolofi mgovi Anaonekana😮

  • @OpMagu
    @OpMagu 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @user-eo4pv8zy2o
    @user-eo4pv8zy2o 4 หลายเดือนก่อน

    Mshenzi wewe bibi Huna adabu, kuwa na heshima

    • @betricemainoya4176
      @betricemainoya4176 3 หลายเดือนก่อน

      Amefanya nini,mmezoe wajinga wasio oongea kujitetea

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 4 หลายเดือนก่อน

    Foolishness.
    Why nchi inatumia nguvu nyingi kumjibu Sister Mange kuliko kufatilia Dhulma inayo fanyika Ngorongoro, wahujumu wa pesa za serekali CIG REPORT.
    Tumechoka na utetezi turudi kazini "kazi iendelee,

    • @mwikamwika4851
      @mwikamwika4851 4 หลายเดือนก่อน

      Acha kutusi watu. Shida Yako ni mtazamo ukiamini wewe ndiyo mjuaji. Wacha watu wafanye kazi

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 4 หลายเดือนก่อน

      Ngorongoro hakuna aliezurumiwa inatakiwa mhame mje huku tuijenge nchi pamoja siyo kukaa maeneo yasiyokuwa na ardh ya kulima mnaishia kupewa misaada tu nani atawatumikia kwa kuwalisha kila siku

    • @sk-wj9or
      @sk-wj9or 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@magorymara5515
      Uhifadhi na waenyeji nani alianza kuwepo???
      Maendeleo hakuna!
      Waje wapi na kwanini hayo maendeleo hakuna.
      Kwanini Bungeni kuna kiti cha mbunge wa ngorongoro umewahi jiuliza hilo?
      Mbunge huyo anawakilisha simba na nyumbu???

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane 4 หลายเดือนก่อน

    Mama anajiamini nn jaman? Eti wewe ndo waziri umekuja nkategemea UTAONGEA mambo ya maana😂😂😂

    • @neemamushi2434
      @neemamushi2434 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hana nidhamu ya uoga safi sana

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @banguha
      @banguha 4 หลายเดือนก่อน

      Sio kutokuwa na nidhamu ya uoga hana adabu hiyo ni nafas mtu aheshimiwe kwa nafas sio unaongea bila hekima uyu wazir ana hekima sana

    • @user-eo4pv8zy2o
      @user-eo4pv8zy2o 4 หลายเดือนก่อน

      Baadhi ya wastaafu wakishapewa vipesa ni kawaida kukose adabu
      Huyu mama hAna adabu Mshenzi Sana

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-eo4pv8zy2o😂😂😂😂😂😂