MAU MPEMBA NA MJOMBA MWIZI - VITUKO PEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ค. 2024
  • Video Credit
    Mau Mpemba
    Introducing new artist from Pemba
    Kigwaru
    Chei Chei
    Mabirimbi
    Abdul
    Atif
    Music and Voice Credit
    Kevin MacLeod (incompetech.com)
    Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0
    creativecommons.org/licenses/b...
    Kuhusu sisi:
    ZMOTION STUDIOS inajihusisha na utengenezaji wa filamu za kiswahili, matangazo, na video fupi za vichekesho na vituko mbali mbali. Ukijiunga na chanali yetu kwa kubonyeza 'Subscribe' utakua miongoni mwa wanaopokea ujumbe wa barua pepe kila tunapoweka video mpya, pia utapata fursa ya kujishindia zawadi ya mwaka ukiwa utakua mfatiliaji mzuri unae 'share', 'like' na kukoment katika video zetu.
    Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini
    KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO
    -Mau Mpemba
    -Makame Nuhusi
    / zmotionstudios
    / zmotionstudios
    / zmotionstudios
    ~-~~-~~~-~~-~
    Please watch: "MAKAME NUHUSI ANAHONGA KIWANJA ZANZIBAR (FUMANIZI)"
    • MAKAME NUHUSI ANAHONGA...
    ~-~~-~~~-~~-~
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 68

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 ปีที่แล้ว +2

    hahahaa yan nyinyi mnatuacha hoi kweli

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 9 หลายเดือนก่อน

    Mbn uyu shoga yak warda km kabadilika ivi si ni yule Alikua Akiekt sana na mau uyu dada Leo saut yak gonda

  • @abrahamlucas6792
    @abrahamlucas6792 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapa pa kuwachapa wte ndio kaniacha hoi

  • @nawwarsultwaan6404
    @nawwarsultwaan6404 3 ปีที่แล้ว +1

    Hhhhaaaa 😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂 hhhhhhhaaaaaaaaa jamani wanaomkubali kigwaru naomba walau like 50

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 5 ปีที่แล้ว +5

    Mko vizuri mno wa pemba

  • @nassorkhamis8186
    @nassorkhamis8186 6 ปีที่แล้ว +1

    Kannganda,,,,,,haaaaaahaaaa#pemba raha

  • @billylovebillybillylovebil8895
    @billylovebillybillylovebil8895 3 ปีที่แล้ว

    Nimejikuta nacheka kwel mau jaman utaniuwa kwakuchek rimoti inafany kazi😂🤣🤣😃😃😄

  • @husnarashid2865
    @husnarashid2865 5 ปีที่แล้ว +1

    Alovaa flana nyekundu 😂😂😂😂😂😂huo mwendo wake kauaaa

  • @nassorsaleh7186
    @nassorsaleh7186 5 ปีที่แล้ว +1

    😁😘😘😘love pemba

  • @yussrakhalfani9278
    @yussrakhalfani9278 6 ปีที่แล้ว +4

    atakupwesa mtoto hapwesi 😁😁😁😁

  • @sudafaki9699
    @sudafaki9699 6 ปีที่แล้ว +2

    hahaha hii kali,very nice

  • @leikhaomar6243
    @leikhaomar6243 5 ปีที่แล้ว +2

    Big up guys

  • @mbaruokabedmbaruok4031
    @mbaruokabedmbaruok4031 6 ปีที่แล้ว +5

    Hi nikali Tena nikali yaheeee Ami Jey ni we

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤🎉😂😂

  • @leikhaomar6243
    @leikhaomar6243 5 ปีที่แล้ว +3

    M so proud t be mpemba

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahaaaaaaaaa rimoti

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 6 ปีที่แล้ว +5

    Hah jamni mbavu zangu

  • @bintibinti9620
    @bintibinti9620 6 ปีที่แล้ว +1

    hahahaha shikamooo mau

  • @billylovebillybillylovebil8895
    @billylovebillybillylovebil8895 3 ปีที่แล้ว

    Kigwaru kaganda kamasana muwa posta😂😃

  • @sharifambaruk9576
    @sharifambaruk9576 5 ปีที่แล้ว +4

    Hahaaaaaaaaaa hiiiikali

  • @mohdrahma5145
    @mohdrahma5145 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaa mau mwisho

  • @billylovebillybillylovebil8895
    @billylovebillybillylovebil8895 3 ปีที่แล้ว

    Zamwizi arubahini

  • @abdulghanirashid680
    @abdulghanirashid680 6 ปีที่แล้ว +12

    Cast zipo sawa,kwenye Cinematography kidogo kukosawa Zmotions mmefanya kazi nzuri

