Muhammad Iddi afukuzwa TAMTA baada ya kushindwa mdahalo na Sheikh Muhammad Is'haqa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Full video on TH-cam
    Channel : Ihsaan Tv
    No. 1 - th-cam.com/users/li...
    No. 2 - th-cam.com/users/li...
    #bidaa #ukumbusho #taarifa #mawaidha #video #umuhimu #dini #islam #sunni #sunnah #jumuiya #swahili #mafunzo #ujumbe #nasiha #maarifa #utafutaji #elimu #uislamu #maombi #ujumbe #ufahamu #mihadhara #imani #tawhid #fadhila #Mazingira #MUHIMU #sunnah #fıkra

ความคิดเห็น • 211

  • @ebrahimadan3630
    @ebrahimadan3630 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Jazzakallahu khayran, good one and on point.

  • @salummbarouk4216
    @salummbarouk4216 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Allah akufanyie wepesi sheikh umepoa

  • @user-co8el9vg9y
    @user-co8el9vg9y 7 หลายเดือนก่อน

    Maashallah naon ume mtaj al marhumu shkh suleiman mbwana hap ndg yang ht mm usinge fany chcht hoj dhaifu san

  • @athumanimahunda6541
    @athumanimahunda6541 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli laana la Shekhe linafanya kazi. Kwa hiyo kipindi hicho Muhammadi Ishaaqq alikuwa na elimu kuliko Shekhe wake! Hii si laana hii? Linasema uongo hadharani!

  • @arrawaahiyahtv9800
    @arrawaahiyahtv9800 8 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu naona laana inamtafuna kidogo kidogo maana haogopi hata kuwadanganya watu maskini

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 7 หลายเดือนก่อน

      Kwani ana laana ya mzazi wake au sheikh wake?

  • @lhabibysheikhyahya
    @lhabibysheikhyahya 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wallah nimekuelewa Sana sheikh

  • @user-nv7jg6xc8l
    @user-nv7jg6xc8l 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna mashekhe wananunuliwa wanapewa wengine mpaka milioni 500 kwa ajili ya kubishana kwa ajili ya maulidi ili fikra za waislam zibakie hapo tu wakat wanajua ukweli jambo LA khilafu watu hawagombani nalo yaan mtihani

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 7 หลายเดือนก่อน

      Wee nae kakojoe Ulale huko

    • @user-nv7jg6xc8l
      @user-nv7jg6xc8l 7 หลายเดือนก่อน

      @@ibnayub2374 ukweli mchungu

  • @abumaryam6909
    @abumaryam6909 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nasoma comments nyingi lakini naona ukosaji wa nidhamu! sheikh amezungumzia kilichotokea kama mna hoja leteni.. acheni chuki, matusi na ushabiki.. sio lazima uifuate haki!! Moto pia umeandaliwa kwajili ya wanaadamu ni juu yako kuifuata au kutoifuata

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 8 หลายเดือนก่อน +2

    NA ALHAD ALIEKUWA SHEKHE WA MKOA ALISEMA YEYE NDO ALOMLETA DAR SHEKHE MUHAMMAD IDDY SASA SIJUI INAKUAJE HAPO??

  • @zeitunMohammed
    @zeitunMohammed 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe huyu shekh mnafiki.subhanallah

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 8 หลายเดือนก่อน +4

    HAHAHAHAA... MDAHALO HUO NA SHEKH WEWE ULIKIMBIA NA UKAWEKA VIATU VYAKO MAKWAPANI KISHA UKAULIZA VIATU VYANGU VIKO WAPI KWA NAMNA ULIVYOCHANGANYIKIWA .. HAHAHAHAHA
    WACHA URONGO . SUBHAANALLAH NILIKUWA NAKUHESHIMU SANA LKN URONGO WAKO UMEZIDI SADA

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 8 หลายเดือนก่อน

      Wakumbuka mdahalo wa Mombasa moja kati ya masheikh zenu aliweka maiki kwenye sikio akaacha mdomoni vp na hapo

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 8 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wanataka elimu ya dini wasome wao wanaleta story ya vitu walivyafanyiana wakiwa wanasoma

  • @Ujumbewadini
    @Ujumbewadini 8 หลายเดือนก่อน +2

    Acha kujisifu na subiri usifiwee Mzee wangu

  • @nassermohamed6174
    @nassermohamed6174 8 หลายเดือนก่อน +1

    Assallaam alleykum....Yaani watu kila kukicha mnarumbana tu! Hivi kunashida gani mkakaa sehmu mmoja mkamaliza tofauti zenu? Mnapindishapindisha vitu kwa kutaka sifa mitandaoni kujiona wasomi. Kila kukicha Bidaa Maulid Bidaa Maulid kila siku hamna mambo mengine kwenye dini uislam??

