Mwalim wa taifa la tanzania.mwalim wa wote wanasiasa ,wanasheria,inshort wa wajamii.ni international speaker ,na ni msomi wa taifa.hongera kaka👏👏👏yaani kila somo unafafanua vizuri.nimekubaini unapenda kusoma wewe binafsi,na ni mzungumzaji mwenye kipawa cha kueleweka,sio yule mzungumzaji mpenda maiki .wewe ni mzungumzaji msomi unaependa kusoma.🤝ahsante .mungu akueke maisha marefu yenye afywa na mafanikio telee🙏🙏🙏
Mwanaharusi ali faki Faki Ahsante sana...nashukuru kwa kunitia moyo niendelee zaidi.Namshukuru Mungu pia kunipa kipawa hiki. Tuendelee kujifunza na nisaidie kuwaambia na wengine pia.
Asante sana bro.. Joel .... mungu azidi kukuongoza kwa kila jambo...unalo tufanyia ...kwa kweli mafundisho yko..yametupa mitazamo tafauti katika maisha yetu... Barikiwa sana coach wa.. maisha...Sibure kiko kitu kikubwa mungu amekuandalia..kw...ajili yko... hongera sana ... bro....uko sawa..🎉🎉🎉.🙏🙏🙏
Najifunza mengi kupitia mafundisho yako kwakweli kunavitu unanibalisha kaka Joel mungu azidi kukutumia kutuelekeza maisha ...mungu akubariki nakukupatia maisha marefu na uzidi kuwa juu
asante sana kaka joel nanauka kwa kweli nakupenda sana na moyo wangu wote sababu unazidi kunitiya nguvu na kujiaminiya katika malengo yangu kwa ule mfano umetowa wa yule jamaa wa myaka 16 hadi 42 ameshindwa kubadili maisha na kubaki akijilaumu mimi imenigusa hakika Mungu akuzidishiye knowledge na akupe maisha malefu na afya nzuli...SEE YOU AT THE TOP
E.shigongo +J nanauka +Luvanda + J Ezden + Nk+ My effort=More successful 4everything that I want to achieve. Thanks broo you'll see me in the circle of the winner.
Aisee umenifumbua sana macho sasa nimekua mfatikiaji vitabu. Na video zako najuta kwann ckukujua mapema Ila mungu akubariki sana najifunza vingi kuoitia ww
Mwalim wa taifa la tanzania.mwalim wa wote wanasiasa ,wanasheria,inshort wa wajamii.ni international speaker ,na ni msomi wa taifa.hongera kaka👏👏👏yaani kila somo unafafanua vizuri.nimekubaini unapenda kusoma wewe binafsi,na ni mzungumzaji mwenye kipawa cha kueleweka,sio yule mzungumzaji mpenda maiki .wewe ni mzungumzaji msomi unaependa kusoma.🤝ahsante .mungu akueke maisha marefu yenye afywa na mafanikio telee🙏🙏🙏
Mwanaharusi ali faki Faki Ahsante sana...nashukuru kwa kunitia moyo niendelee zaidi.Namshukuru Mungu pia kunipa kipawa hiki.
Tuendelee kujifunza na nisaidie kuwaambia na wengine pia.
Wow aisee na mm nilianza padogo sana nafanya importation naona kuna mahali naelekea, be blessed I have learn more in this
Asante sana bro.. Joel .... mungu azidi kukuongoza kwa kila jambo...unalo tufanyia ...kwa kweli mafundisho yko..yametupa mitazamo tafauti katika maisha yetu... Barikiwa sana coach wa.. maisha...Sibure kiko kitu kikubwa mungu amekuandalia..kw...ajili yko... hongera sana ... bro....uko sawa..🎉🎉🎉.🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🌍🌍🌍🌍 najivunia kuwa mmoja wa wanafunzi wako
Najifunza mengi kupitia mafundisho yako kwakweli kunavitu unanibalisha kaka Joel mungu azidi kukutumia kutuelekeza maisha ...mungu akubariki nakukupatia maisha marefu na uzidi kuwa juu
Thanks #SeeYouAtTheTop
Thanks alot,, too late to watch bt I have gained something ❤❤
I LIKE "START SMALL";BIG UP MY BROTHER
asante sana kaka joel nanauka kwa kweli nakupenda sana na moyo wangu wote sababu unazidi kunitiya nguvu na kujiaminiya katika malengo yangu kwa ule mfano umetowa wa yule jamaa wa myaka 16 hadi 42 ameshindwa kubadili maisha na kubaki akijilaumu mimi imenigusa hakika Mungu akuzidishiye knowledge na akupe maisha malefu na afya nzuli...SEE YOU AT THE TOP
douglas radley Ameen,tukutane bujumbura 2020
Asante kaka Joel, hakika sijajuta kuku fatilia mungu akubariki
Nice work my brother...keep moving....!!!!!
