DR IPYANA ft JOEL NANAUKA // DAMU YA YESU NA UTAJIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 169

  • @ElizabethFerdnand-se7qp
    @ElizabethFerdnand-se7qp 8 หลายเดือนก่อน +7

    Joel Nanauka wew ni zaidi ya Pastor, Kwa Hakika Leo ninatoka katika kila aina ya utumwa kwa haya mahubiri na mafundisho Yako kupitia DAMU YA YESU,Ubarikiwe sana, Leo kwa mara ya kwanza ninacomment

  • @lusekelomwaigwisya850
    @lusekelomwaigwisya850 9 หลายเดือนก่อน +65

    Msomi mkubwa namna hii anaamini Yesu na anaongea mambo kwa upeo mkubwa, Mungu wangu niondolee huu moyo wa jiwe, nipe kukuamini wewe na kufuata mapenzi yako Amen!

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน

      pole saana na Hongera kwa uthubutu

  • @lucymsigwa443
    @lucymsigwa443 9 หลายเดือนก่อน +50

    Hii DAMU ya YESU ni halisi jamani nimeongeza kitu coz nimetumia sana hii damu nimepata utajiri kwa muda mfupi sana adi watu wanaiita freemaso ila ni DAMU sasa naitumia niweze kuolewa 🎉

    • @jbclassic1009
      @jbclassic1009 9 หลายเดือนก่อน +2

      Am here

    • @stevenjoakimu28
      @stevenjoakimu28 9 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @WaRoboh
      @WaRoboh 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂Amina

    • @PhilemonPaulo
      @PhilemonPaulo 9 หลายเดือนก่อน +3

      Nipo Hapa

    • @lucymsigwa443
      @lucymsigwa443 9 หลายเดือนก่อน

      Mbona bado sijaanza kutumia damu sio wewe​@@PhilemonPaulo

  • @AustineAustine-dv9ot
    @AustineAustine-dv9ot 9 หลายเดือนก่อน +13

    Sijawahi comment maisha yangu yote ila leo wacha ni comment ❤❤

  • @esthersimbeye5480
    @esthersimbeye5480 8 หลายเดือนก่อน +4

    Glory to God, ni wakati wetu wa kutawala ulimwengu kupitia Damu ya Yesu

  • @mahambagislain9618
    @mahambagislain9618 9 หลายเดือนก่อน +7

    Leo nime elewa maana ya Damu ya yesu kristo Mungu aku bariki sana mpendwa 🎉🎉🎉🎉🇨🇩

  • @catherinemzurikwao3265
    @catherinemzurikwao3265 9 หลายเดือนก่อน +19

    Bado Mungu ana vijana anaojivunia kama kina Yusufu.I love Joel Arthur Nanauka and Dr.Ipyana! Mmebarikiwa ❤

  • @nancydenis.9231
    @nancydenis.9231 9 หลายเดือนก่อน +9

    Hallelujah yani n madini madini madini ❤❤ooh Yesu mwema awatunze n kwel tunaiundermine damu ya Yesu ,Mungu atusamehe sana.Mungu awatunze pst Nanauka na Dr Ipyana

  • @LilianJulius-px9qh
    @LilianJulius-px9qh 9 หลายเดือนก่อน +8

    Daaaaah huu ufunuo jaman umenipa ufaham mwngne Mungu awabark sana watumish

    • @zitashio7920
      @zitashio7920 8 หลายเดือนก่อน

      Halleluya

    • @zitashio7920
      @zitashio7920 8 หลายเดือนก่อน

      Jina langu halitanuka Bali litanukia na kung'aa kwa damu ya Yesu

  • @AnnastaziaJeremiah-ch3vx
    @AnnastaziaJeremiah-ch3vx 8 หลายเดือนก่อน +2

    Joel & doctor mbarikiwe Yesu amewaleta vijana wenywe hakili ya kiungu wenywe Roho wa Mungu ndani Yao ohhh nimeunuliwa Sana

  • @SimonNdilaliha
    @SimonNdilaliha 7 หลายเดือนก่อน +4

    asante sana brother kwa neno la uzima

  • @margaretgilbertdantes1167
    @margaretgilbertdantes1167 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mhh powerful powerful wow what a revelation man of God ufunuo 5:12

  • @godfreypeter4630
    @godfreypeter4630 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nilimsikiliza vizuri kabsa Pastor Joel,hakika MUNGU atanipa umiliki wa viwanja majumba magari 🙌💪.

