KUNGWI DUME sehemu ya Tano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Ndoa sio tu kumpata mtu sahihi katika maisha yako bali ni kuifanya Ndoa yenu kuwa sahihi katika madhaifu mliyonayo, Maana hakuna mtu aliesahihi kwa kila jambo.

ความคิดเห็น • 232

  • @zainabbilal7482
    @zainabbilal7482 ปีที่แล้ว +58

    nimekuwa wa kwanza kuwach nipeni likes basi na hongera kwa kipindi kinna mafunzo kweli
    😊😊😊

    • @ibrahthedon
      @ibrahthedon  ปีที่แล้ว +5

      Asante sana

    • @totmohammedtotmohammed2982
      @totmohammedtotmohammed2982 ปีที่แล้ว

      @@ibrahthedon kaka usifanye iwe mwisho bwana weka muendelezo awu towa nyingine zaid ya hii tuna jifunza mengi alafu tuna penda sana filamu zako

    • @totmohammedtotmohammed2982
      @totmohammedtotmohammed2982 ปีที่แล้ว +2

      @Ibrah Thedon asaivi bola uwe unaweka move kuliko vile vipande

    • @muhamedimdoe
      @muhamedimdoe ปีที่แล้ว +1

      Weka muendelezo bhn ni nzur

  • @halimambena
    @halimambena ปีที่แล้ว +14

    Nikiolewa ntakutafuta unipe mawili matatu ili nikaishi vzr na shemu wako pia happy birthday to my dear brother Ibrah Thedon May Allah bless you enjoy your day 🎉🎂

  • @asmavuale-ec5ph
    @asmavuale-ec5ph ปีที่แล้ว +35

    I say kaka Ibrah unatuelimisha sana na kutufumbua macho ktk maisha na mahusiano😍... ubarikiwe sana🙏

  • @MwanaidiMaridadi
    @MwanaidiMaridadi วันที่ผ่านมา

    Karibuni tangaaa kwa making makungwi wa uhakika najadi zisizo kwisha asante ibraaaa wasambaa hoyeeee❤❤❤😂😂😂

  • @user_faff84
    @user_faff84 4 วันที่ผ่านมา

    Ma Sha Allah hii iko chonjoo sana mungu akulinde uzidi kutufunza mazuri

  • @abeidkhalfanabdalla1769
    @abeidkhalfanabdalla1769 ปีที่แล้ว +2

    Allah akufanyie wepes katika kutuelimish ww ni WA mfano Tanzania ww ni jembe Allah akueke lengo lako ni elimu ya maisha ya mahusiano

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wangapi tuko hapa bado tunajifunza kwa kungwi😂😂

    • @user_faff84
      @user_faff84 4 วันที่ผ่านมา

      Tuko apa sote daa acha tuchukue mawili matatu tufaidi

  • @rahelkiteka
    @rahelkiteka ปีที่แล้ว +4

    Nzur mnoo na inamafundisho mengi sana.
    Hongera sana Ibra the don.
    Tuletee na zawad ya mwezi mtukufu wa Ramadhan

  • @Asbi_Legal
    @Asbi_Legal ปีที่แล้ว +4

    Umenifanya nilie kwa furaha ka The Don 🤣
    Vraiment merci beaucoup mon frère 🙏🏽
    qu'Allah vous bénisse 😭😭😭

  • @aminabeatrice7521
    @aminabeatrice7521 ปีที่แล้ว +4

    Kaka ibra nakupenda mm kutoka 🇰🇪 kenya haya magunzo lazima nimpe mwanangu wa kike ata nimazuri sana

  • @abdirahman7321
    @abdirahman7321 ปีที่แล้ว +15

    It's very motivational and inspiring indeed.