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 7 หลายเดือนก่อน

      Kwani hili la Maulid kuwa bidaa wewe huamini?na kwanini wasomi na wajuzi wadiseme kuwa ni bidaa!ivi nini maana ya wao kuitwa wasomi?waone mambo siyo wake kimyaaa?huijuwi kama itakuwa dhima kwao siku ya hesabu mbele ya Allah?

    • @mohammedmhina3973
      @mohammedmhina3973 5 หลายเดือนก่อน

      Mawahbi hawanag akili vibarak wa wayahudu

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 5 หลายเดือนก่อน

      @@mohammedmhina3973 unajuwa maana ya Wahabi?nadhani inaonesha hata kunawa mkono wako hujuwi ujinga umekutawala

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 8 หลายเดือนก่อน +1

    👉 MOHAMED IDD

  • @user-km5jc6sv5f
    @user-km5jc6sv5f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh humuezi Sheikh Abdallah Ayub wala humuezi Sheikh Samir tamta ndio chimbuko la mashekhe East Africa nzima ukitoa mambrui Mombasa Tamta lazima uiheshimu

  • @salimakida95
    @salimakida95 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nikweli hata mashindano ya kusoma quran yalikua hayapo

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kweli yalikuwepo ila sio kama mtindo wa kisasa ,mtume saw, alikua anampa uwongozi aliye hifadh Quran anampa kipaumbele ,kuna watoto walitaka kwenda vitani mmoja akaruhusiwa na mtume mwengine akakataliwa mtoto asema yeye kahifadh al bakarah akaruhusiwa, halafu Allah karuhusu watu washindane wenye kushindana hiyo ni Quran, na hii aya iliposhuka hakuna maulid,washindane katika yale ambayo Allah na mtume wake wameyaridhia na yamefanywa na mtume

  • @zeitunMohammed
    @zeitunMohammed 7 หลายเดือนก่อน

    Shekhe,Aya hii ilipoteremka Quran haikuwekwa kwa kitabu wasemaje wakati imewwkwa baada ya Aya kushuka

    • @hajjimasoud6272
      @hajjimasoud6272 7 หลายเดือนก่อน

      Baada ya hii Aya kilicho jiri ni kipi

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 8 หลายเดือนก่อน +2

    Pelekeni Uislamu mbele wacheni Malumbano/Mipasho (Michambano) yenu.Hapo hakuna M'bora isiookuwa M'bora wetu ni yule Amchae Mungu ktk Wingi wa Ubora wa Kumcha Mungu.

  • @japharytwaha8552
    @japharytwaha8552 8 หลายเดือนก่อน +2

    Assalaamu aleikum warahmatulllah wabarakatuh, ndugu zangu waislamu, kutumia mic kutumia saa ya mkononi, au kwenda maka kwa wingi sio bidaaa, bidaaa ni kufanya jambo ukaitakidi kuwa ni ibada na haikuwepo wakati wa mtume, wakati wa maswahaba, kwa hiyo vitu vyovyote haviko kwenye ibada

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 7 หลายเดือนก่อน

      Kaa usome kijana

    • @hamzaqaacm1869
      @hamzaqaacm1869 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa Hy ndio jibu Hilo??​@@ibnayub2374

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 7 หลายเดือนก่อน

      Mbona munapata shida sana hapo panazungumzwa uzushi kwenye dini sio maisha kwani saa si imo kwenye Quran

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 7 หลายเดือนก่อน

      Saaa unajua nini?

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 7 หลายเดือนก่อน

      Enzi ya mtume magorofa hayakuwepo sasa unataka tusikae kwenye magorofa ? Munapo ambiwa bidaa ni kuleta kitu ambacho hakipo kwenye dini ukakiingiza, nahata hivyo magorofa haya kuwepo lakini mtume aliyataja,

  • @kasimmohamed8225
    @kasimmohamed8225 7 หลายเดือนก่อน

    Masheikh siku hizi ni watetea tumbo tu na siyo watetezi wa dini

  • @mussajangwa4878
    @mussajangwa4878 8 หลายเดือนก่อน

    Bismillah rrahmaan rrahiim
    Assalaam alaykum warahmatullaah wabara kaatuh
    Sheikh Kwa hakika unatuaminisha kwamba" laana ya sheikh Mohammed ayyoob inakutafuna
    Kwa hakika kwa hapa mtandaoni itashuka heshima yako kwa7bu umesoma kwa sheikh Mohammed ayyoob na amewalea vzr kwa wema sana
    😭😭😭😭😭😭😭
    Nakuahd utaanguka na utafdheheka sana😭😭😭😭

    • @RamadhaniHaji-wn3dd
      @RamadhaniHaji-wn3dd 7 หลายเดือนก่อน

      Acha kuwa mungu mtu. Eti umanuahidi mtu laana.

    • @RamadhaniHaji-wn3dd
      @RamadhaniHaji-wn3dd 7 หลายเดือนก่อน

      Ongea kwa Elimu.