    • @flaviasudi387
      @flaviasudi387 9 หลายเดือนก่อน +1

      Unapokea Kwa DAMU YA YESU

  • @deboramakala3044
    @deboramakala3044 9 หลายเดือนก่อน +3

    Damu ya Yesu inene mema juu ya maisha yangu.Napokea jina jipya katika jina la Yesu. Ameen

  • @SaraphinaPiason-ws3if
    @SaraphinaPiason-ws3if 8 หลายเดือนก่อน +3

    Yesu ni mzuri mno

  • @elishadeulitv2711
    @elishadeulitv2711 7 หลายเดือนก่อน +4

    Huu ni ufunuo wathamani saana tuu!!❤

  • @godfreycheyo3396
    @godfreycheyo3396 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nimebarikiwa sana na ujumbe huu kutoka kwa mwl na pastor joel

  • @augustfive5279
    @augustfive5279 23 วันที่ผ่านมา

    Mimi na fanilia yangu tunaomba part 2 ya haya mafundisho yakiroho tafadhalini

  • @Ledawemsafari
    @Ledawemsafari 8 หลายเดือนก่อน +3

    Amen Damu ya yesu inene mema kwa maisha yangu ktk ji na la yesu

  • @johngeorge5196
    @johngeorge5196 8 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU awabariki watumishi wa MUNGU kwa kutufunulia maandiko yenye kutujenga kwa viwango vya juu kabisa.... Asanteni, Again MUNGU awabariki sana, musichoke kutuhubiria .... #DAMU YA YESU..... #BabaParoko .... God is alive, God is super

  • @queenessiekenya6869
    @queenessiekenya6869 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wow this is more than powerful 🙏🏼🙏🏼Damu ya yesu itunenee mema 🙏🏼🙏🏼

  • @julianalaly2095
    @julianalaly2095 8 หลายเดือนก่อน +2

    Vizuri tunafurahia uwepo wako kaka Joel

  • @injiliministries2665
    @injiliministries2665 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen, Glory to God ... Mungu awabariki sana Dr na Joel

  • @gracekimath7964
    @gracekimath7964 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimesikiliza, nilikuwa napita pagumu mno, nikafanyia kazi Damu ya Yesu nimevuka kwa kishindo na kuanzia niliposikia sitamani kuacha kuomba kupitia damu ya Yesu na nategemea mambo makubwa mna

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ameeen Ameen Ameen

  • @rehemamwangoka
    @rehemamwangoka 8 หลายเดือนก่อน +1

    damu y yesu inene mema kwenye maisha yangu katika jina la yesu kristo Amen

  • @marryjames-wl7be
    @marryjames-wl7be 9 หลายเดือนก่อน +2

    Duuuuu huyu mchungaji ni moto mwingne aiseee YESU akutunze mchungaji na Dr.pia mbarikiwe na YESU🙏🙏❤❤

  • @PetronillaNduku-y1e
    @PetronillaNduku-y1e 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sauti hatusikii chochote. From Kenya

  • @omuze1290
    @omuze1290 8 หลายเดือนก่อน +2

    Glory to God. This revelation is so powerful. Thank you Dr. Ipyana & Joel Nanauka!

  • @josepndayay
    @josepndayay 2 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana Dr ipyana kwa somo hili.
    Be blessed in almighty name of Jesus

  • @enocklazaro8175
    @enocklazaro8175 9 หลายเดือนก่อน +3

    I am blessed

  • @AndreaMwinuka
    @AndreaMwinuka 9 หลายเดือนก่อน +3

    Amen joel nanauka vs dk ipyana

  • @bakariomary5781
    @bakariomary5781 2 หลายเดือนก่อน

    Ndo hivyo matajiri wengi wanajua siri za Utajiri😂😂😂

  • @emausmedia1215
    @emausmedia1215 9 หลายเดือนก่อน +3

    More bless sana Watumishi WA MUNGU KAZI yenu ni nzuri sana

  • @glorygft2501
    @glorygft2501 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @ilomogold1715
    @ilomogold1715 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sema Joel genius huyu jamaa ana maarifa asee na anajua kuconnect

  • @nicholausrwezaura1971
    @nicholausrwezaura1971 8 หลายเดือนก่อน +3

    Amen and amen

  • @gladysnjeri282
    @gladysnjeri282 9 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana kwa mafundisho yako imefanya ni amke kiroho more grace

  • @Deodathkimario-ny4xv
    @Deodathkimario-ny4xv 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeamia dar ila madhabahu ya kuhudumu ndo sijajua mpk leo

  • @asifiwemndolwa8129
    @asifiwemndolwa8129 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kipindi bora kabisa. Watanzania tumebarikiwa.