    • @user-dx5lz6du4y
      @user-dx5lz6du4y 5 ปีที่แล้ว +1

      Millard Ayo nakupenda sana kwa kufuatilia filam za kipemba kuzisapot asante

    • @yassirrashid7802
      @yassirrashid7802 5 ปีที่แล้ว +1

      Milad ayo nakukubali sana bro

    • @omarmuhnzi7412
      @omarmuhnzi7412 5 ปีที่แล้ว +1

      Hongera sana millard kwa kuwatia moyo washkaji na hongera Maw mpemba kwa kazi nzuri hadi unamremote mtu we noma...ha ha ha...!!

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 6 ปีที่แล้ว +1

    Mau. 😂😂😂😂😂😂 ukawachapa wote

  • @ashaabdallah5512
    @ashaabdallah5512 6 ปีที่แล้ว +1

    W kwnza mm jmni

  • @nawwarsultwaan6404
    @nawwarsultwaan6404 3 ปีที่แล้ว

    Hhhhaaaa we ata Kama ugombe nke Ila huyu kashaganda

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 5 ปีที่แล้ว +3

    Kigwaru kan-gandaa 😂😂😂

  • @yussrakhalfani9278
    @yussrakhalfani9278 6 ปีที่แล้ว +4

    mau ushanikohoza kwakuchekaaa eti rimoti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @s.ranger573
    @s.ranger573 6 ปีที่แล้ว +3

    mpige ilo panga

  • @mohamedmkojanimashaallah7712
    @mohamedmkojanimashaallah7712 9 หลายเดือนก่อน

    Kwanza watumalizie kile kipande cha dongo na mwenzake alicho kwenda kulala wali wa jamaa wanaokuja kuposa kisha wakapiga cmu

  • @aminiabdu6418
    @aminiabdu6418 6 ปีที่แล้ว +1

    Ha ha ha ha mbavu zangu

  • @alykhamis8811
    @alykhamis8811 6 ปีที่แล้ว +2

    hahahau rimoti

  • @bayuumaliki5889
    @bayuumaliki5889 6 ปีที่แล้ว +3

    Muko saw pemb

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 6 ปีที่แล้ว +3

    First to watch😂😂

    • @salimmoha7962
      @salimmoha7962 6 ปีที่แล้ว +1

      Nurse for life is good

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaa

  • @ashaabdallah5512
    @ashaabdallah5512 6 ปีที่แล้ว +3

    Sehm gani hiy jmn

    • @Asili
      @Asili  6 ปีที่แล้ว

      Konde, Pemba

    • @seiffaamrhamad3474
      @seiffaamrhamad3474 6 ปีที่แล้ว +1

      +Zmotion Studios vip pandan mbona hamuendi

    • @Asili
      @Asili  6 ปีที่แล้ว

      Tutaenda ndio tumeenza ziara hivyo.

    • @seiffaamrhamad3474
      @seiffaamrhamad3474 6 ปีที่แล้ว +1

      +Zmotion Studios Basi fanyeni tumeyamisi maeneo yetu sisi bado tupo Qatar mwaka 9 tena huu c unajua tupo kimasomo zaidi

    • @imathedonking123
      @imathedonking123 6 ปีที่แล้ว

      jafari mirj

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 6 ปีที่แล้ว +2

    sasa mbona unashambulia wote

  • @mussatalib8814
    @mussatalib8814 3 ปีที่แล้ว

    kashaganda na tawi ya nazii tawi tawi ya makoroma 🤣

  • @fatmafatma550
    @fatmafatma550 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀😀😀👏

  • @mudrkothman4871
    @mudrkothman4871 6 ปีที่แล้ว +1

    😀😀

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 6 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂

  • @ashaabdallah5512
    @ashaabdallah5512 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahhahahaha

  • @halimajuma1334
    @halimajuma1334 5 ปีที่แล้ว

    hahaaaaa

  • @nurdinismail8961
    @nurdinismail8961 5 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @user-xw5re3bh5x
    @user-xw5re3bh5x 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha

  • @mohammedmsabaha9198
    @mohammedmsabaha9198 5 ปีที่แล้ว

    ههههههه

  • @hajijuma8721
    @hajijuma8721 6 ปีที่แล้ว +1

    b

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaaaa

  • @muhibujuma3550
    @muhibujuma3550 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @mudrkothman4871
    @mudrkothman4871 5 ปีที่แล้ว +3

    😂