    • @user-ry4kh6fg9j
      @user-ry4kh6fg9j 7 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mwanaadamu anaweza kumlani kiumbe mwenzake Lana hua inatoka Kwa ALLAH tu.
      Usijidanganye.

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa ni muongo eti chanzo cha she Muhammed idd kwenda dareslamu ni kushindwa mdahalo

  • @user-wf8eb6nm4s
    @user-wf8eb6nm4s 4 หลายเดือนก่อน

    Hona hoja mashairi yalikuwepo kasida ilisomwa alipopokelewa mtume Madina dufu limepigwa mbele ya mtume

  • @user-bm2pd8jd3u
    @user-bm2pd8jd3u 7 หลายเดือนก่อน

    Wallah nyinyi mnatuchelewesha sana kila mara mnataka mabishano tu hakuna jambo jingine muhimu katika uislamu?

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 7 หลายเดือนก่อน

    HILI JITU NI JINGA SIJAONA MFANO WAKE,
    KWANI HIYO AYA ILIKUWA NDIO YA MWISHO KUSHUKA KATIKA QUR,ANI!?
    IKIWA HAPANA JE HIZO ZILIZOKUJA BAADA YA HIYO AYA zilikuja kufanya nini wakati dini ilishakamilika!?
    Hili ni jendawazimu tu

  • @user-mx9ey9tt3m
    @user-mx9ey9tt3m 7 หลายเดือนก่อน

    Lakini mzee wetu pía wew watafuta umaaruu ,kwani aya zilizoshuka baadae hazimo

  • @user-op8cd5tg5p
    @user-op8cd5tg5p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh is,haka eee hivi chanel ya mtume ilikua chanel Gani ktk hizo tv zenu kama hakuna bac wewe ni mbeba Bango la bidaa wakwanza

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wangu naomba hem nenda mambrui kule kjna wanafunzi wa shekhe fadhil Allah amhifadhi utaona kama ukianza we au kama utaanzwa we e bana huna hoja we we hata mwanafunzi wa ustadh said point hizo anakunyoosha

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 8 หลายเดือนก่อน +1

      Uwezi kumsumbua sheikh akaweke munaqasha na wapiga mziki kwanza waislam wa mambrui wa twarika mna kashfa mzito sana kwenye madrasa zenu mnachowafanya wanafunzi wenu inaonyesha wazi maulidi huwezi kuitenganisha na shia tabia zenu hamtakua Salama siku ya Qiyama.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@shazyahya4121wapiga muziki mbona waliwakojoza mkachafu viti kule mombasa

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@abiabi9353Said wa Mambrui alishinda kwa ujinga wake, wajinga wataona kama Said alishinda lakin wenye elmu walielewa nan alikua kwny haqqi

  • @saidnaggy5209
    @saidnaggy5209 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maulid ni birthday ya mtume wa ALLAH

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 8 หลายเดือนก่อน +2

      Naam, na kusherehekea birthday si katika mila zetu, NI MILA ZA MAYAHUDI NA MANASWARA, haifai kufuata mila zao

    • @muadhihassan4486
      @muadhihassan4486 8 หลายเดือนก่อน

      Aliisherehekea mara ngapi

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 7 หลายเดือนก่อน

      Ni sahihi Maulid ni birthday na ndio tafsiri sahihi lkn kwanini munasema ya Mtume? Na je hiyo birthday ya Mtume imeletwa na Nani?na imekuja mwaka gani? Maana wale Maswahaba wanne(Ulafauu rrashidin)yaani Abubakary,Omar,Othman na Ally bin Abi twalib hawakufanya sasa watwambie Nani kaleta utata huu unaotutafuna Waislamu!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 7 หลายเดือนก่อน

      Makureish wakati wa uhai wa Mtume(saw)walimwendea na kumwambia"Wana wa Ezraeil wanasherehekea kuzaliwa Kwa Nabii wao!je na Sisi tufanye hivyo kwako? akasema hapana musifanye!maana wao walifanya hivyo na mwisho wakavuka mipaka na kumwita Nabii ISSA mtoto wa Mungu na wengine kumwita Mungu! lkn anayetaka kusherehekea kuzaliwa kwangu naafunge siku ya Jumatatu kwani ndiyo siku niliyozaliwa

  • @user-oj2ol9il8k
    @user-oj2ol9il8k 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa hayo mabishano yenu yana tina taji gani katika kuupeleka uislamu mbele zaidi yafitina, majungu na kutafuta ria na ukubwa usio na maana

  • @RayaAlySalumRayasalum
    @RayaAlySalumRayasalum 27 วันที่ผ่านมา

    Wacha ungo tuoneshe nasisi tone uwo Uganda

  • @rajabungatanda630
    @rajabungatanda630 7 หลายเดือนก่อน

    Ndoumepata nini baada ya hapo?
    Munatia aibu tu kila siku munakashifiana nyinyi kwa nyinyi
    Mpaka nawatilia mashaka uwenda mukawa na dosari

  • @HusseinPaula
    @HusseinPaula 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe Mohamed is haqa inapaswa utoe ushahidi wa uharamu wa maulidi sio porojo kukosa kitu kwenye aya haimaanishi ni haramu

  • @ismailhadid1573
    @ismailhadid1573 7 หลายเดือนก่อน

    Baba yangu hiyo aya uliyo itowa kuwa dini imekamilika isizifishwe je Kuna aya ilikuja baada ya dini kukamilika natena niya huku masaa ya wirathi je tu ifanyaje

  • @ADAMADAM-bf8wn
    @ADAMADAM-bf8wn 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona macho yake hayatulii ana shida gani?