  • @peterkungu4331
    @peterkungu4331 6 หลายเดือนก่อน +1

    Damu ya Yesu, inakupa provision

  • @JohnMedard
    @JohnMedard 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sna mtumishi mungu azidi kukuongeza viwango vya juu zaidi

  • @tumainijoshua5090
    @tumainijoshua5090 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndugu Joel amepewa upeo wa ajabu sana

  • @annendiangui7134
    @annendiangui7134 9 หลายเดือนก่อน +2

    This is so deep.Thanks and God bless.

  • @a.p.monlinetv3561
    @a.p.monlinetv3561 หลายเดือนก่อน

    Naam nashukuru sana Kwa kupata SoMo zuri kutoka kwenu🎉 Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki

  • @fadhillwitiko
    @fadhillwitiko 9 หลายเดือนก่อน +2

    Muda ulikua mchache, Dr naomba umelete tena nanauka, ajamalizia pale ambapo Damu inakua inagusa, kasema Ardhi, Anga, bado kimoja, please aje 🙏🙏

  • @lydiapeter878
    @lydiapeter878 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nimebarikiwa mno mno Asante sana Pastor nimepokea

  • @sibitasoinda7908
    @sibitasoinda7908 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan hapa shetani kafilisika Moja kwa Moja
    Mungu awatunze

  • @generoseemmanuel4222
    @generoseemmanuel4222 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema nitafanyia kazi kuanzia leo

  • @DicksonNelson-d1f
    @DicksonNelson-d1f 4 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA ASANTE SANA UJUMBE MZITO SANA MUNGU AENDELE KUKUPA KIBALI ZAIDI JOEL

  • @Adam-ct6rv
    @Adam-ct6rv 8 หลายเดือนก่อน +1

    My God My Lord, Nanauka umenifunza mambo ya ajabu mno.

  • @DanielMkandama
    @DanielMkandama 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Ipyana ..........
    Tusaidie kumuita mwalimu Mgisa Mtebe .......anaujumbe wa kiMungu juu yetu vijana

  • @mussathomas3661
    @mussathomas3661 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimebarikiwa sana Mungu awabariki sana Watumishi wa Bwana

  • @NaomyDaudi
    @NaomyDaudi 4 หลายเดือนก่อน

    Duuuuh watumishi mbarikiwe san kwa somo hili🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @DINAABEL-wx1ry
    @DINAABEL-wx1ry 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabàriki Santa nimejifunza kitu

  • @Cianadvd1
    @Cianadvd1 8 หลายเดือนก่อน +1

    This is another level kweli Mungu ana watu wake mbarikiwe sana

  • @floreswanyt5444
    @floreswanyt5444 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mmmmh so powerful,thank you for this

  • @Deodathkimario-ny4xv
    @Deodathkimario-ny4xv 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana❤

  • @moryn041
    @moryn041 9 หลายเดือนก่อน +2

    I am loving this!

  • @StephenMwaitebele
    @StephenMwaitebele 9 หลายเดือนก่อน +2

    Duh hivi vitu ndivyo tunavitaka kwenye kizazi chetu

  • @michaelmwedimage5515
    @michaelmwedimage5515 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Ubarikiwe, Sana Mungu ni Mwema Sana.

  • @lucasmwambene8266
    @lucasmwambene8266 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amen mubarikiwe sanaa watumishi

  • @enocklazaro8175
    @enocklazaro8175 9 หลายเดือนก่อน +1

    You people are smart and annointed!

  • @luganomwakyusa7697
    @luganomwakyusa7697 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni Injili halisi yenye kupenya

  • @Alicemdee
    @Alicemdee 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah 🙌 🙌🙌🙌🙌

  • @cstephano
    @cstephano 9 หลายเดือนก่อน +1

    Damu ya yesu inene mema juu ya masomo yangu na maisha yangu Kwa ujmla🙏🙏🙏🙏

  • @Moses-OJ
    @Moses-OJ 4 หลายเดือนก่อน

    Oh Goodness this is so powerful.

