Asante sana kungwi dume mana najifunza kupitia movie ya kungi dume enderea kutufunza je kufunda unafunda kahila Moja au Kila kabira mana natamani NAMI unifunde kama mwanaume mzako
A,alaykum brother Ibrahim mashallah Allah huma barik Mashallah Umejitahidi sana Allah ndie atakay kulipa jira wako. Ila watowa darasa mzuri Sana thanks so much Hujaacha kitu. 👍👏👏👏🇳🇴
Kungwi mbona mimi mume wangu anajinyowaga mwenyewe nywele za kichwani na mavuzi anatumia machine ya kunyolewa nywele, je ni sahihi yeye kujinyowa mwenyewe?Maana mimi nina miezi miwili nipo kwenye ndoa
Kaka ibr@ nashukr saana pya nimejifunza mengi kupitiy ww natokeya 🇧🇮 mara iii nikiingiya tuu youtube nikukuchek ww kiukwl nimeipenda san ila swali langu ni ili ningependa unifunze njisi yakuchezesh shanga mm wakike 🙈
Ibra..Somo lako nikilikosa naumia sana unajua naelimika sana na najifunza mengi be blessed
Basi nili kuwa natafuta sehemu ya kumi n Tano kungwi napenda sana maneno zako mana uku Kenya atuzi pati❤❤❤
Masha'Allah upo vizur naomba uniunge kwenye group ❤
Nimejifunza vitu vingi mpaka mume wangu anajiuliza nimejifunza wap naitwa ley asante sana kungwi mwanafunzi yako
Kungwi Mimi Niko Zanzibar nimeenda mafuzo Yako naomba uninge group
Asante sana kungwi kwamafunzo yako mazuri sana mungu akupe umri mrefu kwakuweza kuelimisha wanawake mungu akuzidishie palipo pungua
màshallaah tunajifunza maneno mazur
❤❤❤❤❤ näkuëlewa vzr
Asante San kungwi kwa mafunzo mazur tumepata ilim Allah akupe humur muref
Mungu akubariki sana
Asante saaana kungwi dume nimejifunza mengi saaana shukran
Naomba uniunge katika group lako nakufatilia sana
Nimependa sana mafunzo yako kweli mungu akubariki sana na akutie nguvu
Asante sana kungwi dume mana najifunza kupitia movie ya kungi dume enderea kutufunza je kufunda unafunda kahila Moja au Kila kabira mana natamani NAMI unifunde kama mwanaume mzako
asante sante sana kwamafunzo bora kaka upewe ulinzi wakutosha ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
shukran kungwi dume,kwa kutuchanua,Allah hakuongoze zaid huzid kutuhelimisha yalo mema
🎉🎉🎉 congratulations 🎈👏 and thanks Alot 🙏🙏🙏
A,alaykum brother Ibrahim mashallah Allah huma barik
Mashallah Umejitahidi sana Allah ndie atakay kulipa jira wako. Ila watowa darasa mzuri Sana thanks so much Hujaacha kitu. 👍👏👏👏🇳🇴
Asante kaka ibra nimejifunza meng kutoka kwako
Shukran sana
Walahi maneno matamu sana ❤ napenda sn kipidi chako kungwi dume 😊❤❤
Asante kungwi dune nimejifunza mengi kupitia kwako
Asante kaka Mungu akuzidishie kheri
Nakubali kungwi WAngu inshallah
Asante sanaaa kakangu Kwa kutujuza mengi nipo Oman Ila nafatilia na kuyatekeleza
Kaka Ibra sufuriya haliwoshwi naki dole,
Nawomba kujuwa lawoshwa je??? Allah akulipe kila lenye kheir kakangu
Wa iilim yako yenye kunufayisha,🌹🌹🌹🌹🌹
👏👏👏👏👏
Congratulations keep it up good job ❤❤❤
Be blessed brother ❤
❤
Thank you kungwi kutoka Kenya 🇰🇪 nmependa sana mafunzo yko ila naomba kuuliza jinsi ya kutengeneza bingo plllzzz
❤❤hapo broo umetufunza sana haswa sis wanaume;
Nimejifunza kitu Asante kaka
Kungwi,,ninashida sana.karibuni yamazungumzo nawewe nakupataje?namba zasimu
Mashaallah broo
Kungwi dumeeeeeeeeeeee mbn kmy sanaaa
Mm naswali juu ya Hawa wanawake wa kileo ambao hawajafundwa,,je tukaeje nao?