    • @nestormuragarakashindi4690
      @nestormuragarakashindi4690 11 หลายเดือนก่อน

      Naipenda sana mungu akubariki kutupa mafujisho kama iyi kk yangu ibrah mungu akupe muda

  • @mwajumahamissi2494
    @mwajumahamissi2494 ปีที่แล้ว +3

    Mashallaah hongera bro ❤️

  • @totmohammedtotmohammed2982
    @totmohammedtotmohammed2982 ปีที่แล้ว +1

    Waleteeeeeee. Wapi kugwi dume napenda mafundo. Yako. Tu mwanaume ww hiii move jitahidi isifikie mwisho 😊😊

  • @nahida4657
    @nahida4657 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah kaka etu mwenyezi mungu azidi kumfungulia yarabii unazidi kutupa elimukwakweli tunafurahi Sana

  • @MwanajumaShaban-z2x
    @MwanajumaShaban-z2x 2 หลายเดือนก่อน

    Allah azidi kukupa elmu zaidi Ibra the Don wallah mafunzo mazuri na yenye mpangilio mzuri❤❤

  • @judithjoseph8415
    @judithjoseph8415 ปีที่แล้ว +2

    Ww Ni wamoto Ibrah Asante sana kwa kutupa Funzo Maishani

  • @SalomeErnesti-xf8zz
    @SalomeErnesti-xf8zz 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wasambaa sis twavumilia mengi twaogopa kuwapa aibu wazazi wetu daaa mhh hatareee mafunzo waume wavyee weangu washambaaa weanguuu mhaho

  • @MonicaMkombwe
    @MonicaMkombwe 20 วันที่ผ่านมา

    Yaani nilikuwa nakuonaga tu KUNGWI nakupita ila Jana nikasema acha niangalie ila najifunza sana form Oman 🇮🇷

  • @GloryfashionDesigner
    @GloryfashionDesigner 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda bure kaka yangu, from Namibia

  • @Halima-pi1vi
    @Halima-pi1vi ปีที่แล้ว +2

    Asante Kaka nimejifuza mengi kutoka gulf

  • @marrynemec-bg6hk
    @marrynemec-bg6hk ปีที่แล้ว +3

    my favorite ibrah the don🙌🔥

  • @atusanga8306
    @atusanga8306 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe kaka kwa funzo unalotupatia mwenyezi MUNGU azidishe karama yako asante

  • @AlberiqueNiyibitanga-ws2kr
    @AlberiqueNiyibitanga-ws2kr 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubali sana

  • @salmalamar3081
    @salmalamar3081 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana my bro 😘😘😘

  • @NaveenLordrick
    @NaveenLordrick 8 หลายเดือนก่อน

    Hpo kwenye kupiga mwiko nlkuwa cjui daah... Clap 4 u kungwi dume❤

  • @فطومفاطمه-ش2و
    @فطومفاطمه-ش2و ปีที่แล้ว +3

    Wow!! Uyu kungwi dume aongea ukweli yaani mpaka basi Mungu akujaalie maisha marefu

  • @MuhamadiHamdu-q2e
    @MuhamadiHamdu-q2e 16 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kwa kaz nzuri ❤❤

  • @RamraAsumani-c5h
    @RamraAsumani-c5h 2 หลายเดือนก่อน +1

    nakupend san kungwi dume

  • @irakozeraliah2947
    @irakozeraliah2947 ปีที่แล้ว +1

    Daa jamanii huwa najifunza snaa ,asant kaka Ibra 🙏🏽tunakufatiliy tukiwa burundi

  • @nsengumuremyisylvester4950
    @nsengumuremyisylvester4950 ปีที่แล้ว +3

    elimu tosha baba!!hongela sana

  • @bintmwanyello2350
    @bintmwanyello2350 ปีที่แล้ว +1

    Nzur mnooo kaka asnte san

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er ปีที่แล้ว +1

    Mambo ya sufulia na mwiko mbona pambeeeeeee👌👌👌

  • @alhmdulilah1187
    @alhmdulilah1187 ปีที่แล้ว +1

    Apo kwenye kopi la chooni kuna mm naogopa kutoka nje usiku😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 ปีที่แล้ว +1

    Hongera saaana elimu unayotoa ni mafunzo kamili kwa jamii unafunza mpaka vya uvunguni big up bro Allah Ibariq

    • @zena6203
      @zena6203 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😄😄😄hamna jipya kl

  • @kigenimohammed7847
    @kigenimohammed7847 ปีที่แล้ว +3

    I'm from 🇰🇪 Kenya
    Where are you watching from?