  • @tonytyson1019
    @tonytyson1019 8 หลายเดือนก่อน +1

    Godbless pastor joel Nanauka

  • @happysadallah4590
    @happysadallah4590 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aiseeeeeee, Asante Mungu, Damu ya Yesu imeniponya…

  • @graceoisso3238
    @graceoisso3238 8 หลายเดือนก่อน

    Amen, Asante Yesu kwaajili ya watumishi wako hawa, kaka Joel nilikuwa nakufahamu upande mmoja tu, upande huu wa kiroho nilikuwa sijakujua kaka upo vizuri, huo upako najingamanisha nao kwa jina la Yesu na Damu ya Yesu Kristo. Waooo ❤

  • @gladnesssanga1601
    @gladnesssanga1601 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen watumishi mbarikiwe sana, damu ya Yesu iendelee kunena mema

  • @dorisn9111
    @dorisn9111 9 หลายเดือนก่อน +1

    Oooh God this is powerful , hallelujah . Praise the living God

  • @NeemaKiria-wz5gh
    @NeemaKiria-wz5gh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa Damu ya Yesu inanguvu Sana

  • @elidywanja4559
    @elidywanja4559 9 หลายเดือนก่อน +2

    Oh the blood of Jesus come through for me and my family.

  • @magrethalphonce-yb1xw
    @magrethalphonce-yb1xw 8 หลายเดือนก่อน

    Amina MUNGU awainue wengi kama wewe dunia itambue damu ya YESU inanguvu kuliko kitu chochote dunia barikiwa sana.

  • @LukeMusandile
    @LukeMusandile 8 หลายเดือนก่อน

    Damu yaYesu initakase kila history yangu yote mbaya. Damu ya Yesu inene mema kwenye maisha yangu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mithali 8:12 ❤️

  • @theresiamwanamkejasiri6510
    @theresiamwanamkejasiri6510 8 หลายเดือนก่อน

    Namuinua Yesu sijaona mtu akipinga....Damu ya Yesu oooh ni zaidi ya ya tunavyoelewa wala tunavyoweka kuelezea,Mungu akubariki Joel

  • @magrethwilliam1436
    @magrethwilliam1436 6 หลายเดือนก่อน

    Damu ya Yesu ni halisi na kweli,Amen and Amen,Mungu awabariki sana,ninapokea🙏

  • @MARYTHEBLESSEDONE
    @MARYTHEBLESSEDONE 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙌 thanks to God I come across this uplifting message, may the Lord God continue blessing you Dr

  • @isaacgara3528
    @isaacgara3528 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ila uyu jamaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @g.wisdom5926
    @g.wisdom5926 9 หลายเดือนก่อน +1

    Praise the Almighty GOD, this is powerful lesson we need to understand,to live within , to dominate and to be champions over everything.
    BLESSED THE JESUS CHRIST. 🙏

  • @cornerbrezz1207-lc6rg
    @cornerbrezz1207-lc6rg 6 หลายเดือนก่อน

    🥲🥲 nimefrahi sana jamani MUNGU awabaliki sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LilianLily-o1g
    @LilianLily-o1g 9 หลายเดือนก่อน +2

    My God my God,😢 i received it ❤️🎉

  • @WaRoboh
    @WaRoboh 9 หลายเดือนก่อน +2

    Oh my God I've learnt alot....😢

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @lebahatikeiya8666
    @lebahatikeiya8666 9 หลายเดือนก่อน +2

    God bless you, servants of God

  • @immamwangasi2934
    @immamwangasi2934 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaitaji hii serious iendelee dr

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 5 หลายเดือนก่อน

    Amen ❤❤❤

  • @asifiwefungo163
    @asifiwefungo163 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimebarikiwa sana,Mungu azidi kuwatunzaaa

  • @JacklineRweikiza
    @JacklineRweikiza 5 หลายเดือนก่อน

    Ubariwe munooooo

  • @tedyjoseph1394
    @tedyjoseph1394 9 หลายเดือนก่อน

    Kwani hii anafanyaga wap Dr Ipyana maana naitaman kweli 😢

  • @ansirandunguru
    @ansirandunguru 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @WilsonEmmanuel-bs6op
    @WilsonEmmanuel-bs6op 7 หลายเดือนก่อน

    NGOJA NAKAE NA MUNGU VIZURI MM KUSUDI NIPATA KUITUMIA DAMU YA YESU VIZURI MAANA ZAMBI INATUKOSESA KUMILIKI DAMU YA YESU

  • @obedimusiba582
    @obedimusiba582 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mungu ni mkuu
    Huu ni ufunuo wa kiungu

  • @njungedennis8227
    @njungedennis8227 9 หลายเดือนก่อน +1

    Two giants, appreciate you two

  • @ibadaworship5103
    @ibadaworship5103 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kukubariki

  • @ABELSyprian
    @ABELSyprian 6 หลายเดือนก่อน

    Joel ww n genius

  • @RachelMlunza
    @RachelMlunza 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo methal 10:8 mbona sioni

  • @JosephButoyi-qv8pm
    @JosephButoyi-qv8pm 7 หลายเดือนก่อน

    Ninawashukulu saana kwamufunzo munao tufunza