Success Path thanks kaka,much appreciations.Tuendelee kueleimisha jamii
@@joelnanauka Pamoja sana!
You keep me going and I will make it : you will see me at the top🙏
Kusoma vitabo nimeshindwa ila motivation speech zako azinishindi kufata I'm so proud of you ❤️
Bora Génerose thanks for following,pamoja sana
Kaka uko vzr sana vijana tunajifunza vitu vya misingi
Chriss Malloy nashukuru sanaa
Powerful and Transformative 💪
Ndugu Ahsante sana kwa Vipind vyako vizuri
Heavenly Patric nashukuru sana tuendelee kujifunza
E.shigongo +J nanauka +Luvanda + J Ezden + Nk+ My effort=More successful 4everything that I want to achieve. Thanks broo you'll see me in the circle of the winner.
Nzuri kaka you are so genius one! Kongore zako Mungu awe nawe!!
Asante Kwa Support Yako
Nice Job Mr.Nanauka
To me, you will always remain the best
you have become my roll model
#SeeYouAtTheTop
Nimejifunza sana, ahsante.
Stars where you are
Use what you have
do what you can
Nzuri mno 💥💥💥
aisey inatia moyo sana..ubarikiwe sana bro
safi sanaaaaaaaaaaaaaaaa🤝🤝🤝🤝🤝
Best of Best 🙏🙏🙏🙏
You are real mentor my sir
Joeli unanikosha sana nime kuwa mlevi wa masomo yako Kila kukicha Nina tafuta post zako.
Thanks my mentor CEO and MD of Africa Success Academy
Nakuelewa sana kaka, nina mengi unanivusha kupitia vipindi vyako ila see u one day
Kila siku unanitia moyo kuendelea zaidi (anza kidogo/siogopi tena marafiki wakitoroka ninasongo😉). Thanks God bless you.💜
Kate Natalie Faitheruothyesu kabisaaa
Kate Natalie Faitheruothyesu i
Asantee kaka, zidi KUBARIKIWA.
Winny Shayo Ameen
Noted thank you brother
Asante ..bado sijachelewa
I can testify Nanauka you are great speaker, keep it up.
I do listen to your lectures, and they have done big in me, am very grateful! Am From Kenya.
Umenisaidia sana kupitia elimu ya maisha na kunitia moyo nilichukua maamzi ambayo yamebadili maisha yangu
Berarimin Wilbert hongera sanaaa
Nice one my teacher...following from Nairobi kenya
this is powerful, by the way blaming is losers game.👍
詹姆士mgallason sure
Thanks Mr. Joel Nanauka
powerful words...Am speechless see uu at the Top brother
Fatma Mwiru See You At The Top
@@joelnanauka mlccj i
The journey of 1000 miles begins with one step
Ujumbe mzuri sana pamoja sana
Great 👌👌👌👌
Tunashukru sana kaka Joel,,,
Miriam Saidi karibu sanaa
Fantastic mind set alwayz mind ur business
Safi sana mungu akubariki
Leila Mohamed Ameeen
Ahsante
May God bless you
Kuna kusudi kubwa nchini tanzania kuzaliwa mtu kama Joel kwa kila kijana ananafasi kubwa kufanya mabadiliko kupitia masomo haya.
Sawa ni vema kuelewa kusudi halifeli yatupasa kutosikiliza maneno yasiyo inua Kusudi ni MUNGU BABA MWENYEWE
Asante sana
Big Up My Mentor
#SeeYouAtTheTop
Tulipata madini sana siku hiyo!
Thanks Asante Kwa Support
u a so good joel
Naitaji vitabu vyako sijui napataje niko Songea
Kaka unafaa sana
👏👏🤝
I'm the CEO of my life, kweli joel
Kirefu cha ilo neno nini nijuze my dear
@@rechoshaby3843 chief executive office r
Yaan nmetazama hii video nimeshatoka na bness idea yangu nyngine, Mungu akutunze
Kaka Joel sinaswali kwako ila naomba unipatie namba yako nikuwa nikufatilia tangu2017
mbona mimi sioni video hii kuna tatizo gani
Video Ipo Ndugu
asnte kaka nanauka
Thanks
#SeeYouAtTheTop
Laa, ni Kweli kaka kwani umenifanya nimekuwa tofauti Sana hasa niliposikiliza speech yako ya 50%,30% ,20% imenibadilisha Sana
Please I would appreciate if you become my mentor. In need of #MentorshipRightAway. Thanks #NanaukaSeeMeAtTheTop.
nakukubal kinyama asee
gono
Ujumbe mzuri sana pamoja sana
Thanks
Kaka unafaa sana
asnte kaka nanauka
kagoma matabika karibu magoma
Aisee umenifumbua sana macho sasa nimekua mfatikiaji vitabu. Na video zako najuta kwann ckukujua mapema Ila mungu akubariki sana najifunza vingi kuoitia ww