  • @kingibandajembe2247
    @kingibandajembe2247 7 หลายเดือนก่อน

    Twalahallbadri alaina minthani ayatu sitaki kuendelea hila ndiyo siku alipokelewa mtume na maulidi tulivyo fundishwa

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 6 หลายเดือนก่อน

    Hasa na were lddi sema kama hukufukuzwa kwa sabaubu ya kushindwa

  • @Filamumaridhawa
    @Filamumaridhawa 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani hem wacheni ayo mikushanyiko yanaoitwa maulidi zogo liishe

  • @waziri19
    @waziri19 8 หลายเดือนก่อน

    We dini unatumika na wahabi tubia mana unajua Kila kitu hata hyo Aya unayoisema hapo haionyeshi kuwa baada ya aya hyo hakuna Aya zilizoteremka zenye maamrisho mengine,ila unaamua kupotosha umma tubia umri wako mkubwa hupaswi kudanganya umma acha huo upuuzi wa kiwahabi haitakusaidia ktu.

  • @mohamedamini4268
    @mohamedamini4268 8 หลายเดือนก่อน +1

    Umevaa saa unatmia mic , dini haikuvitaja ,vipi unavitumia .

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp 8 หลายเดือนก่อน +1

      Haahaa kasome hujachelewa

    • @user-ry4kh6fg9j
      @user-ry4kh6fg9j 7 หลายเดือนก่อน

      Usichangia kama haujui maana Kwan unapotosha na utaulizwa!

  • @jumamohamed628
    @jumamohamed628 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiitwa Munaaqasha karibuni usikatae

  • @HusseinPaula
    @HusseinPaula 7 หลายเดือนก่อน

    Kama kweli masheikh wana kuogopa sikuile sheikh Muhammad burhan alipokuja kituoni wewe ulikuwa wapi bwana

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 5 หลายเดือนก่อน

    BARAHIYAN NI HATARI KWA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAISLAMU.
    th-cam.com/video/BnRibZ4iKNA/w-d-xo.htmlsi=29NLMGK22NsBklh9

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa Kuyasema hayo Ili iweje/Kuna Manufaa gani ktk Uislamu, Waislamu na Kwa Jamii Kwa Ujumla?!
    Kweli Adui wa Muislamu ni Muislamu

  • @Ujumbewadini
    @Ujumbewadini 8 หลายเดือนก่อน

    Sheikh wangu ukisimama kwenye hiyo aya basi elewa kuwa kuna vitu vingi sana utawajibika usvihalalishe kutokana havijatajwa ndani ya Qur’an wala katika hadithi za mtume salla llahu alayhi wassallam.

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze 8 หลายเดือนก่อน

      Toa angalau kimoja basi c maneno matupu

    • @kassimkamula9896
      @kassimkamula9896 7 หลายเดือนก่อน

      Mashindano ya qur an mfano yanafanyika uwanja wa taifa

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 6 หลายเดือนก่อน

    Biddable hawalipwi ispokuwa dhambi

  • @user-mi3cs9lc6y
    @user-mi3cs9lc6y 8 หลายเดือนก่อน +1

    Leo ndio nimeamin urongo wako

  • @user-gw4jj5nn2n
    @user-gw4jj5nn2n 7 หลายเดือนก่อน

    Mashehe mnapotea

  • @mohammedal7864
    @mohammedal7864 7 หลายเดือนก่อน

    Nakushauri fanya ibada soma ili ujue ulichoamrishwa fanya ulokatazwa wacha mengine utapoteza muda na safari ya duniani ni fupi fanya haraka jikite ktk ibada

  • @YusufMatianyi1388
    @YusufMatianyi1388 7 หลายเดือนก่อน

    Maskini Wahabi huyu kazeeka vibaya , inalilahi wainailayhi rajuun ,nilidhania ana Elimu Akijisifu na jopo lake bovu kumbe ni mkebe uliochakaa msiba kwa umma

  • @yammuhamed736
    @yammuhamed736 8 หลายเดือนก่อน +10

    Mzee wangu samahani kama ntakua nakukosea kama kila kilicho kuja baada ya aya ya AL yauma akmaltu lakum din ni bidaah inakuaje ju ya hukmu za riba mana aya zake zilikuja baada ya tukio hilo hivyo hapo hakuna hoja ungeniuliza mimi afu ungekua ungekua umri makamu yangu ungeyakamyaga

