JE MAWAHABI NDIO WALIOWAGAWA? - Sheikh Muhammad Is'haqa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Full video on TH-cam
    Channel : Ihsaan Tv
    • LIVE - NASAHA KWA MARA...
    #bidaa #ukumbusho #taarifa #mawaidha #video #umuhimu #dini #islam #sunni #sunnah #jumuiya #swahili #mafunzo #ujumbe #nasiha #maarifa #utafutaji #elimu #uislamu #maombi #ujumbe #ufahamu #mihadhara #imani #tawhid #fadhila #Mazingira #MUHIMU #sunnah #fıkra

ความคิดเห็น • 34

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 8 หลายเดือนก่อน +1

    MaashaAllah shekh unaongea kwa utulivu
    Watu wanakaririshwa kuwa mawahabi ndio wanaugawa uislam jambo ambalo sio sqhihi

  • @gift-AA
    @gift-AA 7 หลายเดือนก่อน

    ALLAH AKUHIFADH

  • @HusseinKarumna
    @HusseinKarumna 8 หลายเดือนก่อน +2

    Allaaah atuongoze ktk njia Sahihi
    Shekhe mazungumzo yako yote ni hali mbaya ya Wasomi wetu ktk kufikisha Daawa lkn kuna jambo moja Ambalo sijalielewa nalo ni Kwanini ukiwataja hao Mashekhe walio Fariki Huwarehemu km ilivyo Kawaida ya Uislamu naomba kujua

  • @user-pu2uw2ib5y
    @user-pu2uw2ib5y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa nyinyi ndio mnaowagawa waislam

    • @husseinbhatia434
      @husseinbhatia434 7 หลายเดือนก่อน

      Ukitoa hicho unacho moyoni utaona Kila kitu vizuri.mi nakuambia unachuki unakitu moyoni kitoe ndugu yangu

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 7 หลายเดือนก่อน

    Shekhe mimi nakuwerewa Sana Allah akujaliee kheri kubwa

  • @hajjiramso1937
    @hajjiramso1937 6 หลายเดือนก่อน

    Shekh wang wa monga vyuru kichelekan allah akuhifadh

  • @jumaamohamed4203
    @jumaamohamed4203 7 หลายเดือนก่อน

    Acha ufedhuli we mzee mungu anakuona

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 7 หลายเดือนก่อน

    Kuwagawa Alikokusudia Shekh Muhammad Idi nikule nyumba moja Baba anafunga kesho mtoto anafunga Leo sio kugawanyika kwa khitlafu zao zakibinafsi

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 7 หลายเดือนก่อน

    Ukimaliza utuambie na ugomvi wa mwezi walileta nani?

  • @user-gh2su5fb1k
    @user-gh2su5fb1k 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ana sauti nzuri maashallah tutakualika maulidin 😂😂

  • @GharibAli-po6fp
    @GharibAli-po6fp 7 หลายเดือนก่อน

    Sheikh, bila.ya.kuangalia nani sahihi, mungetufundisha mengine, elimu ni amana, tutaulizwa

  • @swahibually8349
    @swahibually8349 7 หลายเดือนก่อน

    Hilo lijizee lina laana ya Sheikh wake kama walivyo na laana Mawahabi wote,ndio maana badala ya kusomesha Dini,ana KAZI ya kuponda chuo alichosmea pamoja na kuwaponda Wanawachuoni.Muone alovyopauka unafikiri ni Mwali wa GAO

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 7 หลายเดือนก่อน

    Basi yatosha shekh kaeni myamalize kwa faida ya uislam. Mtume saw a sema shikamananeni ktk kamba nayo ni uislam

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 8 หลายเดือนก่อน

    Usiangalie Tanga angalia Tanzania au ulimwengu ila zaidi angalia Tanzania sio Tanga pekee

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 7 หลายเดือนก่อน

    HAYA MADAI

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 7 หลายเดือนก่อน

    .

  • @user-mr4vd5lf6y
    @user-mr4vd5lf6y 7 หลายเดือนก่อน

    Ww huna hata moja unalo likua kuhusu mtengano wa tamta ulio jaa kwako ni ufitina ndio maana ukamkama shekh WAKO

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 8 หลายเดือนก่อน

    Sheikh huna nada za kuongea masheikh Kila mnachosema kinadhibitiwa na mtaulizwa

  • @nasoros.mgungo5502
    @nasoros.mgungo5502 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 Watu wanazungumzia KiNchi,
    Watu walikuwa wanafunga na kufungua pamoja leo nchi moja kuna Eid Tatu.😢

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 7 หลายเดือนก่อน

      Huko kwenu kuna misikit mipya mingap iliyojengwa na Yote wanasimamisha Sala ya ijumaa na khutba kama kawaida!?Je,Vip hukmu ya hyo miskit mipya iliyojengwa Je,imekuja kuwagawa waislam !?????Kaa usome basi usipige kelele huku youtube

  • @user-ep9ot1pe7x
    @user-ep9ot1pe7x 7 หลายเดือนก่อน

    Yeye aweza kukaa boraska?

  • @user-br6er7zf5z
    @user-br6er7zf5z 7 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli mawahabi Muna ugawa uislamu matusi mu nayo

  • @abdulazeizkhameiss9692
    @abdulazeizkhameiss9692 25 วันที่ผ่านมา

    Mawahabi bwana 😂😂😂
    Rudi kwenye Maulidi Sheikh
    Sauti yako ni nzuri sana katika Qasida

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 7 หลายเดือนก่อน

    Wataelewa wazushi ijapokua ni vichwa ngumu😂😂😂

  • @user-pu2uw2ib5y
    @user-pu2uw2ib5y 7 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi ndio wanaoleta fitna katika jamii

    • @user-nl1ou9ow2l
      @user-nl1ou9ow2l 4 หลายเดือนก่อน

      Hata rasuli aliwagawa baina ya mama na mwanae, mtoto anapenda haki aliyoisikia kwa Mtume na Mama apenda ushirikina.tukaeni darasani na tuielewe dini ya kiislam kama vile maswahaba Allaah awarizie kama.na kuifahamu kama vile wao walivyoifaham.haya marumbano yatapungua ama kuisha kabisa biidhinillaah.

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-nl1ou9ow2l... Waambie mawahabi waloleta itikadi za kikristo ndani ya uislamu

  • @allymwinyi970
    @allymwinyi970 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh mimi nakuheshiimu kama miongoni mwa Masheikh zetu Tanga na Tanzania. Ila kwanini huzungumzi kujenga dini, siku zote unatumia nguvu na elimu yako kufarakanisha, kuzungumza ikhtikaf? Sheikh acha hayo. Zungumza Dini, lingania watu. Acha mambo ya fitna sheikh.

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 4 หลายเดือนก่อน

    ,shekh wewe pia humjui janjira

  • @hamzaqaacm1869
    @hamzaqaacm1869 7 หลายเดือนก่อน

    Muhabi huyo

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 7 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa mtu mzima uwe na busara

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 7 หลายเดือนก่อน

    Duuh jamaa ananikosha kwenye kaswida tu anazipatia sana

    • @jumasemgaza6298
      @jumasemgaza6298 7 หลายเดือนก่อน

      😂 inaonekana alikuwa bingwa wa qasda mzee