  • @khadijaabdul-kadir7264
    @khadijaabdul-kadir7264 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kaka mng akubariki Kwa ku2elimisha 🙏🙏

  • @khadijamunga3181
    @khadijamunga3181 ปีที่แล้ว +1

    Kaka we n kiboko umenifunza xna kupitia hii movie💥💥💥❤️

  • @Burudanifilms
    @Burudanifilms ปีที่แล้ว

    Aky hii episode imenitoa chozi la furaha pasi kutarajia .ongera sana ibrah kungwi dume

  • @sadadjafari4394
    @sadadjafari4394 ปีที่แล้ว

    Nice sana broh ubarikiwe unatufunza mengi

  • @alimussino2151
    @alimussino2151 ปีที่แล้ว

    Sante ibrah the don endeleia kutupa elimu yako Kaká yetu🇲🇿🙏

  • @minnahloveiove1074
    @minnahloveiove1074 ปีที่แล้ว

    Hansi iyo staili ya mayele nimeipenda iyo😘😘😄😄😄😄😄😄😄kazi nzr

  • @fatumamohammed2857
    @fatumamohammed2857 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah hongera sana kungwi dume

  • @reponsenakashenyi-nz7ps
    @reponsenakashenyi-nz7ps ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwaushauri mzuri, nakufata inchini Congo 🇨🇩

  • @umu-kulthumkhamis-sy4jt
    @umu-kulthumkhamis-sy4jt ปีที่แล้ว +3

    Allah akuzidishie kutufunza 🙌

  • @AtupyeSanga-g5d
    @AtupyeSanga-g5d 7 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka ibra najifunza mengi sana ubarikiwe 🙏🏻🙏🏻

  • @emmyyussuf9234
    @emmyyussuf9234 ปีที่แล้ว

    Mashallah mafunzo mazury mnoo ahsanten xana washiriki🙏❤

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kungwi dume....

  • @zawadinusrakakozi
    @zawadinusrakakozi ปีที่แล้ว

    Kaka Ibrah mafundisho yako nayapenda sana yang pana shauri

  • @bintimarkan5898
    @bintimarkan5898 ปีที่แล้ว

    Hy jaman ibra mungu akupe umri mrefu ili utujuze mengi nashukur sana nimejifunza kitu katika maisha mungu azid kukupa afya njema ili na sisi tuzid kujua mengi kutoka kwako

  • @MonicaMkombwe
    @MonicaMkombwe 20 วันที่ผ่านมา

    Hapa ndiyo najua mussa siyo Mme wangu ni Mme wa mtu coz yapo kama hivyo ila wanaume bhana mnambingu yenu

  • @salmamsakuzi3070
    @salmamsakuzi3070 ปีที่แล้ว

    Ulivurugwa kungwi dume mwali kaolewa juzi Leo anaachika😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @swabrinaidassy865
    @swabrinaidassy865 ปีที่แล้ว +5

    KUNGWI DUME❤❤❤❤❤

  • @audreyakinyi493
    @audreyakinyi493 ปีที่แล้ว +1

    Hekima ya hali ya juu,MUNGU akuzidishie kaka

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu nimejifunza sna m/mungu akuongoze kaka ibra

  • @SomoeOmary
    @SomoeOmary หลายเดือนก่อน

    Napenda jamani❤

  • @Aisha-h1t4e
    @Aisha-h1t4e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Love you ibr

  • @GenerallyMkuu
    @GenerallyMkuu ปีที่แล้ว

    It's very nice video kaka ibrah

  • @Frola-r9z
    @Frola-r9z 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana jamani 🙏🙏kuna kitu nimejifunza mno

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka yangu kwamafunzo yako mazur ❤❤❤

  • @mwanaidihassan3817
    @mwanaidihassan3817 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ina mafunzo. Sanaa🙏🙏

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha jamani kisambaa kizuri na mafunzo yake🙏🙏🙏🙏

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 ปีที่แล้ว

    Mungu. Akubarriki ibra duuuu napendaa sana EP 6

  • @CaroMuriuki
    @CaroMuriuki 5 หลายเดือนก่อน

    Napenda Sanaa mafunzo yako nimetokea kenya

  • @norahpaul6268
    @norahpaul6268 ปีที่แล้ว +1

    Asante nimejifunza kitu kaka

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 ปีที่แล้ว +7

    Lovely lessons

  • @hazlaramadhani8062
    @hazlaramadhani8062 ปีที่แล้ว +1

    Maneno yako Kaka ibra ya mwishoni yameniuma Sana wanaume hawajali kabisa tunafanya mangapi