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi si wasomi watakusumbua bura

    • @MohammadJumah-qk2xc
      @MohammadJumah-qk2xc 8 หลายเดือนก่อน +1

      Subhaana llaah ama hakika Zama zimefika za kuikamata din Kwa Meno ya magego Kwa I majambo yapo peupe lkn nyoyo zimezibwa na matamanio ya dunia hatuoni chochote eeeee allaah type taufik yako tuzijue ibada aliyoifanya mtume wetu saw , Abu bakr waumar wauthumaan waaliyy Ra Kwani walipopita hawa twahitajika Nas tupite

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 8 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe kiakili yako hapo hiyo aya maana yake nini na makusudio yake nini

    • @MohammadJumah-qk2xc
      @MohammadJumah-qk2xc 8 หลายเดือนก่อน

      Ibnu Abbas lbnu Kathir wamujaahd wahakatha tuwaulize wao wameielewa VP sis ni wakunukuu tu ktk dini

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 5 หลายเดือนก่อน

    Ninyi watu wa maulid mmezua bidaa ,ushauli wangu badilikeni na mrudieni mtume mbona hadithi ziko wazi zinazokataza bidaa na mashekhe zenu wanaziona, na laiti mngejuwa asili ya maulid imetoka kwa mashia walowatukana maswahaba ndo waanzilishi wakubwa,wa maulidi someni historia.mtume kaja na mambo chungu mzima hamtaki kuyafata mmeamua kufata yenu,ingekuwa mulidi Jambo lakheri mtume asingeacha kufanya na swahaba zake karne ya 6 watu walikaa chini na kutunga maulid hata maimamu wale wanne wa kutegemewa kina imamu shafi,imamu Malik ,imamu Ahmad,imamu Abuhanifa wangeunga mkono basi hata kufanya nao hawakulijuwa Jambo hilo ninyi mmezuwa zuwa mambo katika dini ya Allah kama mayahudi na mamaswara rudini katika sunna mtasalimika

  • @allyjuma8836
    @allyjuma8836 7 หลายเดือนก่อน

    Asalaam alaikum warahmatullah. Naomba utanisamehe kusema uongo ni sawa Ili uwafurahishe watamaji. Kwanza kabisa mdahalo wa pangani shekhe Mohamedi Ayubu hakuwepo wala shekhe Suleimani Mbwana white Hawa walishatangulia mbele za haki. Je maneno Yako ni ukweli. Mdahalo ule Mimi nilikuwepo nikiwa ni Moja ya wanafunzi tuliotoka tamta. Na kweli ulishindwa na ndio sababu kuu ya Ansari kuendelea na midahalo.

  • @abdallahshelufumo4602
    @abdallahshelufumo4602 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂kunaitwa kupatwa kwa sheikh ibn is'haq

  • @saidysangoda6009
    @saidysangoda6009 8 หลายเดือนก่อน

    Shekh unajenga ama unabomoa hii dini yetu sote Haina mwenyewe chuki Yann unatufarakanisha kwann?

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnamundama MOHAMAD IDDI kwa amekuwa na kujulikana na kuwazid ? DINI Ina mengi ya kuwasilisha na kufunza jamii hamyafanyi mnaleta habari za mabishano yenu hapa sasa tumepata nn kila siku mtadhalilishana hivi ndio DINI itasonga mbele kweli?

  • @user-yx3ex4vy7o
    @user-yx3ex4vy7o 7 หลายเดือนก่อน

    Mabidaa kwani munapofanya bidaa zenu za maulid,Hitma,Tahlili n.k munalipwa nanani?Mana mlipaji kashazikataa bidaa zenu.kwa Hadithi ya mama Aisha

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 5 หลายเดือนก่อน

    Kulu muhudathat bidaa,wakulu bidaat dhwalala,wakulu dhwalala finnari, mtume kasema kila lenye kuzuliwa ni bidaa na kila bidaa upotofu na kila upotevu motoni,mpo wapi nyie alhl bidaa mnadalili gani, wa kutetea huo uzushi wenu wa maulidi hakuna katika quruani wala hadithi ni mambo yalozuliwa tu na watu wakaone watunge mashahili ya kusherehekea mtume hali yakuwa yemwenyew siku yake ya kuzaliwa alifunga ,ninyi mnajuwa zaidi kuliko mtume wa mungu dinni no wahyi tokabinguni so kila mtu uamua mambo atakavyo

  • @user-co7fk6uw2g
    @user-co7fk6uw2g 8 หลายเดือนก่อน

    Mh

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 8 หลายเดือนก่อน +1

    Iyo ndo pesa,famchezo ni ,watu wanacheza na pesa tu,ukitaka pesa pinga maulidi tu

