Asante sana kwa Elimu Mungu akubariki Mwalimu wetu. Kwakweli hii video yako imenipendeza zaidi ya zote. Nimependa jinsi umevaa kwa kweli umependeza sana MashaAllah. Elimu yako iko kote kote haubagui wala kujali watu fulani 😊❤
Nimependa jinsi gani umeweza kuendana na muktadha wa mazingira. Bila ya kukinzana na imani yako Umepiga kanzu yako safi kabisa kaka Joel Mungu akubariki sana
Financial education nimependa sana ilo eneo kwakua pesa inakaa na mtu kulingana na kiwango chake cha maarifa. kaka unazidi kutu jenga kimaarifa kunakitu nmekipata kutoka hapo kaka joel mungu akubariki sana.
Napenda nikuite Nanauka,maana hakuna Nanauka mwingine kama wewe,lakini kina joel niwengi,aisee ulinisaidia sana bro kipindi nilipokua na hali ngumu sana,sasa nashukuru Mungu.
MANSHAALLAH bro katozwe shahada basi
Mm nakuombea kuwa muislam safi maake umependeza mashaALLAH
Asante sana kwa Elimu Mungu akubariki Mwalimu wetu.
Kwakweli hii video yako imenipendeza zaidi ya zote.
Nimependa jinsi umevaa kwa kweli umependeza sana MashaAllah.
Elimu yako iko kote kote haubagui wala kujali watu fulani 😊❤
Unachukuwa mikoba ya baba wa Taifa
Huna bifu na dini yoyote Heshima yako Tajiri wangu
Hahahahahaha.... Leo umwnifurahisha saana ustadh Joel nanauka
Nimekufatiliza zaid ya miaka 6 namshukuru Kwa elimu Yako na mungu azidi kukulinda
Kofia Mr Joel imekupendeza sanaa nafuatilia clip zako nikiwa Muscat Oman .. ubarikie kw jina la Bwana
Mwalimu joel nanauka unafaa kua mwislamu umependeza mbio kwa kanzu na kofea
Kaka hiyo kofia nimeipenda😂😂
Nashukur NANAUKA,KTK elimu hii ngoja nianze kujitafta,elimu za awal kama zimenilemaza
Kwakweli Leo nimeelew mana sijawah kuon ukivaa kofia na kanz yake .... asant ...ila nakubal sanaa darsa zako mkuu;: see at the top
Safi kaka Joel hongera kwa kumwaga zege la uchumi, unatuwekea msingi ubarikiwe sana
Nimependa jinsi gani umeweza kuendana na muktadha wa mazingira. Bila ya kukinzana na imani yako Umepiga kanzu yako safi kabisa kaka Joel Mungu akubariki sana
Nzur
Umependeza kaka
Nafurahi uwepo wako, unanipa nyenzo mpya kwenye maisha yngu ...❤
Hii mada imenivutia sana asante mwalimu
Bro hakika mungu aendelee kukupa nguvu na hekima
Najifunza mengi mazuri kupitia wewe Mungu akubariki
Hapo kwenye moyo na kichwa nimekuelewa sanaa by
Financial education nimependa sana ilo eneo kwakua pesa inakaa na mtu kulingana na kiwango chake cha maarifa. kaka unazidi kutu jenga kimaarifa kunakitu nmekipata kutoka hapo kaka joel mungu akubariki sana.
I love everything about this video.. thank you..🙏
Asante sana
Nipo na wewe Kila Kona hakika umekuwa msaada mkubwa Sana kwenye maisha yangu MUNGU akuongoze Sana kaka @Joel Nanauka
Asante sana Mr joel
NOTED
Long live one among of my coaches
Broo 👏 sana nakupata
Umependa san kak Joel kwa ulivaa ❤❤
❤❤❤nakupenda kayika jina la bwana kwa kweli umenifungua ahsante❤❤❤
Sawa sawa
Nilipoangalia kwa mara ya kwanza nikadhani sio ww hadi nilipofungua ndio nkaelewa,see you at the top
🙏🙏🙏🙏
Asante kaka Joel.Swali langu nikweli kaka Joel ni muislam
Umemsikiliza lakini? Ni mmakonde. Kama harmo 😅
Napenda nikuite Nanauka,maana hakuna Nanauka mwingine kama wewe,lakini kina joel niwengi,aisee ulinisaidia sana bro kipindi nilipokua na hali ngumu sana,sasa nashukuru Mungu.
Ahsante kwa mrejesho nafurahia kusikia hivyo
Mungu akutunze sana brother wangu,Mungu alikutumia sana kua nembo yake kwangu,nikipata mawasiliano yako nitakwambia zaidi,naomba nikutafute Instagram.
Mm tatizo langu ni Moja ,,napata pesa nyingi Sana lakin hazikai ,kila nikijaribu kuweka nashindwa hazikai,,,
Mtuu akiwaa anahitaji vitabu kamaa yupo zanzibar atavipata vpi au vinapatikanaa wapi kwa hukuu zanzibar
❤️❤️❤️
Apo kaka umetuchukua kisaikolojia katika vazi ilo
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🏻
🙏
🎉
Shekhe wa dunia 😂
Part 3 lini @joel_nanauka?
Asante kwa kuendelea kutujali
Asante kwa kushukuru pia
Inakuja
@@joelnanauka asante
Mwalimu joel nanauka unafaa kua mwislamu umependeza mbio kwa kanzu na kofea