Najifunza mengi asante
Shukran sana kaka
Ndio mara ya kwanza ku comment kwakweli una wapa watu mafunzo hata ikiwa wengine twayafahamu ila unajitahidi sana allah akupe muongozo zaidi brother
Nashukuru sana
Natokeya congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Naitwa neira natok kigoma napend San mvi Zak mngu akujaalie maixh malefu wabilhah taufiq
Cool
Asante Kungwi mafunzo yako mazuri naomba namba ya WhatsApp tafadhar ya group
Habiba umenipa elim nzuli sana nimekuwa sukali
Habari za jione kugwa dume
Masomo yako!! Pambe sana
Mashallah mashallah mashallah 🇰🇪 ❤
Naomb jibu
Inshaallah twasubiri tuletee mapya tukienda + 254 tuwe full mikoba😂
Asante san
Hiyo ipo hat kwawarang
Mamy Afaa kutoke zanzibar mm nilikua naulz unaptkn wap
Nice
Haindelei tena
Mambo nauliza mm kila nikishika mimba yatoka sababu ni gani sasa
Duuu hapo kungwi kiukweli inategemean na kabila au mm mrang cijaongea wamm wafanye hivo ila Wana ila zao am asmini from oman
Kaka natafuta sehemu ya makumi mbili
❤❤😊
Dah: maneno ya wazee milioni.. dah? Iv nyny nikabila gani et
👍
Kaka naomba namba
Nafurah sana
Omulimu omulunge
Kung mindokwanz nimeingia kwenye ndoa lakini sijui kutumia shang nierewesh kwanza
Mfuate wassap
Kaka Ibrahim naomba utoe na mafunzo ya wanaume jinsi yakuishi na wakezao plc
Jamn me shem yakwanz cion
Kaka ibra nilikuwa naomba utujuze matumizi ya mito
Kungwi mbona mimi mume wangu anajinyowaga mwenyewe nywele za kichwani na mavuzi anatumia machine ya kunyolewa nywele, je ni sahihi yeye kujinyowa mwenyewe?Maana mimi nina miezi miwili nipo kwenye ndoa
Je kaka Ibra akiwa hapendelei mm kuwa saluni wake nitafanyaje
yan navokupenda kungwi dume nakalibia kuolewa napenda kujifunza kutoka kwako mengi Zaid na vp kuhus shanga na vikuku
me nashangaa mwenzangu akifika home aongoi sijui nifanye nn
Naomba No za watspp kaka
Hebu tufahamishe jins ya kusafisha uke,mana ulisema haitakiwi uke kutiwa kidole sasa kwa upande wangu nahitaji kujua jinsi ya kuusafisha uke
sehemu ya 15 inaanza lini?
Kaka ibr@ nashukr saana pya nimejifunza mengi kupitiy ww natokeya 🇧🇮 mara iii nikiingiya tuu youtube nikukuchek ww kiukwl nimeipenda san ila swali langu ni ili ningependa unifunze njisi yakuchezesh shanga mm wakike 🙈
Nimemaanisha njisi yakukata kiuno wengine hatujuii🙈
Kaka ww unastahil tunzo
Mapenzi ni nini
Katka ubora wako
Asante kaka ibra nimejifunza meng kutoka kwako
Kaka ibra nilikuwa naomba utujuze matumizi ya mito