    • @MohammadJumah-qk2xc
      @MohammadJumah-qk2xc 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ninavyofahamimi Kwa kuona ukitaka pesa narudia ukitaka pesa yakubali maulidi , maandalizi ya maulidi ya wilaya ya temeke tu pesa yake milioni 400 na zaidi na zaid lkn hii pesa tote haifanyi maandalizi ya maulid nyingne ni kitoga cha mashekh ndo maana wakali wakiambiwa maulidi hayana asili kwa sababu ni KAZI ya watu kuanzia sas tambua hilo ima Fanya uchunguz , na kufanya uchunguz ktk majambo ya dini sio bidaa

    • @user-ry4kh6fg9j
      @user-ry4kh6fg9j 7 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli ndugu tumeamrishwa tufanye tahasus na sio tajajus

  • @user-dq6vv9eo4l
    @user-dq6vv9eo4l 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee hiyo niabu kuleta Aya hii kama sehemu yausha hidi naomba nikuulize aliyaumu akmaltu lakum diynakum je hiyo ni ayayamwisho kushuka semakweli ayaziliendelea kushuka kilicho kamilishwa ni nguzo zauislm sitano hija ndio yamwisho shahada teyar swaumu teyr swala Tyr zaka teyr kilchobaki nihija Sasa hija ndiokahiji ndiomanayake hojayako zaifusana ww

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 8 หลายเดือนก่อน

    Mzee unachozungumza ndio dini yenyewe Mangine ni Mazingaombwe tu sio dini

  • @HusseinPaula
    @HusseinPaula 7 หลายเดือนก่อน

    Ingepaswa tu wakuulize je hizo aya ulizo soma na hadithi zimeharamisha maulidi

    • @hajjimasoud6272
      @hajjimasoud6272 7 หลายเดือนก่อน

      Zilizo halalisha Allah na mtume wake haja tushushia kuwa Hadith Wala Aya kwenye qur an

  • @HusseinPaula
    @HusseinPaula 7 หลายเดือนก่อน

    Wadanganye mawahabi sio sisi

  • @user-tm7qy2fl1t
    @user-tm7qy2fl1t 8 หลายเดือนก่อน

    ww mzee mbona hiyo aya sio yamwisho kushuka

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 8 หลายเดือนก่อน

    Je, maulidi hakuna ,elimu ya usuli ,na miaahafu?

  • @rshidmwasa8493
    @rshidmwasa8493 7 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo midahalo siku hizi ndio imekuwa dini au!!!

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 8 หลายเดือนก่อน

    Msubiri Abuu Iddy aje akunyooshe kama ilikua hakuna maulidi hakuna hitima ila mashindano ya Quran yalikuwepo na Masahaba walikua wakishinda na kupewa zawadi.

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hii sio hoja yajiilimu

    • @PAZI_TV
      @PAZI_TV 8 หลายเดือนก่อน

      Sheikh anatumia microphone katika msikiti wa Allah wakati hizo mic zilikuwa hamna kabla ya mtume

    • @waziri19
      @waziri19 8 หลายเดือนก่อน

      Hoja ya kiilimu ni ya kiwahabi ila hoja nje ya wahàbi sio hoja mnashida kwenye akili zenu wahabi wengi akili hamna ,huyo anasema lililokuja baada yaMtume ni bidaah Sasa mashindano ya Qoran yalikuwepo na je Mtume aliyafanya ama maswahaba ,kwanini mawahabi wanayafanya kama wao wanafanya kile kilichoafanywa na Mtume tu acheni ubabaishaji wa kupotosha watu katika dini ,,mawahabi tubieni acheni ukafiri​@@abuushakiraddausiy8666

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@PAZI_TVpia muuliza hukumu ya tarawehe jamaa ilikuwepo? Pia muulize hukumu ya talaka tatu kwa mpigo ilikuwepo wakati wa mtume?

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@abiabi9353 Mtume saw asema shikamaneni na sunnah zangu na sunna za makhalifa wangu waongofu!!! so hoja ya taraweh usiilete tena!!, hoja ya maulid ebu ilete kwa hadithi hii utufundishe!!

  • @saidramadhani8678
    @saidramadhani8678 8 หลายเดือนก่อน

    Maulidi hayawezi kufakwahoja zakizembe Kama hizi nashangaa hata huyo alikaa kumsiliza huyu mwehu

  • @salehally1082
    @salehally1082 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe Rudi Tena darasani kasome na uelimike !; unaongea pumba na hujengi Dini ila unavunja umoja wa kiislam

  • @braqutourssafaris4672
    @braqutourssafaris4672 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe abuu idy anavyo kuita muongo haja kosea😅😅huna hata aibu utazan sio msomi yaan ukiangaalia hata uso wako tu unajua kua ni uongo

  • @HarunaMohamed-ui7nq
    @HarunaMohamed-ui7nq 8 หลายเดือนก่อน

    Dini imekuwa mpira wa miguu,mna Hadi kamisaa, kweli hakuna ulamaa nchi hii

  • @RayaAlySalumRayasalum
    @RayaAlySalumRayasalum 27 วันที่ผ่านมา

    Usidanganye

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo aliacha uwahabi au usalafi? Pumbavu

  • @princefeisla3692
    @princefeisla3692 8 หลายเดือนก่อน

    L.G.B.T.Q.+mbona haiongelewi namna hii kwanini maulid tuu?