    • @zena6203
      @zena6203 ปีที่แล้ว

      Yani hawana shukurani

  • @AhmadMayunga
    @AhmadMayunga 2 หลายเดือนก่อน

    Nzuri

  • @marypaul3888
    @marypaul3888 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka kaz nzur sana🤝🙏

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 ปีที่แล้ว

    Kwakweli Allah akubariki sana unawafunza vizuri

  • @rajaman2802
    @rajaman2802 ปีที่แล้ว

    Kali sana brother

  • @MwanashaLonya-u2k
    @MwanashaLonya-u2k 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah kungwi dume Allah akueke

  • @Frola-r9z
    @Frola-r9z 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka

  • @joseph-iq2oq
    @joseph-iq2oq ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki kaka ibrah watifundisha sana

  • @KhadijaOthmani-d4n
    @KhadijaOthmani-d4n ปีที่แล้ว

    Umeutish broo we ni zaidi ya mwalim

  • @MboneaMjema-bh6kf
    @MboneaMjema-bh6kf 2 หลายเดือนก่อน

    Jmn hawa wanatufuNza kweeli

  • @pinklips6067
    @pinklips6067 ปีที่แล้ว

    Mashaallah unajua sana bro Ibrah

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuongezea uwezo mkubwa hongera san brother

  • @pendezawillson3499
    @pendezawillson3499 ปีที่แล้ว

    Uko poh sana Allah akujalie uwe iviv

  • @umimzee5195
    @umimzee5195 ปีที่แล้ว +1

    Penda sana mafunzo yako❤❤❤❤

  • @benoitbushiri2676
    @benoitbushiri2676 10 หลายเดือนก่อน

    Nakuku mbali kungwi dume jamani❤❤❤❤

  • @mwanamkuusuleiman7889
    @mwanamkuusuleiman7889 ปีที่แล้ว

    Ibraa ntakuita uje unifunze na mm❤❤❤❤

  • @uwimanamagnifique6983
    @uwimanamagnifique6983 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Kaka yangu nime jifunza kitu

  • @saidanassoro7885
    @saidanassoro7885 ปีที่แล้ว

    ,nlikua nasubiri kwa hamu Asante kaka ibra

  • @rosesauli4600
    @rosesauli4600 ปีที่แล้ว

    Wow nimewah mapem tu thanks for all broo

  • @samirasayeed-cd9lr
    @samirasayeed-cd9lr ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana🤗

  • @AsdAsd-d7f
    @AsdAsd-d7f 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @Mary-vg4xp
    @Mary-vg4xp ปีที่แล้ว

    Kazi nashukuru sana kwa kutuelimisha

  • @zuhurahussein4738
    @zuhurahussein4738 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli kungwi dume umetuelimisha hongera kaka

  • @selmezahor4696
    @selmezahor4696 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazur jaman mwiko uoshe na sufuria Hilo,🤣🤣mola awabarik wapendwa leten tamthilia jengn tujifunze Hadi Raha kwa kwey,

  • @shaibchat8054
    @shaibchat8054 ปีที่แล้ว

    We jamaaa unajua sanaaaa khaaa!!😂

  • @Frola-r9z
    @Frola-r9z 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka chukua maua ❤❤❤❤

  • @safinali-bl5vv
    @safinali-bl5vv ปีที่แล้ว

    Hongera kungwi dume

  • @FanjaFanja-n1g
    @FanjaFanja-n1g 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂 mbavu zangu mieee 🤣🤣 sio Kwa sufuliya iyo

  • @shakirasalim4968
    @shakirasalim4968 ปีที่แล้ว

    Hongera kazi nzuri sana

  • @aishasadickally-lz6kr
    @aishasadickally-lz6kr ปีที่แล้ว

    Unatufundixha xn kaka axante xanaa mng akupe umri mrefu

  • @salimsaid7722
    @salimsaid7722 ปีที่แล้ว

    Uko juu thedon

  • @spelansiahashim8686
    @spelansiahashim8686 ปีที่แล้ว

    Mmmh Asante kaka unatufundisha sana

  • @maryamahmed4144
    @maryamahmed4144 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kungwi dume

  • @ladyaishaoloo-rd3ns
    @ladyaishaoloo-rd3ns 11 หลายเดือนก่อน

    Apo kwa chupi naitaji juwa zadi isini pite jamani❤❤❤🎉

  • @kwekwetsuma3524
    @kwekwetsuma3524 หลายเดือนก่อน

    Asante sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