NINI HUKUMU YA KUTUMIA CONDOM KWA MUISLAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ส.ค. 2024
  • TEMBELEA BLOG YETU HAPA
    ihsanmafundisho.blogspot.com/
    KISA CHA DACTARI WA KIJERUMANI NA MSOMI WA KIISLAMU
    • KISA CHA DACTARI WA KI...
    HAYA WAMEYAZUSHA KATIKA MAZISHI KWA MASLAHI YAO.SHEKHE NASSORO BACHU
    • HAYA WAMEYAZUSHA KATIK...
    WAPI MTUME KAYAFUNDISHA HAYA
    • HUU NI UZUSHI
    HII NDIO HASARA WANAYOPATA WANAWAKE WENGI LEO KATIKA NDOA
    • HII NDIO HASARA WANAYO...
    MAZINGE NA MCHUNGAJI
    • MAZINGE NA MCHUNGAJI
    TAFSIRI SURATUL MAAIDAH SHEKHE MSELEUMU BIN ALI
    • TAFSIRI SURATUL MAAIDA...
    TAFSIRI SURATUL MAAIDAH SHEKHE MSELEUMU BIN ALI
    • TAFSIRI SURATUL MAAIDA...
    MWENYE AKILI HUZINGATIA HAYA. SHEKHE MSELEMU BIN ALI
    • MWENYE AKILI HUZINGATI...
    MWANAMKE AMBAYE MZAZI WAKE AMESAMEHEWA DHAMBI ZAKE KWA KUMTII MUME WAKE SHEKHE MSELEMU BIN ALI
    • MWANAMKE AMBAYE MZAZI ...
    TAFSIRI SURATU TAKUWIR AYA YA 15 SHEIJH MSELEMU BIN ALI
    • TAFSIRI SURATU TAKUWIR...
    WATU AMBAYO WANAONDOKA MATUPU KWENYE SWALA ZAO SHEKHE NASSORO BACHU
    • #WATU AMBAYO WANAONDOK...
    MAPASTA WAOMBA POO MBELE YA MAZINGE KWENYE MDAHALO
    • MAPASTA WAOMBA POO MBE...

ความคิดเห็น • 44

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 4 หลายเดือนก่อน +7

    Alla marehemu shekhe Nassor hakika amefanya kazi kubwa kwa kazi yako Allah

  • @issayassin
    @issayassin 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mashallah mawaidha yake sheikh bachu yatabaki kua hai,Allah amuweke pema kwenye wema Insha'Allah

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 4 หลายเดือนก่อน +16

    ❤Wallai Nampenda Sheikh nassor Allah Ampe jannat firdaous

  • @RamadhaniMussa-xs5uk
    @RamadhaniMussa-xs5uk 4 หลายเดือนก่อน +12

    Allah amsamehe makosa yake

  • @user-hs1yn1en7k
    @user-hs1yn1en7k 4 หลายเดือนก่อน +9

    Allah amlipe pepo ya firdaus Aaamin

  • @Sports_27-f9t
    @Sports_27-f9t 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mashaallah Allah amhifadh

    • @user-pr5ek5od6v
      @user-pr5ek5od6v 4 หลายเดือนก่อน

      Allah mpe jannatul fildaus nuzula

  • @muadhbinjabaltv
    @muadhbinjabaltv 3 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran Madrasatul Falah Allah ampe Sheikh Jannatul Firdaus

  • @user-tt5fi1vd2b
    @user-tt5fi1vd2b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akufanyie wepesi shekh nasoro

  • @AbuRumeysa-yz6xt
    @AbuRumeysa-yz6xt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baaraka'llahu feek

  • @RuwaidaSaid-wb6tp
    @RuwaidaSaid-wb6tp 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sheikh Nassor mungu amrehemu ampe malipo sabiti

  • @mody-guyngido2792
    @mody-guyngido2792 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah Yarham

  • @AliMwinyi-id9mh
    @AliMwinyi-id9mh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sheikh

  • @abuuhudhayfah90
    @abuuhudhayfah90 4 หลายเดือนก่อน +1

    Rahimahullaah!

  • @TumainielKitundu
    @TumainielKitundu 3 หลายเดือนก่อน +6

    Natamani sana kuwa Muslim

    • @Ommyjr-en9fc
      @Ommyjr-en9fc 3 หลายเดือนก่อน

      Amani ya MwenyeziMungu iwe nawe

    • @ZulfaMakeup-xs3os
      @ZulfaMakeup-xs3os 3 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana ndugu uislam ni mzuri nakushauri uende uende kwa maimamu wa msikiti uliokaribu nawe uwaeleze nia yako watakupa muongozo

    • @shabanibussara8454
      @shabanibussara8454 หลายเดือนก่อน

      Usisite kuuliza kwa wajuzi wa elimu pale unapokuwa na shaka juu ya jambo lolote kuhusiana na Uislamu, pia ni vizuri kusaka maarifa juu ya dini hii. Allaah Akupe mwongozo, Akuekekeze katika njia iliyonyooka, aamina.

    • @rizikiyahya5254
      @rizikiyahya5254 หลายเดือนก่อน

      Habari ndugu? Ulifikia wapi kuhusu uislamu?

  • @user-ss4nt7nn7y
    @user-ss4nt7nn7y 3 หลายเดือนก่อน +2

    Allah amkutanishe nasoro bacho na Muhammad katika Pepo. Nacc pia Allah atujaalie hilo

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @AbdiMohamed-bl8hv
    @AbdiMohamed-bl8hv 3 หลายเดือนก่อน

    Masha allah

  • @AyoubNassoro-s4b
    @AyoubNassoro-s4b หลายเดือนก่อน

    Allah msamehe makosa yake sheikh wetu

  • @khadijaali5204
    @khadijaali5204 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aaaaaaaamiiin

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwangu mm condom haifai kabisa, inaongeza kiwango cha uzinifu, kupunguza idadi ya waislam duniani, na mengi mengineyo

  • @AbdulqarimhassanSwalehe-sz2er
    @AbdulqarimhassanSwalehe-sz2er 3 หลายเดือนก่อน

    kweli uislamu haujaacha kitu

  • @JamaliSaidi-ms3qu
    @JamaliSaidi-ms3qu หลายเดือนก่อน

    je nizipi njia za uzazi kiisilamu nisaidien kuzitaja

  • @maase2023
    @maase2023 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie kila kitu ni hukumu na kupinga

    • @samirhumud7408
      @samirhumud7408 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kwani umelazimishwa kuangalia?Katika uislamu kila kitu kina hukmu yake kama hutaki kufuata baki na imani yako