    • @hassanhussein-ow7qh
      @hassanhussein-ow7qh 8 หลายเดือนก่อน

      Subhanallah, nilitaka kusema lakini nimekutana na hii comment, najazia hivi
      Kuna maovu mengi makubwa kwenye jamii, Masheikh hawasemi wao wanatambiana tu na mbwembwe za nani msomi,
      LGBTQ - USHIRIKINA - UZINIFU - UFISADI -MAADILI MEMA KWA WATOTO Wao hawazungumzi kukemea, na ndio madhambi makubwa kuliko hayo wanayogombania

  • @aliissahaji33
    @aliissahaji33 8 หลายเดือนก่อน

    Yy ww Mzee cjui hata unaongea kitu gani, maana mm cjui chochote kinachoendelea lkn nikisikiliza tu hayo maneno yako basi unaonekana wazi kuwa ni mdogo.
    Mm nikuulize, kipindi hicho Cha mtume watu walikuwa wakienda hija kutoka nchi tofauti tofauti kwa kutumia miguu au vipando vyengine hasa wanyama lkn saiv karibu watu wote wanatmia ndege, jee sheikh hii nayo pia ni bidaa...?
    Maa Salam

    • @japharytwaha8552
      @japharytwaha8552 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe nawe ni debe tupu bidaaa ni kufanya ibada ambayo haikuwepo wakati wa mtume, wakati wa maswahaba na wakati wa Tabii tabiina

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 7 หลายเดือนก่อน

    Talakini maulidi ndio tofauti mpaka mnawaita waisilamu makafiri? Au mnamambo mengine?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 7 หลายเดือนก่อน

      Hakuna aliyeowa kafiri Kwa sababu ya Maulid ila wanaambiwa wanaleta mambo ya bidaa ambayo Mtume na Maswahaba zake hawakufanya!na hapa muelewe city viwili:BIDAA NA UKAFIRI musichanganye mambo Kwa utashi hii ni dini ya Allah ameileta kwetu kupitia Mitume yake na kama walivyopewa ndivyo walivyoifikisha na hakuna sababu ya kuongeza wala kupunguza hivyo basi, simameni katika hoja hizi mbili!na sio kutombana na kuzusha yasiyokuwepo

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 7 หลายเดือนก่อน

      Aliyeitwa

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 8 หลายเดือนก่อน

    Abuu Iddi anamfahamu vizuri sana Shekh Muhammad Is-haqa, na anaelewa fika kua ni msomi miongoni mwa wasomi, walio wakaa kooni masufi, ndiomana haja hoja ya kupinga alio ongea Shekh Muhammad Is-haqa, ispokua kufanya propaganda tu.
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
    Abuu Iddi hii ni zama ya ukweli na uwazi hakuna tena kudanganya watu, udanganyifu wako utakufedhehesha mbele za watu pale inapoletwa bayana.
    Sasa wewe umefukuzwa tamta kwa kipigo na kichapo alicho kupa Shekh Muhammad Is-haqa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 8 หลายเดือนก่อน

    Mda halo na Hasan khuzema wewe Muhammad ishaka wewe uli shindwa kigombe mda halo ukatoka na viatu vyako sasa mbona unadanganya tupo usiseme yasio kweli sasa Aya hiyo ndio inayo fanya tusi fanye vitu vingine sheria hii umesoma wapi hadithi zipo nyingi tu kwani wewe uli fahamu vp sheria kama hivi ndio ulivyo fahamu basi dini huja fahamu

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 8 หลายเดือนก่อน +1

    Liongo kweli kweli .kah!

    • @muadhihassan4486
      @muadhihassan4486 8 หลายเดือนก่อน +1

      Uongea wewe ukweli wako

    • @farijalakhalid5558
      @farijalakhalid5558 8 หลายเดือนก่อน

      @@muadhihassan4486
      Jamaa yako muongo kwa sababu eti jamaa kapewa hoja mpaka anadondoka mtaroni.
      Huu ni uongo wa dhahiri.
      Khalafu maswali yenyewe eti.
      Dini imekamilika mbona haikutaja maulidi?
      Swali anacho uliza ni mulidi jina?
      Naulidi mfumo?
      Maulidi siku?
      Naulidi kutaja Siira ya mtume?

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa kiukweli umekuja na style mpya...unaamua zako kua muongo tuu.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Masufi mtaisoma namba mwaka huu, maana kila kona ya uchafu wenu mulio uficha wana Sunnah wapo kwa ajili ya kuufichua uchafu wenu watu wa bid'ah

    • @rshidmwasa8493
      @rshidmwasa8493 7 หลายเดือนก่อน

      Hakuna MTU wa Sunnah mwenye mipasho.
      Halafu Sunnah huwa inajipambanua kwa matendo Yako na sio mtu kujinadi eti mtu wa Sunnah..
      Hakuna Sunnah ya kujisifia

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 8 หลายเดือนก่อน

    Duuh jamaa muongo halafu yuko baridiii hahah jamaa anapig fixiii huyu duu

  • @w4058
    @w4058 7 หลายเดือนก่อน

    Anabomowa hao mashehena kama hawa hawana Jipya hawana heshima na kazi zao na elimu zao pia kwani mkinyamaza kimnya mkawaachia wenyewe na Maulid yao nyie mtapunguwa wapi zogo na mitafaruk ndio mnayoipenda heee hebu kama mna elimu zitimieni kwa mangine nendeni vijijini kuna Waislam hata kusali hawajui nyie mumo kuleta ubishi bidaa bidaa na nyie tu

  • @answaryhussein256
    @answaryhussein256 7 หลายเดือนก่อน

    Wew hujitambui kabisa

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 8 หลายเดือนก่อน

    Haha du huyujamaa kwa uongo tu. Yani mtu yeyote mwenye kutumia akili yake vizuri atagundua huyu jamaa ni tapeli wa maneo.yani an uwezo mkubwa wakuchagua maneno yakukushawishi umuamini.na kama unakili ndogo kama wahabi basi utamuamini tu. Eti sheikh Abdallah ayubu kaingia mtaroni kwa hoja zako za kitoto. Nahivyo ndivyo mawahabi wote wanavyojenga hoja zao.yani hoja za kijuujuu tu hambazo hazitokani na elimu yoyote ya maana

  • @ayubuzomboko9502
    @ayubuzomboko9502 8 หลายเดือนก่อน

    Halafu huyu mtumzima lakiniiiii.Unatudhalilisha wazee wenzio,,taja aibu zako kwanza,au hunaa?

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hili jizee ni liongo sana bwana. Mpaka lina kera

  • @ShabaniJuma-xx9bz
    @ShabaniJuma-xx9bz 7 หลายเดือนก่อน

    Siomaulidituu wewe nani alikuambia mtume s.w.s. alitumia simu ndege

  • @hamisimasimbi5019
    @hamisimasimbi5019 7 หลายเดือนก่อน

    Kumuita mtu mnafiki siojambo dogo. Vijana acheni jazba katka dini

  • @hafidhseif9638
    @hafidhseif9638 7 หลายเดือนก่อน

    Hata usafiri mtume katumia chombo cha usafiri sasa usije kufukiria usafi ni ni magari tu na ndege ngamia na farasi nao walikua usafiri

  • @salehfarsy802
    @salehfarsy802 8 หลายเดือนก่อน

    Unatafuta Umaarufu sio Dini

  • @allyfundi6405
    @allyfundi6405 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa ww watupa historia au nn sasa mbona hueleweki hamna kitu humu nawewe ni mjinga tu kama wahabi wengine😅😅

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 8 หลายเดือนก่อน

    Mzee hajui hata analolisema maskiniiii unalipwa sh ngap kwani??

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 8 หลายเดือนก่อน

      Analipwa na Allah thawabu kwa anachokifanya kubainisha haqi na nyinyi shetani ibilisi ankulipeni nini katika kutetea batili na kuharibu dini ya mtume swallahu alaihi wasallam kwa mazushi yenu

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 8 หลายเดือนก่อน

    Shekhe tapeli wewe hina elimu yoyote tapeli wewe

  • @twahamachozi8018
    @twahamachozi8018 8 หลายเดือนก่อน

    Muhammad bachu yuko wap skuhizi naona umekuja ww ambaye nimweupe

  • @swahibually8349
    @swahibually8349 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee umejichokea kwa LAANA za Sheikh wako,na unazidi kupauka na Nuru imekuondoka kabisaaa,sivyo ulivyokua Mwanzo,umepauka kama uliepapakwa Masinzi.Chiziiiiiiii.

  • @SAIDKHAMIS-fy8fz
    @SAIDKHAMIS-fy8fz 8 หลายเดือนก่อน

    Hii ndo dini yetu ilo bakia midahalo tu

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 7 หลายเดือนก่อน

    Ndio mana tunasema maulidi ni upuzi na sio ibada Kama wanavyodai watu wa twarika.

    • @omaryhunte
      @omaryhunte 7 หลายเดือนก่อน

      kwa iyo unataka kusema Wanaofanya maulid ni wapuuzi tu hawana chochote.

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 7 หลายเดือนก่อน

      @@omaryhunte Yap wanafanya kitu ambacho hakipo kwenye sunnat rasuulu Allah,alaf hata wema walotangulia hawakufanya,eg.abuu hanifa,Malik,shafii n hambali.